Nay Wa Mitego - Rais Wa Kitaa (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2021
  • Stream/Download:linktr.ee/naywamitego
    Listen to Nay Wa Mitego on Digital Streaming:
    Audiomack:audiomack.com/naywamitego
    Apple Music: / nay-wa-mitego
    Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
    UA-cam: / @naywamiteg
    Spotify:open.spotify.com/artist/3P97o...
    Connect Nay Wa Mitego on Social Media:
    Instagram: / naytrueboytz
    Facebook: / naywamitego
    Twitter: / naythetrueboy
    ©2021 Free Nation.All rights reserved.
    #NayWamitego #RaisiWaKitaa

КОМЕНТАРІ • 8 тис.

  • @NayWaMiteg
    @NayWaMiteg  2 роки тому +161

    Twende Number 1

  • @mtumishidoublek1504
    @mtumishidoublek1504 2 роки тому +226

    HUU NDIO UZALENDO WA KWELI. KAMA UNAMSAPOTI NEY WA MITEGO GONGA " like "

    • @barakadavis8934
      @barakadavis8934 2 роки тому +1

      Yes

    • @semapos6087
      @semapos6087 2 роки тому +1

      Kaka pamoja xna unaujua mziki xna

    • @semapos6087
      @semapos6087 2 роки тому +1

      Kaka pamoja xna unaujua mziki xna

    • @rostinachadoli3668
      @rostinachadoli3668 2 роки тому +1

      Sanaa

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 Рік тому

      Kweli lakini hawa watu ndio tunawasupport kwa maneno au kwa vitendo? Maana wa bongo maneno mengi akichezewa faulo wote tunakimbia anabaki peke yake. Tujifunze kuiga uzalendo. JPM tuliungana na wazee wa tozo kumtukana...nafsi zetu zinatuhukumu..ulimdharau tukasikiliza kigogo, tukasikiliza kundi la wapigaji ambao sauti zao zilivuja wakimsema. Leo tunalia nini wakati tumepewa tulichokua tukiomba

  • @modekessy1790
    @modekessy1790 2 роки тому +1

    Kwakweli huyu mama cjui anapendwa nawatu gani. Namchukia sana. Ney Mungu akupe ulinzi mkali wasikufanye chochote kibaya kwakusema ukweli. Nakupenda sana

  • @ezrakenyanya7399
    @ezrakenyanya7399 2 роки тому +2

    Ujumbe upo deep axeee kasimama kwaajl ya watanzania wte truxt me

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION 2 роки тому +1456

    Tanzania tunahitaji watu watakaozungumza bila uoga kama Nay! Respect kwakuwasimamia wanyonge huu ndio UZALENDO WA KWELI.

    • @mzenjikichaa8695
      @mzenjikichaa8695 2 роки тому +24

      Km gwajima pia

    • @user-yu7ph7ls7o
      @user-yu7ph7ls7o 2 роки тому +21

      Na roma pia

    • @johnluyego9353
      @johnluyego9353 2 роки тому +18

      Na huo ndio usanii sahihi

    • @davidnyerere2193
      @davidnyerere2193 2 роки тому +25

      Kwa huu ukwel
      Ww ndo msanii bora

    • @petroleumexperts3442
      @petroleumexperts3442 2 роки тому +7

      Amna Mzalendo apo, Nay anatest mitambo, alijaribu huu upuuzi kwa Magu, akageuka kuimba gospel, maan haikua commercial,
      Uhuru ukipitiliza haya yanajitokeza, ningekua na mamlaka Ungeshikwa kimya kimya, ungefirwa, ungelala yoo
      Tafuta content fikisha katika jamii Wachana na uchochezi, mziki wako bado unahitaji nguvu kufikia watu wengi,
      UVUNGU HAUNA SHURUTI

  • @iammichaellukindo
    @iammichaellukindo 2 роки тому +297

    Huu ni wimbo bora wa Hip Hop kwa Mwaka 2021. To the top kabisa. Aliesimama mbele yetu sio mbunge ni msanii! Na umeitendea haki sanaa. Huu sasa ndio ukomavu wa sanaa. Plss naombeni Like zangu kama zote kwa mara ya kwanza

    • @b9media144
      @b9media144 2 роки тому

      Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

    • @emmanueldaud8371
      @emmanueldaud8371 2 роки тому

      True

  • @bishopmatare645
    @bishopmatare645 2 роки тому +21

    Wimbo huu hujawalenga watanzania pekee bali ni waafrika wengi wanaoumizwa na waafrika wenzao. Asante sana Mr. Nay kwa kuwasemea wanyonge wa barani Afrika kwa ujumla. Much love from Kigali, Rwanda.

