CHEKECHE | Afrika Magharibi na mapinduzi ya kijeshi, kulikoni?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Azam TV

КОМЕНТАРІ • 12

  • @samweljikxo9259
    @samweljikxo9259 10 місяців тому

    Return to Thomas Sankara ,BRAVO AFRICA BRAVO TRAORE BRAVO, BRAVO BRAVO

  • @user-wo6rk4vf2s
    @user-wo6rk4vf2s 3 місяці тому

    Dr Denson Bana, hapa Afrika hatuna democrasia ya kweri hakuna. NA MUNGU NDIE MUWEZA

  • @user-wo6rk4vf2s
    @user-wo6rk4vf2s 3 місяці тому

    Mr Edis yupo sahihi kabisa

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 Рік тому +1

    Wasomi wanapokuwepo Wengi hawawezi kukubali kupereka kama kondoo ,Lazima waandamane nakufanya mapinduzi ya kijeshi

  • @samweljuma585
    @samweljuma585 3 місяці тому

    huyu EDD ana vitu vingi lakini naona kama hana uhuru afunguke.

  • @user-wo6rk4vf2s
    @user-wo6rk4vf2s 3 місяці тому

    Mwaswari ya msingi unamuuliza huyo Dr Denson Bana na anawaaunga mkono mabepari kwanini usimuulize huyo mwinginé ya kuiinua Afrika Raymond au na wew umepangwaaa? au ni mmoja wao? Hapana hayo ya Dr Denson Bana atarahaniwa yeye Dr Denson na kizazi chake.

  • @JafarHussein-qe6ly
    @JafarHussein-qe6ly Рік тому +1

    Siku zote ataendelea kutawala mwenye nguvu hadi Nabii Issa bin Mariam Rehma na aman ziwe juu yake atakapo rudi. Democracy ni njia ya kipumbavu sana kwasababu inaudanganyifu mwingi unao fanywa na walio madarakani.

  • @samweljikxo9259
    @samweljikxo9259 10 місяців тому

    Uyu mzee amekuwa addicted na elimu ya kikoloni kama sio kibaraka Africa lazima iamke usingizini tunaibiwa mali zetu, tunabaguliwa na kulazimishwa tumetokana na nyani, NCHI AU KIFO TUTASHINDA

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому

    Bendera za mrusi zinapepea pembeni Kuna mkono wake au

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 Рік тому

    Dam ya Sankara inawala