Nakumbuka wakati nilipokua na uchungu mkali wa kujifungua niliita Kaka Yesuuuuu nisaidie na kweli sikua nimejifunza zaidi uhuru wa kumuita Yesu kaka ila lilinitoka tu na nijifungua mda uleule.
😢😢😢 Yaani natokwa na machozi ya furaha kwa sababu Mungu ni mkuu kwa maisha yangu . Mchungaji Mungu akubariki na akutumie kwa kazi yake maana tu washindi 💪💪
shukran kwa ufadhili wa masomo yangu ya masters kufunguliwa kwa ndugu yangu josphat, kaesa,mwanthi kazi ya graduate assistant TUM DESIRE FOR GD WORD KUFUNGULIWA KWA UCHUMI WANGU NA WOTE WANAONA MAHITAJI KAMA WANGU NA ZAIDI
Mchungaji ibada zako huwa zinanibariki sana Mungu azidi kukutunza. tafadhali ukiona hi comment yangu niombee kwa Mungu anipe haja ya moyo wangu.
Nakumbuka wakati nilipokua na uchungu mkali wa kujifungua niliita Kaka Yesuuuuu nisaidie na kweli sikua nimejifunza zaidi uhuru wa kumuita Yesu kaka ila lilinitoka tu na nijifungua mda uleule.
😢😢😢
Yaani natokwa na machozi ya furaha kwa sababu Mungu ni mkuu kwa maisha yangu .
Mchungaji Mungu akubariki na akutumie kwa kazi yake maana tu washindi 💪💪
Niombee niongozwe na roho wa Mungu nina Changamoto ninaipitia Bwana
Hongera sana Mchungaji kwa somo hili nabarikiwa sana nikiwa Lebanon
Asante sana, Nabarikiwa nikiwa ZANZIBAR.
shukran kwa ufadhili wa masomo yangu ya masters
kufunguliwa kwa ndugu yangu josphat, kaesa,mwanthi
kazi ya graduate assistant TUM
DESIRE FOR GD WORD
KUFUNGULIWA KWA UCHUMI WANGU NA WOTE WANAONA MAHITAJI KAMA WANGU NA ZAIDI
Napenda Mungu anavyo kitumiya chombo chake kureta wengi katika ufalme wake
Amina nina maumivu kwa muguu wangu naamini nimepona mungu ainuliwe
Mungu azidi kukubariki Mchungaji nabarikiwa
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu umenifundisha mengi
Tubarikiwe sana wote mchungaji 🙏🙏
Mungu kwanza mengine baadae ibada njema sana
Nkonafwata 5/5 kutoka kongo nrokivu ruchuru matebe 🇨🇩
Thank you LORD JESUS for dying for me on the cross. You redeemed me forever. Thank you Pastor Mmbaga for I'm ever blessed with your teachings.
Nimeelewa Sana,Mungu azidi kukupa maisha na afya tele uendelee kutusaidia,nimebarikiwa Sana!
Following from ntulele narok kenya Ninabarikiwa mungu akubariki mchungaji
Amen 🙏🏾
Alléluia.
Nafwatilia nikiwa kibamba Daresalam...Mungu akutie nguvu pastor
Mungu azidi kukubariki
Pastor jana nimeota nafanya maombi ndani ya duara na nlkua nikisali sala ya Baba yetu
Mbarikiwe 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️
Amen
Amen ubarikiwe Pastor.
Amen 🙏 nime barikiwa sana sasa pastor Misamiati Njo nini ?
Psitre sauti ikonakatikasana
Ile chumba ya kutolewa nje
Amen