Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Nmesikiliza hii kitu Hadi mwisho, brother Makonda Kuna kitu nakiona kwako. Upo na maono makubwa kuhusu Arusha. God bless you. Kiufupi bado Arusha haijaonekana Kama Hilo jiji lipo kitalii. Make it great again. Tupo nyuma yako
Muheshimiwa makonda natamani kweli kuona nilimwomba mungu ata ungeamishiwa arusha Nina tatizo linanisumbua sana hua unapenda haki sana naamini wengi sana tuko nyuma yako huongea pwet sana
Mh. Makonda is a blessing fully blessed with wisdom and very knowledgeable. Arusha Netizens please utilize his presence and leadership for the betterment and growth... Enough respect from 🇰🇪🇰🇪 Paul.
Makonda oyeee hakika ww ni jembe fanya kazi baba itengenezecarusha Tunakupenda sana natunakuombea Mungu asikuache akushindie mbele ya maaduwi zako❤️❤️🥰🥰❤️
Huyo mzungumzaji wa Tanesco apambane! Kazi tunaiona! Utendaji unaridhisha! Ukiomba umeme haichukui wiki tayari unafanyiwa kazi!! Big Up Tanesco!! Mamlaka ya maji Arusha bado ni tatizo! Tatizo ni kupeana vyeo kikabila na kindugu! Hawaangalii vyeti !
Kweli kabisa treni kwenda aiport inawezekana. Inatumika hii reli ya zamani alafu itajengwa kipande kidogo tu kuunganisha na airport. Big up makonda. Akili kubwa
Huyu kiongozi ataibadilisha Arusha, wananchi tukubaliane tuu, hili liko wazi, tumuunge mkono tuwezavyo, viongozi wengine kama kuna cha kumshauri fanyeni hivyo, Mungu azidi kukutangulia wewe na tim yako kiongozi.
asante sana makonda je nakuulizaa sisi wenyeji tutafaidika nanini usituchekeshe sisi atuna kazi tujeee kazi wenyeji tufaidi wote kwaupande mwingine unatucheka walala hoi unawafuraisha Matajiri
The man is not just a leader, he is genius and patriotic. He has real devoted himself working for people. His vision & approaches are super and exquisite. I admire his unshakable confidence and participation with his assistants. This is the kind of leader we need! Keep pressing, God is on your back!
Angalia watu wenye karama ya uongozi kiongozi anaongea Unaona kweli mtu kaongea. Sio huyo Lema mnakaa mnamsifia wakati hajui hata anaongoza nn na anatakiwa kufanya nn kwa wananchi wake, kiongozi ongea vision na mission yako ni nn mkipa ubunge ntasimamia moja mbili tatu. Sio oh CCM CCM mwanzo mwisho wa mkutano na watu nao wanashangalia pumba. All the best Mh. Makonda
Unajua sio watu wote wanaokuelewa wewe you are the leader with vision, hao jamaa wanaonesha huruma hawakuelewi. Mijamaa imezoea viongozi walewale wasiojiongeza wazembe, hawana maono wajinga washamba roho mbaya. Mungu akulinde.
Hongereni Arusha mmepata Jembe muanze kujiandaa kujibu masuala viongozi na kutekeleza ushauri na majukumu mtayopewa na Muheshimiwa Makonda .Lakini mji wenu utakuwa mzuri zaidi kwa sababu Muheshimiwa Makonda atafatilia mambo yote mumpe mashirikiano katika kazi zake ili mji wenu uwe mzuri zaidi.Kidumu chama cha mapinduzi.
Dr. and pf. Paul.C. Makonda you're really deserve to be the next president of this country and I pray for you so that The God may help you to implement your dreams about Arusha
Mhe rafiki yangu Paul Christian Makonda,mimi naitwa Mchg Godwin Lekashu-KKKT(Arusha Lutheran Medical centre),nakuomba tu uelekeze.mamlaka ya wilaya arusha mjini jamani.wajenge ukuta kuzunguka makaburi ya kaloleni,eneo hilo linatuletea aibu,inaharibu mandhari ya jiji letu,kuanzia Polisi central,kwa umahiri wako mhe,ulione hilo.
