Shida za nchi zetu za kiafrika ni kuongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo yaani wanakurupuka kimaamuzi na matokeo nchi na wananchi wao wanaangamia.Halafu yanapenda uongozi sana na wakati uwezo wa kuongoza hayana.Takataka kabisa.
Asee umeiweka vizuri sana hii sasa nimekonekti dots na ile hotuba yake wakati anamuapisha waziri mpya baada ya wa awali kujiuzulu ilijaa mafumbo na vijembe now ndo nimeelewa..aisee
Alafu kwenye uso wa nje unaweza ukasema mtu mzuri mwenye upendo na huruma sanaaa kumbe Mafia huku anatabasam wee check watu waliokufa chaguzi za 2020 subiri uone sasa
Itamchukua Mswahili muda mrefu sana kuendelea. Kwasababu hata hawaelewi dhima ya waandishi wa habari. Waandishi wa habari Moja ya kazi zao ni kuisaidia jamii Ili isiibiwe, isidharauliwe, isinyimwe haki yake ya kuendelea na kustaarabika kama jamii nyinginezo Duniani. Lakini utakuta raia Wana uelewa mdogo kiasi kwamba hata hawaelewi kwamba wanasaidiwa kuona, kuelewa, kulinda haki zao!
Ungetaka asiropokwe; ungemnyima Elimu. Maadam umempeleka shule na akajenga uwezo wa uelewa mkubwa, ataongea tuu! Ukitaka watu wakae Kimya, wanyime elimu. Wakiwa hawana Elimu, watakaa Kimya, hawana la kusema, hawana uwezo wa kuchambua mambo!
Umetumwa kwa kupewa chchte ila mie wizi wake unanifurahisha mana naona yanayofanywa, mbona hukusema wakati familia ya karume? Mbona hujasema yamawaaziri wa awamu ilopita kuficha nje? Acheni upuuzi
Huyu Mwinyi ndiye naye tajwa kuwa mrithi wa Samia 2025. Kwa makando kando yake haya itakuwaje akija kukalia kiti bara? Atampita Jk na Saa100 kwa kuwa na serikali iliyojaa rushwa na ufisadi
Watanganyika ya wazanzibar hayawahusu acheni ujinga nyie kazi yenu ni kuja kuuza uchi tu na lengo lenu kusambaza ukiristo lkn sahauni cc wazanzibar ni waislam na mpaka tutakufa tutakuwa waislam
Wabara Roho zenu ni chafu sana nyinyi yote haya yasingetokea kama si nynyi wabara roho mabaya na chuki ndio munazozijuwa mimi nashangaaa sana Bara ni nchi yenye maeneo makubwa mpka hichi visiwa munavitakaa ?? Mudhulumu watu mupige watu muuwwe watu muna Roho mbaya sana
asante sana ngurumo uko vizuri Mungu akuinue kuwasemea wanyonge kama umejitoa kutusemea Wazanzibari tunakushukuru sana baba etu
Shida za nchi zetu za kiafrika ni kuongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo yaani wanakurupuka kimaamuzi na matokeo nchi na wananchi wao wanaangamia.Halafu yanapenda uongozi sana na wakati uwezo wa kuongoza hayana.Takataka kabisa.
Hizi ndo 🥵 news, mchanbuzi mkongwe🙏🏾
Episode 02 done nasubiri Episode 03 ahsantee Kwa uchambuzi Maswali Magumu
Hongera kwa uchambuzi mzuri sana na umakini wa hali ya juu sana
Asee umeiweka vizuri sana hii sasa nimekonekti dots na ile hotuba yake wakati anamuapisha waziri mpya baada ya wa awali kujiuzulu ilijaa mafumbo na vijembe now ndo nimeelewa..aisee
Yes tunaendelea kuinjoi uchambuzi wa kisiasa
Good job mchambuzi makini . Tunapaswa kweli kuhoji tena indeep
Nimekuelewa sana kaka
MUNGU akubariki sana mchambuzi mwema.
Umenyoa nywele na ndevu umependeza asylee
Tunajua Mambo
Mambo ambayo hayatangazwi na chombo chochote Cha habari tz na znz
❤ good job bro
Wacheni Uhongo na Uzishi sie Ndio tunaishi Zanzibar kupo Salama na Amani imetawala na Allah azidi kutuepusha na hasad zenu
😆 😂 😆
Kumbe Rais Mwinyi Sio kabiasa
Alafu kwenye uso wa nje unaweza ukasema mtu mzuri mwenye upendo na huruma sanaaa kumbe Mafia huku anatabasam wee check watu waliokufa chaguzi za 2020 subiri uone sasa
Yajayo yanahuzunisha TAKBIIIIR ALLAHU AQBAR.KUMBE HAFAI
Tumeelemewa bara na visiwani na viongozi wote wa juu je ni ndugu kweli. Na waarabu kotekote.
