Tumetuzwa nishani ya UN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024
  • #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
    Walinda amani wa kikosi cha 11 cha Tanzania -TANZBATT-11 kinachohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO jimboni Kivu Kaskazini wametunukiwa nishani ya umoja wa mataifa ikiwa ni alama ya kufanya kazi kwa utii,uhodari na uaminifu. Tupate taarifa zaidi kutoka Kivu Kaskazini kwake Kapteni Fadhilah Nayopa, Afisa Habari wa kikosi hicho.

КОМЕНТАРІ • 13

  • @noelkabaila3284
    @noelkabaila3284 4 дні тому

    Wakumwitagaa Mpwangu aka Familiaa Melimelii Bigup sanaa

  • @allyfarahani3029
    @allyfarahani3029 2 дні тому

    Big up.

  • @saidndimbo2738
    @saidndimbo2738 6 днів тому

    God bless Tanzania for being of the best army in peacekeeping mission, we all witnessed the successful operation against M23 rebels in 2013. Despite operational challenges in the mission area, the Congolese population is proud of the Tanzania contigent for being a well disciplined army.

  • @lukangyela8347
    @lukangyela8347 4 дні тому

    Wanafurahia maisha tu😢 kongo watu bado wanakufa😢😢😢😢😢😢😢

  • @saidndimbo2738
    @saidndimbo2738 6 днів тому

    Tanzania, in collaboration with other forces, serves in United Nations mission in Africa, which struggles to bring peace and maintain security around areas of responsibility.

  • @RAMPA_Dee
    @RAMPA_Dee 3 дні тому

    Jeshi la Tanzania mumependeza kwa uniform sasa mbona munaogopa M23 na Red Tabara!? Mnakura chakura ya bule tu.

  • @lukangyela8347
    @lukangyela8347 4 дні тому

    Mwisho wenu utaisha UN kwa sasa ina miaka zaidi ya 20 wakikula mali ya kongo.hole wenu siasa siku zote iwa inabadilika

  • @salmaalhaji410
    @salmaalhaji410 6 днів тому

    Tunamshukuru mungu Tanzania yetu kwakupata watu waaminifu hakika tunaulinzi na watumishi hodari tunazid kuwaombea mungu awasmamie katka majukumu yenu

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 4 дні тому

    Mmmmmmh????????

  • @s.flavor38
    @s.flavor38 5 днів тому

    Ausio

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 6 днів тому

    UN ni kichaka cha RDF/M23🇷🇼🇺🇬🇰🇪 wanaotesa, kubaka, kuuwa Raia na kuiba rasilimali za DRC🇨🇩. Ni makatili kupita sana hawawezi kuishi bila kumwanga damu. Hata nyinyi mnaofurahia hizo Tuzo historia itawahukumu kama watu waliofurahia Wanawake kubakwa na kuambukizwa ukimwi, Vitoto vichanga kuuawa.

    • @MzansiDiski27
      @MzansiDiski27 3 дні тому

      Congo nchi kubwa, hicho kinchi kidogo kama Rwanda kinawashinda vipi?