SEND OFF YA KIFAHARI YA BI ELINA MICHAEL MNAZI KUTOKA MKONGORO KIGOMA YAWA GUMZO!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @kishaishengoma6724
    @kishaishengoma6724 3 місяці тому +4

    Bi harusi ulitulia sana km bi harusi wa kihaya umefundwa ukafundika hongera sana ulipendeza sana

  • @HabibaShabani-p8h
    @HabibaShabani-p8h 3 місяці тому +2

    Huyu mnene wasungo ndyo mnae msha nga lakini sisi wengine tunaejuwa Mana yupo sahihi na anaonekana alimsikiliza Sana somo na wazazi Yani nime mpenda ana heshima mwamba umepatajiko ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 3 місяці тому +1

    Mashaalah umependeza ❤

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 2 місяці тому +1

    ❤❤🎉

  • @MagrethAmos-u6u
    @MagrethAmos-u6u 2 місяці тому

    Umependeza sana dada aangu❤❤❤❤

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 3 місяці тому

    Onqereni sana. Mnqu awariki. Awape. Kizazi chema🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BwizaBaliyima
    @BwizaBaliyima 3 місяці тому

    Wooooo dada kipenz❤

  • @DamaresiDaudi
    @DamaresiDaudi 3 місяці тому

    Kumbe ndo sendoff za kifahari nilikuwa sijui congratulations mrembo but umeangalia chini mno

  • @HabibaShabani-p8h
    @HabibaShabani-p8h 3 місяці тому +1

    Hahahahhahahaa jamani huyu mwingine mbona kama mshumaa

  • @olicej7837
    @olicej7837 3 місяці тому +1

    Kheeeee😂😂😂😂muwe mnawambia wasisahau kuangalia camera

  • @Magdalena-lb4jn
    @Magdalena-lb4jn 3 місяці тому +1

    Bi harus kwann umeshndwa kujiamini

  • @MiliamenockEnock
    @MiliamenockEnock 3 місяці тому +2

    Mbona anaangalia chini t haangalii kamela

  • @irenemichael6745
    @irenemichael6745 3 місяці тому

    Mbona anaangalia chini kama kaiba mume wa mtu??

  • @Magdalena-lb4jn
    @Magdalena-lb4jn 3 місяці тому +1

    Kamera haiko sawa

    • @kizazileomedia7957
      @kizazileomedia7957  3 місяці тому +1

      Iko sawa sema the resolution of video is compressed from 1080P to 480p lakini pia Bi HARUSI alikuwa na mapozi mengi mpak kushindwa KUITAZAMA kamera

  • @phidiliamwamburi6998
    @phidiliamwamburi6998 3 місяці тому

    Confusion ! send off kwani inamanisha nni?naomba mnipashe mmenikoroga

  • @LoipllOnhye.Mama.Claudi
    @LoipllOnhye.Mama.Claudi 3 місяці тому

    Bibi harus Sio Kwa Aibu hizo

  • @StellaKugomwa
    @StellaKugomwa 3 місяці тому +1

    Duuh mie sisemi jmn

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura 3 місяці тому

    Hizo picha zikija badala yakuonekana uso nyingi utaonesha utosi tu