Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Umenisaidia sana ni maswali nilivyokuwa najiuliza sana Kila siku ubarikiwe kipenz❤
Ameen mpenzi , karibu Sana
Asante kwa ufundishaji wako Ila mm nnaswali ety mfano ninanyoa nywele na ninataka nitengeneze style mbili za upande wa chini zilale na za upande wa juu ziwe na mawimbi natumia dawa gani na Gel up dada Farida?
Tumia hiyo ya kijan kulalish za pemben halaf katikat tumia mafut ya wave hakikish nywel zako zin dawa nani fupi.
Asante nimeelewa dear ubarikiwe
Ahsante mpenzi karibu
Ahsante sana Nimeelewa
Barikiwa
Asante kwa somo
Asanteeee Kwa mafunzo mazuri
Nashukulu kwasomo
Asante dear na ile inayo tumika kutengeneza mirija ni ipi inayo kaa hadi wiki msaada kwa ilo plese❤❤
Nimeipenda sana
Barikiww
Asantee kwa darasa zuli naomb kuuliza hii gel no 1 unawez kunyongea rasi
Yeah inatumika kwenye kutengeneza rasi mpenzi
Jelly namba 3 unaweza tengeneza finger coil?
Asante sana
Karibu mpenzi
Asante kwa masm hiyo Jel ya kwanza inauzwajew na inaptikanaje
kuna kuanzia elf8 na kuendelea maduka ya urembo unapata
Thanks madam
Ahsante , karibu Sana
Asante kipenzi nimeelewa
Asante Sana hapo nimeelewa vema
Asante hiyo ya tatu inafa kwenye nywele fupi zenye dawa
Jamani inauzwa bei gan
Asanteeee tumejifunza
Me nauliz bei ya hiyo ya pili tu jaman
Asante sana dada
Nazid kujifunza dada asante sana
Karibu Sana mpenzi
Asante kwa somo dada, swali langu ni hili hiyo curl activator ndiyo inatumika kwa finger coils?
Yeah unaweza Kutumia hiyo au styling gel
asant kwakweri ubarikiwe san
Ubarikiwe dada
ahsante kwamafunzo
Ahsante mpenzi karibu Sana
Gel namba 1 inauzwaje jaman naomba kujua
Ndogo yake ni 7000
Kopo kubwa linauzwa 15000
7000 kopo dogo
Sasa hivi lipo Hadi kopo dogo kabisa 3000
Nimeelewa dad
Asante san ❤
Asante Sana dada be blessed forever
Nimetumia nimepata majibu mazr
Waooh Ahsante sana mpenzi....Barikiwa sana
Naomba maelekezo kuhusu movit gel
asante kwa darasa zuri lakin hiyo namba mbili mbona inabana vizuri sana natural? tena inakakamaisha kabisa au saizi wameichakachua
Umetumia???
@@adelinaamosi9437 ndio mama
Ok
Hello dear iyo curly no 3 inauzwa shingapi?
Nu jeli ipi inatumika kubana nywele za watot
Tumia all sun mpenzi
All sun inaacha ukokoo kabla hujafika popotee yan
sio kwel nina dread naitumia hii kichwa changu smart
Vipi kuhusu jery ya movit
Asate
Karibu
Nilitumia hi ya kwanza lakini nywele yangu Ikawa km nimepaka jivu
Pole mpenzi inategemea ulitumia ipi , coz hizi zipo mbili, original na fake
Nnaswali gel no mbili tyunawez kusukia
Hapana
Allsun shingap
Kwa huku Tulipo sisi ndogo 7000 kubwa 15000
Saw mfan me nanyoa nywel nanaitj nywele ziwe natindo mbl
Dada inauzwaje
dada inauzwaje
Ndogo elf 10 kubwa 20
Mimi Nina swali ukiitaji mafuta y nywele ya kuzuhuia kukatika
Tumia radiant
iyo ya kwanza nkpaka nkatembea juan inayeyuka unabak unamelemela kam umemwagiwa mafuta
Kabisa ndiyo uko ivo
❤
Ni shingapi hiyo geli ya kwanza
hiyo namb moja inauzwaj
Hy all sun nyekund mby san
Amna labda ulipata fake mpenzi zipo fake na orginal , fake aina ubora ....ila ukipata orginal utaipenda .
Ahsant sana dada