Jinsi ya kutumia aloe vera gel kukuza nywele ndefu zenye afya. Zijue na faida zake.
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Hi darling..
Inawezekana unao mualovera nyumbani kwako au tayari unayo aloe vera gel na unaitumia tu kwenye ngozi.
Kwenye video hii utapata kujua faida kuu za alovera kwenye ukuaji wa nywele
Utapata pia kujua jinsi ya kuitumia ili uweze kupata faida zote hizi.
Kuendelea kupata tips mbali mbali za ngozi, nywele na urembo. Bonyeza link hii kujoin whatsapp channel yangu
whatsapp.com/c...
#alovera #haircaretips #asili #faida
Unatumiaje
Darling wangu kwenye video nimeeleza jinsi ya kutumia piaa
Ni lazima kuosha nywele ukishapaka aloe vera ama unaweza acha bila kuosha
Mambo
Poa darling wangu
Nisipoosha si ni sahihi pia ? 3:39
Kama ya kujitengenezea osha mpenzi maana hutokuwa umeweka preservative ya kuisababishia isiharibike
Nina nywele laini sana nawezaje tumia iyo
Yes darling wangu unaweza
Hiyo aloevera unaweza saga then ukapaka kwa kichwa then ukasubr kwa mda gani vile
Yes dear unaweza
Je uxipo oxha kunamazara
My darling hiyo ni njia nyingine ya kuitumia nimeielezea pia kwenye hii video. Unaitumia alovera juice kuzipa nywele unyevu unapo ziona zinakua kavu
Unatumia leaving conditional gani ,mafuta gani ,na shea butter ipi
natumia products za brand yangu. Kwanzia shampoo, mafuta, steaming, leave in conditioners mpaka butter
@@rjsbeautycare hizo bidhaa za kampuni yako ni bei gani
Ukiwa huna jani la aloevera naweza kutumia zinazouzwa madukani?
Ndio mpenz. Muhimu angalia iwe ni yenye uhalisia.
Ndio nipisikia ata za dukan kipindi flani nilitumia alovera nywele zilikuwa zinqvutika paka raha hapa kwenyewe naitafuta
Ndio nilikuwa namasaji na alovera Kama ivyo
@@VickKulekana-si1ibjamn zipoj hiz niend duka niulizeje au inaitwaje my dr
🎉Asante nipake mafuta Gani kichwani nikishatoka kuosha
Unaweza kupaka mafuta ya maji ambayo yanatokana na mimea mpenz