🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 554

  • @AishaZuber-z6g
    @AishaZuber-z6g 9 годин тому +38

    😢😢😢😢😢😢unasafir unatembea unarudishwa kwenye sanduku Ya allah tujaali mwisho mwema😢😢😢Pumzika kwa aman Mwamvua mohamed😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 8 годин тому +1

      Yn utafutqji u qllah atujalie turudi hom slm

    • @AishaZuber-z6g
      @AishaZuber-z6g 8 годин тому

      @nishaabdula5015 Yaan we acha tu kuna muda nawaza yaan ila mkubwa Mungu ndoa anae jua kesho yetu😭😭😭

    • @nismaali2982
      @nismaali2982 8 годин тому

      Inshallah 😢😢

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 7 годин тому +1

      Mungu atuoe mwisho mwema tuludi salama makwetu watu wanauwawa halafu hakuna riporti yeyote ya docta Kuja Tz kwamba ameanguka kaumia sehemu ya kichwa hakuna kama kafa mbwa jamani tupo tu oman lakini tunalindwa na Mungu mwenyewe

    • @saidybhoky-lb7hg
      @saidybhoky-lb7hg 4 години тому

      inalilah wainallillah rajiun

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 11 годин тому +51

    Yaa rabbi tujaalie na sisi turud nyumban salama😢😢😢😢😢 Allah akulaze mahala pema m

  • @perismwangi5824
    @perismwangi5824 10 годин тому +43

    From Kenya...Poleni sawa Wana Tanga......Mungu awajalie wote wanaofanya kazi uarabuni...awakinge na maajali zote

  • @KhadljaJuma
    @KhadljaJuma 6 годин тому +7

    Nikweli dada 🎉🎉❤❤❤ tunapitia mengi na hatuna tukiwaomba maajenti watwambia tuvumilie na muda mwengine hawatujubu sms

  • @HossiaaOman
    @HossiaaOman 11 годин тому +40

    Allah atusimamie wanagalfu wote tuludi makwetu salama inshallah tuwe naumoja jamn sisi sote nindugu

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 10 годин тому

      Sana tushika,ane

    • @giftbonanje228
      @giftbonanje228 10 годин тому +3

      Hakuna umoja huku .sio useme nipo na watanzania huku ni ww na Mungu basi

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 10 годин тому

      Mungu atawajalia mtarudi salama

    • @AsiaMawela
      @AsiaMawela 8 годин тому

      Amiiin thumaa amiiin

    • @nismaali2982
      @nismaali2982 8 годин тому

      Amin yarrab 🤲🤲🤲🤲

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 10 годин тому +18

    Poleni wazazi na watoto na familia ya Mwanamvua, Allah amsamehe madhambi yake na ampe kauli thabit, Amin

  • @MohdBashirAlRashd-gz7xg
    @MohdBashirAlRashd-gz7xg 10 годин тому +25

    Hongereni sana kwa kazi nzuri wana wa Global tv, malalamiko yamekuwa mengi sana mimi naona bora wafungiwe tu kwenda Oman Ikiwa hakuna amani kwa wafanyakazi wa ndani kwa nini serikali ya Tanzania iendelee kutowa vibali au haina imani na raia wake? Kila siku malalamiko hayaishi na mengine hata hayaingii akilini, kama alivyosema Fungameza bora wabaki Tanzania wauze maandazi na vitumbuwa maisha yaendelee

    • @aishaa2930
      @aishaa2930 9 годин тому +5

      Tz kazi za usafi tu mjuane ila huku hata usipo soma unakuja mitihani ipo Kila sehemu ni kuomba mungu tu

    • @AminaRamadhan-mg9lj
      @AminaRamadhan-mg9lj 9 годин тому

      Kabisaaa kama me sijasoma najiona kuteseka tz mung atulindee tuu jomn tz yetuu Hali ngumu hatupendi kujaa ukuu etii😢😢😢😢​@aishaa2930

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 9 годин тому

      ​@aishaa2930bora hyo kuliko lawama

    • @Hanan-bc6ps
      @Hanan-bc6ps 9 годин тому +1

      Lakn hapa lnaongelewa swala la msba

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 9 годин тому

      Naomba khatma njema 2 huko nyumban utakuta unaweka biashara kama umeweka mavi unauza na kula humo humo kkubwa kuwe na sheria kal kat ya hz pande mbl yaan zwekwe sheria za waz na mkazo na hii yote inaweza fanyka kwa wenze2 waliokuwa juu😢

