KHALIGRAPH ATUBU, AWANYOOSHEA MIKONO WASANII WA HIP HOP WA TZ , ASEMA 'MSINICHUKULIE VIBAYA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 191

  • @Satwant-t9c
    @Satwant-t9c 9 місяців тому +1

    Watanzania!❤ tuko zaidi kwenye music...kuliko Wakenya! Hakuna shaka kwa ilo!🇹🇿👍🏻

  • @shafiirajabu4521
    @shafiirajabu4521 Рік тому +16

    Minilishamuona nini anakirenga huyu mwamba…OG tunakubali mwanangu all the way from BONGO

  • @geeva99
    @geeva99 Рік тому +34

    Haja tubu, amekuwa responsible kutokana na energy iliyokuwa inaendelea nimegundua huyu jamaa ni very smart alafu ni true hip hop, ana deserve kabisa position yake kwenye game

    • @farlykunga8599
      @farlykunga8599 Рік тому +2

      Usipunguze makali ..ni ametubu kweli..Na waliomjibu ni wa Tz ndo yeye aliwapa masaa 24hr ajibiwe,?..ndo kajibiwa sasa na hao watanzania ...vip ulitaka energy itoke Ethiopians!!♿..#Dawa ishamuingia Boya uyo!!!🙅🏻

    • @geeva99
      @geeva99 Рік тому +1

      @@farlykunga8599 energy ilikuwa inasogeza mgawanyo kati ya Kenya na Tanzania sababu ya baazi ya watu kuchukulia too serious lakini track yake inaelezea vizuri zaidi the intent, nani ukweli mwingi upo kwenye ile track, hiphop ni utashi na uwezo wa tafakari si kukurupuka ma nyege kama regular bongo flava ilivo, miziki ya ashiki ngono inamchango mkubwa sana katika uwoga, wenge na tabia za kitoporo kwenye jamii

    • @rajabupetermoses7338
      @rajabupetermoses7338 Рік тому +2

      Kaka hawa wakenya ni maboya sana kwasababu sio mara yao ya kwanza kutaka booster hata Jaguar alikujaga hivyo hivyo akazimwa hawa ni mafara tu hawana lolote

    • @geeva99
      @geeva99 Рік тому

      @@rajabupetermoses7338 sawa, miaka kumi ijayo tutapima maendeleo ya tasnia husika ndipo tutajua hizi idea ni vipi, muda huwa haudanganyi

    • @salimbwanashee-cn7fv
      @salimbwanashee-cn7fv Рік тому

      Sasa fara ndio nini wee Fala nini

  • @livewire_podcast
    @livewire_podcast Рік тому +22

    He has achieved what he wanted

  • @georgemkassu8301
    @georgemkassu8301 Рік тому +18

    Tupo pamoja kwenye hip hop game khaligraph

    • @Jkone891
      @Jkone891 Рік тому +2

      Msodoki anasema ameficha chuki ndani ya utani 😂😂😂😂😂

    • @Sarah_product25
      @Sarah_product25 Рік тому

      We unfollow this freak

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s Рік тому +8

    We respect you kaligraphy OG umefanya tupate hip hop tuliyoimiss muda mrefu ila Bado Gnako ajajibu tunamsubir kwa hamu sana

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Рік тому

      Nyinyi wanafki mmejaa sana amewafanya mpate mlichokimiss kwa sababu hamfuatilii hip hop si juzi tu Lunya alikiwasha na Young Killer na mwanzoni mwa mwaka Rapcha alikiwasha na Dizasta Vina........ Hip hop Bongo haijawahi ku slow down

    • @SuzanMoshi-m1s
      @SuzanMoshi-m1s Рік тому

      @@BigZhumbe sawa omollo wacha nimalize kunyonyesha nije nikuoneshe unafikii wetu vzur😒

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Рік тому

      @@SuzanMoshi-m1s Nami ninyonyeshe, na niruhusu kuchagua ninyonye wapi 🤣🤣🤣🤣

    • @SuzanMoshi-m1s
      @SuzanMoshi-m1s Рік тому

      @@BigZhumbe 😂😂😂😂😂muone

    • @LNako-nk1kx
      @LNako-nk1kx Рік тому

      Hawamjui gnako vizuri😊

  • @princemusa7167
    @princemusa7167 Рік тому +2

    Mmmmh mko na uhakika ni kutubu,,huyu alikua anapuliza kidonda alafu nang'ata 😂😂😂og asante kwa kuamsha hip-hop 🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Рік тому +10