MAKONDA hoyeeeeeeee Arusha hoyeee MH, MAKONDA MUNGU AMEWEKA KITU KIKUBWA SANA NDANI YAKO , KITUMIE BILA UOGA WOWOTE ,HAKUNA MWANADAM ALIYEKAMILIKA, IKIBID SEMA USIOGOPE , MUNGU YUKO KILA UPNDE WAKO,
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
mbona sehemu ya kujanza haipo
Anayekuchukia ni mchaw namkuomba tu uwapende viongozi wa dini wote bila ubaguz utafika mbali❤❤🎉
Jamaa ana fit kila sekta safi sanaa....
Wewe ni kiongozi bora .
Baba,uko vizuri, kinachotakiwa hapo ni ufuatiliaji na USIMAMIZI.unawajua vizuri watendaji wako..
Mheshimiwa PAUL Makonda,, tatizo lako unaakili sana ❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉
Makonda ndo Mimi hapa
😂😂😂😂@@mashaurifloribert1396
Makonda uko vizuri. Mungu wa Mbinguni akulinde.
Uakika
Makonda hoyeeee❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️☝️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 piga like hapo
Kweli mti Wenye matunda ndiyo hupigwa mawe!! Brother upo vizuri.
Nmesikiliza hii kitu Hadi mwisho, brother Makonda Kuna kitu nakiona kwako. Upo na maono makubwa kuhusu Arusha. God bless you. Kiufupi bado Arusha haijaonekana Kama Hilo jiji lipo kitalii. Make it great again. Tupo nyuma yako
Kwa utawala huu wa mama yake hapo anajifurahisha tu na wenzie hapo nikiwachek nawaona wanamzodoa tu
Kbsa bro
Kila la heri bro Makonda naiona Arusha ikibadilika sasa
Jembe sana,iboreshe Arusha;tuje fanya utalii wa ndani. Nimekuelewa sana,NOMA SANA.
Na pia baba usisahau swala la Stand baba. Kimsingi Arusha Jiji la Kitalii halina Stand ya kueleweka. Mungu akubariki jembe letu
Mungu akubariki mheshimiwa makonda utendani wako wa kazi unadhihirishahl❤❤❤❤
Makonda uko vizuri sana. Mungu akulinde sana 👏🏼👏🏼❤❤❤
Muheshimiwa makonda natamani kweli kuona nilimwomba mungu ata ungeamishiwa arusha Nina tatizo linanisumbua sana hua unapenda haki sana naamini wengi sana tuko nyuma yako huongea pwet sana
Mh. Makonda is a blessing fully blessed with wisdom and very knowledgeable. Arusha Netizens please utilize his presence and leadership for the betterment and growth... Enough respect from 🇰🇪🇰🇪 Paul.
CCM baada ya Mama muwekeni Makonda ndio Rais wetu atakaefuata. Viva Makonda. The Mastermind leader. Keep it up.
Safi kaka Mungu akulinde iitwayo leoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Makonda you are good man bless you good job thanks ❤❤❤❤❤
Makonda oyeee hakika ww ni jembe fanya kazi baba itengenezecarusha Tunakupenda sana natunakuombea Mungu asikuache akushindie mbele ya maaduwi zako❤️❤️🥰🥰❤️
Hongera Kwa umakini ulionao. Mungu akubariki Makonda
Hongera ndugu Makonda
You are the best leader may God continue to keep you.amen
Huyo mzungumzaji wa Tanesco apambane! Kazi tunaiona! Utendaji unaridhisha! Ukiomba umeme haichukui wiki tayari unafanyiwa kazi!!
Big Up Tanesco!!
Mamlaka ya maji Arusha bado ni tatizo! Tatizo ni kupeana vyeo kikabila na kindugu! Hawaangalii vyeti !
makonda ana kitu big up brother
Big up brother excellent strategy
Jamani mama Makonda umezaa dhahabu! Huyu kijana wako ni genius!!
Ana akili nyingi mnoooo!
😊😊
Big up Makonda nimekuelewa
Prof. PC Makonda at his best!
Uko vizur ❤❤
Uko vizuri kamanda nakukubali kwenye Kazi
Big up sana Makonda.....naona umeamuwa kubadilika kidogo,umewachana tu......hujawaambia hawatoshi😊
Mh.Samia anatakiwa afanye kazi na timu jpm,aachane na timu jk ya wapigaji.ndo atafanikiwa.
Umeongea pont sana
Kabisaa
makonda ongera kwasababu upo vizuri sana kwenye utendaji na maelekezo
Kweli kabisa treni kwenda aiport inawezekana.