  • @mutongajr
    @mutongajr 2 роки тому +110

    The state of most African 'democracies' summarized. Mr Nay good work giving us music of value. Kudos from 🇰🇪

    • @makoyenyanda3652
      @makoyenyanda3652 2 роки тому

      ok

    • @mosesmarwazablon6152
      @mosesmarwazablon6152 2 роки тому

      Nay, nakukubali sana kwa nyimbo zako nzuri za kuelimisha jamii na serikali kwa ujumla wake. Mungu aendelee kukusimamia ili uzidi kufichua yaliyojificha.

    • @venancshirima9103
      @venancshirima9103 2 роки тому

      Ney hapingiki wasemee rais wakitaa nakuku Bali kinyamayan

  • @sirchriss1
    @sirchriss1 2 роки тому +221

    sisi wakenya tunasema huu wimbo ni wa east africa, wimbo umebeba East Africa 🔥🔥🔥

  • @DIDASTUMAINI
    @DIDASTUMAINI 2 роки тому +171

    Hii ndio tafsiri sahihi ya MSANII NI KIOO CHA JAMII.Naam Naam Salute kwa Ney.

  • @MosesTumusime-cz1dc
    @MosesTumusime-cz1dc 25 днів тому

    Asante jama yangu endelea kupambana kabisa ukweli ndimo unahitajika tu Kutoka Rwanda nakupata vuzuri sana

  • @lizione1451
    @lizione1451 2 роки тому +3

    Asante sana ney wa mitego kwa kutuongerea wananchi mungu akupe ujasili zaidi wa kufichua maovu asante broo hakuna rais kama mgufuli tutamkumbuka daima,,,

  • @salminejuma6743
    @salminejuma6743 2 роки тому +20

    Kwa mbaaali namuona Hamza akitabasamu Asante mr. nay

  • @Sillahbunduki
    @Sillahbunduki 2 роки тому +778

    🔥🔥🔥🔥 uzuri wako uogopagi mkuu

  • @glorytengeza1210
    @glorytengeza1210 2 роки тому +8

    Nimerudia kuitizama Mara 6 imenitoa machozi Ney ww Ni mwanaume Bora umetusemea😭

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 2 роки тому +1

    Dahh Wanangu nimechelewa Sana kuangalia wimbo mkali Kama huu nipeni lake japo 10 TU za true boy

  • @ibrahimissajrc2043
    @ibrahimissajrc2043 2 роки тому +40

    Jamn 😭😭😭😭
    Tutapata wapi wasanii wenye kuingolea jamii kama nay?
    Like 50 kwa ajili yke jamn.

  • @oscarekseli1030
    @oscarekseli1030 2 роки тому +116

    Ndio nyimbo tunazozihitaji kipindi,nyimbo za kutusemea..well done Mr Ney

    • @b9media144
      @b9media144 2 роки тому

      Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

    • @p-boy-official-9650
      @p-boy-official-9650 2 роки тому

      Kweli nay anaongea ukwel at mm nitakubali niwe mwnafunzi wake kimzk nitafanya Kama yy

    • @happykhamis7640
      @happykhamis7640 2 роки тому

      Kwakweli uhu ndio Uzalendo MUNGU akutunze Mr ney

  • @mazeejohnie
    @mazeejohnie 2 роки тому +6

    Kama wewe ni Msanii, unajiita msanii, una ndoto ya kuwa Msanii halafu Huna kifua, ujasiri, maono wala Nia ya kusemea wananchi wako kwa ukweli kama huu hufai kusogelea Mic a achilia mbali Studio. Tunahitaji Taarifa sahihi ili kufanya maamuzi sahihi na ya HAKI ili kuifanya Tz bora kuliko Leo. Like 100 za uhakika zitasaidia kufikisha huu ujumbe. Big up Nay

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 2 роки тому +3

    Tangu wimbo unaanza mpaka unaisha sijaona aliyevaa chupi humo👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻

