RAIS SAMIA ATAJA KILICHOMPONZA JANUARY MAKAMBA - UKIRITIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Samia Suruhu Hassan leo katika hafla ya kuwaapisha wateule wapya mawaziri na manaibu waziri ametaja sababu kadhaa zilizopelekea viongozi waliokuwepo kuenguliwa huku akiitaja wizara ya mambo ya nje kugubikwa na ukiritimba mwingi.

КОМЕНТАРІ •