DHULMA NA UADUI ALIYOFANYIWA SHEIKH ABUL FADHIL KASSIM MAFUTA ALLAAH AMUHIFADHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @zaynabdilshad3183
    @zaynabdilshad3183 6 днів тому +10

    Allah atazidi kuwadhalilisha maadui wa dawa hii na fitna zao wanozieneza. Mtihani wallahi. Shukran sheikhunaa

  • @ibnughulaam9418
    @ibnughulaam9418 6 днів тому +14

    Allaah amhifadhi sheikh Abulfadhli na masheikh zetu wengine na awape umri mrefu wenye manufaa kwao na kwa umma na awalinde na shari za mahasidi
    Aamiyn

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому

      @@ibnughulaam9418 HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab
      1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu
      2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika
      3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim
      "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta
      4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano
      " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli"
      Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ?
      5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta ,
      ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San ,
      Mfano
      " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima "
      Soud of Mafuta .
      Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe
      SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 6 днів тому +18

    Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema

  • @MahamuduAbdallahmajengo
    @MahamuduAbdallahmajengo 6 днів тому +10

    Allah akuhifadhi shekh wetu binafsi nimeumia shekh wetu kufanyiwa hivo lakini allah atupe subra masalafi

  • @NurdinKhan-yahya
    @NurdinKhan-yahya 6 днів тому +11

    Sheikh abul khatwaab Allah akuhifadhi na Allah amuhifadhi sheikh wetu Abul Fadhali

  • @adammahmood6928
    @adammahmood6928 20 годин тому

    Allah amuhifadhi Shekh wetu Kassim Mafuta

  • @BastAbdallah
    @BastAbdallah 6 днів тому +4

    Mungu Wetu Mlezi Hawezi Kuwadhalilisha Wale Wenye Kumtegemea Yeye
    Mungu Wetu Mlezi Awahifadhini Na Awakinge Na Shari Za Wenye Kufanya Shari Zidi Ya Dini Yetu Tukufu
    Allahumma Aamiin 🤲

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 5 днів тому +2

    Allah akuhifadhi wewe na amhifadhi sheikh wetu Abulfadhil Qassom Mafuta

  • @nassifsuleiman9860
    @nassifsuleiman9860 6 днів тому +7

    Allah awahifadhi Masheikh zetu wa kisalafi

  • @ramadhanmulunga9643
    @ramadhanmulunga9643 6 днів тому +8

    Allah awalinde mashekhe wetu

  • @abdurahiimnamangaya9502
    @abdurahiimnamangaya9502 5 днів тому +1

    Allah awahifadhi duaati wetu na mashaaikh zetu wote...allah awape mwisho mwema

  • @KassimBakari-mw8ey
    @KassimBakari-mw8ey 5 днів тому

    Mashallah, picha ni ibada ukinitumia katika Imani , mfano nimepanda mipapai imeandika Allah na muhammad na nimeipiga picha hapa nyumbani ungindoni nyumba no 9 kigamboni dar . Mimi naitwa kassim Bakari Bindo wa pongwe Tanga

  • @muslimmassoud2673
    @muslimmassoud2673 6 днів тому +11

    Mashallah ALLAH amhifadhi sheikh Abdallah humeid

  • @MustafaBugia
    @MustafaBugia 6 днів тому +2

    Allah aihifadhi hi Da'awa na walinganizi wake allahumma aamiin

  • @AdhifaMtama
    @AdhifaMtama 6 днів тому +1

    Mungu akupe subira abul fadhir has ni mahizb mungu kakuhifadhi ao wanarusha matope angani kwahiyo wanajichafua wenyew

  • @Adnanishabani
    @Adnanishabani 2 дні тому

    Sikuzote giza litabaki kuwa giza na mwanga utabaki kuwa mwanga,ama kweli hii ni zulma Allah awaifadhi mashekhe wetu.

  • @MahadMulle
    @MahadMulle 6 днів тому +2

    Masha Allah mngu awahifadhi masheikh wetu

  • @AbuuTusturi
    @AbuuTusturi 4 дні тому

    Allah amuhifadhi sheikh wetu nasisi pia ktokana na vitimbi vya mahzib na mfanowao

  • @MohamedAlly-dq2rl
    @MohamedAlly-dq2rl 6 днів тому +5

    Shukrran saaana shehe wetu mpendwa humed

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 6 днів тому +2

    Allah akuhifadhi na maadui nawashindwe kwa jina la Allah. Tunaku0endakwaajili ya Allah.

