SHEIKH MWAIPOPO _CHANZO CHA KUSAMBAA UKIRISTO DUNIANI part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @ismailabdallah6056
    @ismailabdallah6056 3 роки тому +1

    Allah akuhifadhi ustadhi.

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 роки тому

    Mashallah Shekh. Isipokua kitu kimoja, usipende kuwataja warabu na kuwalaumu. Dini ni jukumu la waislam wote. Hapo utaleta fitna ya ukabila. Hio ni fitna kubwa sana Shekh. Tafadhali Shekh

  • @allyrashidi3643
    @allyrashidi3643 3 роки тому +1

    Tunashukur san sheikh Mwaipopo na Allaah akujaalie inshaallaah

  • @domansalim9111
    @domansalim9111 3 роки тому +1

    Masha Allah .

  • @alexmpuge3612
    @alexmpuge3612 3 роки тому +2

    Wakati muhammad anaowa ukristo ulishakuepo tayali ulikuepo

  • @tafsiriyaqurantukufukwakis966
    @tafsiriyaqurantukufukwakis966 3 роки тому

    Asalam alaikum, Shukran kwa darsa, lakini mbona clip hii imekatwa? It is not a complete clip!

  • @bmswahilionline9618
    @bmswahilionline9618 4 роки тому +2

    ASANTE SHEH KWA KUTUELIMISHA

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 3 роки тому

    POLE SANA NDUGU IMANI YAKO IMEKUWA HABA KIASI KWAMBA HATA HUO UPANDE ULIOKIMBILIA BADO UMEKUWAMNAFIKI KIASI CHA KUTOSHA IMANI YAKO HAPA PAMBANA NA NAFSI YAKO WEWE MTU WAFITNA

  • @huseinfunga2824
    @huseinfunga2824 3 роки тому

    Baarakallahu fiyka akhi

    • @alexmpuge3612
      @alexmpuge3612 3 роки тому +1

      Kwann waisilamu munapenda kutoa elimu ya mungu kwanjia ya uwongo.unasema mtume muhammad.wakati anafunga ndoa ukristo aujakuepo!!!wewe aujaujuwa ukristo kamwe.aujui yesu aliubili wakatigani!!!.mitume 12 waniubili wakati gani!!! makanisa yakwanza yalifunguliwa wapinawapi.na muhammadi alizaliwa wakatigani.baada ya YESU kupaa.wewe umaujua uromani cathorik ndomana unasema ukristo ulianzi vatkani italia.lakini aujaujua ukristo

    • @wanyooshetv9987
      @wanyooshetv9987 3 роки тому

      @@alexmpuge3612 kwani yesu aliingia kanisa lipi?

    • @alexmpuge3612
      @alexmpuge3612 3 роки тому

      @@wanyooshetv9987 YESU NDO MUASISI NDO MWANZILISHI WAKANISA

    • @alexmpuge3612
      @alexmpuge3612 3 роки тому

      @@wanyooshetv9987 sona matayo 16:18

    • @wanyooshetv9987
      @wanyooshetv9987 3 роки тому

      @@alexmpuge3612 Nukuu tusome tuone hilo kanisa aliloingia😁

  • @eddadaniel9355
    @eddadaniel9355 3 роки тому

    Wasabato wametoka wapi?

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 роки тому

    Hujui kitu wewe nikama sauri subiri malaika wayesu wakushughulikie. Utamjua yesu nakumuhubiri. Huko umepelekwa darasani utambue uisram ulivyo ukishamaliza mwaipopo nikutangaza yesu Kila mahari

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 3 роки тому

      Sasa twambie ukweli unao ujuwa kama huna hona kaa kimya ujifunze Usishabikie Ukristo pasi na kujuwa ukweli.
      Waktisto someni/fanyeni utafiti wa kina msirithishane kukarishana uwongo.

  • @mariapetro8825
    @mariapetro8825 3 роки тому +1

    Wivu unakusumbua kwa wingi wa dini yetu pambania nafisi yako

  • @barnabasmajige8473
    @barnabasmajige8473 3 роки тому

    Hauna akili hubiri kuhusu hiyo dini yako ya majini na mapepo sio kila Mara Ukirsto.

  • @missmrs829
    @missmrs829 3 роки тому

    Wewe mwaipopo unamatatizo ya akili unatakiwa ukapimwe kabisa kwani pambana kuwabadilisha watu waache madhambi siyo kutengeneza chuki ya kidin, ndiyo yesu ni mungu kama unaitaji nitafute nikufundisho kwa umakin

  • @edsonndomba1049
    @edsonndomba1049 3 роки тому +1

    Hunashida wewe, adui ya dini yako ya sasa ni Ukristo au shetani? Sisi wa Kristo tunahubiri aduiyetu ni shetani na majini yote

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому

      Yaani hata huwa sikuelewi sasa Bora azungimzie Mambo ya dini yake imekuwa kero sasa kila akianza kuongea anawasema wakristo Yaani huko kanisani huwezi.sikia wanawazungumzia waislam hata siku Moja Bora afate ya dini yake imekuwa kero Sana

    • @kwitashakohoye6450
      @kwitashakohoye6450 3 роки тому

      Acha unafikh shekh

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 роки тому

      Usipo usema ukristo huwezi kuwa marufu Wala kupata kuonekana mti mwema ndio hupigwa mawe hivyo unajuwa kweli ipo wapi hivyo wewe na lusifer mnahangaika kuiangusha mji wa daudi na hautaweza zaidi unajisumbua dini hatubadili Kama wewe mfata upepo