MTAKATIFU WASTAHILI SIFA. KKKT USHARIKA WA KIMARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2020

КОМЕНТАРІ • 14

  • @sophiawilson6508
    @sophiawilson6508 Рік тому +1

    Huu Wimbo umekua Wimbo wangu wa kila wakati ninapohitaji uwepo wa Roho Mtakatifu...na kutafakari utakatifu wa Mungu wetu.Esther Mungu akuinue juu sana kwenye utumishi wako.

  • @joyceruben1401
    @joyceruben1401 2 роки тому +1

    Ooohhh hallelujah Amen 🙏,,,,hakika ni mtakatifu,,,,,and am blessed nakupenda sana Esther ..... Endelea kuwa mwaminifu

  • @estherkabuo8966
    @estherkabuo8966 Рік тому

    Amen dadangu Mungu akubariki sana

  • @mnyuke
    @mnyuke 2 роки тому +1

    Unaimba vizuri saana dada Esther,,,,,hata kwenye kipindi cha sifa ,huwa nabarikiwa saana

  • @isayamlimbila1522
    @isayamlimbila1522 Рік тому +1

    dada dada Mungu yu pamoja nawe

  • @lilianmungure8374
    @lilianmungure8374 3 роки тому +3

    Ester Mungu akutumie kila iitwapo leo

  • @isayamlimbila1522
    @isayamlimbila1522 Рік тому

    🙌🙏

  • @eshyshoo9672
    @eshyshoo9672 3 роки тому +1

    I'm So Blessed with this Song..MUNGU AKUBARIKI Dada Esther.

  • @sophiawilson6508
    @sophiawilson6508 11 місяців тому

    We still give you glory Yahweh

  • @witnessshayo9536
    @witnessshayo9536 3 роки тому +1

    Nakupenda sana Dada Esther ninakuombea Mungu akutunze na aendelee kukupandisha viwango kwa viwango na Utukufu hadi Utukufu uzidi kumtumikia kwa uaminifu hakika uimbaji wako unanibariki mnoooo.

  • @gracemfangavo4824
    @gracemfangavo4824 3 роки тому +1

    Nakupenda saanaaa dada Ester naamin one day we wll be together over there...... God keep this favor to her every day

  • @bitejohn4471
    @bitejohn4471 3 роки тому

    Hii sauti ya huyu dada jaman .....no words...

  • @barakatheofelix4206
    @barakatheofelix4206 3 роки тому

    Mungu ametoa karama kwenu bs itendeeni haki kama hii Leo, mungu awapandishe viwango vingine

  • @doramoshi6340
    @doramoshi6340 3 роки тому

    Ester Mungu aendelee kukutunzia kipaji ulichonacho