NIKKI MBISHI AVUNJA UKIMYA/ AZICHAMBUA LABEL ZA MUZIKI/ 'WANABABAISHA'/ TUNATAKA HELA/ KATIBA MPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #STORYANDRHYMES #NIKKIMBISHI #HarounTambwe
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

КОМЕНТАРІ • 55

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому +5

    Nakukubali sana Nikki mbishi unajitambua unajijua sana mdogo wangu

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh Рік тому +7

    Napenda sana hyo background sound. InaSound kama 'Playboy' song in quite a Slow temple...Production ya Kipindi ni Konyo sana🔥🔥

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 Рік тому +5

    Ningumu Kumpata mc wa bongo ana knowledge zaidi ya unju...hupati the realest mc ....da genius

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 Рік тому +1

    Nikimsikiliza Unju na gain vtu vingi I appeiciate bro!

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 Рік тому +3

    Damu ya mara nakukubali sana Nikki mbishi

  • @shafmbande3582
    @shafmbande3582 Рік тому +2

    One of the best of all time

  • @nehemiahmguluka1996
    @nehemiahmguluka1996 Рік тому +2

    Greatest of all time Dr Unju bin Unuq🎶🎵🎵🎵✊💪

  • @lodvee1717
    @lodvee1717 Рік тому +2

    Super GENIUS

  • @zawadikitosi
    @zawadikitosi Рік тому

    🎉 nkubali mbishi nakuelewa sana blo

  • @jila_legrand
    @jila_legrand Рік тому +2

    Real talk Unju

  • @chimochimosuday3749
    @chimochimosuday3749 Рік тому +1

    Mwanangu we noma

  • @fulaniwaster
    @fulaniwaster Рік тому +1

    Icon,, huyu mkal ipo siku atajua kuwa huku kitaa anatema knowledge yafaa awe na Hip hop College au free class yake ili tupate wakina unju wengi dunia ya realities iwepo,,,

  • @issaomary7718
    @issaomary7718 Рік тому +1

    Nikimskilizaga unju huwa natenga muda kabisa🔥🔥🔥

  • @nicksoncharles-kx3gr
    @nicksoncharles-kx3gr Рік тому +2

    Anae hoji katsha Sana

  • @RichardCossan-rk1ub
    @RichardCossan-rk1ub Рік тому +2

    Salute Nikki mbish

  • @addamschamwande7734
    @addamschamwande7734 Рік тому +1

    Mwanamdhiki unjuu bin unuki 💥💥

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 Рік тому +1

    Power II nimefurah kuisikia tena hap!

  • @NassorTwahiru-kf8fo
    @NassorTwahiru-kf8fo Рік тому +1

    Jamaa sijawah kuchoka ngoma zke wala interview zke

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 Рік тому +1

    Respect

  • @khalidibero
    @khalidibero Рік тому +1

    Wasanii wengi wanatoa Ep Unju yeye anatoaga mix tap na album.
    Ila cha muhimu watu wajue interview ya Nikki mbishi ni Lp hisiyochosha kusikiliza.

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +3

    NAJUA,MASHABAKIK WA WCB MLISHAKIMBIA TOKA DAKIKA YA 5,YA INTERVIEW..

  • @LilboyJahstar-eh3vk
    @LilboyJahstar-eh3vk Рік тому +1

    amini kaka yAni bongo bado
    yani ungekua u s a unge kua kama shon p bu camp

  • @martinmbata7035
    @martinmbata7035 Рік тому +1

    Nce mamen nakubari sana unju mbish 🙏🙏🙏

  • @bama9271
    @bama9271 Рік тому +1

    Kweli kabisa

  • @stephenvenancee7131
    @stephenvenancee7131 9 місяців тому

    UNJU🔥🔥

  • @ambroceharouna1612
    @ambroceharouna1612 Рік тому +1

    Unjuuuuuu

  • @hemednassor4560
    @hemednassor4560 Рік тому +1

    Iyo biti kali

  • @jumazinga941
    @jumazinga941 Рік тому +1

    Mtu hatry cn ✊🏿

  • @erastompongo8400
    @erastompongo8400 Рік тому +1

    Mwenye misingi ya hip-hop na misingi yake lazima awe na fundisho kama Nikki

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 Рік тому

    Media nyingi za kibongo zimejaa mashoga, wambea n.k shida sana😢

  • @EdisonGodwin-lb7il
    @EdisonGodwin-lb7il Рік тому

    Wasaniii wa hip-hop ni watu wa kuwaharia vzuri sana

  • @jumazinga941
    @jumazinga941 Рік тому +1

    Mtu hatry cn
    Unju

  • @brightyona9815
    @brightyona9815 Рік тому

    kipindi kizuri lakini umetumia muda mwingi sana kumuuliza maisha yake kuliko albam yake so sometime muulize kuhusu contents za kila nyimbo humo ndan na kuona vionjo na vibes kipindi anaandaa kazi hiyo

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 Рік тому +1

    Unju bin unuki baba malcom

  • @omary3238
    @omary3238 Рік тому +2

    UNJU kigu

  • @mussaadamhamisi2454
    @mussaadamhamisi2454 Рік тому +1

    😎😎💯💯💪💪💪

  • @jayutawala2242
    @jayutawala2242 Рік тому

    Wasafi wame changia kuua hip hop tanzania

  • @stiffmenake4700
    @stiffmenake4700 Рік тому +2

    One of the only realest mo*fakaz in a game... I think I'm blessed to be part of this era to witness Unju Bin Unuki Era.. no cap, no bullshit, no fuckin doubt this dawg got his own shine 🌄

  • @nassorosalumu116
    @nassorosalumu116 Рік тому

    Og

  • @bobman2237
    @bobman2237 Рік тому

    Unju

  • @user-wz4tg5qp9g
    @user-wz4tg5qp9g Рік тому

    💯💥✌️

  • @buruanisaidi2411
    @buruanisaidi2411 Рік тому

    Kichwa

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 Рік тому +1

    rangi nyingi mno

  • @jimmyhoster3476
    @jimmyhoster3476 Рік тому

    Baba marcom ,,,,,

  • @killindoabile3128
    @killindoabile3128 Рік тому

    Jamaa anaspit shule

  • @MwasonKambi-hv2sv
    @MwasonKambi-hv2sv Рік тому

    Kumbe Adam ni kikosi kazi

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 Рік тому

    Hatutaki ushauri wa bure Nikki mbishi bratha ni mbishi riri

  • @AbdallahMohamed-wz8lc
    @AbdallahMohamed-wz8lc Рік тому

    Mhhhhh huyu ndo maana wenge alimchana mpaka akanyosha mikono

  • @rocksunmgw
    @rocksunmgw Рік тому +2

    Mkoa wa MARA hakunaga Fara
    Harakati ndio zetu acheni hao machawa waendelee kupotosha vijana dawa yao ipo jikoni