Kweli
We Hangaikia kanisa lako Lakini mtakwama tu
Huo mwenendo haukuanza kwa Mwinyi tu bali viongozi wengi wa huko nyuma wametekeleza kama hayo.Cheo chalevya kama hukuwa makini
Tuachie wenyewe hatukusikizi ngo
✊✌️👊
Maneno yako yanaukwel ndani yake inatakiwa utumie akili kwel unfaham huyu jamaa uchambuz mzuri sana
Jamaa Anaona mbali na anamjua vizur Dr.
Kwa hiyo.udikteta amejifunza kwa magu ?
Kama baba,kama mwana
Hiyo background music inaitwaje?
Tanzania Nakulilia
We bwege mkosa nchi nani anakuuliza
Ngoja kibibi chenu kitoke uone tutakavyo wanjosha nyambavu wew hahahahah
@@kaguripenina63mimi singoji wewe ndio unaongoja enda mtoe Sasa hivi, nyambav hahahaaaa
YAANI DR,MWINYI ANAPITA MISIKITINI KUOMBEWA DUA ILI MAADILI YAKE YAENDELEE. KULE MKURANGA AKIUZA GONGO ?
Hahaha innalillahi wainnailahi raajiun
Mnatafuta kila mbinu lakini mtashindwa tutawasomea kafara hata mkija na mafuta yenu ya upako mtajipaka wenyewe
Itamchukua Mswahili muda mrefu sana kuendelea. Kwasababu hata hawaelewi dhima ya waandishi wa habari. Waandishi wa habari Moja ya kazi zao ni kuisaidia jamii Ili isiibiwe, isidharauliwe, isinyimwe haki yake ya kuendelea na kustaarabika kama jamii nyinginezo Duniani. Lakini utakuta raia Wana uelewa mdogo kiasi kwamba hata hawaelewi kwamba wanasaidiwa kuona, kuelewa, kulinda haki zao!
Mchambuzi mropokwaji hujambo
Ungetaka asiropokwe; ungemnyima Elimu. Maadam umempeleka shule na akajenga uwezo wa uelewa mkubwa, ataongea tuu! Ukitaka watu wakae Kimya, wanyime elimu. Wakiwa hawana Elimu, watakaa Kimya, hawana la kusema, hawana uwezo wa kuchambua mambo!
Kama upo online hapa gonga like
Uchambuzi wako unahitaji utulivu wa akili kuuelewa.
Mh
Umetumwa kwa kupewa chchte ila mie wizi wake unanifurahisha mana naona yanayofanywa, mbona hukusema wakati familia ya karume? Mbona hujasema yamawaaziri wa awamu ilopita kuficha nje? Acheni upuuzi
Waseme wewe walio dhulumiwa roho zao?
Mmeyataka wenyewe kwa sababu ya kuing'ang'ania Zanzibar kwa mabavu yenu.
Ngoja kibibi chenu kitoke uone tutakavyo wanyosha hahahah
@@kaguripenina63 Hatoki ng'o ....Kwanza ana miaka 10 huko ya kutawala, akimaliza urithi wake wa magu.
Sio kimya kweli, wananchi twaangalia kwa mapana Sana taqbiiir Allahu aqbar
Muungano udumu daima hauvunjiki ccm itawalee milele hizo ni kelele za chura tu
Huyu Mwinyi ndiye naye tajwa kuwa mrithi wa Samia 2025.
Kwa makando kando yake haya itakuwaje akija kukalia kiti bara?
Atampita Jk na Saa100 kwa kuwa na serikali iliyojaa rushwa na ufisadi
Haiwez kuwa!rais anaekuja anatakiwa awe mkristo ndo mfumo wao tangu rais wa kwanza
Watanganyika ya wazanzibar hayawahusu acheni ujinga nyie kazi yenu ni kuja kuuza uchi tu na lengo lenu kusambaza ukiristo lkn sahauni cc wazanzibar ni waislam na mpaka tutakufa tutakuwa waislam
Hee wewe mbna unajua siri nyingi za zanzibar km vile upo huku wakati hayo mambo yanaongelewa chini chini vyombo vya habari havitoi habari hizi
Sikio langu lipo Zanzibar
We unatumwa na kanisa katoliki, tushajua
Achana na Zanzibar, mambo ya Zanzibar huyajuwi. Hatutaki maendeleo kwa ULEVI. Ina maana kumbe hata huo mkataba ulisainiwa na Tanzania chini ya Kanisa.
Wabara Roho zenu ni chafu sana nyinyi yote haya yasingetokea kama si nynyi wabara roho mabaya na chuki ndio munazozijuwa mimi nashangaaa sana Bara ni nchi yenye maeneo makubwa mpka hichi visiwa munavitakaa ?? Mudhulumu watu mupige watu muuwwe watu muna Roho mbaya sana
Yawezekana nawe ni mbara tu bali umekaa sana Zanzibar. Chunguza historia ya familia.
Tunajadili haki na usitawi wako. Hatujadili kabila lako.
Badiliken roho zenu chaafu chuki,dhulma
@@omarmohammed5157 Usizunguke. Mwambie Mwinyi. Mlimuweka kwa damu za watu. Roho chafu hoyeee!! 😄 🤣
Tunajua Mambo
Mambo ambayo hayatangazwi na chombo chochote Cha habari tz na znz
Kama upo online hapa gonga like