MGOGORO MKUBWA wa ARDHI - JAMAA WOTE WADAI WANA HAKI - KESI YAFIKISHWA kwa WAZIRI SILAA - UTATA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 73

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 9 місяців тому +2

    Inchi inatakiwa kupimwa ili watu wasiwe wanapata taabu kama hizi.,na System nzuri.

  • @aap99alalawy
    @aap99alalawy 6 місяців тому

    Namomba MHE Waziri afike Kijiji Cha Gwata, Morogoro Vijijini. Wapo wananchi wa nyonge 116 wanasumbuliwa na mtu 1 kwa zaidi miaka 15!

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 9 місяців тому +4

    Huyu mwizi kabisa wamrudishie kiwanja huyu jamaa

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 9 місяців тому

    Pole Ismail

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 9 місяців тому

    Kinachogharimu nchi hii ni mfumo mbovu. Rais mzuri angehangaika kutengeneza mifumo mizuri kwa ustawi wa maisha ya baadae. Leo slaa mzuri akiondoka anakuja Mabula tunarudi tena nyuma ni mchezo. Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wengefanya kazi yao mambo yangekua mazuri sana. Nafikiri wanaochaguliwa kuna tatizo mahali.

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella 9 місяців тому

    Kazi unayo mr Jerry slaa. ..ila naamin utatenda haki....

  • @gildopitapita1383
    @gildopitapita1383 9 місяців тому

    Asante wazili

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 9 місяців тому

    Jamani Mwasasu jamani jamani jamani,, uwiiiiiiii Eneo la serikali haliuzwi

  • @yonamwakalobo5289
    @yonamwakalobo5289 9 місяців тому +1

    Tunayesema jambazi ndo kapewa haki. Kwani mlalamikaji aliuziwa Eneo la wazi. Hivyo halmashauli ndiyo inatakiwa iwajibike kwa mjibu wa waziri SLAA.

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 9 місяців тому

    Mi naona watumishi wa ardhi wangefutwa mawilayani Hadi Mkoa wakawaweka vijijini na mtaani wenye viti na wajumbe wawe ndiyo wanatoa hati Sababu wao wapo hapo hapo kwenye maeneo husika

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 9 місяців тому +2

    Jiji na huyo mwenye jengo ni wezi

  • @NevackKadege
    @NevackKadege 9 місяців тому +6

    Huyo mzee mwenye Hilo jengo ndio mwizi ...tapeli huyoo

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 8 місяців тому

      Eneo unalifahamu au unaongea tu?

  • @josephfrancis9943
    @josephfrancis9943 9 місяців тому +1

    Ww tapeli mungu yupo hizo hela zitaisha utateseka mpe eneo lake

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 9 місяців тому

    Huyo jamaa wa kwanza ndio mstahiki mwenye eneo lake, ila huyo aliefuta kuongea ndio tatizo, inaonekana anawapa rushwa viongozi wa jiji ili kumuondoa huyo jamaa wa kwanza, hata ukiskia majbu ya mkurugenzi unaona kuna rushwa inayomsukuma kuvunja sheria.
    Hawa watendaji wa namna hiyo ndio wanatuchelesha na kuturudsha nyuma

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 9 місяців тому

    Ajira za ardhi zingefutwa hakuna mahakama Wala nini waweke ma Baraza na waziri huyu awe wa kudumu kwenye hii wizara na apewe ulinzi

  • @allymdoka8634
    @allymdoka8634 8 місяців тому

    Ukiwa tajiri shida ukiwa masikini ndio tabuu kabisaa

  • @kitomondo
    @kitomondo 9 місяців тому +1

    Ofisi ya ardhi ya hiyo halmashauri ichunguzwe.