  • @ShafiHamisrashidi
    @ShafiHamisrashidi 5 днів тому +1

    Allah awahifadhi masheikh zetu

  • @SubaRajabu
    @SubaRajabu 2 дні тому

    Allah akulipe Abdul khatwabiw

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 6 днів тому +2

    SubhnaAllaah
    Allaah akuhifadhi kwa Neema zake ya Sheikh

  • @AlhajjiShabani
    @AlhajjiShabani 2 дні тому

    الله يحفظكم ،

  • @CadaTema
    @CadaTema 6 днів тому +4

    Allah amuhifadhi sheikh kassim mafuta

  • @AbduliAshiru
    @AbduliAshiru 5 днів тому

    Allah amuifadh Shekhe kasimu mafuta na mashekhe wote wakisalafi.

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 6 днів тому +1

    BarakLLAH FIKUM SJEIKH ALLAH AWAIFADHI AMIYN

  • @iddinture5708
    @iddinture5708 6 днів тому +1

    Inshallah allah awalipe masheh wa kisalafy kwa ufafanuzi huu

  • @khamisiramadhani1691
    @khamisiramadhani1691 6 днів тому +12

    Maashaallah, Allah Akuhifadhi shekhe Abul khatwab kwa ufafanuzi wako

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому

      @@khamisiramadhani1691 HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab
      1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu
      2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika
      3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim
      "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta
      4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano
      " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli"
      Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ?
      5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta ,
      ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San ,
      Mfano
      " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima "
      Soud of Mafuta .
      Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe
      SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 6 днів тому

      Kuna mapicha yanakuja na wazimu wenu

    • @shaibamran5419
      @shaibamran5419 6 днів тому

      ​@@NassorHassan-no1cr yalete na mengine tia frem ueke kwako

    • @AmirbigirimanaBardazard
      @AmirbigirimanaBardazard 6 днів тому

      Ya kija ndio ina kuajee kwan ata kua ame fanya shirki au bidaa haya uki maliza ku edit turushien tumuone sheikh wetu ​@@NassorHassan-no1cr

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому

      @@AmirbigirimanaBardazard HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab
      1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu
      2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika
      3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim
      "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta
      4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano
      " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli"
      Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ?
      5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta ,
      ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San ,
      Mfano
      " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima "
      Soud of Mafuta .
      Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe
      SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?

  • @Abbasi-o8h
    @Abbasi-o8h 3 дні тому

    ماشاالله

  • @MandiFreshJuice
    @MandiFreshJuice 6 днів тому +1

    Barakallah Allah sheikh Allah akuifadh Havana hojo
    Mahizbi

  • @MsFadhila
    @MsFadhila 6 днів тому +1

    Allah awakhifadhi mashekhe zetu

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt 6 днів тому +12

    Halafu lile litoto Arkam ni jiongo sana linadai kwamba waliwaambia watu kitambo kuwa shekh Abulfadhli sio mkweli kwenye da'awa muda mrefu kwa sababu eti tokea 2010 alikuwa pongwe , yaani toto liongo sana wallahi
    Yule kijana alikuja pongwe kama sijakosea Ima ni 2015 au 2016 au zaidi ya hapo ,
    Kwanza hakuwa Msomaji kabisaaa ni mtu wa kulala tuu km kijana aliyelazimishwa kuja kusoma
    Pili alikuwa ni mkorofi asiyetii uongozi Kila anachoamrishwa na ni mkaidi mbishi mgomvi
    Tatu alifukuzwa pongwe kwa sababu ya tabia zake hizo mbovu , baadae tukasikia yuko markaz Omar , sijui kama pia hajatimuliwa make ni mzigo usiobebeka
    Na ndio maana ukimsikiliza kwa makini unajua kabisa ana chuki binafsi
    Hivyo basi vijana mfano wake kukosa adabu kwa wakubwa zao baada ya kupewa ushekh wa kuazima na kubandika huwa haishangazi ,na kulishangaa hilo ni kama kushangaa mende kutoka chooni hali ya kuwa ndo nyumbani kwao
    والله المستعان

