MOYO WA CHUMA PART 7 FINAL
Вставка
- Опубліковано 30 лип 2024
- #frp #fry #fyp ytviral #1000subscriber #foryourpage #1mviews #snakeboy #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Pole sana kwa kuondokewa na baba m.mungu amjalie kila la kheri ktk sfr yke amsamehe makosa yke amiin amiin
nice movie inapendeza 2nasubili kazi zingine kwa hamu
Pole sana Mr Gozi kwa msiba 😭😭😭
Pole sana Gozi Allah akupe subra kwa kipindi hiki kigumu unacho pitia Bi strong 💪 mtu wangu😢😢😢😊😊😊
Pole sana Mwenyez Mungu awatie nguvu kwa kuonfokewa na mpendwa wenu.
Pole sana chado mwenyezi mungu akupe nguvu ujasili na amani pole sana❤🇹🇿
Inalilah wainalilah rajuun Pole saaaaan bro ,,, mung akupe nguvu
Pole sana kaka Gozi Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipnd hiki kigum , Mungu ampumzishe kwa aman mzee.
pole sana na Mungu akawe mfariji wenu ktk nyakati hizi ngumu za majonzi
🙏🙏pole sna gozi kwa kupoteza babako mungu akupe nguvu kwa wakati huu mungu
pole sana bro tulikulaumu pasipo kujua pole
Inna lillah pole sana gozi kwa msiba wa mzee wetu allah akupe moyo wa subra katika kipindi hichi gimu na hongera sana kwa kazi nzuri
Pole Sana Gozi. Sisi sote niwaja wa mungu mungu akimwitaji mja wake ananchukuwa. Pole sana
Pole sana Gozi Mungu amlaze mahali pema peponi mzee
🙏🙏🙏
Pole kWa kumpotezaa Baba. MUNGU AWatie Moyo.
Pole Sana kaka mungu akutie nguvu
Pole sana kinara Gozi kwa yaliyo tokea, mungu akupe faraja kwa wakati huu kiongozi wetu.
Nimefuraaahi sana walivosameheana kama Kweli vile 😊,lla pole sana kwa kumpoteza baba,sisi sote ni waja wake na kwake tutarejea,.
Pole San broo mungu akmpe kauli thabit n akusmamie katk kazi zko appreciate 🫡🥰
Asanteni sana kazi nzuri hii gozi tuletee nyengine
Pole sana kaka
Kaka msiba wa kwetu wote bro pole sana ndugu yangu Allah ampe kauli sabit
pole sana kwa kuondokewa na mzazi wako,😢😢😢 mungu akupe nguvu ya kupambana zaid. na nisem bado tuko pamoja
Pole sana gozi hongera pia kwa ujasili
Pole Sanaa GOZI Kwa kumpoteza baba
pole sana gozi kwa kumpoteza Baba
Pole Sana kaka
Tunaisuburi season 2 ya moyo wa chuma. Shabiki yako Niko🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Inna Lilah wa Inna Lilah Raji un hakikaka sis n wake n kwake tutalejea apumzike kwa aman baba,n honger pia kwa kipaji japo umepitia changamoto ngumu kwenye hii move
pole sana kk gozi mungu akutie nguvu kk na kukumbali sana kk
Wah kama namuona hanifa wangu😂😂😂 jaman mnajua sana kubeba uhusika ❤❤❤😊😊😊🎉🎉🎉
Hongera sana got kwa move hii hadi mwisho ila Pole sana kwa kuondokewa na mzaz wako
Dah pole sana Mr Gozi
Poleni sana Gozi kwa kupoteza baba mungu aiweke roho yake pahali pema na apumzike kwa amani😢😢😢😢😢😢 much love from kenya congrats kwa kazi nzuri twaingoja season ya pili❤❤🎉🎉
Pole sana bro Allah amfanyie wepes huko aliko
Pole sana gozi mungu akutie nguvu napenda sana kuangalia kazi zako uko vizuri sana
Pore sana gozi kaka mkubwa
Picha nzuri sana Gozi Pole kwa kumpoteza Baba Mwenyeziungu akutie nguvu na moyo wenye uvumilivu
Hii imekuwa tamu sana❤❤nimeipenda chukua maua yako all the way from kenya 🇰🇪 254...nimehuzunika imeisha😢
Pole mpendwa mungu akutie nguvu❤❤
Pole sana ndugu! Uri umunyabwenge kdi ibyo ukora imana ige ibigufashamo. RIP Mzee Ngozi.