  • @mamujoha6034
    @mamujoha6034 9 годин тому +7

    Poleni zari mbafanya kazi nzuri watu warustaq wanaroho mbaya sana na ubarozi wetu ndio mjionee wapoje

  • @zainabumikidadi9148
    @zainabumikidadi9148 3 години тому +1

    Ukweli wote anaujua huyo boss wake na hakika kama amedhulumu nafsi yake asipate amani maisha yake yote na kma kwel malipo ni duniani asilale hajalipwa inshaalah na kma ni mapenzi ya mungu hakika amlaze mahali pema peponi inshaalah

  • @AidathRweyongeza
    @AidathRweyongeza 8 годин тому +7

    Wasomee dua kubwa kila aliye shiriki akaokote makopo mungu asiwaache salama hapa dunia na kesho yaumuli kiama

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 5 хвилин тому

      Na kama ilikuwa bahati mbaya au Mungu amemuandikia kifo hicho dua itakupata naww InshaAllah utakuwa unajinyea huku unakula mavi yako km unadhani dua inamchezo unajisemea tu umbea umewajaa acheni family ya marehem watajuwa chakufanya unawapangia ww km nani

  • @Safinamfinanga
    @Safinamfinanga 10 годин тому +6

    Mungu atuepushie mabaya Tim strong 💪 asanten sana

  • @timesaid5504
    @timesaid5504 10 годин тому +13

    Yarabi tujaalie mwisho mwema inshaallah na umjaalie mwenzetu alie tangulia amuangazie nuru kaburi lake

  • @UmmiGanja
    @UmmiGanja 4 години тому +1

    SIO kwa WALIO Oman WENYE wako Gulf wot Mimi ni mkenya na inaniuma sana 😢 Allah AMSAMEHE na Amrehemu na amueke mahala pema peponi
    Poleni sana wana familia wa marehemu mwanamvua

  • @Aminahlamranl420-hw2ie
    @Aminahlamranl420-hw2ie 10 годин тому +13

    Innalillah wainna illah rajioun cc ni Allah na kwake tutarejea.
    Allah amsamehe makosa yake, 😢inauma lkn kila nafsi itaonja umaut 😢

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 5 годин тому +1

    Uo moyo uliangaliwa upo lakini Mungu atupe khusni lkhatma na mwenzetu Mungu ampokee kwa mikono miwili Amein

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 9 годин тому +6

    Mungu awanusuru wanawake wanaenda huko ugaibuni kupambana

  • @najmaaljabre2055
    @najmaaljabre2055 10 годин тому +10

    Innalillah waina lillah rajiun hakika ALLHA ndiye anajua kimempata nini ndugu yetu mwenyezi mungu atujaalie turudi salama tanzania

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 7 годин тому +7

    Binfsi nipo omani ila tunakuja huku tu lakni Mungu atusaidie sana kweli tunakuja huku kwa ajili ya kupmbna lakni hawa watu tunaishi nao tu jamn jmn wengne wanaishi kwa raha kwa amani ila kuna sisi wengine amani hakuna hakuna kabsa jamn Mungu asimame na sie

    • @aminaali792
      @aminaali792 4 години тому

      Allah atawafanyia wepesi ndugu zetu inaskitisha sana 🤲🏽🥺

    • @AgnesJohn-vn7gk
      @AgnesJohn-vn7gk 2 години тому

      Kama aman hakuna kwa nn usitoke mapema au unasubiri mpaka wakuue 😭😭

  • @HawaJumanne-uy4eu
    @HawaJumanne-uy4eu 11 годин тому +18

    Waarabu😢😢 Mungu atusaidie turudi salama nyumbani kwetu

    • @umranim5854
      @umranim5854 10 годин тому

      Unamaana waarabu ndio wamemuua 😏

    • @AidathRweyongeza
      @AidathRweyongeza 8 годин тому

      Hujafatilia toka mwanzo keep fo chake Cha utata mno​@@umranim5854

    • @HawaJumanne-uy4eu
      @HawaJumanne-uy4eu 7 годин тому +1

      @@umranim5854 usichoelewa ni nini 😏

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 7 годин тому

      Sasa unatetea Nini??? Kikubwa na yenyewe yanakufaga hakuna wa kuishi milele​@@umranim5854

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 7 годин тому

      ​@@umranim5854mkundu wako wewe usicho elewa ni nini Kwa Nini taarifa ziwe tofauti?😏😏