  • @magdalenaIlanda
    @magdalenaIlanda 2 роки тому +273

    This is revolution 🔥...we need more artists like naywamitego...if you like this thumb up👍

  • @FikiriEZambi
    @FikiriEZambi 2 роки тому +153

    Wasanii wote wangekua wanatoa nyimbo zenye akili kama hizi hakika hizi mambo safi, Big up Mr Ney🔥🔥🔥

  • @khamisjohn7639
    @khamisjohn7639 Рік тому

    Hongera sana Ney Nakukubali sana.....hizi ndiyo nyimbo siyo Konde kila wimbo majigambo

  • @zuhuraismail4159
    @zuhuraismail4159 2 роки тому +1

    Dah really umeamua kujitoa muhanga bila kuogopa chochote lakin ukwel pale pale

  • @nassonadriana9607
    @nassonadriana9607 2 роки тому +62

    Respect sana *RAISI WA KITAA NAY* Ukweli utabaki kiukweli uchumi unapanda kwao sio kwetu wananchi... Bonge moja la ngoma 💪✊🏻✊🏻✊🏻

    • @denissingano929
      @denissingano929 2 роки тому

      Semasema Nay wamitego bigp sana mkuu. Wewe kweli ni Rais wa kitaa .

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 2 роки тому +16

    Nimeisikiliza hii ngoma Mara 4 ney kaka umeuwa na kipaji unacho, je utakuwa salama maana nchi yetu aipendi mtu mkweli, lakini Allah akupe nguvu na Imani zaidi amiin🙏❤️❤️❤️

  • @giftmoses9732
    @giftmoses9732 2 роки тому +28

    No. 1 on trending for Music 🔥. Halafu ni ujumbe wa kujitoa muhanga maana wengine ni makunguru waoga tu. Sana Mr Ney.🇹🇿✌️

  • @yussuphsaleh767
    @yussuphsaleh767 Рік тому

    Jamaa yupo vizuri .nyimbo zake zinaleta uamsho kwa watanzania unaweza kumfananisha na lucky dube wa afrika ya kusini .wanamuziki kama hawa ndio wanaohitajika kwa taifa

  • @kamandaly7829
    @kamandaly7829 2 роки тому +11

    🙅🙅 tusemee tu sisi wanyonge😭😭🥺🥺💯🔥🔥🔥🔥🔥

  • @championboy7
    @championboy7 2 роки тому +20

    Uzao wa binadamu aina ya Ney wamitego unatoweka katika uso wa dunia kwa 99% kila iitwapo leo, kulinganisha na wale waliopooza... Hawakemei wala kukosoa wao wap tu. Mungu akutunze Kaka Ney

  • @AbediMolle-rw8st
    @AbediMolle-rw8st 9 місяців тому

    Ukweli nei Yuko Vizuri san bigap brother songs mbele mungu huko pamoja nawe inshallah mwenyezi mungu utujalie mwisho mwema

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +2

    Safi sana goma kali sana limebeba ujumbe mzuri na mzito hujawahi kukosea kbs Ney 💪👊

  • @marydaniel5846
    @marydaniel5846 2 роки тому +162

    Dah hii ngoma nimeirudia kuisikiliza zaidi ya mara mia,shukran sana broh kwa kupaza sauti,tuko nyuma yako 🔥🔥🙌🏽

  • @williamgeorge150
    @williamgeorge150 2 роки тому +213

    from Burundi, this guy is a giant musician 💪💪,let push him together my fellow 🇹🇿

  • @mwalimshaban9067
    @mwalimshaban9067 2 роки тому

    Dahhh safi sana nay na Roma mpo vizuri bado roma naye tunamskilizia naye ni balaa nyngnee

  • @felixjumanne9981
    @felixjumanne9981 2 роки тому

    Huyu ndo Nay True boy mwenyewe. Na amerundi sasa. 😷🥶🥶🍾💥💥💥💥💯💯💣💣💣💣💣. Tumeupata ujumbe

  • @abdulikadirnarrel2751
    @abdulikadirnarrel2751 2 роки тому +11

    Mwanzo nipew like zang km zote rais wa kitaaa

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 2 роки тому +383

    Nay wewe ni Next Level Brother. Hii ndio maana ya Msanii kuisemea Jamii. Big up.