    Mwamba hana baya kbs huyu aisee!
    Nmegundua anapenda sana kuona ushirikiano kat ya Kenya na Tz #Respect_OG

    • @yusufulimo5737
      @yusufulimo5737 Рік тому

      Hakuna Cha ushirikiano huyu alipima kajikuta amwyakanyaga😂😂 tz sio niger

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows Рік тому +12

    Legend og Respec no hate East Africa 🌍

  • @allyzegele1373
    @allyzegele1373 Рік тому +7

    Bado, MAMA OMOLLO (video official) mtaani. Na YOU TUBE inashika namba. Habari ndiyo hiyo .

  • @ibradx3029
    @ibradx3029 Рік тому

    King of hip hop minakukubali sana wabongo hawapend kuambiwa ukweli huku kaka john had wagumu wamelainika wanaididimiz bong flava

  • @EastOneDiamante
    @EastOneDiamante Рік тому +1

    Safi Sana bro OG umewafumbua Macho wakubali wakatae

  • @MohamediNgoto
    @MohamediNgoto Рік тому +3

    Yaaanii bado ujasema utasematu🤜🏾🤜🏾🤜🏾💪💪💪

  • @starlordgaga5472
    @starlordgaga5472 Рік тому

    Msodoki katisha💥💥💥Khaligraph kakimbia battle alie ianza

  • @ramadhanidyamwale4302
    @ramadhanidyamwale4302 Рік тому +2

    NIMEJIFUNZA KUTOKA KWA KARIGRAPH JONES🇰🇪
    Kuna Utofauti kati ya Challenge na Bifu.
    Pia Utofauti kati ya Diss na Matusi
    Rappers wetu wa tz🇹🇿 hapo wameshindwa kung'amua.
    Thanks,the OG.

  • @N.Ricky_Glm
    @N.Ricky_Glm Рік тому +3

    Angalau rappers wa Bongo waliamka ju Amapiano ilikuwa ime take over mbaya saaana

  • @allthings1302
    @allthings1302 Рік тому +7

    Personally, I respect the OG.

  • @mathewsarah8348
    @mathewsarah8348 Рік тому +1

    OG Chill tumalizane nao kwanza 😂😂😂😂uta apologise next month banaaaa

  • @stephenontomwa6115
    @stephenontomwa6115 Рік тому +15

    Being a Kenyan is very expensive 😂Khaliiiii🎉...to continue being Kenyan press 1

  • @goddyffmarsacha259
    @goddyffmarsacha259 Рік тому +14

    OG must and will be respected

    • @farlykunga8599
      @farlykunga8599 Рік тому +1

      Kam yeye Hajieshimu ..mburula uyo hawez heshimiwa...?!!Mwambie nchi aliyoichokoza hii ni nyingine kabisa haipo dunian,,atapotea kweny game soon!!

    • @mossesdazlar1951
      @mossesdazlar1951 Рік тому

      Labda na wakenya sio sisi wa TZ

    • @IslamKazungu
      @IslamKazungu Рік тому

      yaaah og ndo bab wa rapper nan anaoingan nae

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 Рік тому

    HE IS DOING GREAT...BUT HE DISRESPECTS OTHERZ.....#MIMI NAKUKUBALI SANA...ILA WEKA HESHIMA BRO...NA KAMA UKO NA ROHO SAFI ..KWA NINI WEWE UMEWAPONDA SAAANA JAMAA FULANI... HALAFU NDIO UNAWEKA VITU SAWA...,,,,🤣🤣🤣🤣...UKO VIZURI BRO...LINDA BRANDY YAKO KWA HESHIMA NA SIYO KUANZA KIKI ZA KIAINA....🤣..anyway ..#BIG UP BRO...#BLESSINGS

  • @hamisiddyhamisiddy
    @hamisiddyhamisiddy Рік тому +2

    Unyamwezi sana babu umetisha kuwa mpole

  • @kadala06
    @kadala06 Рік тому +4

    Na tunamsubili Akija Tanzania tunamtupia Makopoo ya maji…..

