Walter Chilambo - Unaniona (Official Music Video) For SKIZA Sms "Skiza 7610945" to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 317

  • @WalterChilambo
    @WalterChilambo  3 роки тому +31

    Subscribe to never miss a song by me🔥🙏
    ua-cam.com/channels/DoWsW3lwKjVyOO2uf3VKhA.html

  • @florencemsigala6549
    @florencemsigala6549 10 місяців тому +5

    Sasa ninaelewa njia salama

  • @HappynessEdward-sk2pn
    @HappynessEdward-sk2pn 8 місяців тому +7

    2024 still watching
    Hata nikila pasipo Neno lako si shibi
    🙏🙏

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 4 роки тому +79

    Kama kunamtua anataman kua kama chilambo dondosha like hapa

    • @dotnatakathibeti6824
      @dotnatakathibeti6824 3 роки тому +1

      Ninamkubali sana Mungu aendelee kumuinua zaidi barikiwa

    • @aliciosolive5810
      @aliciosolive5810 3 роки тому +1

      I bless God for you let all the glory go to God for every soul this songs lifts

  • @aalishahwilliams3916
    @aalishahwilliams3916 8 місяців тому +3

    The best i know of @Walter chilambo

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 6 місяців тому +9

    Am here 2024, I remember those days nilivyoona huu wimbo nililia sana

  • @dayanapastor2322
    @dayanapastor2322 4 роки тому +57

    Wow,, Tunao amini kuwa sisi SI malaika bali ni binadam gonga like tumalizie mwaka hata niseme mangapi napenda nyimbo zake wanaopenda nymb niwaone

  • @malkianovart6207
    @malkianovart6207 3 роки тому +3

    Mungu Ni wa huruma milele

  • @maureenonyango349
    @maureenonyango349 2 роки тому +1

    Ndugu Mungu azidi kukuinua katika kazi yake, nahisi kuguzwa nikisikia nyimbo zako

  • @egbertcharles
    @egbertcharles 5 місяців тому +3

    Ukisikiliza Huu wimbo zaidi ya mara moja na kima mara utangundua kuwa unagusa maisha yako na maisha halisi ya watu wengi hasa wanao jifanya watakatifu mbele ya jamii. Eh Mungu tupe neema ya kuishi maisha yakupendezayo wewe sio wanadamu. 10/06/2024

  • @violettemitchel6772
    @violettemitchel6772 15 днів тому

    Huu wimbo siuchoki jamani.....❤

  • @ReubenStephen-im3eg
    @ReubenStephen-im3eg 5 місяців тому +1

    If we judge o😢 our thoughts and actions, we shall escape wrath of Good

  • @florencemsigala6549
    @florencemsigala6549 5 місяців тому +2

    Ndio maana kila ck nasema Mimi na, family yangu tunaishi kwa, neema tu za, Mungu

  • @umarwa6915
    @umarwa6915 2 роки тому +1

    hakika kaka mung azd kukubark nyimbo zko znanifarij sana

  • @doreendominick4431
    @doreendominick4431 Рік тому +3

    Nanimejuwa bila ya wewe sifiki hata nikila pasipo neno lako sishibi Neema yako Upendo wako Rehema zako zimeniimarisha tena 💪🙏🙏

  • @WalterChilambo
    @WalterChilambo  4 роки тому +44

    Kama Mungu angechangua watu wake (If God selected His people)
    Mimi singekuwepo duniani (I would not be here on earth)
    Kama Mungu angechagua watakatifu (If God selected the Holy ones)
    Mimi singekuwepo duniani (I would not be here on earth)
    Refrain:
    Mimi binadamu, wala si malaika (I am but a human, not an angel)
    Mengi nimekosea na kukuchukiza (I have wronged and offended You)
    Mi nafanya mambo yasiyo stahili (I have done things I should not have)
    Nimevuruga vuruga mipango yako (I have disrupted Your plans)
    Wanihurumia (Yet You have mercy on me)
    Mbele ya macho ya wanadamu (Before human eyes)
    Nilikuwa nikijificha (I was hiding)
    Kumbe wewe waniona (But You see me)
    Kwa kujifanya mtakatifu (By pretending to be Holy)
    Tena bingwa mkarimu (And a generous victor)
    Nilikuwa/(Kwenye ibada) mnyenyekevu (I was/in worship humble)
    Tena mpole sana (Also submissive) (Repeat)
    Kumbe Mungu, unaniona/unionae (Truly God You see me/who sees me)
    Macho yako, yanitazama/yanitazamae (Your eyes gaze at me/sees me)
    Sikio lako, yanisikia (Your ear, hears me)
    Siwezi jificha (I cannot hide) (Repeat)
    Sasa nimetambua, mbivu na mbichi ni zipo (I have now learned to differentiate)
    Sasa ninaelewa, njia salama ni wapi (Now I know where the true path lies)
    Na nimejua bila ya wewe sifiki (And have understood, without You I will not arrive)
    Hata nikila pasipo neno lako sishibi (Even if I eat without Your word, I am not satisfied)
    Neema yako, ila kwa neema yako (Your Grace, it’s only by your Grace)
    Upendo wako, kwa upendo wako (Your Love, by Your Love)
    Rehema zako zimeniimarisha tena (Your mercies reestablishes me) (Repeat)
    (Refrain)

