Eeh eeh eeh jamani kk watisha eeeee hubahatishi kila ikitoka moto n ukiachia unaachia moto uko juu surely inshaallah mola atafikisha mahali pale unataka ua the best 👌 👍 😍 🎉🎉🎉🎉
Naipenda sana kazi hii make Huwa inaniburudisha ila kasoro ipo, nyau kuongea vile hapo amepotea mwambie aongee kawaida kama ilivokuwa katika series ya gizan alikuwa ananogesha na sio sasa
Huyuu jasmini fala sana anamkubari jamaa alishamla dadaake anamuacha mwamba.. 😢😢 amenikera sanaa naomba mungu mama akija deal ibumee tuu tukose wote maninaa😅😅😅
Mashallah nimeipenda hio🎉🎉🎉🎉lkn chunvi mim nkuomba 2 hio kofia isiende popote chunvi plz😢😢😢😢😢😢🎉🎉nipeni liles zngu hapa km filamu ya leo waikubali❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mambo
@@tombombo267 poa
Kiruuuuuuuuuuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimependa ❤ulivo mshtuwa shem wako kwa binami yako respect 😂😂
Hili gang la chuvinyingi ni hatari sana 🔥
Nimekua wa 238 naombeni like kama zote❤ love chumvi gang
Kawia ufike❤ nipo hapa wadau wa chumvinyingi Gang🎉 mko poa💪
Lete mzigo chumvi tupo kwaajili Yako ❤❤
nikikosaga hii kitu Sina furaha kabsa❤❤❤Asanteni sana
@@SabraOman-e8t kwa sote jmniii chumvi unakonga nyoyo zetu❤️❤️
Anta mimi
Wana nzengo wa chumvinyingi gang naomben hata likes 10
Yaan sijalala nilikuwa nausubil love so much chumvi nying❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakukubali chumv dem uyo kja mwenyew ❤❤❤❤kofia inakuletea madem usiitowe kofia iyo
Jameniii chendu yuko wap tangu ameenda kufukua mait mpk sasa😀😀😀
Daah nlkua naanz kusinzia nlvosikia notification umeish wote tayal kuungan na my gang✊💯💯💯💯💯💥💥💥💥💥💥💥
Kazi nzurii team chumvi nyingi Gang
😂😂😂😂😂 mwakwanza leo nimewahi jaman naombeni like zang jmn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂🎉😢
Vp
@@tombombo267 saf
Jana nimeisubir sanaaa mpka nikaamua kulala tu jaman chumv nying gang nawapenda sanaa✌️❤️
Hiiii ni hatal na nusu kaka umetixh sanaaaaa❤ unaijua let's go walet baba
Chumvi nyingi gang ni balaaa lik nyingi kwao❤️❤️
Nmetegea apa next balaa❤❤❤😊😊😊Asante chumvi kwa kuteka akili zetu😅
Mambo? Dad
Eeh eeh eeh jamani kk watisha eeeee hubahatishi kila ikitoka moto n ukiachia unaachia moto uko juu surely inshaallah mola atafikisha mahali pale unataka ua the best 👌 👍 😍 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri vip kuusu episode nyinge lini mnatoa
Chumvi safali hii ume mkosea sana ustazi jamn hii sene haija mpendeza hata kidogo
Unapmbana sana brother mungu azid kukupa ngv
Chumviii bwana toa kila siku mbili mbilii ❤❤❤❤❤❤ jamani
Wakwanza kama unamkubali chumvi nying nipewe like zangu❤
Nakwanini uwa munapiganiya like inafaida gan kwako
Ikabidi asafiri kuelekea kwamwenyekiti nailikuwa malayake ya kwanza kuvua kofia😂😂😂😂😂😂 ila chagama umetisha sana ilafu nimeipenda iyo 💪🤝
Mc wewe unatisha 😂
Mc😀😀😀😀😀
oya chumvi nyingi muwe mnatoa adi jumapil mnatupa shid sisi mashabiki
Wakwaza kabsa leo naomba like jamani sijawai kuomba❤❤❤❤
Kaz nzur nmeipenda sna ❤❤❤
❤❤chumv nying fundiiiiii
Chumvi nyingi gang kazi nzuri ... Respect kwa wote mnaoshiriki hii season mnaupiga mwingi...