  • @godfreywilliam5810
    @godfreywilliam5810 2 роки тому +1

    Wambie aoo tutawapoteza wanasababusha vita vya wenyewe kwa nyewe panyaroad shelia moja

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 2 роки тому +2

    Nakubaliiii endelea mwenetu

  • @peacelove4688
    @peacelove4688 2 роки тому +9

    Safari na muziki......Road to revolution✊✊✊ Amkeni vijana!
    Huu jamaa nomaaa nakubali
    "MTANIKUMBUKA KWA MAZURI"😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @dangotesam9845
    @dangotesam9845 2 роки тому +21

    Shikamoo Tozonia😀
    Wasanii Wote Wangeitumia Sanaa Kuitetea Jamii Badala ya Kumuimbia Paula wa Kajala, Basi Dunia Ingefika Mbali Sana!

  • @jameskings700
    @jameskings700 2 роки тому +1

    Nimekubal sana kaka hii nyimbo naisikiliza kila wakat yaan dah kaka pongez kwako kakuijua thaman ya chozi letu 🙏🙏🙏🙏

  • @johnmkohi3258
    @johnmkohi3258 2 роки тому +5

    Respect bro Ney umetisha sana nimekuwa narudia rudia kusikiliza huu wimbo hii ni zaidi ya Mara 100 narudia kusikiliza na bado hata sichoki nataman uwe trending hata zaidi ya mwezi Ney umetisha.

  • @sabrinaally2045
    @sabrinaally2045 2 роки тому +8

    Daah huyu mwamba namkubal uwoga hana kabisa salute baba nimeirudia Mara zote ngoma yangu ya week nzima hii.

  • @directormanitv9125
    @directormanitv9125 2 роки тому +24

    Hii ndio nyimbo kali toka afariki Legendary Magufuri we miss you our true Leader angalau hii nyimbo itatufariji

    • @hyasintndimbo2998
      @hyasintndimbo2998 2 роки тому +1

      Huku covid Gwajima boy pale Too True boy

    • @zulishoo9496
      @zulishoo9496 Рік тому

      Zero brain eti Legendary Magufuli huyo ni Magu Fool haya yote yanayotokea TZ ni sababu ya huyo Shetani Magu Fool.

  • @getontokevin8894
    @getontokevin8894 2 роки тому +5

    Kenyans we should listen to this, our situation now, 🇰🇪

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 2 роки тому

    Hiii ndio Sanaa sio Mnatuimbia magodoro mmeloeka maji xo c tufanyaje ..

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 роки тому +89

    Ukweli utakuweka huru japo kwa asilimia 30 lakini kwa asilimia 70 utakutia matatani, ila ni bora ukweli ukutie matatani ila mungu anakutia mahala pema kuliko ounga ukutie mahala, PA juu bila haki na akakutia mahala pabaya, usiogope sema ukweli, hakuna nyimbo nazisikilizaga kama za marapa hata awe wa nchi gani duniani nzima hakuna rapa mpumbavu wa mjinga hata siku moja na haitakaa itokee, marapa wote ni lazima wawe na akili kubwa, nay mitego tutakunaga tu mimi na wewe na tuta piga kolabo za kutosha, mimi, nimekuambia kwenye mashahiri yangu nitayataja maneno, haya kwamba mimi ndiye nilioandikaga, huu ujumbe, na tukikutana nitakueleza vizuri kaka yangu nay wa mitego, sema ukweli, mziki ndio imekupa heshima Tanzania Africa na duniani kote, imba mahadhi ya mziki, nikianza kuimba tutaelewana tu mimi na wewe, big up, 😭❤️👍♥️🇹🇿🙏🙏🌹🌹😭😭❤️🇹🇿👏🌹

  • @fadhilimohammed1373
    @fadhilimohammed1373 2 роки тому +144

    Kenya we need someone who can speak on our behalf like this

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 2 роки тому

    Wewe ni shujaa hata ukifa utakufa kishujaa m mungu tupe watoto wa namna hii na mfano wa kinahamza