    • @MuhammedHassani-zc9ou
      @MuhammedHassani-zc9ou 6 днів тому

      Doh

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 6 днів тому

      Kweli kassim sio mkweli mbona ilo jambo watu wanafaham

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 днів тому

      @@NassorHassan-no1crmkweli ni nani

    • @NuhManje
      @NuhManje 6 днів тому

      ​@@NassorHassan-no1crkatika uongo wake ni upi?
      Nikupe faida, ktk alama ya kumjua mtu mkweli ktk dini yake ni kupendwa na watu wema watu wa kheri. Pia kukubalika na watu wema na Watu wa kheri. Na hili jambo hulijaalia Allah mwenyewe kama alivyosema ktk suurat maryam
      { إِنَّ ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّـٰلِحَـٰتِ سَیَجۡعَلُ لَهُمُ ٱلرَّحۡمَـٰنُ وُدࣰّا }
      [Surah Maryam: 96]
      Nenda kasome tafsiri ya Imam Ibn kathiir ktk aya hii utapata faida kijana. Kwa hiyo punguza chuki,kusudia kher, ondosha vifundo kwa ajili ya Allah.
      Huyu Sheikh Abul fadhl kassim mafuta Allah ndie aliemnyanyua na huwezi kumshusha wewe kwa chuki zako na vijineno vyako.
      Baarakallaahu fiyka

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 6 днів тому

      @NuhManje hoja iyo iyoa hana kassim mafuta tu pek yake wanayo watu wengi akiwemo Abuu muawiya

  • @SalimHaji-y6k
    @SalimHaji-y6k 5 днів тому

    Allah akulinde shekh wetu Abul Fadhwil...

  • @ramadhaninuhumnzava8912
    @ramadhaninuhumnzava8912 6 днів тому +3

    Allaah awahifadhi Masheikh na walimu wetu wote na Manhaj Salaf Swaleh wasitetereshwe na watu wa bida'a

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому

      @@ramadhaninuhumnzava8912 HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab
      1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu
      2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika
      3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim
      "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta
      4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano
      " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli"
      Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ?
      5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta ,
      ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San ,
      Mfano
      " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima "
      Soud of Mafuta .
      Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe
      SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 6 днів тому +2

      ​@@AbAlhuraas Tutolee upumbavu wako hapa!
      Aliyekwambia kuwa passport lazima isiwe upande ni nani?! Kwan ukiipiga upande haikubaliki?! Sasa kama camera man ndo kaipiga hivo je?!
      Halafu kama kweli Abul Fadhwil kajipiga mwenyewe, mumezipataje hizo picha?! Mana mnasema kuwa Abul Fadhwil ndo kazisambaza mwenyewe, WARONGO WAKUBWA NYIE WAHUNI KABSA! 😢😢😢

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому +2

      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x kwaiyo Kuanzia Leo Passport Size inapigwa Upande upnde ,au uwo mfumo ndio umeanza kwa Kasim Mafuta 😆😆😆

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 6 днів тому

      ​@@AbAlhuraas Muulize camera man sasa... aliyekwambia ukipinda haikubaliki nani😂

    • @NuhManje
      @NuhManje 6 днів тому

      ​@@AbAlhuraasswali la msingi ni Moja tu. Kama una ushahidi wa unachokisema je,uko Tayari kusimama nae mbele ya Allah siku ya Qiama na ukathibitisha kwamba hiyo picha amejipiga mwenyewe kwa khiyari kisha akaisambaza? Kama uko Tayari kuthibitisha hilo sasa kwa nini tukupinge? Subiri siku ya Qiama ifike uende kutoa ushahidi wako

  • @shaibamran5419
    @shaibamran5419 6 днів тому +4

    Alhamdulillah alaa niimatil islaam wa sunna, mijitu inafedheheka ila ipo km miokosi haina haya hakuna wkupmbn na haki na siku zt haki ikisimama baatwil huondoka

  • @hamzahussein8542
    @hamzahussein8542 5 днів тому

    ALLAH awahifadhi masheikh zetu kwani watafutanini kuwafuatilia masheikh

  • @hansboy1443
    @hansboy1443 5 днів тому

    Allah tujaalie na atupe imani na subra

  • @AllyHaji-w1j
    @AllyHaji-w1j 6 днів тому

    Allah amhifadh sheikh wetu na sote kwa ujumla

  • @IssaSheshe-b2c
    @IssaSheshe-b2c 3 дні тому

    allah kuhifadhi

  • @HamzHamz-x5q
    @HamzHamz-x5q 6 днів тому +4

    ALLAH AMUHIFADHI

  • @MukramRwakatale-ly1lz
    @MukramRwakatale-ly1lz 6 днів тому +2

    والله أبو خطاب أنا أحبك

  • @KasimuNudi
    @KasimuNudi 6 днів тому +5

    Assalamu alaykum haqi itabaki kua haqi maan hataukiangalia kwenyeklip ambazo wanamsemasheikh vibaya coment asilimia 💯wanamzungumzia sheikh kwawema yani imekua njia kubwa sana yakuombewa dua, wahab tujuane.

