Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mmmh mpaka naogopa mm 😂😂😂😂😂
Kwann jamani
Huyu mzee smati sana wala hacheki powa kabisa
Mkwe kichomi uyu😂😂😂😂
🤣🤣
Mkwe kama uyu😂😂😂😂😂😂
Jamani Mzee kamba Tatu unataka nni Sasa kweli kabisa ndio ukweni ukichukikiwa ndio hivo nishida Kila ukifanyacho kibaya
Kabisaaaa
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ uyu ndie kambatatu
Huyu baba hafai
Safi sana basi musitucheleweshe muendelezo
Sawaa
Hyo mke wa pili ana sura mbovu jamani ata heri hyo wa kwanzaa
🤣
Kuzaa ni majaliwa na anaepanga ni mungu jamani mbna ba mkwe uko.hvo
Waoooh Movie nzuri sana inasisimua
Mzee huyu nampenda saana anajua sana kuigiza
Asante sanaa
Nawakubali sana wanangu nyote 🥰😍🤣
Uyu mzee kisirani kila kitu sicho jmn
Kabisaa
Kamba tatu kitakulamba we subri 😅😅😅😅
Mzee kamba3 ipo siku utamkumbuka furaha
BONYEZA LINK KUJIUNGA GROUP LETU LA WHATSAPPchat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
Nimekuwa wakwanza nipeni like zangu please ❤❤
Hongera sana ❤❤🙏🙏
MashaAllah nzuri sanaa❤
Nzuri sana❤❤❤ yenu hayo
Safi sana tena ile ya magufuli.Na msilete za majini tena
Ya Magufuli ipi tena?
@@busatitv nyie hamjui magufuli alipenda kusema SAFI SANA?
Hahaha sawaa
@@busatitv safi sana💪
Safi movie mzur❤❤❤
Asante sana ❤
Sikuizi umepowa
Maashaallah nawapenda sana insha Allah mtafika mbali kwavipaji vyenu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Kulalina zenu tuleteni please 🙏 episode ya mpenz jini wacheni kutuzengua
Ama imeisha kulalina
Movie nzuri ❤❤❤❤
Muwe mnamaliza movie bs kbl hamjaanzisha nyingine....moangaji haikuishaga, mpenz jin kimya , malizen movie plssss
Mpenzi jini ni Tamthilia na hii ni Single Movie. Wakati inaruka Mpenzi jini zilisharuka movie kama penzi la Binamu, Mke wa Mtu na Gwiji hivyo usijali
@@busatitv kwhy hii ukweni ni single movie...mbn umeandika ep 1 na stori haijaisha....
Single movie zote huwa tunaziiata vipande so utaona episode 3 tu imeisha
❤❤❤
NDOA NDOA NDOA
Mpenzi jini mvipi
Bado
@@busatitv fanyeni mpango bas mwatuchelewawshea utamu.any way nawapenda sana na napenda sana filamu zenu zinaelimisha znaburudisha.nawakubali sana kutoka Kenya
Nafatilia sana movie zenu but mbona hamtumaliziiii Mpenzi jiniGwiji
Gwiji imeisha kitambo sana
Mpenzi jini inaendelea bado
@@busatitvmsalimie mzee kamba 3 mwambie namwalika ndoa aje uku mombasa
❤❤❤❤
Mpenzi jini imeicha????
Itaendelea
Jamani busati yetu nime wass sana
Mmmh mpaka naogopa mm 😂😂😂😂😂
Kwann jamani
Huyu mzee smati sana wala hacheki powa kabisa
Mkwe kichomi uyu😂😂😂😂
🤣🤣
Mkwe kama uyu😂😂😂😂😂😂
🤣🤣
Jamani Mzee kamba Tatu unataka nni Sasa kweli kabisa ndio ukweni ukichukikiwa ndio hivo nishida Kila ukifanyacho kibaya
Kabisaaaa
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ uyu ndie kambatatu
Huyu baba hafai
Safi sana basi musitucheleweshe muendelezo
Sawaa
Hyo mke wa pili ana sura mbovu jamani ata heri hyo wa kwanzaa
🤣
Kuzaa ni majaliwa na anaepanga ni mungu jamani mbna ba mkwe uko.hvo
Waoooh Movie nzuri sana inasisimua
Mzee huyu nampenda saana anajua sana kuigiza
Asante sanaa
Nawakubali sana wanangu nyote 🥰😍🤣
Uyu mzee kisirani kila kitu sicho jmn
Kabisaa
Kamba tatu kitakulamba we subri 😅😅😅😅
Mzee kamba3 ipo siku utamkumbuka furaha
BONYEZA LINK KUJIUNGA GROUP LETU LA WHATSAPP
chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
Nimekuwa wakwanza nipeni like zangu please ❤❤
Hongera sana ❤❤🙏🙏
MashaAllah nzuri sanaa❤
Nzuri sana❤❤❤ yenu hayo
Safi sana tena ile ya magufuli.
Na msilete za majini tena
Ya Magufuli ipi tena?
@@busatitv nyie hamjui magufuli alipenda kusema SAFI SANA?
Hahaha sawaa
@@busatitv safi sana💪
Safi movie mzur❤❤❤
Asante sana ❤
Sikuizi umepowa
Maashaallah nawapenda sana insha Allah mtafika mbali kwavipaji vyenu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Kulalina zenu tuleteni please 🙏 episode ya mpenz jini wacheni kutuzengua
Ama imeisha kulalina
Movie nzuri ❤❤❤❤
Muwe mnamaliza movie bs kbl hamjaanzisha nyingine....moangaji haikuishaga, mpenz jin kimya , malizen movie plssss
Mpenzi jini ni Tamthilia na hii ni Single Movie. Wakati inaruka Mpenzi jini zilisharuka movie kama penzi la Binamu, Mke wa Mtu na Gwiji hivyo usijali
@@busatitv kwhy hii ukweni ni single movie...mbn umeandika ep 1 na stori haijaisha....
Single movie zote huwa tunaziiata vipande so utaona episode 3 tu imeisha
❤❤❤
NDOA NDOA NDOA
🤣
Mpenzi jini mvipi
Bado
@@busatitv fanyeni mpango bas mwatuchelewawshea utamu.any way nawapenda sana na napenda sana filamu zenu zinaelimisha znaburudisha.nawakubali sana kutoka Kenya
Nafatilia sana movie zenu but mbona hamtumaliziiii
Mpenzi jini
Gwiji
Gwiji imeisha kitambo sana
Mpenzi jini inaendelea bado
@@busatitvmsalimie mzee kamba 3 mwambie namwalika ndoa aje uku mombasa
❤❤❤❤
Mpenzi jini imeicha????
Itaendelea
Jamani busati yetu nime wass sana