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 2 роки тому +1

    Ni kweelii siku hazigandi !.... Ni suala tu la mda😭😭😭

  • @brunomapunda831
    @brunomapunda831 2 роки тому +18

    Hii ngoma nimeicheki Mara 8, na bado sijaichoka

    • @eliudignatio9378
      @eliudignatio9378 2 роки тому +1

      😄😄me mara 16 bd xjaichoka make nimeiyelewa

  • @graciousswaleh7743
    @graciousswaleh7743 2 роки тому +9

    Tungepata watano2 kama ney nahisii tungefikaa sehem flani respect to you broo

  • @rashidsalumcapelah7573
    @rashidsalumcapelah7573 8 місяців тому

    hivi hii bado hawajailewa tu....kweli mungu Hana mshirika

  • @JanethJohari
    @JanethJohari 4 дні тому

    Broo ney Mungu akupe maisha marefu mana ni wachache sana Kama ww natamani nikuone live mana natamani hata kulia

  • @MutembeiTV
    @MutembeiTV 2 роки тому +332

    Ata Kenya tunasema Katiba Mpya ni sasa na Corona ipo!!Kenyans are happy!

    • @afnethmoto656
      @afnethmoto656 2 роки тому +1

      Hii ndio usanii in bora utusemee maaana kina ba mdogo wanampotosha

    • @feronandsulubu6711
      @feronandsulubu6711 2 роки тому

      Katiba kwenu nyumbani fala kabisa

    • @feronandsulubu6711
      @feronandsulubu6711 2 роки тому +4

      Nyinyi ni hypocrites wa handshake kwendeni maisha ningumu uku kitaa

    • @mangalejnr2949
      @mangalejnr2949 2 роки тому

      Wee boyaa kweli Kenya hatuitaji katiba

    • @b9media144
      @b9media144 2 роки тому

      Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @selemanikirupy5288
    @selemanikirupy5288 2 роки тому +9

    Kama unamkubari rais wa kuzidi hata wagombea ubunge gonga like

  • @winniemwesh5557
    @winniemwesh5557 2 роки тому +1

    Tusemehe nay nakupenda sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nipeni like za nay

  • @emmanuelmwanzalima8337
    @emmanuelmwanzalima8337 2 роки тому +1

    Noma sana una lenga moja kwamoja ALIESIKIA WABUNGE 15 gonga like

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 роки тому +28

    Yani nay mitego mimi ningekutana na wewe tu mambo yangekaa sawa maana mimi nina kipaji kikubwa sana ya mziki naomba unifadhili yani nina mangonma kali sana ya kuichana hii serikali mpaka inakaa chini kaka yangu, Daaaah ila maisha ninayoyaishi ndo changamoto kubwa sana kwenye hii kipaji changu cha mziki, please help me, nakutakia kila la kheri kutoka kwa Allah, ❤️❤️😭😭🇹🇿♥️🙏👏👏😭😭, wanaofanya kazi serikalini sisi ndio tunawalipa inatakiwa watuheshimu, na watujali watuone sisi pia nao ni watu kama wao, 😞😞😞😞😭😭😭, nay mitego tutakunaga mimi na wewe, siku nikianza kuimba, kwenye mashahiri yangu nitataja, maneno haya kwamba mimi ndiye nilioandikaga huuu, ujumbe, all the best of your life and your family my brother, I wish you all the best, I am from in Tanzania Africa manyara, ❤️😭🌹👏🙏🙏🇹🇿♥️👍

  • @emmanuelalphonce2457
    @emmanuelalphonce2457 2 роки тому +96

    The type of music that should be number 1 on trending

  • @novidadegreener2004
    @novidadegreener2004 2 роки тому +5

    Tunataka ngoma zije zingine Kali Kama hii Mr true boy.

  • @mabebibablii3056
    @mabebibablii3056 Рік тому

    P1 sanaa mzee ney jamaa wanajisahau sanaa wanajiangalia waoo 2

  • @edwardnelson335
    @edwardnelson335 2 роки тому +16

    nay wa mitego n mmoja tu tz🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    ""wambie hao rais wa kitaa tunakuamini go go go ney"😭

  • @shaabanayoub6343
    @shaabanayoub6343 2 роки тому +76

    Saut moja kwa ajili ya mamilion ya watu big up zimewafkia 💪💪💪

  • @arafahsaif7867
    @arafahsaif7867 2 роки тому +1

    Hawezi kukuelewa paka ufee wasani wa tz wanasapoti wadagaji.