    • @JanetJohnson-gj1bv
      @JanetJohnson-gj1bv Рік тому

      Kabisaa ameharibu huyo hana adabu amewazarau sana wasanii wa Tanzania alafu anajirud kwa lipi wakati kaharibu watanzania amken n nyie muache kuzarauliwa❤

    • @ngwenoh.e9725
      @ngwenoh.e9725 Рік тому

      ​@@JanetJohnson-gj1bvI don't think ali disrespect mtu yeyote, the truth is what he said, furthermore, Kenya supports Tanzanian music, do you guys support Kenyan music?
      Your guess is as good as mine.. tupendaneni kama mandugu..

  • @abuurayaan4740
    @abuurayaan4740 Рік тому +1

    Tz Mchezo Hautaki Hasira....... Hip Hop Ni Message Na Hili Jama Hakueza Kutuma Message Kwa Wasani Wote Tz Ila Kutumia Hip Hop Aliwafkishia Message Yenu Kupitia Message Moja Tu Kwa Watu 100 Huyu Jamaa Anajua

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 Рік тому +3

    Mm ni MTANZANIA lkn tunakukubari saaaana Watanzaniaaaaaa

  • @Ianotech
    @Ianotech Рік тому +1

    OG MUST BE BE RESPECTED, wisdom detected

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 Рік тому +4

    Sio kutubu kwamaana yeye mlimuelewa vibaya sio kudiss anataka mziki wa hiphop utiliwe mkazo apa East africa asie na akili timamu ndio ataelewa makosa

  • @abdallahbinkas1059
    @abdallahbinkas1059 Рік тому +14

    Respect the OG 💥💥✊

  • @mloleclassic-254
    @mloleclassic-254 Рік тому

    Anawataniaaaa na kiswahili

  • @maufijose2294
    @maufijose2294 Рік тому +2

    Dadeeek! Fundisho Kwa Wengine!🚶🚶

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 Рік тому +3

    Khali ni OG so respect the OG

  • @_duzzle
    @_duzzle Рік тому +3

    Wasio na akili watathani Tusi lenye sauti ya chini ni Toba

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u Рік тому +2

    Shida Sio Distrack yake..shida ni maneno aliyosema kwenye interview aliyofanya Mara ya kwanza.. kabla ya yote haya… kwanza hiyo Bongo Flava song Sio distrack.

    • @allandavid752
      @allandavid752 Рік тому

      Aisee kama vile umekua kwenye akili yangu...shida ni interview yake aliponda sana

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Рік тому +1

    Nakubali papaaa

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 Рік тому +3

    Wapi already Ngoma inatrend Nani uko mwenye diss track ameingia trending na viewers zaidi ya bongo favour.......

  • @bowattanga
    @bowattanga Рік тому +1

    OG amewaamsha wasanii wa TZ

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Рік тому +2

    Khali ni kuma2 kama anaipenda bongo aje. Atoke kwa wabaguzi.

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 Рік тому +3

    Hapo umeeleweka bwamdgo... karibu🇹🇿🥂✌️

  • @BennRich
    @BennRich Рік тому +4

    Mim wa kwanza naomba mauwa yangu❤❤

  • @Jeff-ql5xm
    @Jeff-ql5xm Рік тому

    Wapi namba nane

  • @DdySancho
    @DdySancho Рік тому +4

    Japo katubu ila atumuwez atuna rapper waku batto nae mamamawe😂😂

  • @adamginwey9519
    @adamginwey9519 Рік тому

    Baadoooo hujasema....hapo badooo na utasemaaa😂😂😂

  • @ramadhanihussein-l4i
    @ramadhanihussein-l4i Рік тому +3

    Respect OG

  • @rajabusembe8697
    @rajabusembe8697 Рік тому +1

    Ona sasa ametubu😅😅😅😅😅😅

  • @allyjuma2574
    @allyjuma2574 Рік тому +1

    Alafu nimegundua kuwa OMOLLO anakipaji pia cha Comedy 😂😂

  • @Sarah_product25
    @Sarah_product25 Рік тому

    Hawezi tudanganya na matunda khaligraph ni nngombee

  • @timotheokiss4870
    @timotheokiss4870 Рік тому

    Uyu akienda atatusi sana nawambia ukwer

  • @MohamedAfdhal-xq3jh
    @MohamedAfdhal-xq3jh Рік тому +1

    Shida sio dis trak shida maneno yake ktk interview tutamuonyesha huyo jamaa apige goti ktk ubaloz wa tz

