Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Rosa Ree & Gigy Money - Emergency (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 3 жов 2022
- The Goddess #RosaRee has come with another BANGER titled #Emergency ( Give it to me) featuring Gigy Money.
She amazes us with her versatility and she keeps coming with more Dancehall Music.... Enjoy her brand new joint Emergency
Audio Produced by Ibra Jacko
Visuals: Kwetu Studio
Who Killed it ? Me or Gigy?🤔
Unauliza tena wakati umetisha wewe umeupiga mwingi kama yule Shansea
Wow you both my favorites , good stuff girls, 254🔥🔥
kali but alikuchafua mbaya hahahaha
Rosa Ree🌟🌟🌟💕💕💙
Both the best collaboration of all time. GOAT Love from Kenya
Yaani kwenye kuna Gigy Money apo jua nikuomaaa yani fireeeee.Alafu Rosa Ree anafunga game akuna kali zaidi ya Gigy na Ree.
Wooooooza
911 call police is an imejensii🔥
Nimeclick haraka 🤣🤣🤣🤣nawapenda wote wawili🙌🙌🙌🙌🙌🙌shoo kali🥳🥳
Show Kali
Nimekubali Rosa lee huwa hatuangushagi mashabibiki zake. Gigy umetisha.😊😊😊😊
Tanzania 🇹🇿 don't know how Kenya's 🇰🇪 love them
🔥🔥🔥
gigy akipata mtu wa kumuelekeza vzr ni mkali sana🔥
Rosaaaaaa reee with gigy😚😚😙😍😍😍💥💥💥💥💥💥💥
Yes with Gigy Mapesa
Dude limetulia wote wameuwaaa kinyamweziiiiiiiio
Enjoyyy mihayo
@@Rosa_Ree niko na Enjoy na Wana hapa Wana ku respect kinomaa
Goddess🔥🔥🔥🔥,this girl thou🥰💯✌️,much love from Dozee
Goddess💥
Zuchu unasikia hii then useme hauna wakushindanishwa ww zuchu acha ukichaa hawa wanakuja moto fire 🔥 😍 😄 💖
Awwwwwwwwwwwwwwwwww🥳🥳🥳🥳🥳🥳ngoma Kali ikiwa na giggy bna
Kama umekubali hili goma kama mm gonga like 👍tupite nayo 🔥
🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/sppE_qvSAns/v-deo.html
Wanasauti nzuri sana ila staili yawo mbaha sana na mbovu
@@Rosa_Ree Mambo
Happy belated birthday to DIAMOND PLATNUMZ
irrelevant
@@kahlandallucy2373 katombwe uko nababako
@@amour0072 nipee baba ako
Hivi ww Rosaree ,, mbona Unapenda Kushtua music Industry 🙌🙌🔥
Mwamba wa kasikzini sema nilikuwa nawaza siku moja ije kutokea kama hii Mana nyote mupo💥💥💥
Moto kama pasi big up from 🇰🇪🔥
Thankssss
Eeeeiiiish hatari Rosa Ree the vibe killer this track is dope 🔥 Ommy k has approved it
Aisee Gigy ni Nomaaa sana ametisha mbaya mbovu
Rosa mtu mbad...twataka na Shensea sai💥
Imeisha hio 🔥Rosa bhna wee!!! Wa moto huna baya kwenye verse mpaka hit song
Rosa ree noma
Asantee
@@Rosa_Ree OK nipo na wew
Goma la kinyama sanaaaàa❤️ mwanzo nlijua gig ataaribu ila kaua yaan wote mmetisha ni noumaaaaa
Chaga girl unajua kinyama Yani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hatariiiiiii badGirl🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks
@@Rosa_Ree wow! A love ur bangs always unafanya tofaut kivyako
my words can't tell how good her songs are and i am leaving this comment here so that whenever someone likes it i can come back to listen to this song again
Saluteeeeee💯
Come back
Thank you very much my favorite artists, i pray for you to continue giving us your best talent. We got your back R & G....