  • @antoinetteirakoze4503
    @antoinetteirakoze4503 Рік тому +1

    Ubarikiwe San mtumishi nyimbo zako zinanibariki sana

  • @thelegendsempire7286
    @thelegendsempire7286 3 роки тому +1

    Tena bingwa mkarimu...🎶🎶🎶🕺
    Siwezi jifichaaaaaa🎶🎶🎶🎶🕺🕺

  • @isalushadia4534
    @isalushadia4534 3 роки тому +1

    Mmi ni muislam lakin kila wakati naskilizia kwaya zako ongera sana kwa ujumbe mzur sana ubarikiwe

  • @dominalucian7965
    @dominalucian7965 2 роки тому +1

    Hii nyimbo sichoki kuiskiliza be blessed

  • @DommyAbass-zh7fk
    @DommyAbass-zh7fk Рік тому +3

    Nishaona Album yako ya 2023 yan duuh kwa kweli in ushuhuda broo Mungu yupo nawe tunakupenda sana

  • @CharlesMushi-nb7qy
    @CharlesMushi-nb7qy Рік тому +2

    Umenifariji Kwa siku ya leo

  • @jombilozoo
    @jombilozoo 3 роки тому +1

    hivi nilikuwaga wapi siku zote ,maana leo ndo nimezifuma huku youtube, honestly umebarikiwa kipaji kikubwa kaka, Endelea na kazi ya Mungu

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 роки тому +2

    VERY SYRONG _- Mungu azidishe Baraka na Upako ,Ni njema saana- nipo Dodoma Tanzania

  • @sundayherrieth9460
    @sundayherrieth9460 10 місяців тому +2

    Walter chilambo, nakisikia faraja sana nikisikia nyimbo zako, zinanibariki Sana

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 3 роки тому +4

    Mbele ya macho ya wanadamu huhuuu,nilikuwa nikificha kumbe wewe waniona YESU wangu Asante kwa kunipenda jinsi nilivyo.

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 роки тому +2

    Mungu atuwezeshe, Asante sanaa sanaa ,,,,

  • @StellaThomas-r3o
    @StellaThomas-r3o Рік тому

    Hapo ndo unajua kua wewe nimtu tu!

  • @irenemwakalobo4496
    @irenemwakalobo4496 Рік тому +1

    2023 still watching this song it's such a blessing 🙏🙏

  • @doreendominick4431
    @doreendominick4431 Рік тому +2

    Mungu akubariki sana Chilambo nyimbo zako zinanibariki sana 🙏🙏🙏

  • @musyimidavid7596
    @musyimidavid7596 4 роки тому +8

    Kaka nyimbo zako utubariki xna..... Nairobi kenya

  • @vinaah3437
    @vinaah3437 3 роки тому +5

    Bira ya ww cwez mungu wangu nikwa neema yako na upendo wako mbele ya macho ya wanadamu hote nlikua nikijificha tabia zangu, kumbe mungu ulikua unaniona, cwez jificha bira ww me cwez yesu wng🙏🙏

  • @milkahkoech7509
    @milkahkoech7509 Рік тому +1

    Huu wimbo nauskiza kila siku..yaniinua wakati wowote naona sifai...ubarikiwe sana walter...naomba iwapo ungewekeza youtube tuweze kudownload.

