Hakika rais nliyemshuhudia akiwa na uchungu na watanzania Dct Jpm alitambua gharama inayotumika kuutembeza mwenge hivyo akapiga marufuku vitu vingi visivyokuwa na ulazima kisha gharama hiyo akaielekezea kwenye miundombinu nafaida tuliziona, lakini ssa vinarejeshwa taratibu😢😢, na watanzania tulivyo waoga na wanafki tunamsahau Jpm na kukumbatia makatazo yake.

Maji ya shida umeme wa shida na bado mnaingilia silahe za watu