@@Rosa_Ree 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
SONG ON LOOP
Chukua simu upigie khaligraph umshukuru haraka sana...I'm here coz you mentioned him
Penda San awa watu aki 🇹🇿🇹🇿💃💃🥰🥰
Thankssss
Afu kuna mtu atasifia kina Nickminaj ataiponda hii,ngoma 🔥
Gig money kill it🔥🔥🔥🔥
Yesss
Yeeer
So the name of the song is "GIVE TO ME" as to what doesn't really seem as an EMERGENCY! Huku sasa kutaka SIFA ROSE khaa! Bonge la dude... INTERNATIONAL level. Ila Gigy bana hataki kabisa kuhama maneno yake ya kutiana kwa jina la vitumbua, mihogo na kuni kuota moto! MAE!
Wah wah wah🎼🎼🎼🎼Nakubali Sana Hilo Goma
Rosa Ree next level my sister God bless you Nice job 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Thanks Buda
Bad girls 🔥🔥🔥🔥
Yesssss
Rosa Ree is King, dada unajua mpaka unajua tena, yallaaa!
Ngoma Kali Sanaa Gigi 💰 kauwaa Sanaa 🔥🔥🔥🔥
Ue really queens of dancehall in East Africa mmeua sana jaman ngoma kali ft card b wa tz 🔥🔥🙏❤️
Thanks so much
@@Rosa_Ree i wish rosa or gigy one of ue niwe kwa crew zenu ur really Gemini nawakubali sana keep doing greats much love ❤️
It's surprising 😍😍😍😍 coz we did see this coming 😂 ....both of them are my favorite female raps ,and seeing them working together just melts my heart ❣️. Each of them with their real vibes ,the energy is felt throughout the songs 💅💅 @RosaRee 👑 @Gigymoney ILY 💝💝💝💝. Dope work both of you ❣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oooh thanks u so much
ua-cam.com/video/sppE_qvSAns/v-deo.html
Gigy mony anajihumuza tu Ila anakipajia kizur Sana
Nakatika huu wimbi anaonekana amemfunika Sana mwenzake
Ngoma🔥🔥🔥🔥sana Gigy money anaweza mpka anaweza tena😂😂
Hiphop-Rap-Dancehall-&---all got nothin on🔥🔥🔥🔥🔥 RR🔥🔥🔥🔥🔥
Best female rapa Tz were so proud of you Rose
Thanksss
Bonge la Ngoma Kumamake #BadestRosaRee Kauwa mbwa Wanaojidai Wanajua kurap hii ni mashine nyingine Kutoka MARANGU MTONI #CHAGGANATURE 🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks
@@Rosa_Ree goddess 💌
Jamaican beats in bongo sounds nice ❤
si stefflon don aombe featuring afichwe asee😂😂 unajua mwanangu
Soon atafichwa
Apa naona vichaa wamekutana kama unaona wanafaa kuimba pamoja piga like waungane liwe kundi
Our spice Is Rosaree DODDESS 🎶🎶
Eiiiiish♨️💯💕.. This track and the video hits different 💯
Enjoy the vibe💥
I love how Rosa Ree changes her tones.. it's amazing.. I just love Gigi too for being real... Gaaaaaaal fire
Weka mbali na watoto🥰🤗
Rosa ree ni super talented more likes for Rosa ree
Kenyans let's show Rosa some love🔥🔥
Thanksss
Rosa ni Bazuu tulimtambua kitambo sana haina ubishi io 🤗🤗🥰🥰
ua-cam.com/video/sppE_qvSAns/v-deo.html
Nice
Kenya in the house 🔥🔥 watching from IRAQ 🇮🇶🇰🇪
Welcome
Nimeipenda hiyo
Rose ree gigy money 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💃
I like the way #Rosareee is consistent in releasing her Music. I like the song and it's words: Mara ya kwanza nimeusikia nikajua #Spice yumoooooooo kumbe no. Hongera Sana.