  • @Floracharles-kh3cg
    @Floracharles-kh3cg 11 годин тому +9

    Aisee inauma sana Mungu atusaidie turudi makwetu salama

  • @bisharahassan1113
    @bisharahassan1113 8 годин тому +2

    Allah ameshapanga kila mtu wapi atamalizia maisha yake Allah atupe mwisho mwema ndio lakuomba

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 9 годин тому +20

    Inalillh wainaillh rajuuni pumzika kwa amani mpambanaji mwenzetu pole watu wa tanga na tanzania kiujumla eheee mungu tujalie na ss turudi salama salmini 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻

    • @kassimmambo2279
      @kassimmambo2279 8 годин тому +1

      Amina dada mungu atawarudsha salama

    • @Naema-x7p
      @Naema-x7p 6 годин тому

      @kassimmambo2279 amini thuma amini ndugu yangu

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 7 годин тому +3

    Allah kwa huruma yako Tunakuomba umsamehe marehemu wetu huyu na wengine waliotangulia mbele ya haki, Yaliyomkuta huyu binti Allah ndiye ajuae zaidi. Inna lillah wa ina illah rajiuun

    • @Nabjamsaghaa-z8k
      @Nabjamsaghaa-z8k 7 годин тому

      @@mohamedS-yd9wh hakika mwenzetu mwendo kaumaliza ktk nchi za watu ni maumivu katuachia hakika sote kwa allah tutarejea yarab tuyaalie mwisho mwema na usichukue roho zetu haliyakuwa hujaturidhia allah [Amiyn ]

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 9 годин тому +3

    Poleni sana wafiwa wote. Mwenyezi Mungu ampe qauli thabit. Hakika sote ni marehemu watarajiwa 😢😢kikubwa kumuombea Dua marehemu. 🤲🤲

  • @MwajumaBikilamanga
    @MwajumaBikilamanga 7 годин тому +3

    Hakuna jambo kama hilo ila tuu Tushukuru kwa Mwez Mungu yy ndo mjuzi zaidi Watu wanasafiri wamepimwa kila ugonjwa ndo mana kabla ya safari watu hupimwa kipimo kikubwa imekuwaje hii😭🤲

  • @AnnastaziaBoniphace
    @AnnastaziaBoniphace 8 годин тому +2

    Mungu wangu tujaalie tuliopo huku Oman tumalize mkataba salama Ameen

  • @Ashaabesh
    @Ashaabesh 7 годин тому +1

    Innalilah wainallah rajuun
    Pole sana sana familia ya mwanamvua
    Ushauri tuu ndugu zetu wote walio nje wawemakini na watu wanaoishinao msiweke mazoea sana fanyeni kazi zenu mkimaliza majukumu pateni muda wa kupumzika kuepukana na maradhi

  • @يعقوبالغماري
    @يعقوبالغماري 7 годин тому +2

    Innalillah waina lillah rajuun Allah akupe kauli Thabit na akusamehe dhambi zako na sisi piah Allah atujalie mwisho mwema na tuliopo nchi za hawawatu Allah atulinde turudi Salama Ameen

  • @Nabjamsaghaa-z8k
    @Nabjamsaghaa-z8k 9 годин тому +18

    😭😭😭😭😭😭mungu amlaze mahali pema pepon, nasi mungu atusimamie wote tulioko oman turejee kwa aman

  • @MariamHassan-kn5qs
    @MariamHassan-kn5qs 7 годин тому +5

    MUNGU atusaidie team strong jamani kama mimi nna majanga hapa kwangu aiseeeee huyu madam ananitafuta hadi usiku anakuja kunikagua chumbani jana usiku saa nane kaingia chooni kwangu sijui kama kaenda choon kwa heri au shari nakwanini anyate wakat wa kuingia chooni?... jamani tuombeane sanaaaa kutafuta kugumu wapendwa wangu

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 7 годин тому

      Duum mtihani huo unamda Gani apo 😢😢

    • @TausiEme
      @TausiEme 6 годин тому

      😮😮😮 pole dada sasa nawe kaa macho kukesha kuomba Mungu san

    • @NanaNima-jy5pi
      @NanaNima-jy5pi 4 години тому

      Red flag hiyooooo kimbia kimbiaaa kimbilia ubalozini usijekukutwa na kitu Cha ajabu

