Yani isha hii nyimbo alivyoirudia mama kuiimba hakuitendea haki km alivyoiimba yule mwenyewe alieimba mara ya kwanza daa mama kaikosea sana bana ukweli usemwe iliku bonge la nyimbo😢
We mwehu nn kama we wamjua mungu ukuktk mitandao ya kijamii umefata nn mbwa ww maray ulokosa utamu acha mwenzako afanye kinachomuweka Mjini wanaimba dini wanacheza itakuwa taarabu
Nyie mmerejea kwa molla wenu .. Na huo wimbo ndo uliowachoma mabwege nyinyi mnandhakhaki mama Wa watu nyooko zetu woote na mkiulizwa sababi hata haja ya msingi hamna utalisikia basi damu zetu tofaut unataka ufanane na damu umrzaliwa nae nyooo weu wakubwa nyie tena mkome
Bravo Tanzania!! Musca de Tanzania!! A fusion of Arabic melody and Bantu beats!
This is TAN-TAARAB.
Isha Mashauzi, Mzee Yusuph and Khadija Kopa are the stars of modern taarab!!
Keep Resting mama Rukia I remember the day when we were in Calypso Ukunda you were so kind
Jamani Kuna wimbo aliimba maneno yangekua mkuki yangeniua unaitwaje
Mwwnyew nautaka
maneno si mkuki
Yani isha hii nyimbo alivyoirudia mama kuiimba hakuitendea haki km alivyoiimba yule mwenyewe alieimba mara ya kwanza daa mama kaikosea sana bana ukweli usemwe iliku bonge la nyimbo😢
Dhahabu iliyopotea wallah umejua kutuuma mama pumzka kwa aman queen rukia jumaa😭😭😭
Kifo ni mawaidha Kwa walobaki
Rest in peace mummy w mine Mungu akuondolee adhabu y kabri Ameen
Mtihani
Nice mamy yake na miye
aya bi rukia
Naic mama
Pumzika kwa Aman mama etu bi Rukia juumaa mbele yako nyuma yetu 😢😢😢
Mtihani
@@sabihaibrahim143 Allah Amrehem🤗 Atupe mwisho mwema🤗🤝
@@ayshamahariq6665 Amina
@@sabihaibrahim143 🤗🤗🤗🤗🤗
nice mama mashauzi
Rip mama
anaiba vizuri
Gosto dela
R.I.P mama
Kwani kafariki dunia??
Susan Wangui suzan ndio amefariki.
RIP
Hivi anaimba Nini?
Kwani usikii anavyoimba au wajishauwa tu
Wimbo
mtu mzima hovho washindwa kurudi kwa mola ni jitigishia hovho auligani na umri wako
Ajarudi hadija kopa sembuse yeye embu muache akiamuwa atarudi kwa mola mtu anatakiwa arudi wote tunatakiwa kurudi siyo yeyey tu
Kwani vip bishost
mbele yako nyuma yetu