    • @NuhManje
      @NuhManje 6 днів тому

      Hahahah wamefeli hawa jamaa

  • @husseinmbarouk
    @husseinmbarouk 6 днів тому +3

    Allah atujaalie mwisho mwema

  • @KheyrMt-go1jw
    @KheyrMt-go1jw 6 днів тому

    Subhana Allah. Allah akuhifadhi shekh kasim abulfadhli nimejitahidi kukutetea japokua sijawahi kukuona ilanilisimama kuanhii picha ni editing amanikughafiliwa allah akueke tuendelee kupata faaida zitokazo kwako

  • @IbrahimuMgeni-gz5vx
    @IbrahimuMgeni-gz5vx 6 днів тому +1

    والله يعلم ما تسرون وما تعلنون والله عليم بذات الصدور

  • @rushu1232
    @rushu1232 6 днів тому +4

    Nyinyi mumeingilia watu wengi hivyo kuita watu mahizbi ni sawa bado kama tudinu tudanu lnsha Allah bado kuna mengi walatazidu dhwalimina ila khasara.

  • @SuleLeshi-t2m
    @SuleLeshi-t2m 6 днів тому

    Subhana alla amuhifaz sheh

  • @allysabuni6056
    @allysabuni6056 6 днів тому

    جزاك اللهُ‎

  • @hamzahussein8542
    @hamzahussein8542 5 днів тому

    Baarakallahufeekum sheikh

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 6 днів тому +2

    MPIGA PICHA PASSPORT SIZE ALIKUA ANAUMWA NA SHINGO😅
    NDO MANA PASSPORT IKAWA UPANDE UPANDE😂

  • @POLITICS_WAR_DIPLOMACY
    @POLITICS_WAR_DIPLOMACY 6 днів тому +2

    Jamani mcheni Allah acheni mabishano

  • @asumanimavura
    @asumanimavura 6 днів тому

    Allha ata msafisha shekh wetu

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 6 днів тому +5

    Nampenda sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu kwa ajili ya Allah

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 6 днів тому +1

      Pia umchukie kwa ajili ya Allah kuna mapicha yanakuja na taassubu zenu

    • @HajiDibwa-n2f
      @HajiDibwa-n2f 6 днів тому +3

      @@NassorHassan-no1cr saw hila acha chuki ndg yangu mbn unaonekana likitajwa jina la sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu nafsi yako inaugulia ndg yangu mche Allah

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому

      @@HajiDibwa-n2f HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab
      1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu
      2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika
      3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim
      "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta
      4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano
      " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli"
      Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ?
      5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta ,
      ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San ,
      Mfano
      " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima "
      Soud of Mafuta .
      Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe
      SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?

    • @siafuonlinetv
      @siafuonlinetv 6 днів тому

      NENDA akuoe

    • @NuhManje
      @NuhManje 6 днів тому

      Hahahah mumeshafedheheka nyie munabaki munajifariji tu. SASA tujaalie zipo hizo nyingine hlf ukazisambaza sasa ndio inakuwa nini? Na mbele ya Allah utahesabika unasambaza kheri au shari? Zingatia hii aya kwa faida yako duniani na Akhera.
      { إِنَّ ٱلَّذِینَ یُحِبُّونَ أَن تَشِیعَ ٱلۡفَـٰحِشَةُ فِی ٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ لَهُمۡ عَذَابٌ أَلِیمࣱ فِی ٱلدُّنۡیَا وَٱلۡـَٔاخِرَةِۚ وَٱللَّهُ یَعۡلَمُ وَأَنتُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ }
      [Surah An-Nūr: 19]
      ​@@NassorHassan-no1cr

  • @AllyHaji-w1j
    @AllyHaji-w1j 6 днів тому

    Mashallah sheikh

  • @mohamedkatoya1550
    @mohamedkatoya1550 5 днів тому

    Aamin

  • @OmaryAllyGudulia-tk1zt
    @OmaryAllyGudulia-tk1zt 6 днів тому +3

    Acheni dini kuifanya kama mziki huyu anaimbg na huyu anajibu tangazeni haki uislam utawale acheni ushamba waislam wanauwawa kila kona ya dunia mmekaa kimmya munashuhulikia upuuz tu