  • @christophermanyaku1390
    @christophermanyaku1390 Рік тому +6

    Jamaa hajatukana Ila marapa wetu ndo wanaimba matusi ukweli amewaamsha hata rosaree distract yake kwa muda mfupi imetazamwa na watu wengi kuliko wimbo wake wowote tangu ameanza mziki

  • @Boytz
    @Boytz Рік тому

    Nimekuelewa bro

  • @yellowman358
    @yellowman358 Рік тому

    Nyie mna bangi

  • @YuleBoi_Ommy
    @YuleBoi_Ommy Рік тому

    Atutakii amani aisee

  • @troycemedia
    @troycemedia Рік тому +4

    Mama omollo video already out hatari

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +1

    Bora ulivyojihami, by the way number 1 hapa, like zangu please 😂😂😂

  • @benjaminkiberenge2020
    @benjaminkiberenge2020 Рік тому

    kwan anakaaa mombasa😂 au n mpemba😂

  • @Jostany
    @Jostany Рік тому +1

    BADO HAUJASEMA

  • @michaelmbwanna1197
    @michaelmbwanna1197 Рік тому

    The og uwakika nilijua2 lengo lako😂😂 ila angalia wa bongo nao ni wabaya mbaya😂😂

  • @MohamedAfdhal-xq3jh
    @MohamedAfdhal-xq3jh Рік тому +1

    Ukiona mtu anakudis kuna kitu umemzidi na yeye kakitafuta kwa mda hakipati,,,,jamaa kasanda ila pia hii itakua kama chuki flan ya kimziki ushindani utaanzia hapaa na meli ya hip hop itainua nanga speed itarud zaid ya miaka ya 2000

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 Рік тому

      Hujui hip hop kojoa ulale na huyo ni og hakuna mtu yeyote wa hip hop yuwamuweza

    • @jrsaid4270
      @jrsaid4270 Рік тому

      ​@@yasminoluoch169comment yako inaonyesha tu kuwa ww ni mkenya,Huyo ndugu yenu hawezi trend bila watz

  • @LusenoNgalia-bf6wu
    @LusenoNgalia-bf6wu Рік тому

    Mama omolo ni mkali

  • @scolakawea2230
    @scolakawea2230 Рік тому

    Bado hajasema, na mpaka Aseme😂

  • @blackeagle4441
    @blackeagle4441 Рік тому

    😂😂😆uyu jomba #roza kamkomesha #mama_omolo

  • @georgemullenga7321
    @georgemullenga7321 Рік тому +1

    Amekitafuta mweyewe wacha akipate.. Ngoma za Tz njooni.. lbda @mwanafa (MWANA FA) awatulize

  • @mabikitymz1
    @mabikitymz1 Рік тому

    Tz hana shabiki amini siku aje kupiga show

  • @tintin0019
    @tintin0019 Рік тому +1

    NANI KASEMA KATUBU WAMEINGIA KWENYE MTEGO WAKE

  • @zondomartine
    @zondomartine Рік тому

    Sijaona Kama amenyoosha mkono Naona anakula matunda

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt Рік тому +1

    Wakenya hawana umoja wakenya wanayo roho mbaya sana,hatutaki mazoea na Kenya wala wakenya 😈😈😈

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony Рік тому

    Kaongea ukwel bongo utz wao nowadays lazma matus why

  • @goddyffmarsacha259
    @goddyffmarsacha259 Рік тому +1

    Respect the OG

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 Рік тому

    Hapo bado hujasema na utasema yani lazima useme

  • @kelvindendya3781
    @kelvindendya3781 Рік тому

    Bdo hajasema na atasema yan hpo bdo mpaka aseme mbwe hyo

  • @dizafricana
    @dizafricana Рік тому +1

    DIZ AFRICANA - BABA OMOLLO (KHALIGRAPH JONES DISS)
    ua-cam.com/video/ynw0mQ5J8ng/v-deo.html