Inatumika hii reli ya zamani alafu itajengwa kipande kidogo tu kuunganisha na airport. Big up makonda. Akili kubwa
This is smth Good i like it and big up bruder
Speech za makonda zinatrend kuliko za viongozi wengine huchoki kumsikiliza
Sana mallemaOg hutaki kutoka mpaka mwisho
🔥🔥🔥🔥IFIKE HATUA WAKUU WAMKOA WENGINE WAONE AIBU WAJIFUNZE KWA MAKONDA JMN.
Allah jaaalia kila la kheri inshallah
Huyu ni kiongozi tunayemtaka
Barabara highway ni Shida bumps kila mahali maana ya highway ni nini hasa mweshimiwa
Sijui kama kuna kiongoz kama Mh.Makonda.Anazijua shida zote za watu wa chin
Huyu kiongozi ataibadilisha Arusha, wananchi tukubaliane tuu, hili liko wazi, tumuunge mkono tuwezavyo, viongozi wengine kama kuna cha kumshauri fanyeni hivyo,
Mungu azidi kukutangulia wewe na tim yako kiongozi.
Dah makonda yupo vizury sanaaaaaa
asante sana makonda je nakuulizaa sisi wenyeji tutafaidika nanini usituchekeshe sisi atuna kazi tujeee kazi wenyeji tufaidi wote kwaupande mwingine unatucheka walala hoi unawafuraisha Matajiri
Eti mtu anatoka ulaya anakuja kusinzia arusha ilaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
The man is not just a leader, he is genius and patriotic. He has real devoted himself working for people. His vision & approaches are super and exquisite. I admire his unshakable confidence and participation with his assistants.
This is the kind of leader we need!
Keep pressing, God is on your back!
Makonda.sasa kupa big up. Umeamua suala la tozo la mahotel ya watalii vizuri. Hapo halimashauri wanaiba mno pamoja na TRA chunga watu hawa.
Sio genius , avarage IQ but ana udhubutu na ubunifu
Angalia watu wenye karama ya uongozi kiongozi anaongea Unaona kweli mtu kaongea. Sio huyo Lema mnakaa mnamsifia wakati hajui hata anaongoza nn na anatakiwa kufanya nn kwa wananchi wake, kiongozi ongea vision na mission yako ni nn mkipa ubunge ntasimamia moja mbili tatu. Sio oh CCM CCM mwanzo mwisho wa mkutano na watu nao wanashangalia pumba. All the best Mh. Makonda
Kila ofisi watakapo kupeleka unafaa sana mungu akupe afya njema namaisha malefu
Uchachu. Wa maendeleo nikuongeza bidiiii. Bg up sana. Kiongoz. Wetu. Makonda. Hakaki wew ni kiongoz bora❤
Huyu mwamba Yuko vzr sana
Mh. Makonda God bless you. Kaz yako njema sana
Jembe linaongea hta mkimchukia wengi tunampenda
❤❤❤🎉🎉🎉yupo vizuri namuona makufuli ndani yake
Uyujama nimagufuli wasasa tumuombeetu nijembe from 🇧🇮💐🌹 tunakupenda san
Hongera RC makonda...Sasa nakuelewa vizuri
Mr makonda uko vizuri sana naomba ukae Arusha miaka yakutosha ili kazi ikae sawa Mungu akubariki sana
ubarikiwe sana mheshimiwa Makonda we piga kazi hata wale unao dhani wangekuwa upande wako wakigeuka, bado Mungu mwenye haki atakuwa pamoja na wewe.
Ana maono Mungu amuwezeshe
Yaani very creative person love you the way you ere doing
Makonda nakukubali sana jembe lakazi
Ivyo vitengo vipew vijana tu wataviendeleza vizuri sana kuliko hao mpka mzee anashindwa kujieleza aisee
Makonda much❤❤u so smart sir
Hakika umesema point Wazee wabaki ushauri tu, vijana wapewe vitengo ili waendane na kasi ya maendeleo.