    • @MahmoudDouch-o6t
      @MahmoudDouch-o6t 5 днів тому

      Yaaani kituko kweli kweli hiiii hatuna habari waislamu wezetu wanauawa chungu nzima na makafrii wa magharib sisi tumekalia upuuzi tu basi Mambo mengine yanatilisha uchungu sana waallah,

    • @YusuphSulemani
      @YusuphSulemani 5 днів тому

      Kinachofany wauwawe haoo waislamu huk magharibi ninin

    • @MahmoudDouch-o6t
      @MahmoudDouch-o6t 5 днів тому

      @@YusuphSulemani unafiQ wa madola ya kiislamu

  • @rajabuali565
    @rajabuali565 6 днів тому +2

    nakumbuka maneno ya imamu shafi mtu akiwa sufi asubuhi hafiki jion anakuwa chizi daawaa salafi ni ya khari na wanaibainisha wao wenyewe pasi na kujuwa Allah awahifadhi masekhe wetu

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 6 днів тому +2

    Shekh barakallahufiik, masufy hawafaham hata vitu vya dharura, hv hawajui km tunaishi ktk nchi ambazo Zina taratibu zake, huwezi safari bila ya passport na passport lazima iwekwe picha au leseni ya gari lazima iwekwe picha yako, sasa mtu akiweka hivyo Kwa dharura hizo ndio picha halali jamani. Acheni kuvunja heshima za shekh wetu.

    • @LeylathYahsin
      @LeylathYahsin 5 днів тому

      Kwhy unaweza kufanya dharula ktk jambo ambalo ALLAH hajaisema dharula hyo??
      Ktk Quran ALLAH kasema kula nguruwe ndo kuna dharula
      Sasa hyo dharula ya picha kaisema nan ikiwa n haram??🙄

    • @jynajyna5835
      @jynajyna5835 4 дні тому

      ​@@LeylathYahsin kwanza kaa chini ujifunze kiswahili ndio uje hapa *Dharula* ndio nini ?

    • @LeylathYahsin
      @LeylathYahsin 4 дні тому

      @@jynajyna5835 Yaan kiswahili tu hujui kisha unanitaka me ndo nkajifunze?😂😂
      Em soma ujue au waulize majirani zako neno dharula maana yake n nn??🙄

    • @salimdiabyonlinetv4873
      @salimdiabyonlinetv4873 3 дні тому +1

      Uzushi ni Uzushi tu, jambo Halifai Ipaswe kua Halifai tu, Dharura ya Nini, Haramu iwacheni kua haramu moja kwa Moja, hata hio Passport Size hakupaswa kupiga, Haramu, "WANAYASEMA YALE WASIO WAFANYA" wanakataza jambo na wao Ilhali wanalifanya, Tumcheni Allah (s.w) Popote Tulipo.

  • @ThabitMwangu
    @ThabitMwangu День тому

    Mbona hizi Picha 2 ni za RANGI tofauti Sasa huyu qaassimu mafuta

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 6 днів тому +2

    Baarakallah fikum

  • @MohamedKilindumbo
    @MohamedKilindumbo 6 днів тому +3

    Allah ata wadhalilisha kama alivyo mdhalilisha kahaba alietaka kumchafua juleyji

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому

      Makahaba Nyinyi mushawadhalilisha wangpi ,Allah anawdhililsha nyinyi ss ,Masheikh Wangpi Mumewadhalilisha Kwa kuwazulia Uwongo ,Kuwakata Kwa Dhulma Waallah Laan unarudi kwenu Na Hyo Humeid Bora alikuwa anyemaze ,
      Mana kuna Package nyengine unakuja Huko Picha za Gongo Wazi 😂😂😂 ,Waallah mulimdhulumu Zainul Alaabe edena ,akafta Dr islam , Abuu Muaawiiyah sas s Allah anawalipa ,Majahili myiny

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 6 днів тому +2

      ​@@AbAlhuraasKAFE MBELE HUKO HIZBI WEWE... MGONJWA WEWE MI ZAMANI NILIKUA NAONA KAMA NINYI MAHIZBI MWÀONEWÀ COZ NILIKUA NANYI BUT NKAJA JUA KUMBE NIKO NA WAGONJWA AMBAO HAMTAKI KUNYOOSHA HAKKI... PUMBAVU KABISA

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 6 днів тому

      ​@@abouswaleh7375matusi ndio njia ya wajinga kma walimu zenu dilele midomo yao ni matusi tuu sio hojaa...