  • @AyoyiIan
    @AyoyiIan Рік тому +1

    Hio amewatusi😂 if u don't Gerrit foger abarrit😂💔💔

  • @nolexkanyittahsuit
    @nolexkanyittahsuit Рік тому +1

    Kumbe kiswahili anakijua vizur😂😂😂

  • @agostineminde6025
    @agostineminde6025 Рік тому

    You kneel down

  • @Ebendentalclinic
    @Ebendentalclinic Рік тому

    yaaani mpaka asemeee,hapo badoo🤣🤣

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 Рік тому +1

    Wengi awajajua uyu jamaa amemaanisha nini 🤣🤣🤣

  • @Eizyme
    @Eizyme Рік тому

    bado hujaomba msamaha , bado hujasema, bado hujui kuomba msamaha,

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 Рік тому +2

    Wote hao ni 🐕 kikubwa nikwsma kahligraph anatisha na ni jeshi la mtu mmoja hawa wana hip hop wakibongo walikuwa wamelala sana

  • @AbiwaqssHamzah
    @AbiwaqssHamzah Рік тому

    Kiswahili nusu kimkape bahati yake anakula water meleni😅😅😅😅

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 Рік тому

    Yani bongo ukiyakanyagaaaaaa tunapitaaa na ww Bado hujasema 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hassanswaleh8720
      @hassanswaleh8720 Рік тому

      Mtasubiri sana alafu kaeni mkao wa kula kuna mawe mawili yana kuja moja linaitwa wasted future hiyo ni special kwa montra the future na nyengine inaitwa rozali 😂😂😂😂

  • @sirryhmes5277
    @sirryhmes5277 Рік тому +1

    Wota meleee😂😂😂😂

  • @MshuaMshuamwinyi-zv2xs
    @MshuaMshuamwinyi-zv2xs Рік тому

    Kwishaaa😂😂

  • @juniorjulius9039
    @juniorjulius9039 Рік тому

    Ndo ajue kuwa kumdic mbongo ni kuyakanyaga, utashambuliwa mpaka na mtoto kudadadekii!!
    Asirudie tena kutujaribu, na hakuna wa kumuelewa hapa mpaka aombe radhi na kuahid kutokurudia upuuzi wake!!

  • @kingriggy5744
    @kingriggy5744 Рік тому

    Change ur thumbnail,,,Millard u have stooped too low,,,OG is OG

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 Рік тому

    Wakenya ni wapumbavu sana hufu fala hajawahi sikika bila promo za Watanzania , sasa hivi tutampoteza fala huyu

  • @livewire_podcast
    @livewire_podcast Рік тому +2

    You now can't say u dont know him 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Fankeyyy
    @Fankeyyy Рік тому

    😅😅😅

  • @chidi_don
    @chidi_don Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +5

    Umefany vizur sana kutubu mapema maana hata mim nilikuw studio naingiza vocal ila sema nimegairi kwakuw umekiri la sivyo tungekumiminia mabomu kama mvua 🤣🤣

  • @ashiselosharon6104
    @ashiselosharon6104 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂OG NAKUPENDA BURE

  • @nakali79
    @nakali79 Рік тому

    Hajatubu jamaa ni "msemakweli" ukweli wanahiphop tz wakilegea kwani uongo?

  • @Dimovanny-r4h
    @Dimovanny-r4h Рік тому

    Siamemwaga mboga ss tunamwaga ugari yanimpaaka useeme

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h Рік тому

    Kuna mtu wa kuitwa Rosa Ree ...chafu kabisa roho mbaya kakichafua kenya nzima ana nuka yeye😂

    • @hassanswaleh8720
      @hassanswaleh8720 Рік тому

      Kenya gani hiyo kama si OG mungewaskia hao marapa wenu wenye pumzi za soda😂😂😂

    • @salimbwanashee-cn7fv
      @salimbwanashee-cn7fv Рік тому

      Rosa n Poko tuh Kenya tushmla 😅😅😅😅

  • @KingTega-d3k
    @KingTega-d3k Рік тому

    vp wewe si uongee luga ya kwenu

  • @davidrulobhavako8551
    @davidrulobhavako8551 Рік тому

    Siku nyingine fikilia kabla yakutoa sheet

  • @ahmedrashid463
    @ahmedrashid463 Рік тому

    😂😂😂😂hii bdo nidiss bdo😂😂😂

  • @justinechandi
    @justinechandi Рік тому

    Unaita sarcasm kutubu??😂
    You're not serious

  • @nancyneema3017
    @nancyneema3017 Рік тому

    😂😂😅😅😅

  • @nicholausmbilinyi3587
    @nicholausmbilinyi3587 Рік тому

    Sasa ndio kiswahili kizuri hcho?hahaha..

  • @Nezzyg
    @Nezzyg Рік тому

    😂😂😂😂😂