  • @salumdaudi1402
    @salumdaudi1402 2 роки тому

    Asante mungu kwa kunipenda pia Asante Walter chilambo kwa wimbo

  • @glorialambert3349
    @glorialambert3349 3 роки тому +11

    Nakupenda bure
    Mungu aendelee kukupata nguvu

  • @rabanifungo4965
    @rabanifungo4965 2 роки тому +2

    Wimbo mzurii kama umetoka jana hongera sana

  • @vinicentliyayi3132
    @vinicentliyayi3132 3 місяці тому

    What a morning ,,,this song carries a lot of teachings

  • @irenejustinian2212
    @irenejustinian2212 3 роки тому +2

    Mungu azid ukutunza na uzidi kutangaza neno la bwana

  • @fajompangile
    @fajompangile 4 роки тому +6

    Na katika hatua zote Mungu atuona ...huwez jifanya mtakatifu ....jicho lake laona ...siwezi jificha UNAONA

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 2 роки тому

    Hakika wengine nikwaneema2 maana yeye hachagui❣️❣️❣️❣️

  • @stellamalebetoh6428
    @stellamalebetoh6428 3 роки тому +1

    Nalia tu kwa mguso wa hali ya juu,Mungu akuzidishie

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu 4 роки тому +13

    Uja wahi kosea kka mungu aendelee kukutunza na kukuinua

  • @mawazoramazani9370
    @mawazoramazani9370 Рік тому

    Mungu azidi kukuinua Kaka Wimbo Mzuri umenibariki

  • @mamy8220
    @mamy8220 2 роки тому +1

    Amina baba lao 🤩😘😘😘😘

  • @dicksonnkuba1031
    @dicksonnkuba1031 2 роки тому

    Wimbo Bora wa muda wote

  • @florencemsigala6549
    @florencemsigala6549 9 місяців тому

    Ni kwa neema tu

  • @nichomaish3536
    @nichomaish3536 7 місяців тому

    Amazing song Kama sio Mungu 🙏🙏🙏

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 роки тому

    Good one my Brother - MUngu Anaona na Kusikia,,,, nipo Dodoma Asante saaana,

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 роки тому +2

    Mungu Unaniona,,,,, Mungu akubariki sana sana Mtu wa Mungu,

  • @paulharuna5053
    @paulharuna5053 4 роки тому +4

    Mbele ya macho ya wanadam nilikuwa nikificha kumbe wewe unaniona😥😥😥😥😥😥😥😥😥🙏🙏🙏🙏

  • @anganilekalinga9574
    @anganilekalinga9574 2 роки тому

    Pumzi ya wanadaamu ni taarifa kwa MUNGU wetu

  • @maryannemwangi168
    @maryannemwangi168 3 роки тому +9

    We are all sinners lets stop been holier than though God sees all lots of love from Kenya

  • @MiriamRoberts_5050
    @MiriamRoberts_5050 7 місяців тому

    I so love this song,I play it on repeat mode for an hour daily..... good song.

  • @MarhonyiBahati-l2k
    @MarhonyiBahati-l2k 5 місяців тому

    At naminigekuwepo

  • @boniphacerweyemamu2118
    @boniphacerweyemamu2118 3 роки тому +5

    Wimbo unanibaliki kila siku

  • @chriskimuya2731
    @chriskimuya2731 Рік тому

    My prayer . Mungu akuone

  • @angeroabel418
    @angeroabel418 2 роки тому

    Mungu akubaliki Kwa ujumbe wako mzur

  • @aishadjumaphones8877
    @aishadjumaphones8877 3 роки тому +5

    kweli najifica ila wewe unaniona baba nisame zambizangu😭🙏🏽

  • @mecktildanicholaus8729
    @mecktildanicholaus8729 3 роки тому

    Napenda sna huu wimbo kaka Walter mungu akubariki kaka

  • @morzermathias9530
    @morzermathias9530 2 роки тому +4

    Naupenda huu wimbo mpaka naumwa, mungu akubariki Sana😘😘😘

  • @florencemsigala6549
    @florencemsigala6549 8 місяців тому

    Pasipo neno lako sishibi

  • @florencemsigala6549
    @florencemsigala6549 5 місяців тому +1

    Mungu atusamehe

  • @jojobahatiselenge949
    @jojobahatiselenge949 2 роки тому

    Amen napenda nyimbo Zako sana

  • @ArmeliaHope
    @ArmeliaHope 10 місяців тому

    Mungu asifiwe

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 3 роки тому

    Mtumishi unanibariki saana
    YAHWEH azidishe upako juu yako 🇺🇸

  • @daudsteven4232
    @daudsteven4232 3 роки тому +1

    Amina Mungu aendelee kuinua huduma iliyondan mwako

  • @patrickarisa2129
    @patrickarisa2129 3 роки тому

    Walter bana unagusa nyoyo zetu..big up

  • @jeremiahkc
    @jeremiahkc Рік тому

    Asante sana Kwa wimbo huu.