Duh jamani muna chelewesha muendelezo mno. Anyways hongereni
Pole sana gozi mpendwa mungu akulinde
Kazi nzuri snaa
Pole sanà Gozi mungu akupe faraja na pia pongezi Kwa kazi nzuri
🙏🙏🙏
Pole sana kakq goz Allah akupe ujasi akufanyiebwepesi kwakila zito linalo kufikai@@directorgozi5509
dah pole sana gozz wetu mungu akuzidishie moyo wa subra na hongera mchezo ni mzuri sana
Nicheki tufanye kaz
@@SwaaumuRashid nakucheki vipi🤔
Pole snaaa gozi
Gozi umeua sana aisee story nzuri. Hembu leta kitu kingine kikali. Pole sana brother kwa msiba Mungu akutie nguvu katika kipindi hichi kigumu
🙏🙏🙏
pole bro
Pole saana mzee baba kwa kuondikewa na mzee wako
Piah MUNGU AKUPE hekima na busara uendelee kutoa kaz nzur pamoja mzee baba
Pole san kak kwa yaliyokukut
Pole cn gozi kz yamungu Aina makona innalillah Rajiun
Kali kubwa sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Pole sana dr gozi nachangamoto ulizopitia na ongera kwa kazi mzuri akika unatupa kitu moyo unataka
Inalillah wainalilah rajiun pole san kaka goz
Pol sana kaka angu utupe nyingine🎉🎉🎉🎉❤
😢😢 POLE SANA KWA KUFIWA NA MZAZI ILA PIA TUNAFURAI KWA TUAIDI KWAMBA UTALETA SEASON 2 maana ulikuwa usha tuacha pabaya sana Asana tunania ya kumuona chado kipi kimemkuta 😂😂😂😂
Sorry for the loss my condolences to you Gozi and the entire family. It's not easy but with God it's well . May Almighty console your souls.
Pole Sana goz kwa kuondokewa na baba yako
Pole sana Gozi Mollah ailaze roho ya Mzee wetu pendwa mahali pema peponi,, love from Buja Bujumbura Burundi❤❤❤ We love you
Pole sana gozi mungu yupo nawe
Pole sana kaka goz Yan apo uliposema Kaz ya mungu Haina makosa machoz yamenitoka 😢 Allah ampe kaul thabit baba na ampunguzie adhabu za kabur 🤲
🙏🙏🙏
Pole kwa kumpoteza baba na pongezi kwa kazi nzuri, nimekuwa nikifuatilia sana moyo wa chuma
Pole sana kijana Mungu akupe faraja ktk kipindi hiki kigum tuko na wewe lete kazi mpya sisi ni wadau wako kiindak ndiki
Daah pole sana napia umejitahidi sana NAKUPENDA kwakazi nzurii
Pole sana kk
Ongera gozi kuna chakujifunza hpa ❤❤Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊 Walaikmuslm,Wah polen wana familia mungu awape subra nyote mlio fikwa na msiba 🤲🤲
Pole sana gozi mungu amlaze pema peponi n mungu akufariji akpe nguvu z kupambana inshallah ❤
Khadija from kenya
🙏🙏🙏
Wow hii movie eko sawa sungeiendelesha aki lakin usijali nduku mungu akusaidie pole sana kwa msiba ya babako❤❤❤❤ na mungu akupee nguvu ya kuandaa nyingine tena
Mungu aiweke roho ya babake gozi pema
Pole sana rafik
❤❤❤na mimi Niko 5
kazi nzuri sana
😭😭💕pole sana kaka GOZI mungu akupe ufumilifu .tumeipenda sana kasi yako mbarikiwe
Pole Sana Gozi Kwa Kufiwa Na Baba yako.Mwenye Ezi Mungu Akupe Moyo wa Subra.Na Hongera kwa Kazi Nzur Kaka.