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 6 днів тому +1

    Daah hii imewauma sana 😂😂😂😂😂😂😂😂 na Bado.
    Jamaa anatukana tu.hapa.

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  6 днів тому +1

      imefika hiyo

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 6 днів тому

      Imefika kweli maana mkataza picha kapiga picha😂😂🤣😂

    • @mohammadsaid6682
      @mohammadsaid6682 5 днів тому

      @@shafisaggaf1889hujielewii wewe..Allah akuongoze

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 5 днів тому

      @@mohammadsaid6682 na wewe pia uongozwee pimbi wewe.

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 5 днів тому

      Salafi ni kindi la wahuni lenye sura ya kiislaam .. hii ndio uhalisia.

  • @abrahmanhamad3253
    @abrahmanhamad3253 6 днів тому +2

    Hyo pass port size Kwan sio Pich au

  • @HannatKhamis-k7c
    @HannatKhamis-k7c 6 днів тому +4

    Kuweni wakweli picha ni picha t hata hiyo passpot size nayo ni picha na sizani kama alitozwa nguvu akalazimishwa lazima apige picha

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 6 днів тому

      Allaah akuongoze Hannat, hii comment yako ya dhihirisha kuwa wewe huna kabisa ilimu ya dini na sijui kama unajishughulisha na kusoma, Allaah akusaidie kwenye hilo. Nguruwe ni haram lakini kwa haja na dharura Allaah ameruhusu kula, au wewe wasemaje kwenye hilo?

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 5 днів тому

    Wallah mtihani kweli

  • @SamataOmary
    @SamataOmary 4 дні тому

    Nyingi wote wapuuzi mwaacha kufanya ya msingi ya kimaendeleo kazi yenu jubishana tuu Acheni upuuzi nyinyiiii

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 6 днів тому +1

    Masuufi na mahizbii kudanganya hawaoni tabuu,

  • @Kusag-i9z
    @Kusag-i9z 6 днів тому +2

    Mahizibi ni mashetani sana

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 6 днів тому

      Subiri ewe ndugu mbora, wala usipate dhiki moyo wako kwa vitimbi vyao

  • @kassimbitogwa6992
    @kassimbitogwa6992 6 днів тому +2

    Fitna hii iliniumiza kichwa wallah nlikuwa nataka nimsikie Abuu Fadhil walillahilhamdu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 5 днів тому

      @@kassimbitogwa6992 passport size kweli hii mbona sasa kapinda halaf hiz picha ziko nyingi zinakuja mbona kassim atarajaa tu asijidai mwamba ataibika soon tu

  • @ibnbaaz3072
    @ibnbaaz3072 3 дні тому

    Mwisho wa ubaya aibu Allah atawaonyesha leo leo dunian wap wamekupata pc zak kwn mkiona itakuaje

  • @khamisiramadhani1691
    @khamisiramadhani1691 6 днів тому +3

    Maashaalla

  • @JumaAli-g8q
    @JumaAli-g8q 6 днів тому

    Alha awalid ishalha

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 5 днів тому

    Si ungemuacha akajibu mwenyewe au hana mdomo wa kujibu wewe umejuaje wakati uko kenya mche ALLAH sh wangu unapingaje jambo hili

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 6 днів тому

    ALLAAH awahifadh

  • @AbdallaJuma-xn1gx
    @AbdallaJuma-xn1gx 6 днів тому +2

    Sku zote ukilingania kweny haki utapibwa vita tu kila aina ya vitimbi utafanyiwa

  • @ramadhaninuhumnzava8912
    @ramadhaninuhumnzava8912 6 днів тому +2

    Da'awatus Salafiyya ni ya haqq na hakuna atakayeweza kuishinda Da'awa hii na ahlul Bidaa wote watafikia muda watashindwa

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 6 днів тому

      Daawa hii haki sio batili ya kassim na mapicha yake

    • @hairuismail6456
      @hairuismail6456 6 днів тому +1

      ​@@NassorHassan-no1crwe ni kama mfano ulopigwa na shekh tu una maradhi tunaogopea juu yako wallah
      Allah atustreheshe sie Alhli sunna na dudu muovu kama wewe

  • @IbrahimSeleman-i9c
    @IbrahimSeleman-i9c 5 днів тому

    Sunnah ni muhimu kuishika lkn salafi wanajiona wao ndio watakatifu zaidi kuliko wengine, Allah ndie anaye mjua ni nani mvhamungu!!

