UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI WENYE FAIDA 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • ENEO DOGO FUGA KUKU WENGI
    MRADI MKUBWA WAFANYAKAZI WACHACHE
    cage/keji za vifaranga ZINAPATIKANA
    UFUGAJI WA KUKU KWA KUTUMIA KEJI
    H-TYPE BATTERY CAGE ZINAZOTENGENEZWA TANZANIA ZINA FAIDA NYINGI
    ENEO DOGO FUGIA SAMAKI NA KUKU KWA KUTUMIA KEJI
    UFUGAJI MSETO |KEJI YA KUKU 700 IKO JUU YA BWAWA LA SAMAKI|
    UFUGAJI WA KUKU WA KISASA
    LOCAL KEJI ZA GHARAMA NAFUU
    FAHAMU MIFUMO YA KEJI ZA MKULIMA SMART
    UFUGAJI WA KUKU KWA KUTUMIA KEJI
    BATTERY CAGE ZINAZOTENGENEZWA TANZANIA ZINA FAIDA NYINGI
    1.Keji za kuku wa nyama broiler
    2.Keji za kuku wa mayai
    3.cage za kuku wa kienyeji
    4.cage za kuku chotara
    5.cage za kuku wa mayai
    KEJI ZA MBAO
    NIPPLE DRINKING SYSTEM
    MFUMO AUTOMATIC WA KUNYWESHA KUKU MAJI.
    Mfumo huu ni maalum kwa wafugaji wa kuku wa nyama (Broiler)
    FAIDA
    Kuwezesha kuku kupata maji safi na salama ya kunywa muda wote.
    Kuondoa kero ya kuosha vyombo vya maji.
    Inarahisisha upatikanaji wa maji safi na salama hata kama muhudumiaji hayupo.
    Inaokoa gharama kwani ukifunga mfumo huu waweza kuutumia hadi miaka nane bila kuharibika.
    Inaondoa kabisa uwezekano wa kuku kupata magonjwa yatokanayo na kunywa maji yalio chafuka (contaminated water)
    Na faida nyingine nyingi kwa mfugaji ambazo zitaboresha mradi wako.
    KWA MAHITAJI YA NIPPLE ZA KUKU KWA BEI
    NIPPLES ZA KUKU KUNYWEA MAJI -
    "Mfumo wa chakula na maji
    Mfumo wa chakula na maji unaojiendesha kwa ajili ya kuku wa nyama, ... kwa kuku. - Kuzuia banda kuloa kutokana na mfumo wa nipple drinker.
    NIPPLE ZA KUNYWEA KUKU MAJI Nimeleta vifaa vipya na vya kisasa kwaajili ya kunyweshea maji kuku ... mwonekano wa vifaa na maelezo yako havileti picha halisi fafanua ...
    Nipple wanywaji kwa kuku wa nyama kwa mikono yao.
    Broilers - moja ya kawaida mifugo nyama ya kuku. Wao ni unpretentious na rahisi matengenezo, lakini, kama viumbe vyote hai, inahitaji maji.
    BATTERY CAGE ZINAZOUNDIWA TANZANIA ZINA FAIDA NYINGI
    1.Keji za kuku wa nyama broiler
    2.Keji za kuku wa mayai
    3.cage za kuku wa kienyeji
    4.cage za kuku chotara
    5.cage za kuku wa mayai
    6.cage/keji za vifaranga
    FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) KUFUGIA KUKU.
    1. Cages husaidia kuimarisha Afya za kuku wako, wafugaji wengi hawapati matokeo mazuri katika ufugaji wao kwasababau wamepuuzia matumizi ya Cages.
    Cages husaidia sana kuwatunza kuku katika mazingira mazuri yenye kuimarisha afya zao.
    Cages zimetengenezwa katika namna ambayo zina sakafu ya wavu,
    Inamaana kuku wakinya mbolea inaangunga chini na wao wanabaki wasafi, na hii inapeleka kupunguza magonjwa yatokanayo na vidudu vilivyo kwenye mbolea.
    Hii itapelekea kuku wako kuwa na afya njema zaidi.
    2. Cages husaidia Kuongezeka kwa Uzalishaji wa mayai na kuraisiha ukusanyaji wake.
    Kuku wenye afya wanauwezo mkubwa wa kuzalisha zaidi, mayai au nyama, kama watafugwa kwenye mazingira yenye kujenga afya zao.
    Kufuga kuku kwenye cages hupelekea ongezeko la uzalishaji wa mayai kwa kiasi kikubwa.
    3. Cages husaidia kuwalisha kuku chakula kulingana na mahitaji yao.
    Mfumo wa ulishaji na unyweshaji wa cages ni mzuri na wakisasa,
    Mfumo huo huhakikisha kuku wanapata chakula kwa kipimo sahihi kulingana na idadi yao.
    Hii ni kutokana na sababau kwamba kuku hupata chakula kutoka kwenye bomba lefu na kunywa maji kupitia mfumo wa nipples ambazo zipo karibu yao.
    4. Cages hupunguza gharama za wafanyakazi wa kuwahudumia kuku.
    #mkulimasmart
    #shambadarasa
    UFUGAJI WA BROILER KWENYE CAGE
    Banda Bora la Kuku Chotara: Ufugaji wa Kuku kwa Kutumia ...
    Faida ya cage kwenye ufugaji wa kuku wa nyama
    UFUGAJI WA KUKU KISASA:Nunua cage za kuku/vifaranga ...
    CAGES - KUKU PROJECT
    Faida za Kutumia Cages Kufugia Kuku
    Faida sita (6) za kutumia banda la kisasa cage
    CAGES ZINAPATIKANA KWA WINGI - SHITINDI POULTRY ...
    TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA kuku chotara
    TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI
    ufugaji wa kuku kwenye cage
    jinsi ya kutengeneza cages za kuku
    bei za cage za kuku wa mayai
    bei za cages za kuku
    wauzaji wa mabanda ya kuku
    nyavu za kufugia kuku
    bei ya mabanda ya kuku
    kuku project tanzania limited
    kuku project dar es salaam tanzania

КОМЕНТАРІ • 2