  • @ramiaibrahim1775
    @ramiaibrahim1775 2 роки тому

    Sijawah kusikia msanii yeyote aseme ivi ney tuko nyuma yako baba

  • @leonardsamson105
    @leonardsamson105 2 роки тому +8

    Kama unamkubali nay wa mitego gonga like hapa

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 2 роки тому +10

    Mr true boy umewakilisha manung'uniko ya wa Tanzania 90℅ waliokosa pakusemea.tusemee tusemeeeeee president wa kitaa.

  • @jacktallent4995
    @jacktallent4995 2 роки тому +1

    Rais wakitaa umesema wamepunguza tonzo kidogo 😀😀😀😀

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 2 роки тому

    Huu ni wimbo wa kihistoria aisee. Umepatia mia kwa mia Rais wa Kitaa.

  • @januzajkasongo3009
    @januzajkasongo3009 2 роки тому +6

    wasaniii wote wangekuwa kama ww tusingenyanyaswa....bigup ney

  • @godfreynoel7802
    @godfreynoel7802 2 роки тому +10

    Hii ndo maana ya msanii lazima uangalie kinacho umiza na kukikemea.
    I appreciate you bro big song on time

  • @officialxule2674
    @officialxule2674 Рік тому

    Nakupenda sana brother huo ndio uzalendo kweli ww ndio kinda halisi la hayati baba etu kipenzi JPM

  • @macharizorayza8687
    @macharizorayza8687 2 роки тому

    Hongera kaka nay wamitego natumain wamesikia nakama bado ongeza saut maana mmh

  • @patojeans5945
    @patojeans5945 2 роки тому +185

    Basata: “Yule Nay tushamzima”...
    Nay: “Hold my glass”...🔥🔥🔥🔥

    • @nanababy5249
      @nanababy5249 2 роки тому +1

      Nguli ua-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/v-deo.html💥💥

    • @qucho6273
      @qucho6273 2 роки тому

      👍🔥

    • @b9media144
      @b9media144 2 роки тому

      Roma nae kaachia msumari mwingine, jionee ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

    • @tzcivilengineeringupdate4275
      @tzcivilengineeringupdate4275 2 роки тому +1

      basata ni moja ya vibaraka waserekali No wonder my brother hata hii wanaweza kuweka hila

    • @tvfoa7115
      @tvfoa7115 2 роки тому

      Ce vrai la démocratie

  • @MoneyandFinanceCoachingAgency
    @MoneyandFinanceCoachingAgency 2 роки тому +410

    Eeeeeh WANANGU eeeh... Corona kumbe ipooooo🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭

    • @AMUKENYA
      @AMUKENYA 2 роки тому +8

      Yeeboooo labda Zambia sio Tanzania 😅

    • @mzongekibwana838
      @mzongekibwana838 2 роки тому +4

      Shiti bro nakukubali sana

    • @radam254
      @radam254 2 роки тому +6

      @@mzongekibwana838 shiti unafanya nini huku

    • @ericmukabwa4563
      @ericmukabwa4563 2 роки тому +5

      Mamayao aliamua kuvua white juu mzeewao alificha white hahaa

    • @AsiaMkusa
      @AsiaMkusa 2 роки тому +3

      Ntambiaa nn watu corona ipo mafuta,sukari,tozo,Kodi Bei juuuu tusemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
      #trueboy tusemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @shafiikisingi7614
    @shafiikisingi7614 2 роки тому

    Napenda tu unavyo jiamini brooh hujawah kuogopa pambania taifa letuuu

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 роки тому

    Nay kwahii Nime ku respect saana Brother umetisha sana Achana na wazee wa kuimbaga Ngono miaka yote 2 Hawajuagi kuwafikishia Ujumbe Serikali

  • @misha.e.mmbaga5154
    @misha.e.mmbaga5154 2 роки тому +8

    Hizi ndio nyimbo tunataka kusikia.nakukubali sana broo

  • @octavianmlay3851
    @octavianmlay3851 2 роки тому +34

    Bado watajifanya hawasikii.... ngoma kali brother Ney. Mafisadi watatuua mwaka huu... sirikali ya walaji.