@@emmanuelkasoga8194 makini sana kamanda
Dah mh ongera kwa ushauri wako yaani mungu hakulinde sana by Rev edwar
Huyu jamaa angeletwa mda mrefu sana Arusha tungekuwa mbali sna
Yani hapa makonda nakuelewa sasa mungu akupe afya na uzima na maono zaidi ya kaskazini yetu ikuwe kiuchumi zaidi
yes akulinde Sana na Amen
may GOD give this man this nation, may be he is bring something
Kamatutakua navoongozi namnahii makin kama mheshimiwa MAKONDA vyamavingi vyann hongera mkuu
Makonda soma hizi meseji. Nakukubali sana Makonda
Rc hii speech nimekaa nikaisikiliza kwa mara yakwanza nimekuunga mkono 100% kuna kitu unakijua aseee you're not empty you're extraordinary. Bhana
Hongera sana mkuu
Nakuelewa sana mheshimiwa makonda ❤
Unajua sio watu wote wanaokuelewa wewe you are the leader with vision, hao jamaa wanaonesha huruma hawakuelewi. Mijamaa imezoea viongozi walewale wasiojiongeza wazembe, hawana maono wajinga washamba roho mbaya. Mungu akulinde.
Dah! Yaani inatia huruma!! 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😢😢😮😂
Wapewe mafunzo jamani!
Au nsio kufoji vyeti?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unawapa mpango kazi mzuri sana tatizo naloliona nyuso zao na mioyo yao wanakufyonya
Huyu mwamba hatari aiseee, mmh!!respect kwako bro🎉🎉🎉🎉🎉
Wewe mwenye shati ya zambarau mbona 😢😢 huyu ndie mbarikiwa mungu amuweke na kumuatamia
Nakukubali sna
Mh: Makonda karibu sana Shinyanga
Hongera sana mweshimiwa makonda kwa mipango ya akili
Makonda ni mkali sana.
Anaona mbali sana kama hiyo issue ya pavement kwenye maeneo,nimeipenda sana.
This guy is Geneous🎉 tukiwa na vichwa kama hvi 10, ndan ya miaka 10 tunakuwa kama dubai
Hongereni Arusha mmepata Jembe muanze kujiandaa kujibu masuala viongozi na kutekeleza ushauri na majukumu mtayopewa na Muheshimiwa Makonda .Lakini mji wenu utakuwa mzuri zaidi kwa sababu Muheshimiwa Makonda atafatilia mambo yote mumpe mashirikiano katika kazi zake ili mji wenu uwe mzuri zaidi.Kidumu chama cha mapinduzi.
A very smart en creative Bro ever
Mungu atulindie tu jaman dah staki kuskia baya kwa huyu kiumbe❤
No! VISION No FAITH!
No! VISION No! Solving problems 👀🙌
Viongozi wa namna hii ndo wanaotakiwa katika nchi hii.
Makonda yuko vizuri zaidi
Hongera Sana RC Paul Christian Makonda, my next President 2030 , all the best 🙏🙏🙏
Genius Making big up piga kazi
Sasa kama huyu ndo tuliambiwa amepata zero Kuna umuhim gani wa elimu??? The guy ni smart na nusu
Unatakiwa uwe mbunge Arusha mjini safi sana
Dr. and pf. Paul.C. Makonda you're really deserve to be the next president of this country and I pray for you so that The God may help you to implement your dreams about Arusha
Daaah.. nawaona ma Dangote wa Arusha😊
Hongera sana Kwa maono makubwa na mazuri Kwa Arusha,Mungu akutunze na mama akupe mda Arusha
Gooooooooood my Brother
Jamaa ana high vision apewe ushirikiano.
Hakika Arusha imepata kiongozi makini
Kama vile kwa mromboo safi sana hatamimi nitafika hapo ❤
Afadhali hapo kwenye passport❤❤❤❤
Mhe rafiki yangu Paul Christian Makonda,mimi naitwa Mchg Godwin Lekashu-KKKT(Arusha Lutheran Medical centre),nakuomba tu uelekeze.mamlaka ya wilaya arusha mjini jamani.wajenge ukuta kuzunguka makaburi ya kaloleni,eneo hilo linatuletea aibu,inaharibu mandhari ya jiji letu,kuanzia Polisi central,kwa umahiri wako mhe,ulione hilo.
Ila Makonda❤
Makonda Shetani anae taka kulazimisha kua malaika kachafuka damu mikononi mwake
MAKONDA hoyeeeeeeee Arusha hoyeee MH, MAKONDA MUNGU AMEWEKA KITU KIKUBWA SANA NDANI YAKO , KITUMIE BILA UOGA WOWOTE ,HAKUNA MWANADAM ALIYEKAMILIKA, IKIBID SEMA USIOGOPE , MUNGU YUKO KILA UPNDE WAKO,
Kwani makonda ninani jibu linakuja nikiongozi anaeJulikana na Kila jamii ya Tanzania