  • @godwin-daudmusika2697
    @godwin-daudmusika2697 4 роки тому +3

    KUPITIA NGOMA HII NISHAMJUA RAISI ATAKAYE SHINDA UCHAGUZI MWAKA HUU 2020

  • @Urieltz
    @Urieltz 6 місяців тому

    Every time I want to play this song 🎉🎉

  • @manfredynjelekela3109
    @manfredynjelekela3109 3 роки тому

    Nabarikiwa sana ninaposkilza nyimbo zako mtumish wa mungu mungu akubariki

  • @MayanzaniPaul-z3x
    @MayanzaniPaul-z3x Рік тому

    Ahsante chilambo

  • @juliethsanga8730
    @juliethsanga8730 3 роки тому +1

    Ameen barkiwa

  • @ericdaniels2608
    @ericdaniels2608 Рік тому

    Hii imetulia sana Walter. 👍🏽

  • @viviandavid9974
    @viviandavid9974 6 місяців тому

    Katika nyimbo nzuri ulio wai kuimba kaka hii ni nyimbo nzuri sana ubarikiwe walter

    • @chingejotham3508
      @chingejotham3508 3 місяці тому

      na sijui kwa nn haikutoboa sana..ila ni bonge la song..message

  • @selestineemmanuel1365
    @selestineemmanuel1365 2 роки тому

    Napenda nyimbo zako kakaaa mungu akusimamie Kwa kazi yako

  • @joebinoombati2042
    @joebinoombati2042 Рік тому

    What amazing song, God bless you brother chilambo

  • @bendanbwire9168
    @bendanbwire9168 2 роки тому

    i thank GOD for gift

  • @ishengomamlangila4341
    @ishengomamlangila4341 4 роки тому +4

    Nymbo nzuri Sana kaka ubalikiwe

  • @frolawihenge2078
    @frolawihenge2078 2 роки тому

    Dah,wimbo huu ni mzuri mno hauchujuki hata kidogo.Barikiwa kijana.

  • @mwanguohermanmwasoko3954
    @mwanguohermanmwasoko3954 Рік тому

    Ni kwa neema tu si kwa kua we are the best,thank you Lord🙏
    Keep the good work Walter Chilambo

  • @vivianchepchumba6331
    @vivianchepchumba6331 3 роки тому +5

    My all time favorite 😍😍

  • @togetheranythingdf2212
    @togetheranythingdf2212 Рік тому

    Nice keep it up and God bless you Water Chilambo

  • @wycliffjustus4018
    @wycliffjustus4018 4 роки тому +9

    i love this message we are all sinners but God does not see our sins he always give us a second chance

  • @Jastus100
    @Jastus100 4 роки тому +7

    Amen Mungu akubariki sana

  • @SylviaMugenge-n4s
    @SylviaMugenge-n4s 10 місяців тому

    This song reminds me that whatever I do God is watching so blessed to hear this much love from 254🇰🇪🇰🇪

  • @paulynekachal9897
    @paulynekachal9897 Рік тому

    what ablessing song God bles you

  • @anastaziuschrisant4725
    @anastaziuschrisant4725 3 роки тому +1

    Mungu akubaliki, unakipaj cha kuimba.

  • @rephaa7905
    @rephaa7905 2 роки тому

    So blessing songs, i really love your songs

  • @adnoicembogho4421
    @adnoicembogho4421 2 роки тому

    Wow wow what a beautiful song. Factss

  • @estherdavid8924
    @estherdavid8924 3 роки тому +1

    Asante sana kaka kwa wimbo wenye ujumbe mzuri umenigusa sana

  • @stelayunami7779
    @stelayunami7779 Рік тому

    ❤❤Hongera

  • @cathystephano6385
    @cathystephano6385 3 роки тому

    Mzr sana wimb huu u
    Nanfariji

  • @selengejojo5142
    @selengejojo5142 2 роки тому

    Amen amen amen

  • @tabithaachieng9136
    @tabithaachieng9136 2 роки тому +8

    This song is a blessing..God bless Walter we love so much here in Kenya

  • @moureenchepkor7170
    @moureenchepkor7170 2 роки тому

    Nice song God bless you so much 🙏

  • @africantrend432
    @africantrend432 3 роки тому +4

    Bro umeimba sana huu wimbo big up 2 U

  • @wemaerick373
    @wemaerick373 3 роки тому +1

    Mungu awenawe

  • @FaithPeter-z9t
    @FaithPeter-z9t 23 дні тому

    Wow🔥🔥🔥

  • @imaculataraphael4891
    @imaculataraphael4891 3 роки тому +2

    Naupenda Sana huu wimbo kwa kweli 🙏🙏