  • @jumamustafa820
    @jumamustafa820 5 днів тому

    Me wote nawapenda masheikh zetu cz nasiliza darsa zenu nyinyi na sina upande wote wangu lkn me nimeona picha mbili moja anacheka hv cjui kama ni maadui wameedit au vp

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 6 днів тому +8

    Asante kuwakutanisha shekh,ila mimi nauliza .JE ILE KADI YA CCM YA SHEKHE MUHAMMADI MAFUTA TULIO IONA NAYO KAZUSHIWA???? NAOMBA JIBU

    • @RamadhaniShembilu-l1e
      @RamadhaniShembilu-l1e 6 днів тому +3

      AU KUA MWANACHAMA WA WASIASA SIKOSA KWAMUJIBUWA DA,AWATU SALAFIA?????

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 6 днів тому

      ​​@@RamadhaniShembilu-l1e Muhammad Mafuta alishalitolea ufafanuzi hilo Akhy! Fatilia khutba zake kweny channel za masalafy!
      Kama kweny Qadhia ya JAI masalafy wanaraddiana... Iweje Mafuta awe mwanachama halafu aachwe?! HUJIULIZI?!
      MASALAFY SIO KAMA MAHIZBI...!!!

    • @LyujeMnangola-r2r
      @LyujeMnangola-r2r 6 днів тому

      Jizuie mche allah

    • @zubeyrissa_17
      @zubeyrissa_17 6 днів тому

      Ramadhan shembilu

    • @rashidhasni2112
      @rashidhasni2112 6 днів тому +1

      Kamuulize mwenyewe

  • @ExcitedCityMap-xh2sm
    @ExcitedCityMap-xh2sm 5 днів тому

    Haya ni majibu ya wazi yakwamba mahizbi ni waongo mno

  • @ThabitMwangu
    @ThabitMwangu День тому

    Piga Picha sheikh usiogope maneno yako ila kwa hii Picha umepiga mwenyewe selfie

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 6 днів тому +1

    Kuna mzigo mwengine balaaaaa bora munyamaze kimnya maaaana nikhatari

    • @LyujeMnangola-r2r
      @LyujeMnangola-r2r 6 днів тому

      Ujitambui ww

    • @Shaa2213
      @Shaa2213 6 днів тому

      Sasa iko wapi iyo hadthi inayosema mnaruhusiwa kupiga pasport , mukiambiwa ufahamu kisoda hamushtuki.

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 6 днів тому

      we naona unajisumbua mabango ya nin sisi hatuogop kila siku kuna picha nyengin hebu ziweken alaf sjui mwapata nin zaid ya ujinga

    • @Daifar100
      @Daifar100 6 днів тому

      Mtaumbuka wenyewe na picha zenu hizo, msilete vitisho vya kipuuzi

  • @Cherehanitanzania
    @Cherehanitanzania 6 днів тому +3

    Haji upepo in Zanzibar
    Wameshavurugwa Elimu hawana Kazi Dhulma Tu nakuzusha Waongo Walopevuka

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 6 днів тому

      Kuna mapicha yanakuja wazimu wenu

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 днів тому

      @@NassorHassan-no1crwanayatengeneza ndio maana wanayachelewesha hayo mapicha kama yangekuwa ni mapicha ambayo hayajatengenezwa wangeyaleta muda mrefu

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 6 днів тому +1

      ​@@MgazaMhinahayaletwi mpaka mafuta atakapo ropokwa tena kua kapigwa bila yeye kujua vibarak wanasema ni paspoti Saiz acheni talbisi nyinyi

    • @Daifar100
      @Daifar100 6 днів тому

      ​@@Abuu-lr5bzmahizbi mnapata tabu sana hhhhhh na mtakufa kwa vihoro hiZo picha zitoeni mnamtisha nani na ujinga wenu

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 днів тому

      @ kwani hapo si wameonyesha kwamba picha imetengenezwa ilikuwa ni picha ya passport

  • @moussaabdallah-h4u
    @moussaabdallah-h4u 6 днів тому +4

    Sheikh wetu mpendwa Qassim mafuta ss uku Cape town hatuna wasiwasi naizo pic kuna sababu flani yaizo pic kupigwa . tunakuombea kwa Allah akukinge naizo fitna na propaganda na akupe umri mrefu watwaa....

