MUSUKUMA AMLIPUA MKURUGENZI GEITA-"AMESABABISHA TUMEKOSA BIL. 4 ZA GGM, UJENZI UMESIMAMA KISA YEYE."

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @antonnadenade4597
    @antonnadenade4597 2 роки тому

    Fukuza hao mama anawalea Sana magufuli tutamukumbuka sana

  • @edwardmalila5230
    @edwardmalila5230 2 роки тому +5

    Wewe unastaili kuwa rais wa nchi upo vizr msukuma good work

  • @festomsoffe3767
    @festomsoffe3767 2 роки тому +3

    Waziri wa Tamisemi uko wapi hela za walipa Jodi zinapotelea chini??

  • @saidhuma7516
    @saidhuma7516 2 роки тому +3

    Mbunge wa kudumu King msukuma

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 роки тому

    Huyo mbunge hakumegewa chake, kaa kimya wewe, waache wale, RIP Magufuli

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 2 роки тому +1

    Conge big up kiongozi

  • @Veni584
    @Veni584 2 роки тому +2

    Mama yuko tour mpaka arudi wapigaji wameshiba

    • @mwangonjim2mbad155
      @mwangonjim2mbad155 2 роки тому +1

      Kizuri mama kasema wale ulefu wa kamba tu Mungu tusaidie tu tz yetu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Kwani Nchi ni ya Rais pekee yake?! Wasaidizi wake wanalipwa mshahara wa nini?! Mnamharibia Samia au mnajiharibia wenyewe ?! Kuongoza Wajinga nao ni mzigo!!!

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 роки тому

    Naipiga pc ingekuwa nikipind cha marehemu magufuli wallah angelijenga usiku na mchana na usingiz haumpit hata chembe🤣🤣😃

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 роки тому +1

    Hivi ni rais au RAHISI

  • @majaliwaalfred4422
    @majaliwaalfred4422 2 роки тому

    Watu wanakula asali

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 2 роки тому

    “Kama watu wako commitment” 😅😅

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 2 роки тому

    kuleni tu tumeitaka wenyewe.. lambeni asali

  • @amospaschal8030
    @amospaschal8030 2 роки тому

    Eeeh, Hao ndo wakurugenzi warioteuriwa.😂😂😂😂😂😂

  • @antonnadenade4597
    @antonnadenade4597 2 роки тому

    Tuna raisi wa mtoko safari nyingi kwani anatumia hela yake mtajua wenyewe

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 2 роки тому

    Huyu alinunua v8 na majaliwa alimsimamisha kazi magufuli akamrudisha Sasa mnalaumu nn?

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 2 роки тому

      Kama hujui usifyatuke...! Wa V8 alikuwa mkurugenzi wa Geita mji, huyu anayelalamikiwa hapo ni wa Geita vijijini!

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 2 роки тому

    Huyu mkutugenzi anachezea shimo lakini kama ana kauhusiano na vigogo wa ccm haina shida msukuma atakalia kuti. Maana sasa ni enzi nyingine ya mama na wanae akina Kinana na Makamba babu yao Kikwete uraja kwasana kama zamani.

  • @messimoses6587
    @messimoses6587 2 роки тому

    Magu angewepo Apo sku 4 tu ilo jengo linaghalim milio 50 tu zinatosha Apo 350 milion zshawekwa mfukon

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Ndio maana tunapaswa kujenga uadilifu kwenye mioyoni! Watu wawe na hofu ya Mungu! Sisi sote Watu wazima! Watz tubadilike, tukue, nidhamu ya uoga ni utoto! Na ukiangalia vizuri, haileti tija ya muda mrefu! Mungu ibariki Tz!

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 2 роки тому

      @@j.c.maxima816 acha siasa watanzania sio wa kubembeleza China walilazimisha Mambo ikawezekana

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому +1

      @@madirishasimon9692 😆😆🤣Kwa hiyo Watz hawawezi kuwa WAZALENDO na WAADILIFU ? Sio kweli! Mbona hujalazimishwa kuhudumia familia yako?!!!Tubadilishe just mindset hai-cost chochote !!! 😇

    • @madirishasimon9692
      @madirishasimon9692 2 роки тому

      @@j.c.maxima816 watu weupe wanaangalia nchi waafrika wengi wanajali familia kwa hiyo huna jipya kaa kimya💪💪💪

  • @avitomasebu9532
    @avitomasebu9532 2 роки тому

    Hawa ndo wabunge WA kelele tu bifu zimewatawala

  • @isakakidolile2708
    @isakakidolile2708 2 роки тому +2

    Huyu jamaa ni kichwa xn

  • @zakarialuhemeja444
    @zakarialuhemeja444 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 роки тому

    .

