Mimi najiuliza,Pamba walinyimwa goli gani? Au ni lile lililofungwa baada ya filimbi kupigwa? Leo wachambuzi mnatetea goli lililofungwa baada ya refa kusimamisha mchezo? Hili nalo ni la kusemwa na mchambuzi anayejielewa? Mchambuzi ona aibu kidogo.
Haijalishi ni faulo sahihi au siyo sahihi filimbi ikipigwa unatakiwa kuacha kucheza .ukisema refa kawanyima goli pamba maana yake kawanyima goli kabla halijafungwa.Ishu pale sio goli,ni île faulo ndio sio sahihi .Acheni kutetea goli ambalo limefungwa wakati ambao ni batili.
Ww mtanazaji ungelianza kumuuliza nazilepenent zakayoko gòlilabaleke liwachekwanza kamuulize namkeo
Huyu kuku anaongea nini pamba wameonewe wapi ? Mtanda ni yanga mwezako simba tukishida mech roho zenu zinawauma wewe ke endelèa kumsikiliza huyo mtanda wako sijui ndio mmeo mana kule zanzibar umeachika kubwa jinga wewe
😂😂😂 wew furah tu wakionewa wengne unacheka IPO siku na nyie mtafanyiwa ivo
@@FiniasBugobola subiri soon utawasikia wanataka kuhama ligi wawe kama Al Hilal ya Sudan
Hujuwi kama ni chawa wa yanga 😅😅😅😅
Hawacherewi kutaka kuhama ligi na kuwaita wazee
Mimi najiuliza,Pamba walinyimwa goli gani? Au ni lile lililofungwa baada ya filimbi kupigwa? Leo wachambuzi mnatetea goli lililofungwa baada ya refa kusimamisha mchezo? Hili nalo ni la kusemwa na mchambuzi anayejielewa? Mchambuzi ona aibu kidogo.
Filimbi ya faulo gani? Kwa nini alipiga filimbi wakati hapakuwa na faulo?