MWIJAKU amlipua Vibaya HAJI MANARA umefukuzwa YANGA huna kazi JENGA kwanza NYUMBA mwache ENG HERSI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @YohanaLesimbi
    @YohanaLesimbi 13 днів тому +9

    Mbona kama mwijaku siku izi unaongea point snaaa 🎉🎉

  • @HamisiKianga
    @HamisiKianga 9 днів тому

    Sikiliza kwa makini ili uelewe,🎉 Jamaa kichwa sana 🎉🎉🎉

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 11 днів тому +1

    Leo ndugu yangu Mwijaku nimekukubali umeongea point sana hujaficha wala kuongea uongo uongo kama huyo Manara analipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote kwa kazi ipi na mkataba huna au kuna P DIDY

  • @JustinMathias-q6w
    @JustinMathias-q6w 8 днів тому +1

    Mwijaku unajua sana

  • @hamadkhamis6572
    @hamadkhamis6572 11 днів тому +1

    Simple mind discuss people great discuss ideas. Kutoa uchawa hadi umende

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 12 днів тому +2

    Haji aliamza kulalamikia Barbra sasa amegeuza kibao kwa Eng Hersi😂😂😂😂😂😂😂

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 11 днів тому +2

    Huyu jamaa kama Malaya kila mtu anamparamia

  • @Hbk206
    @Hbk206 2 дні тому +1

    Una ongea uisilam kila siku. Kwaiyo ivi ndo Muslim anatakiwa kutusi watu mitandaoni

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q 7 днів тому

    Siku hizi umekua unaongea point tup

  • @JohnEnock-s8r
    @JohnEnock-s8r 8 днів тому

    Duuh kweli ubaya ubwela mpe makavu uyo vyabure vinamazara

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 13 днів тому +2

    Broo mwijaku katoe uwo ichebe unakuharibu

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 12 днів тому

    Manara Brand kubwa nyie ni watoto kuweni na adabu kuna watu wa kuwanyenyulia kinywa ajiangalie xana

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 11 днів тому

    Majungu tu

  • @jaqlinemanyama
    @jaqlinemanyama 9 днів тому

    mm yanga ila manara mdomo mwingi unajua wanaume ni kupiga kazi sio maneno huwez kaa mahali kwa mdomo

  • @EgenaJames-x2l
    @EgenaJames-x2l 13 днів тому

    Kweli mwijaguu

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 12 днів тому

    Siku kaka mwijaku yakikuta sijui utaficha wapi sura yako kaka yangu

  • @ErickJosephmlay-kf2sy
    @ErickJosephmlay-kf2sy 11 днів тому +1

    Kaka wewe mtata inaonekana una za ndani mnoo

  • @RaphaelKivuyo-p9t
    @RaphaelKivuyo-p9t 12 днів тому

    Kila siku nimejenga kwani ww wakwanza kujenga unamshobokea kila mtu fuata maisha yako ya wengine wacha hio ni kazi ya wanawake

    • @Lameckmichael-h2m
      @Lameckmichael-h2m 12 днів тому +1

      Ukisema wetajiri tuone malizako. Huyomanara kilamtu kakorofishana nae anajinadi analipwa hela kuzidi mchezaji😂😂 Hizohela kafanyia nini?? Wakati amepanga. Acha wewe kutetea lizuzu.

  • @SadamSarita-t7z
    @SadamSarita-t7z 13 днів тому

    Kweli manara ajipange hata chumba kimoja ajenge😂😂😂😂

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 11 днів тому

    U na mdomo mwijakuuu

  • @HarunaHalfani
    @HarunaHalfani 12 днів тому

    Manara amefeli sana kipindi hiki

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 12 днів тому

    Mwijaku
    Usimalize maneno

  • @AllanShira
    @AllanShira 11 днів тому +1

    Mbona manara hajakutajia mama yako mshamba hikisha usindanganye watu mishahala yawatu nisiri

    • @VitusSamwer
      @VitusSamwer 2 дні тому

      unaoenekana we chawa wa manara

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 12 днів тому

    Alafu ye anauwakika Gani km wengine hawalipwi pesa kubwa anachunguliaga mishahara ya watu ? Manara kakosea. Ila nawe Mwijaku acha kujisifia sana hahahah

  • @YasinHussein-i4e
    @YasinHussein-i4e 10 днів тому

    Mwijaku piga kazi achananahuyo mpumbavu hajielewi sahvi wewe umekuwaj mtu mkubwa namaarufu sahvi unakilakitu huyo mzungu wamchongo sio levo yako ajitafute sana kukufikia sio Leo walakesho

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 12 днів тому +2

    Mbona wewe mwijaku uwa unawasifia akina konde boy ili wakupe pesa uishi iweje umlaumu manala kumsifia gsm?au wivu mwanaume unakuwaje na wivu?

  • @paulwamba4538
    @paulwamba4538 12 днів тому

    ila nyie wandishi niwaongo wapi Manara kamzungumzia Rais wa yanga vibaya... wapi kasema chawa anatangaza nyanya

  • @mwamvuamagongo8163
    @mwamvuamagongo8163 6 днів тому

    😂😂😂😂😂

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t 11 днів тому

    Msiwe mnachanganya wazazi kwenye maslai yenu

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 13 днів тому +1

    Aman itawale wote nawapenda wapambanaj

  • @RaphaelKivuyo-p9t
    @RaphaelKivuyo-p9t 12 днів тому

    Kwani hicho gorofa ya mjaku ni ya kuchoma wanaume ulijengea family yako ama kutishia nayo wanaume ubwa malaya

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 12 днів тому +1

    😂

    • @Japhetlukuta
      @Japhetlukuta 12 днів тому

      Huna uwezo wa kupambana na manara we bado kinda

  • @MeshackManoja
    @MeshackManoja 12 днів тому

    Mzungu kapoteza mvuto hanalolote

  • @AllanShira
    @AllanShira 11 днів тому

    Uyumba ya mwanamume kaburi nyumba ngumba ww kombe

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs 12 днів тому

    Nani asiejua kuwa huyu mzungu poro ni mtoto wa watu

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 11 днів тому

    Na wewe hiyo kazi nyingine unaifanya tena rahisi mpaka mshipa wa haha umekutoka

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs 12 днів тому

    Huyu mzungu ni kweli anapewa pesa na mwarabu huyu mzungu ni mtoto wa watu mwarabu anakula vitu pale

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 12 днів тому

      Haji hako kamchezo alikaanza zamani nakumbuka aliwahi kuwa Mtu wa karibu sana kwa Mr Tozi wa Bandari wakati huo (THA)😂😂😂😂😂

    • @jonathaniboniface8360
      @jonathaniboniface8360 12 днів тому +1

      So haji dizaini analiwa mchicha mwiba😂😂😂

    • @jonathaniboniface8360
      @jonathaniboniface8360 12 днів тому +1

      ​@@modestwenceslaus9so mzungu haji dizain mchicha mwiba, hanakula na hanaliwa🙌🙌 watu mnasiri mnajua vingi

    • @salmankhermis5565
      @salmankhermis5565 День тому +1

      Ni konsyuma au konshuma😅😅😅😅😅😅

  • @AllanShira
    @AllanShira 11 днів тому

    Mpumbavu huyo harafu kichaa

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 11 днів тому

    Acha ujinga wewe rofa tu