Nme kubali hi kaz dady goz na Chad hamn bay na hanif
Pole sana kaka kwakufiwa na baba
Daaah😢. innalillahi wainna ilaihi rajiun,pole san gozi wetu mungu akupe nguvu zaid.pole sana aisee.mungu ailaze roh yake mahl pema🤲🤲🤲🤲🤲
pole sana director gozi Kwa kufiwa na mzee mungu akutie nguvu ktk kazi zako.mimi ni shabiki Yako mkubwa
Congratulations sana bro ❤❤
daa kaka gozi pole sana kwa msiba mungu akutie guvu pole sana
Pole sana gozi mungu akupe faraja na pia pongez Kwa kazi yako nzr
Pole Sana gozi kwa msiba. Napiga nakupa maua yako kwa kazi zuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Love U gozzzzzz,, kazi nzuri sanaaa,, ila pole sana Kwa kumpoteza Mzazi wako,,, hongera sanaaaa
Pole sana gozi Mungu ailaze roho ya baba mahali pema😭😭na pia pongezi kwa kazi nzuri moyo wa chuma inamafunzo nzuri sana❤❤natokea kenya 🇰🇪
Mungu halaze roho yake mahali pema peponi n pia asanteni sana Kwa kazi nzuri niko imara kungoja season 2
Pole gozi ndivyo kiduni...na Asante kwa kz yko nzuri mungu akufanyie wepesi ktk wakati huu mgu😢❤❤
Pole sanaaa director gozi mwenyezi mungu akupe uvumilivu na subra
Pole sana mungu akupe faraja na hongera kwa kazi zuri ❤❤
Pole sana gozi pia kizi nzuri na kaz ya mungu haina makosa kipenz nice job❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pole sana mwamba. Maisha yana realities zake. Mungu alimpenda mzee kuliko wewe na familia nzima. Mwenyezi Mungu akutie nguvu na roho ya mzee wetu kipenzi ipumzike kwa amani. Amin
Poleee sana kwamusimba
Nikupe hongera sanna na mungu awalinde naawape hisiya kali pamoja na chando
Daaaah so sad news Pole sana rafiki yangu kwa kuondokewa Na Baba yako Mungu akawe mfariji kwenu.by the why Hongera sana kazi nzuri sana.
Pole sana kwa kufiwa na baba yako
Kazi kubwa Sana gozi kk I really appreciate your work 🙏 mungu akupe umri mrefu kwenye maisha yko Ili uzidi kufanya makubwa,,pia pole kwa kuondokewa na mzee mungu akutie katika kipindi hik kigumu
kazi nzuri brother mafunzo mengi sana
Pole sana goz
Innalillah waina ilah rajiun pole sana gozi
Pole Sana Mr gozi kikubwa muombee apumzike kwa Amani na hongera pia kwa kazi nzur
Pole sana gozi kwakimupoteza baba yako Ila nagupongeza sana kwa kazi ilikuwa nzuri kabx from🇧🇮🇧🇮🇧🇮 chukraan kwamafunzo!!
Pole sn kaka mungu akusimamie vyema na akufanyie wepes na awape subra ktk hili
Aqui Chamado Dha Masta Só Moçambicano 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Vive Província de Cabo Delgado Cidade de Montepuez Ruby Mining, Querias Dizer que gostei muito de essas filmes mais força 💪
Kazi nimeikubali
pole sana.kijana mungu atawatia nguvu kipindi hichi kigumu