    • @aishabrondi236
      @aishabrondi236 2 роки тому

      Aliewadanganya mkamuuwa magufuli ndie kawateketeza huyo mwanamke anatumikishwa nawazungu

    • @rashdiyange7758
      @rashdiyange7758 2 роки тому

      Washa sikiaa nasaivi watatia adbu 2025

  • @josephdomi9393
    @josephdomi9393 2 роки тому +3

    tumekamilisha ulichotuomba ney 1m tayari 🙏🙏🙏

  • @kwzrvivanHamza
    @kwzrvivanHamza 2 роки тому

    Unasemesha ukweli 2 bwana Rais w kitaa 👏👏. Hamza kutoka Rwanda tunakupenda sana kwa hizo nyimbo nzuli .

  • @Gyprince_
    @Gyprince_ 2 роки тому +14

    Ngoma Kali sana ndugu yangu umenifanya nianze kuimba 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍👍👍👍👍👍👍

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +17

    Ww ndy Raisi wetu wanyonge respect Ney, umegusa sehem zt kwny hii nyimbo yk 🔥🔥

  • @Olombwe-Didier-doctor945
    @Olombwe-Didier-doctor945 2 роки тому +1

    Acheni yendelee kunyesha ili muradi tujuwe wapi panavuja kabisa. Ma coach wa baya

  • @amanikanza7750
    @amanikanza7750 2 роки тому

    Sema kweli ney nakubali sana na shangaa redio aziupig zina nikera

  • @mtetezytv9647
    @mtetezytv9647 2 роки тому +40

    Salute kazi zako ni safi real hiphop Kenya love!!!!!!!

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 2 роки тому +25

    Nimesikiliza hii nyimbo nimelia sana RIP JPM😭😭😭😭😭😭ulisema tutakukumbuka

    • @andreamndeme1539
      @andreamndeme1539 2 роки тому

      Wewe nawe unachanganya mambo hahaha

    • @ericklyatuu1301
      @ericklyatuu1301 2 роки тому

      Huyo ndo alitufikisha huku

    • @zulishoo9496
      @zulishoo9496 Рік тому

      Wewe ni Kima kweli Magufuli labda umkumbuke wewe usiweke wengine yule atabaki kuwa Rais mbovu kuwahi kutokea Tanzania.

  • @habarimtaakwamtaa4968
    @habarimtaakwamtaa4968 Рік тому

    Basata wamenisaidia nikausikiliza huu wimbo. Pini kali sana

  • @jacklnemichael7725
    @jacklnemichael7725 Рік тому

    Sijawi kuacha kukupenda ney safi sana watanzania tupo gizani

  • @aswilemwambugi2232
    @aswilemwambugi2232 2 роки тому +107

    Ney ngoma hii ina unyama sanaa, big up , that's such kind of art we are looking for the current generation.

    • @festojeladi7087
      @festojeladi7087 2 роки тому +1

      Heshima kwako laic wa kitaa washa Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔨💉

    • @samwelelisha7085
      @samwelelisha7085 2 роки тому +1

      Nakukubali sana

    • @omanmwajabumbeguoman8642
      @omanmwajabumbeguoman8642 2 роки тому

      Washamoto brooo upo vzr sana zaidi ya sanaaa😭😭😭😭😭dah💪💪💪💪💪

  • @yusuphmussa7460
    @yusuphmussa7460 2 роки тому +51

    Bro it's reality 100%%% your the real king of music

  • @kachalemielias3683
    @kachalemielias3683 2 роки тому

    Asante kwa wimbo mzur kazi kwao watawala kutekeleza ambacho umekisema kwa niaba yetu

  • @salehekapama9842
    @salehekapama9842 2 роки тому +1

    Nimekubali mzee baba tusemee tu hakuna namna

  • @nassonadriana9607
    @nassonadriana9607 2 роки тому +23

    *POWERFUL SONG* Huu ndio Usanii kuisemea jamii

  • @anwarfundi5748
    @anwarfundi5748 2 роки тому +12

    Unajua adi umepitiliza brother Excellent sana

  • @allyseba172
    @allyseba172 Рік тому

    Daaah goma kali daaah et imefungiwa isipigwe redion

  • @hamisimwanga3345
    @hamisimwanga3345 2 роки тому +1

    Rais wa kitaa waambie maana sisi wabongo kwa uoga twaongoza