😂😂😂😂 hmn kila kityu, watu wa hip to the hop tunasoma nakuelewa lakin Country anasoma lakin haelewi vilivyo andikwa so anatakiwa achukue tena alafu asome ashughulishe ubongo kung'amua atajua nini kinacho zungumzwa kwenye hizo line
Kuhusu uandishi pengine muwazungumzie ma emcee wakali kama Dizasta,Nikki Mbishi,Nash Mc,Fid Q Nakadhalika.. Hao matarapper wanaangalia Flow zaidi sio uandishi hata huyo country boy hajui kuandika
Country umezingua sana chin bees mtu hatari unakumbuka pakaza ruba mdg wako anaeza andika kama hizo
Acha bana @chin bees hafai bro
Wlaaaaaaii hujui kuimba uo kbsaa...anjifnyaa lili wayne uo country wizzy😂😂😂
Country boy lyrics za nyimbo karibia zote anajisifia
country umetudanganya jomba sasa kwny hyo lyric ya young killer kajisifia wapi mzee w sema umeamua kumpa 7 sio utupe sababu za uongo na za kitoto
Nimeshangaa sana et kajisifia, af young dee mwenyew anajisifia ndio anampa 10
(Usipslamie hili chocho) utatamani kupaa , amejisifiaa
Bar yote kajisifiaa
Wewe mwenyewe kuandika hujui busy kujiramba ramba tuu
Young killer anawaumiza vichwa hawa vijana
Hainipi swaga
Country Wizz hajuiii kusoma😂😂😂😂
Contry wizzy
Boa classificação wizzy
😂😂😂😂 hmn kila kityu, watu wa hip to the hop tunasoma nakuelewa lakin Country anasoma lakin haelewi vilivyo andikwa so anatakiwa achukue tena alafu asome ashughulishe ubongo kung'amua atajua nini kinacho zungumzwa kwenye hizo line
Let’s be serious Chinbeez is something like bruh even Mony can do it better
Umuwezi chin be
Sema jamaa ananata sana mpk anaaboa asee
Huyu hamwezi chin bees ...ata chembe ...
Lord eyez😂😂
Kuhusu uandishi pengine muwazungumzie ma emcee wakali kama Dizasta,Nikki Mbishi,Nash Mc,Fid Q
Nakadhalika..
Hao matarapper wanaangalia Flow zaidi sio uandishi hata huyo country boy hajui kuandika
The list u mentioned is dope bro 🚀
🔥🔥🔥🔥🔥🚒🚒
Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏻🙏🏻🙏🏻
ua-cam.com/video/CTKEv7VUpRc/v-deo.html
😂😂 One More Time bwana
Hun llot kwa chn beez ww
ZIJUE NJIA 5 ZA KUPITA KWENYE INTERVIUW(USAHILI)BILA KUPATA SHIDA ua-cam.com/video/EV4-ozU29Ug/v-deo.html
Contry wizzy