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 6 днів тому

      Sas hiv ni wakat wake wa kuumbuliwa

    • @moussaabdallah-h4u
      @moussaabdallah-h4u 6 днів тому

      @NassorHassan-no1cr waendeleee kumdhulumu

    • @Daifar100
      @Daifar100 6 днів тому

      ​@@NassorHassan-no1cr utaumbuka wewe karibun tu biidhnillah

  • @HedebJuma
    @HedebJuma 6 днів тому +2

    Lakini sio ni picha na picha ni haramu acha ujinga wewe

  • @muhsinimohammad58
    @muhsinimohammad58 5 днів тому

    Asili ukiona unapigwa vita na fitnah ujue unaeleweka kama ilivyo kwa rasuli

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 6 днів тому +2

    hili jina limempendeza sana yule kahaba wa kihizb

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 днів тому

      @@jumanneissa8226 Makahaba Nyinyi mushawadhalilisha wangpi ,Allah anawdhililsha nyinyi ss ,Masheikh Wangpi Mumewadhalilisha Kwa kuwazulia Uwongo ,Kuwakata Kwa Dhulma Waallah Laan unarudi kwenu Na Hyo Humeid Bora alikuwa anyemaze ,
      Mana kuna Package nyengine unakuja Huko Picha za Gongo Wazi 😂😂😂 ,Waallah mulimdhulumu Zainul Alaabeedena ,akafta Dr islam , sas s Allah anawalipa ,Majahili myiny

  • @mohamedkatoya1550
    @mohamedkatoya1550 5 днів тому

    Kweli wafanana na makahaba kweli

  • @SaidMohamed-xt9yr
    @SaidMohamed-xt9yr 6 днів тому +3

    Toka lini pasport size mtu anakaa upande

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 6 днів тому +2

      Hilo swali muulize camera man 😂😂😂
      Kwan ikiwa upande ndo haikubaliki kuwa ni passport?! 😂
      WAJINGA KWELI NYIE WA TEKNOLOJIA!

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 6 днів тому

      Wewe ni mjinga wa akili mapenzi ya kumpenda mtu yamekutia upofu kwa kuona kua hakosei​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x

    • @SaidMohamed-xt9yr
      @SaidMohamed-xt9yr 6 днів тому

      Nyinyi qassim mafuta hata kama akiwa na pengo mtasema ana mwanya uluu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 6 днів тому

      @Abuu-lr5bz Mjinga ni wewe... nan kakwambia hakosei?! Ni wapi nimesema hayo maneno Jaahil wewe!

    • @abuuuyaynah8801
      @abuuuyaynah8801 6 днів тому

      ​hawa ni wajinga%%%

  • @Abul_Hassan_Wa_Hussein
    @Abul_Hassan_Wa_Hussein 5 днів тому

    Mahizbi wanatumia udanganyifu sasa baada ya kuzidiwa hoja

  • @aljabrsaleh4378
    @aljabrsaleh4378 6 днів тому

    Hii ni mujarrabu kabisaa

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 6 днів тому +2

    Ukweli umewauma hawajamaa

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 6 днів тому

      @@SaidiMohamed-bj2wg UKWELI GANI sasa???

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 6 днів тому

      Ukweli upi Akhy hem kuwa muadilifu kwa ajili ya Allah

  • @SaidiMbega-j4n
    @SaidiMbega-j4n 6 днів тому +1

    Nyinyi wote hamna lolote dini yenu niporojotu kazi kutukanana tu

  • @HumoudHemed
    @HumoudHemed 2 дні тому

    Hhhhh watu wamuabudu mungu kazi mineno t kwn kassim n swahaba hakosei ah!!

  • @AnswarYussuf
    @AnswarYussuf 3 дні тому

    Kwa nini adui wa uislamu ni muislamu?

  • @NassorrajabJuma
    @NassorrajabJuma 6 днів тому

    Asalam alaikum mm nawapenda mashekhe wangu

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01  6 днів тому

      Waalykum salaam warhmatullah wabarakatuh, Allaah Amuhifadhi sisi na wao pia

  • @omarabdi3604
    @omarabdi3604 6 днів тому

    kwan hamuwez kusema mpaka mutukane au alafu munajiita mashekh achen kauli mbovu kwa mtume alikua na kauli mbovu kama hizo wakat analingania watu

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 4 дні тому

    Rudini Kwa Allah

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam708 6 днів тому

    Wengine wanasema kapigwa picha yeye hajui huyu asema ni paspot size waongo huwa hamna muelekeo mmoja kaeni kikao kwanza ili muwe na kauli moja kuwa hapa ili tumtetee mafuta tuwe na uongo unaofanana