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 10 годин тому +3

    Tunawapokeza sana golbo kwa kazi nzuri
    Allah awahifadhi Amiin Amiin Amiin yaarabiby

  • @joselinejoseph9632
    @joselinejoseph9632 6 годин тому

    ahsante Da zar na global Tv kea ujumla watu wanafungwa bila hatia ni Mungu tu atusaidie turud salama Amiina

  • @Latifa99Latefa-x5p
    @Latifa99Latefa-x5p 8 годин тому +1

    Watanzania wenzetu 19:38 wanagallfu wote, mungu hatanyamaza kwa hili, maaana amekatishiwa maisha jamani,daaa Ila Hawa watu mmmmh jamani mungu tuu anajua

  • @Doris-tn1sr
    @Doris-tn1sr 7 годин тому +1

    Mungu atulinde turudi mwakwetu salama .ni huzuni sana.mungu awafariji

  • @AsiaHamisi-q1k
    @AsiaHamisi-q1k 5 годин тому +1

    yanatokea hayo sana lakini bado watu wanakwenda huko kwawaarabu

  • @RahmaAlly-pe2vb
    @RahmaAlly-pe2vb 11 годин тому +3

    Allwah akupe kaull thabit mpambanaji mwenzetu mwamvua rijjana lnshaallwah 🙏😭

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 10 годин тому +2

    Aisee Juz Zari ww mliwageuka watu mkasema kwamba wanataka mtoe taalifa wanaozitaka wao nawakati simtofaham ulikuepo kutoka Kwa wtu WA karibu

  • @AvelinaStephano
    @AvelinaStephano 6 годин тому

    Pumzika kwa amani mpambanaji mwenzetu ee mwenyezi mungu utusaidie na ss tulioko huku turudi nyumbani salama

  • @ZainabZainab-od8ob
    @ZainabZainab-od8ob 9 годин тому +2

    Zari tuikwambia hawa watu sio wazuri ukakataa Leo umeamini😢😢😢

  • @FathimaFathima-z4m
    @FathimaFathima-z4m 10 годин тому +4

    Tunataka ripoti ya daktari wa kwetu Tanzania

  • @SherryFadhil
    @SherryFadhil 9 годин тому +2

    Inlilah wainnaillah rajion dada zay pmoja nafunga meza hongern kaz nzr pmja na timu nzima ya clobal ❤

  • @MissFreeda
    @MissFreeda 9 годин тому +2

    Yarbby Tujarie Tulio mbali n kwetu Tume Afya n Ulinzi daima. Pole Wana familly wote Kwa Msiba mzinto 😢😢😢

  • @ZahidahAli-ys1fg
    @ZahidahAli-ys1fg 7 годин тому +1

    Allah ampe mpambanaji mwenzetu kauli thabit yaallah 😢😢😢

  • @UmmyMohammedi
    @UmmyMohammedi 10 годин тому +1

    Mtihani kwakweli... Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya ke

  • @zuwenashabani7100
    @zuwenashabani7100 5 годин тому

    Msiba umeniuma sana huu sijui niseme nini wallah Allah ndiyo hakim wa hakh

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 5 годин тому

    Allah Amrahamu, YA Allah tujaalie turudi makwetu wazima.... RIZKI ZA MBALI MTIHANI

  • @OmanOman786-i8g
    @OmanOman786-i8g 9 годин тому +2

    Allah atujaalie nasisi tulio bak Oman tulud Salam na atutie nguvu wote ambae tulikuwa tunamfaham mwanamvua inaumiza ila atuna jins😢

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 7 годин тому +2

    Mie naona tufungiwe tu kuingia omani kiukweli watu wanteseka sana huku 😢

    • @يعقوبالغماري
      @يعقوبالغماري 7 годин тому +1

      Naungana na ww tufungiwe na ikiwezekana tulio huku piah turudi

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 6 годин тому +1

      @يعقوبالغماري kabisa mpendwa wangu we upo sehem gani mwaya mimi hapa nipo hamrati nimepta jiran mtnzania mwenzangu chajabu madam wangu kaenda kwa majirani kawambia staki mfanyakzi wenu aje kangu wala yeye hatokja walie majran walimshanga sana

    • @TausiEme
      @TausiEme 6 годин тому

      tufungiwe2 jamani nyie maana kama mimi hapa geto lang liko nje sasa nikiingia home kwao yeye madam anaingia geto sijui nini anatafuta.

