@ JINSI YA KUSET AUTO SENSE KWENYE SIMU (SMARTPHONE) NI RAHISI SANA UNAWEZA kufanya hata mwenyewe
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Unaweza kufanya mwenyew bila hata usaidizi wowote.
Kemekua na malalamiko ya hapa na pale kwa watumiaji wengi wa simu . kwamba wanashindwa kuset mipangilio ya mada kwenye simu zao za Android. Fuata njia hizi na ufanye kwenye simu yako nakuhakikishia hautopoteza mb zako kwenye simu yako.
Hii Ni Joakim work Production jiunge na group letu kupitia kiungo hiki
chat.whatsapp....
Jiunge ili usipitwe na huduma hii ya kitaaluma pamoja na kiteknolojia.
Asante.
chat.whatsapp....
Hapo