  • @chb5367
    @chb5367 2 роки тому

    I know ths man personally.. he is not that smarter!

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 2 роки тому

    Mwambieni huyo waziri aje nahuku Musoma mjini

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 роки тому +1

    Kaa na wataalam wako vizuri bifu na kuchongeana kwenye social media kila siku haiwasaidii wananchi lolote alafu uwe una balance story ukitoa story ya upande mmoja hata wewe unaonekana kituko nenda site na wataalam wako then ndio uhoji pengine wanamajibu mazuri sana yakitaalam wakuelekeze kweli std 7 yako ni tatizo, pia hata mamlaka za uteuzi zitakuchoka kutwa kuchongeana badala kukaa chini na wataalam mfanyekazi kama teamwork

    • @pilipilimanga2619
      @pilipilimanga2619 2 роки тому +1

      Siyo kwamba watamchoka ukiona huyo jamaa analalamika jua tu kanyimwa tenda. Hajawahi kuwa na huo uzalendo hata chembe

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 роки тому

    sa we msukuma unalaumu vp wakat wewe pia ulimsifu mamako samia anawapa pesa mnakula hadi umetoka kitambi leo walalamika nini je wazani nani atakusikiliza wakat kwanzia rais wako na viongoz winzako wote wapigaji so nani atakusikiliza ?

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Wakati mwingine, tunajichelewesha sisi wenyewe! Mama anahangaika kutafuta hela (huku mkimtukana ety anazurura)! Anawaletea ili mkajenge huko kwenu! Hili nalo limewashinda kweli?! Hamwoni hata aibu?! Sio mtoto wa Samia atakuja kusomea huko! Ni Watoto zenu, ni ndugu zenu na vizazi vyenu ! Acheni majungu bhana, panueni fikra, fanyeni kazi kwa faida yenu wenyewe!

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 роки тому

      @@j.c.maxima816 we nawe lini alikutaftia pesa kwa wazungu za bure akakuletea ? wafrica ndi maana umasikin hauwaish mwinzenu anakula matilion ya Doral kisha rasili mali zenu za matilion ya Doral zinabebwa mnabaki mafukara wakutupa kisha bado mnajisemesha awen anawaletea pesa hamna hata akili pesa anazo kopa mnalipa watanzania nahuku rasili mali zenu zinauzwa nawao wanajineemesha so yakheir ungesema watanzania wanajitahid kutoa kod na makato wanayo katwa ili kuijenga inchi nyie wenye pesa mnazichezea nasio samia kazileta anakazi gani ya kuzilipa hizo pesa wakat mshahara wenyewe anajilipa kwa pesa za watanzania huna ahata akili 😏😏

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 2 роки тому

    Mbona porini kabisa ..

    • @khamisraskashandago2694
      @khamisraskashandago2694 2 роки тому +1

      Hiyo ndio hali ya mkoa we2 kijan m2pu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Mama atapenda! Anatamani kujenga Tz ya kijani (Green Tz) hata miji yetu iwe ya 'green' kila mahali! Itapendeza! Lazima tutunze mazingira tuliyojaliwa na Mwenyezi-Mungu!

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 2 роки тому

    Mambo mengine malizeni kwa vikao vya ndani. Sasa kulumbana hadharani sio afya

    • @williamkiyumbi2800
      @williamkiyumbi2800 2 роки тому +1

      Rudi shule

    • @sdeshnjwetr6707
      @sdeshnjwetr6707 2 роки тому

      WE KWELI MVIVU WA KUFIKILI WATAMALIZAJE NDANI WAKATI MAMBO YA WANAICHI SIYO MAMBO YAO BINAFSI..HIVI NDIYO SAFI ILI WANAICHI TUPATE TAARIFA KWA WAKATI SAHIHI....NA TUJUE NANI ANAKWAMISHA MAENDELEO YA TAIFA LETU. WASHAZOEA KUTUTOLEA TAKWIMU KWENYE MAKARATASI UTEKELEZAJI ZIROO.

    • @boniphaceantony4807
      @boniphaceantony4807 2 роки тому

      Jiziiiivwew kodi yako unakatwa kwenyee vikao, usiludie tena kauli yako.