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 4 години тому

      @@TausiEme sasa wamekutenga chumba cha pekeako tena njee vp kwenda kwenye chumba kuwa makini sana

  • @NanaNima-jy5pi
    @NanaNima-jy5pi 4 години тому

    Eee Mungu baba tusimamie watt wako kwenye utafutaji wetu 😭😭😭😭😭Binafsi niko iraq mwaka wa 3 huu na Mwanamvua nlikuwa nafanya nae mtaa mmoja na tulikuwa tunaonana sana na baadae aliondoka akaniacha kumbe alienda oman aiseee 😭😭😭😭

  • @suhaylaabdullah4261
    @suhaylaabdullah4261 7 годин тому +1

    Ni bora tu Tanzania wafungie watu wao kwenda kufanyakazi Oman ili waepuke hayo matatizo na manyanyaso wanosema wanayapata na kwa nini wanakwenda Oman na washaona wanateswa inastaajabisha kwani lazima waende huko

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 10 годин тому +3

    Nawasisitiza msiongee vibaya mimj naish na waarabu wangu vzr lkn naish nao kwa akili na pia wanatabia mbaya sana hawa viumbe ukiwa Tanzania ueez kuelewa

  • @pejesalum615
    @pejesalum615 6 годин тому

    E Mungu tujarie kwenye nchi za wenzetu hizi utulinde na utuepushie na Aya matatizo🤲🤲🤲

  • @RukiaShelukindo
    @RukiaShelukindo 10 годин тому +2

    Mwenyezi Mungu amsamehe madhambi yake

  • @NeemaLucas-x7y
    @NeemaLucas-x7y 6 годин тому +2

    Pole team strong 💪 mpambanaji mwenzangu umeondoka kigaidi sana hata sisi tumeumia 😭😭😭niwaombe wadada mlioko oman ukiona nyumba inachangamoto aomba agent akuamishe mapema hawa waarabu ni mbwa kabisa kuna mait nyingi sana mochwar hazijulikan ni watz au wakenya au warwandwa maana zimetelekezwa hospital aseee unauma

    • @FloraAndrew-s5q
      @FloraAndrew-s5q 2 години тому

      Mi Kuna boss moja nilikuwa nafanya nae kazi huku nikavunja Sahani alichoniambia akasema unabahati kwasababu upo kwenu ungekuwa kwethu ningekuuwa angekujuwa nani aiseeee na hapo ndo tulikuwa kwenye mandalizi yakwenda huko nikasema mama samahani nitashindwa kwenda nimepata dhalura

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 19 хвилин тому

      Weee acha uongo labda alifanya utani ukachukulia kweli ww unajua sheria ya huku ukifanya kosa ni jela hata ujifiche chini ya ardhi wanakutoa polisi hawanamchezo hakuna hongo huku acheni uzushi​@@FloraAndrew-s5q

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 13 хвилин тому

      Mbwa ww mweusi km mkaa hao mailti uliwaona huko mochwar naumbea wako hospital ipi itaweka maiti za watu wasiojulikana mnafiki mkubwa umekosa lakusema au ww ndio unafanya kazi mochwari Mungu atawalaani nyie mbwa bora mfungiwe mtokomee kule hamtakufa nahivi mnachinjana kila leo ww ndio wakwanza kukatwa ulimi wako uache uongo

  • @SoomaSoma-t8x
    @SoomaSoma-t8x 6 годин тому

    Yani globali tv mko vizuri sanaa ongereni kwa ushirikiyano wenu mungu awalinde jmn duu yani sijapata kuona mko vzr sanaa❤

  • @FatmaMusaifa
    @FatmaMusaifa 10 годин тому +2

    😭😭😭 inauma sana Allah amlaze mahali pema mpambanaji mwenzetu

  • @Jenifajerad
    @Jenifajerad 9 годин тому +4

    Maumivu Allah akupe mwesho mwema inshaallah kifo ni ahad bas ahad yetu atuuijuii waharabu wamekingiana kifuwa hapo wameongq ela osptln

    • @Faraja-k1e
      @Faraja-k1e 9 годин тому +1

      Sahihi

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 8 годин тому +1

      Nikweli kabisa😢

    • @MwajumaBikilamanga
      @MwajumaBikilamanga 7 годин тому +1

      Hakikaa wamehonga hela kama ni Moyo watu wanasafiri wamepimwa Kila ugonjwa je wataruhusu vipi mtu anaumwa moyo aje Gulfu