Rosa Ree on doing what she does best. And Gigy I did not expect this at all. Great Combo. I see why you started all the drama😅. Love you Gigs❤
Miamba miwili imekutana!!!
nakwambia hii ni banga 🔥🔥🔥🔥
Asanteee
Murife run, Rosa has dropped a banger 🔥🔥
🔥🔥🔥Rosa she is East African queen musician 🎵🎵🎵🎵
Thanks u so much
Guys am here to remind you Rosa Ree is from Kenya,she's ours🇰🇪😂📌She's baaadeest🔥🔥🔥💯
Hahahahaha
Nakubali huyu demu🔥🔥🔥🇹🇿
Now I see why gigy is the "talk in town(tz)" 2022 is definitely going to be her year aisee.big up sana Rosa Ree I never saw this coming..y'all nailed it... Lots of love from UAE guys🙌💯❤️👌
ua-cam.com/video/sppE_qvSAns/v-deo.html
Lots of love Rosa
Welcome
Yani waloimba wote na wakubali mmmh 💥💥💥💥💥💥gigy wake miee
Santeeee
Mungu mkumbuke huyu anae soma hiyi comment
Baddassery!!!!🔥🔥🔥
Rosa Ree the queen who never disappoints.... That's a big tune
Rosaree mi gyal mi a seh yuh bad news keep it up
Eti fire extingisha 😂😂😂 duh kingreza lugha ngumu kweli !!
Hii collabo sikuiona ikija mapema hivi! Noma Sana! Emergency challenge kila Kona ya dunia naiona Ile paleeeee!!! Bonge la club banger! Giggy unakua Sasa! Sio kwa flow Hizo!! 🔥🔥🔥 Rosa ree Kama kawa! Mambo yako haya! Level za kimataifa!
Thanksssssss
the vibe this song gives is insane, the beat, all about this song is massive respect to both of them. Can't stop listening, the repeat button is burning.
nani anaogopa basata isifungie wimbo uu piga like tujuane
Wow, nilisubili gigy aje kuhalibu lkn amepita mule mule 💥💥💥💥💥💥💥
Gigy killed it
So much vibe congrats queens🔥🔥🔥
Machalii mmetisha kinyamaa🙌🙌
Bonge la song 👍👍👍 gigy kaua sanaaa
I love this 2 ladies ..love 💕 from kenya
Kenyans confirmed that this is a hit song🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks Kenyans
Tamu sana Dadangu Rosa❤️❤️❤️❤️
My rosa ❤️❤️
💞💞💞💞
Jamaican Music There We Come ✅✅✅
Yesss wawe tayari
Wanawake ninao wapend tz namna hi ✌️✌️ bonge la goma
Rosa ree ni 💯💯💯💯💯🏇💯💯💯💯💯
Rosa & Gigy 🔥🔥🔥
King always on top 🔗 oh yeah the jam is lite give it up to Rosa Ree🔥
Thanksss
Goma Fulani ivii mikato ya dancehall kama Jamaica Yaani...
Tamu Sana nikiwa napigaa vitu vyangu naenjoy sana
Asante endelea kuenjoy
Ngoma Kali saaaaaaana sema tatizo itafungiwa Dah
🤔🤔🤔🤔🤔
🔥 love from Kenya this is a real bang shit 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Much love💞
@@Rosa_Ree 🥰🥰🥰 welcome
ua-cam.com/video/sppE_qvSAns/v-deo.html
I like the combo... @Rosaree + Gigy Money 🎧🎤🎵🎶🇹🇿 💥💥💥🔥🔥🔥
Fireee💖
Hamna nymbo hapo zaidi ya kutukana na kutuonyesha matako
Yan Kwa mwaka uhu Toka uanze ihi ndo ngoma Kali kuliko zote za wanawake bongo🔥🔥🔥🔥🔥🔥😞
Asanteee🔥🔥🔥
Rosa one of the best rappers
I think Rosa can really give us a baaaaang once she meets Spice the queen of dance hall,..this song is a gem🙌🙌🙌💯💯💯💯
Soon🔥
@@Rosa_Ree yaaaas she replied 🥰🤗👏👏..I will literally be waiting for that collaboration
Gaaaaaddiss💯🔥🔥🔥🔥
💯💯💯
My bad girl
Kenyans lets make this a hit😍😍😍
Yesss Kenyans
Rosa is always on fireeeeeee
Thanksss