MAANDAMANO YA CHADEMA Yakifukuta KUFANYIKA KESHO, JOSEPH YONA AFUNGUKA MAZITO..
Вставка
- Опубліковано 20 вер 2024
- 💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Kuna maisha baada ya maandamano yanini kucheza na 🔥🔥 yarabi nafsi..
Chama Cha chadema kifutwe tuu ni mamluki wahuni hawana Nia njema na taifa wengi wao ni wakinbizi ughaibuni
MWENYEZI MUNGU ANAWAONA CHADEMA WATAANGAMIZWA
Kweli
Mbona mnaogopa watu kuandama?? Wacha watu waandamane watu wawakilishe hoja zao watu wanauchungu ndug zao wanapotea
Kweli vyombo vyetu vya usalama ni dhaifu
Majeshi yote hayo kwa chadema tu kweli hatuna vyombo vya usalama
Nilijua tu,lazima uanze kusifia,ili kutengeneza uchawa!
Mmeongea vizuri saana mungu awabariki saaana
Mbona kama uyu sija mwelewa, anayo sema,
Mama kuruhusu hawa machawa kwa hiyo chadema Wanashirikiana na polisi kuteka watu duh 😢
Njaa yenu kali
Huyu jamaa katumwa na kutumika wengine wanaweza kufikiri ni njaa hapana
Huyu ni sehemu ya watekaji anafanya kazi kubwa kufunika mauaji wanayofanya!
Kama tuna serikali inatumia wahuni kujitetea na kuficha mauaji
Ukisikiliza Kwa makini mauaji ni kazi ya serikali
nikwer kiogozi hayo maadamano hatuitaji chida ichi yetu tumezoea Aman. tanzania yetu tunaipenda kuwen Makin nahawa chadema
Pumbavu zako peleka njaa huko unafkir utapewa cheo ccm,
Please usiwachafue viongozi wetu wa dini yaani maaskofu
Shikamoo njaa
Acha ungese unasema hivyo kwa sababu ulitajwa na rais ndio maan unajichokonoa mwenyewe unacheka mwenyewe loo huna aibu wew njaa tu koleka chikozile kokung'una inguo
Humepokea pesa
Mnatuzingua tu,uchawa unawasumbua,nawewe ninani nimsemaji wapolice,au warais,tutokee hapa nawewe mchochezi shez .
Jitaidi kupotosha MUNGU anawaona
Nimejitahd kusikiliza lakin simuelew huyu jamaa
HUYU JAMAA HAJUI WALA HAJUI HAJUI NINI!!
KAMA KUNA MWANANCHI ASIYEJUA YUKO WAPI NDIE HUYU
WALE WANAOFAIDI PIPI ZA SHETANI NDIO HAWA
chadema sio watu wazuri kabisa.
Sinaona points
M waambie hao mabwana zenu walete wale polis wakimataifa ndio tuwaamini kama ni wao
Huyu anaongea ufaka na happy ameshiba nataka kwenda toi😅 hili taifa Lina vijana wa hovyo sana
Acha kudanganya uma nakupotosha watu umetumwa ww tutaandamana
jamaa anaongea pumba adi nimeshindwa kumalizia kuangalia, ina maana saiz jeshi la nchi linamilikiwa na chadema, chadema wanamiliki silaha nzito za kwenda kutekea watu, na wana uhuru wa kumteka yeyote, na kama ni chadema wanatekana wenyewe mbona mnakataa uchunguzi kutoka nje
Hahunahakili
Dah!!!
Weeee nawewe unatetea nn hamjibu hoja mbona ?
Mungu yupo madaraka si matam
Boya chawa
kwani chadema wakiandamana ninyi kinawatesa nini??
maandamano yako palepale
Wanaakili awa watu😂 mbona wanabweka or wanataka wapewe 🍞 wakilasiku
Mbona sielewi kila tukio ni chadema Mimi sijui lichama lolote, Sasa chadema no nchi gani mbona mnasema wanatekwa hafu hatuoni alochoma picha hamsemi sativa hamsemi mjue watanzania tunaakili, hao wakufunzi kunini jeshi lisiwakamate, haina uchungu wawawtu wewe.
Tujaribu kuwa nakiasi namaneno yauwonqo ,mbona inawakera ,wakiandamana alafu,mambo yakuwataja watumishi wamungu kwenye mambo yenu yauwonqo siyo sawa ,
Hakuna hapo mtu wa mungu yesu alipigwa lakini alihubiri amani sio kutoa kauli chafu angalieni hao wasije kuleta udini hata sisi tunaviongozi wetu wa dini kuweni makini
Mb zangu zimetumika kijinga kukusikiliza
Huku kucfia cfia ndio upumbavu tusioutaka.
Mbona hamueleweki mnaongea Nini .
Tuwe kama Kenya tu
huyu mbona kama ameyabhula!!
Kwa wewe ni nani tuambie vizuri
Tulia mjinga wewe kwanza maana unavyo ongea wala aviingii
Inakuuma Eeei
Acha watu waandamane tuone panapovuja
Hawa ndio wakuanza nao
yaani nyie hamna akili mbaropoka tuuuu
Ww nenda ukapimwe akili siyo mzm
Acha ujinga mjinga wewe umekuwa mtu wa ajabu kumbe umerudi CCM
Siyo story yakutengeneza Sativa,shadruck,Soka,Kibao nk wako wapi acha upimbi wewe dam zawatu zitakufuatilia
Point less
Yaan ongea yake tu inaonesha kapangwa, watanzania sio wajinga kiasi hicho. Wahuni ni serikali wanaopinga maandamano wakat ni halali kikatiba
Upumbavu tu
urongo mtupu huu
Pumbav
Kumanyoko zako mbwa zako
chawa ww
We ku
Mbwa wewe huna jpya
Mama wewe
Watanzania sio wajinga
Tushachoka kuonewa bwan
Kanywe sumu hutochoka
Siku ukikua utaacha
😂😂😂😂