Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongera kwa kitatange .ila wadau mbona sizioni like zenu
Naona hakuna aliyoomba like 😂 from Oman🇴🇲 nigaiyeni japo 6 tuache makasiriko😂
yangu umepata
@@abditari7998 Sante
Izo. Like. Wazipeleka wp😂😅😂
@@mememe5689 nakuchangia ww msaada ucwe na wasi nazo ok
Tupo from Maabella Oman
Mie nataka khasa mume kama kitatange waume kama hawa wapo kwa isabu duniani love from uk 🇬🇧 🇬🇧🇬🇧
Nyie hii tamthilia inanifanya natamani kuolewa
Kwan hujaolew ww
Hii mzur kwel una fundisha sna kwa jamii mzma.
Ila kula mmekuweka juu kila baada ya kipande mnakula hhhh
Jmn ukipata mume km kitatange usimuache😁 kuna Wembo w maulidi juma wasema ulo nae mzuwie acije akakutoka ukaja kulia nae 😊 Ongera Amiin kwakupata kitatange 🥳🥳🥳🥳🥳
😂😅😂😂😅😅
Kabisa huyu siewakumuacha maana si kwa huba hili
Muache tamaa 😅😅😅
Ma'shaallah mke wa adhuli umenasa ssa lkn mbn imeshakuwa na gubu mapma ivo😂😂😂
Dula kazi nzuri Sana 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 siuendezko BC wangojani n mwali ushamuozesha nenda kwko ama huna kwako thobaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani siaondoke jamani Hadi ukosewe adabu n watto mbona nkzi ndipo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kungwi anatak makwajuu😂😂mkaidiii hiii
Alau leo boss mwinyi kafurahi hee kila siku gugu boss kama huyu mi ningekufa
Leo afaadhaalii niimewahii mtuu waa kwanza 😅😅😅😅😅 kutok Saudia Arabia tuko pamoj🇸🇦🇹🇿💖
Ww kitatange mungu akujaalie akuzidishie upo vizur mno hongera sana kaka
Wakwanza
Aisee kitatange ana huba sio mchezo
Dula hongera na mkeo kupata mimba lakini duh ni mchokozi Asema kitatange yuanuka 😂😂😂😂😂😂😂
Kitatange umepata mke katoto kazuri masha allh ❤🎉🎉
Big up kitatange
❤🎉🎉 mapenz yng ya dhati yote nmekup wewe❤❤🎉🎉 fungate (hamu ya ndoa).
Mbona hatuwaoni siku hizi,tunawasubiri kwa hamu
BADO
Duli kazi unayo Amina utajuwa kuolewa na kitatange
Hahaha kamuwoshe usimulize
Manukato yote anayonitia mke wangu ni nasingi
Kitatange anaogopa kwenda kumuosha mkewe
MANUKATO YOTE YALE NNATHINGII
Kitu kimenoga aswaaaa ,ila tuongezee japo mda kdg japo dakika 30
Kwani kungwi atakiwa kukaa ck mbona huyu hataki kuondoka
7 t
Kila kipande watu wanywa chai wakila wali 😅😅😅
Hahaha kungwi kama mzuka
Jamani kila mara tunasema tatizo sauti
tunaomba radhi kwa tatizo hilo
Kazi ipo mtu anatapika jikoni mapya hayo tena
Hiyo mimba imekuwa kiroja. Huna hata uvumilivu? SIJAIPENDA
Voice inakata inapotez mood kabisa 😊😊😊
Doctor kanikosha apo kwenye milo😂😂😂
Kungw kungw 😮😮😮
😅😅jaman watu wanaigiza tu hapo mbona kuna wengine mnawashambulia waigizaji !K
kweli
Kwa Duli kuzuri baadaye😂😂😂
Hii sauti hua mwaila
Mkaza abdhuli mimba io basi wanikera aijamaliza ata mwezi tayr vishindo vya mimba
Iyo mimba hee
Kitatange kua mwelewa kaka haunuki hali ndo c hali
Nipo palepale
Safi sana
Uyo kungwi ananikera sasa
sifa ndokwanz yy kupta mimb chefuuuuu 🙃🙃🙃
He mawe huachi maigizo tu hali hiyo jee ingekua kweli mhh 😏
Mamb tayar❤❤
Jaman like ivi zinasaidia nn
Mm nipo
C kila mwenye mimba atapika kila movie ya kitanzania mwenye mimba mpaka atapike
Mie nishazaa 3 sijawahi kutapika Alhamdulillah
hongera
Haya leo nipo 2
Maua yko no 2 🎉🎉🎉
Siye salama au
Ivi hii sauti huwa inakuaje mbona kilasiku
Munatukera mujuwe
sawa
❤❤❤
Nikwlii
Kwanini sauti inakata lakni
kwa sababu kuna vitu youtube hawavitaki
Nnothing typing
❤😂❤❤3
😂😂😂😂❤❤🎉
Hello 👋
🖐
Kungiweee
❤❤❤❤❤❤
Hayuko mbali kujuta kuolewa
❤❤❤❤