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 9 місяців тому

    Mmmmm bongo dunia simama nishuke, uchoko mwingi sana Kila sehemu, 😏😏

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 8 місяців тому +1

    Wewe ulinunuwa sehemu hakuna njia acha ubabaifu, dhuluma tu nyooo

  • @abubakarali6363
    @abubakarali6363 9 місяців тому

    Huyo mama anaonekana pia yy amekuwa sehemu ya mzee kunyanyaswa, na tunaomba mwendelezo wa hiyo kesi tujue

  • @trendings1293
    @trendings1293 9 місяців тому

    Daaah sa haya ndio maelezo 😂😂😂😂😂kweli huyu ni mwizi kabisaaa

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 9 місяців тому

    Wafukuzwe kazi watumishinwa ainanhii wanaogombanisha

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 8 місяців тому

    Uyu mzee tapeli utalipiaje kila siku laki 2,

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 9 місяців тому

    Hawa maafisa wanatakiwa kufukuzwa wote, kwa sababu wanagombanisha wananchi

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 9 місяців тому +3

    mama samai hana cha kukusaidia labda angekuwa magufuri

    • @iddimabena7777
      @iddimabena7777 9 місяців тому

      Kazi anayoifanya mama samia huioni au majungu yako yanakuwasha

    • @AlAl-sd9pl
      @AlAl-sd9pl 9 місяців тому

      Yan kabisa magufuli angekuwepo tz ingekua mbali. Lakin mmmmh ngoja nisiendelee kusema

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 місяців тому

      @@iddimabena7777 mama Samia anafanya Nini vitu vinapanda Bei Kila kukicha hakuna udhibit wowote yupo yupo kama hayupo

    • @hasanichengula68
      @hasanichengula68 9 місяців тому

      Endelea kuishi kwenye ndoto

    • @hasanichengula68
      @hasanichengula68 9 місяців тому

      ​@@AlAl-sd9plkwani huo mgogolo umeanza kipindi Gani magu hakuwepo

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 8 місяців тому

    WAZIRI AYO MAJITU MAJAMBAZI MAJIZI WANATAKA KUKUALIBIA JINA LAKO WAZIRI JERRY FUKUZA KAZI WAKAUZE WAKACHOME MKAA SHAMBA😂

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 9 місяців тому

    Huyu mwenye jengo mhuuu eee tayari

  • @abubakarali6363
    @abubakarali6363 9 місяців тому +1

    Naamini serikali ni sikivu na mh wazir ameletwa kwako kwa kusudio lamungu upate haki yako, kama hiyo ni open space fedha yako walikuwa wanapokea kwa makusudio gani? Huyo mjomba ni roho mbaya yuko nayo , hataki mwenzake amiliki ardhi

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 9 місяців тому

    Hizi ni njaa za wafanyakazi wa ardhi hao ndiyo wakuwachukulia hatua hao ndo wanapokea rushwa na kugombanisha watu

  • @saidomary4950
    @saidomary4950 8 місяців тому

    Huyu mjanja anaona yeye hana nafasi ya kuingia kwenye kwenye kiwanja chake ni huuni kwa huyu bwana

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 9 місяців тому

    😢

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 8 місяців тому

    Waziri aangalie huo upangaji wa open spes ambao ni uwanja wa mtu hiyo pesa aliilipa iliingia serikalini?
    Haya majitu ya ardhi yamelaaniwa haya kazi kuburuta vitambi vya laana tu.

  • @naomibildad509
    @naomibildad509 9 місяців тому

    SULUHISHO LA MIGOGOGRO YOTE YA ARDHI ARUSHA NI KUPIMA ARDHI. MAKONDA TUNAKUAMINI NA TUNAKUTEGEMEA UTAFANYA MAAMUZI MAZURI NA MJI WA ARUSHA UTAKUWA WA KISTAARABU NA MSAFI.

  • @noelkibere8208
    @noelkibere8208 9 місяців тому

    Unapishaje eneo lako kwa kisa kuna mtu anajenga ghorofa kwa nyuma

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 9 місяців тому

    Aden

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 8 місяців тому

    Uliwezaje kujenga mwanzo ushindwe kumaliza jengo Hadi umtoe hapo jamaa

  • @mwakivoice4788
    @mwakivoice4788 8 місяців тому

    Unapangishwa eneo ambalo sio lakooo

  • @rudachrischris5300
    @rudachrischris5300 9 місяців тому

    Izo tatizo apa 🇷🇼 akuna mtu anaweza kudhurumu kiwanjya

    • @richardbegga6679
      @richardbegga6679 9 місяців тому

      Rwanda ni kama Mkoa hapa Kwetu Nchii ndg sana Kila Mtu anajua kipande Chake lkn hapa unatembea Maeneo Mengi bado Mapoli

  • @methodiutou7278
    @methodiutou7278 8 місяців тому

    Laki mbili ni Hela Gani kwa eneo lote hilo?