Naipenda sana kazi hii make Huwa inaniburudisha ila kasoro ipo, nyau kuongea vile hapo amepotea mwambie aongee kawaida kama ilivokuwa katika series ya gizan alikuwa ananogesha na sio sasa
Lesgooooo❤❤❤❤ from Kenya 🤣🤣🔥
Nimewahi😂 kaz nzur❤❤❤
Chunvi umetisha sana😂😂
Lete Mizigoo chumvi nyingi 💪🏿🫡tupo pamoja
Chumviii nyingi Les gooooo
😂😂😂😂kzi unayo chumvi naona msaada utakushinda kwachendu❤❤
Hahahaha😂😂 kaja dem wake mfungo wa pipi 😂😂😂
Chumvi nyingi unatutesa tumeni ata vitatu vitatu kak
Leo wa kwanzaaaa hatal❤❤
Chumvi kama nakuona vile dawa imefungwa kiunoni iyo kwako ni rahisi tu kufunguwa 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 chagama unachekeshaa sanaa na hichoo kihindii chakoo
Chuvinying gang muko juu kipaji mkona cho heteni Mambo mazuri zaidi
Ahahhahaa inamaana Chumvi wakati unamzagamua huyo Dada haukuona Kama amefungwa Dawa Kiunoni au uliona kavaa Shanga
Nimetamani kumuona chendu mm jamen Ila nawapenda nyote sina ubaguzi mmmmmhh 😂😂😂 much love chunvyinyingi 😅😊😊
Mambo
@@tombombo267 Poa sana
Unyama mwingi 🎉🎉
Duuu nitamu mbaka inakela ❤❤❤
Daah😂 uyo mwindi m'bongo anajua kuigiza😂😂😂
Sana😀😀😀😀
Chumvi akicheza na mambwende huwa ma enjoy sana
Wa kwnza leo❤❤❤❤❤
Mambo
Chuvi una kazi bado daa pia ana dawa kiunoni kazi unayo chuvi❤❤
Daaa tam kinyama
Alooh nakubali sanaa ♥️🔥
Chumvi upo vzri sn ntmni huuu mchezo usiishe ety
Tunaipandisha Tena 💪🤝🤝🤝🤝
Mwenzang kaenda kuwafukua nyie
Ety rafiki yangu ameenda wafukua nyiier😂😂😂😂chunvi bwanaa😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
@@hadejamohammadi9824 umeonaee🤣🤣🤣🤣
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Chuvi mutafute mabwende bac munapendezanaga sana
Pamojw san ❤
Kaka kazi nzur sana kaka
No 1 only
Wa kwanza leo like zangu
Wakwanza naomben like zangu
Dah tatz unachelewa sana kutupa mwendelezo
😂😂😂😂nijichekeshechekeahe kama nimetqfuna tunda za bangi 😂😂😂
❤❤❤ chumvi
Dawa kiunoni😂mbn mnampa mitihan chendu😂😂😂😂
Wakwanza kutoka kenya 🇰🇪
Wa kwanza mie
❤❤❤❤ unabamba saana
Wa Kwanzaa ❤
MashaAllah movie poa ❤❤ nasubiria 23
Super vidéo
😂😂😂😂watu mwajua kurauka kwel 9mnts comnt 53 hongeren San mashabik wenzangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tuko live mzeee
Kwanza mim nipo kwa ajili yko😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Chumvi jitahidi basi hata tatu kwa siku maana jinsi unavyoendelea kuachia vipande ndio uhondo unazidi jitahidi basi.
Dj huyu jamaa anakesi mbili ya kubaka na kesi ya maliasili
Nice 👍nilikwambia utazagamua mifungo ya pipi 🤣asa umezagamua mfu 😂🤣😂🤣 . Nice 👏👏
Bro chumvi mpunguze chagama hajui
Jamani Dokta Ofishoo tunamuhitaji wakuuu
Huyuu jasmini fala sana anamkubari jamaa alishamla dadaake anamuacha mwamba.. 😢😢 amenikera sanaa naomba mungu mama akija deal ibumee tuu tukose wote maninaa😅😅😅
😂😂😂😂😂mm namini huyu jasmine ni yule bibi ya huyu jamaa sidhani kama alikufa
@@rosey4551 😂😂😂story inasema alikufaa sasa
Lkn akuna jambo lolote baya si ata ndugu waeza Olew na bwana mmoja na kusitokee tatizo lolote
@@mnyakitz2007 badae tutamuona alirudi kijijini🤣🤣🤣🤣
Sikufanyi lezi gooo😂😂😂😂
Weka kila siku chumvi
Chunvi unazagamuwa maiti mpka kapagawa zagamuwa wote mpka shem yko kwa chendu akija vibaya😂😂😂
Domo zege chumvi nyingi
Chumvinyingi gang mambo n 🔥🔥🔥🔥
Khaaa nyie hamlali
Wa kwanza naombeni like zangu😂😂😂😂😂
Staling wa mchezo mchezo mzuri sn ila unachelwa kupost etu , mm nachelewa kull kwa ajili y huu mchezo ujue
First
❤❤❤ good job
Chumv anajuaa💥💥💥✌
Wa kwanza mm leo
Chumvi we hatari 🎉🎉🎉🎉🎉
Ukweli nafutilia hii mov nzuri sana ila uyo kaka ake nuru sipendi anavyoigiza kama mtu anaye jifunza so ajibadirishe amza kanuni wa nn sasa
Uyo jama anaye lialia ananikela mimi 😢😢
Mmeuwaaaaaaaaaa
Uhakika kaka
I love this 💕💕from🇰🇪
Iddy
Jitahi uhogez md et babu
Wakwanza mimi hapa naomba like zangu