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 8 місяців тому

      Unalifanyia nini mpaka unaiona ni ndogo

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 9 місяців тому

    Kwani wenzetu mnstoa wapi hela

  • @adamtzmbogo1694
    @adamtzmbogo1694 9 місяців тому +1

    Acheni ujambazi

  • @SabatoMusa
    @SabatoMusa 4 місяці тому

    Ianna tulwa waaleihi

  • @CalcatyGeneral
    @CalcatyGeneral 9 місяців тому

    Huyo mkurugenzi na maafisa ardhi wachunguzwe unawezaje kubomoa fence jamaa anajitapa et ni choo ila hicho kigorofa chake ndo nyumba rudisha ardhi ya watu wewe

  • @laurentjozee8777
    @laurentjozee8777 9 місяців тому

    Sasa kama unailipa serikali unalalamika Nini si waje hao almashauri

  • @umaima1178
    @umaima1178 9 місяців тому

    Wizi wakubwa dhuluma kipara na mwenye gorofa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 9 місяців тому

    ivi hawa wafanyakazi hawana adhabu

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 9 місяців тому

    Ismaili

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 9 місяців тому +1

    Sasa wewe nani alikutuma ununue nyuma ya kiwanja cha mtu naistoshe swala la ajila isio chanzo chakuchukua kiwanja cha mtu

  • @albertshao4834
    @albertshao4834 9 місяців тому +1

    Naona gorofa likivunja hapa

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 9 місяців тому

    Kuna vitu ukichunguza hata mauaji ya hovyo yanatokana na upuuzi kama huu, kinachoonekana ni huyo mwenye kijigorofa kukitaka, unashindwaje kumalizia jengo lako kwasababu ya kiwanja cha mtu? Kutoa ajira kupitia jengo lako ndio utake kudhulumu eneo la mtu? Hilo ni jizi kama majizi mengine tu. Na kama ni la serikali wewe unalikalia kama nani? Yaani linaeleza upuuzi tu. Unaweza tandika risasi mijinga kama hii

  • @madahaisack1268
    @madahaisack1268 9 місяців тому

    Maelezo yake hayajitoshelezii

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 9 місяців тому

    waziri fukuza wafanyakazi wa mikoani na wilayani

  • @Africasafarichannel
    @Africasafarichannel 9 місяців тому

    Huyu mzee mwenye jengo jambazi kbsa

  • @JohnP-gl1ie
    @JohnP-gl1ie 8 місяців тому

    Ongea yake tu ni yakikanjanja

  • @CalcatyGeneral
    @CalcatyGeneral 9 місяців тому

    Kama ni open space wewe unahakigani ambayo mwenzio hana ulijua eneo ni la mwenzio kwanini ukapange halmashauri au wewe una tumia dollars 💸 yeye shilingi

  • @abubakarali6363
    @abubakarali6363 9 місяців тому +2

    Kumbe eneo sio lako unawashwa nn ? Huyo jamaa kweli eneo nilake Wala sio open space

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 9 місяців тому

      Na WANAmCHEZEA mchezo mbaya KUFUTA kiwanja chake... Huyo mwenye gorofa anahonga Ili apate parking... Ana dhambi sana

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 9 місяців тому

    Ety 2mekupa eneo liwe lako uwe unalipa wiz mtupu

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 9 місяців тому

    Mi naona watumishi wa ardhi wangefutwa mawilayani Hadi Mkoa wakawaweka vijijini na mtaani wenye viti na wajumbe wawe ndiyo wanatoa hati Sababu wao wapo hapo hapo kwenye maeneo husika