  • @AninthaAnitha
    @AninthaAnitha 10 годин тому +2

    Daaah hkika inaumiza sana jamni wanajifanyaga wanaasila sana

  • @RukayaAdam-l8x
    @RukayaAdam-l8x 3 години тому

    Mungu 😢wangu tunaombaa tusamehee sisis tupitia mengii sanaa mtuombee jmnii 😭😭😭

  • @Fareda123-x2l
    @Fareda123-x2l 8 годин тому +2

    Jaman watanzania tupazen saut kwa ukatil tunaofanyiwa huku gulf mama samia kama unaisikia hii naomba utusaidie haki ya mtanzania mwenzet ipatikane

  • @nanyangeclara2222
    @nanyangeclara2222 9 годин тому +3

    Poleni familia nzima Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Ila simlisema ubalozi wa Tanzania Oman walishirikishwa. Au mimi ndio nime changanya mada

    • @HadijaOman
      @HadijaOman 8 годин тому

      Wala huchanganya mada Tanzania yetu ni mtihani kama Rais angesimama na hili kwakweli ni mtihani Mungu atulinde kwakweli jamani

    • @nanyangeclara2222
      @nanyangeclara2222 8 годин тому

      @HadijaOman inasikitisha sana

  • @FattiHassan
    @FattiHassan 10 годин тому +2

    Poleni sana wafiwa pole sana

  • @aminaramdan3283
    @aminaramdan3283 10 годин тому +14

    SUBHANNALLAH 😢 UGONJWA WA MOYOO NOO JAMANI... WASOME DUA IKIWA KWELI HAKUFANYWA KITU BASI TUMWACHIE ALLAH.. LAKIN KAMA ALISUKUMWA HUYU DADA KWA DUA ITAKAYO SOMWA IKAJIBU KWAKILA ALIYE HUSIKAAA 😭😭😭😭🥺🥺🥺

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 10 годин тому +3

    Inna lilahiy wainna ilayhi rajiun Tunakuomba ya ALLAH utujalie turudi makwetu salama

  • @HaleemaSur
    @HaleemaSur 10 годин тому +2

    Ya Allah type mwisho mwema urudishe salama😭😭😭

  • @SwaumuMohammed-w2l
    @SwaumuMohammed-w2l 6 годин тому +1

    Ndio mana walikua wanakatazia kwenda watu😢😢

  • @ArRahman-ih1pi
    @ArRahman-ih1pi 7 годин тому +1

    Yani hili pigo kubwa sn kwa watanzania na wafanya Kazi wote wa ghalfu 😢😢😢

  • @HawaRamadhan-x5g
    @HawaRamadhan-x5g 8 годин тому +1

    Mungu amuondoshee adhab yaa kabur ampe kaul dhabit

  • @ZaituniAbdi
    @ZaituniAbdi 8 годин тому

    Allah ampumzishe Kahala pema peponi😢😢😢 nihuzuni kwa familia

  • @shamzone388
    @shamzone388 6 годин тому +1

    Jamari Huku sio Kama kwetu mtu akishikwa na police hata akiwa mgonjwa anapelekwA hospital na anatibiwA na anapewa huduma Zote…
    Chakula Mara 3 mapedi Sabuni lotion na simu anapewa kuwapigia watu wake tusizidishe maneno

  • @omanhairat4277
    @omanhairat4277 9 годин тому +1

    pole sana zari nakupenda bure unajitahidi utetezi lakini ndio huna uwezo ya haya mambo nimakubwa ila mungu atakusaidia pia

  • @MroseMcho
    @MroseMcho 8 годин тому +3

    WARABU wamemua ILA NDUGU ZANGU 😢 HAMNA DAMU YA MTU INAPOTEA BURE MWAMVUA WAMEMUA JAMANI 😭😭 TUOMBE TURUDI SALAMA🙏

  • @NyangetaFaustine
    @NyangetaFaustine 6 годин тому +1

    I wish huyo boss wake angejulikan hata kwa sura tuu..ili kila mfanyakazi akion sura zao wakatae kwenda kufanya kazi hapo.... wallah kifo tukisikie tuu 😫.... Allahum husnul khatma Yaraby 🤲😢

    • @Neemahashim12
      @Neemahashim12 6 годин тому

      😭😭😭yan we ndo umeongea ki2 ambachoo nilikuwa nakiwaza toka kifo chake. Nikajosemea baaada ya mda wanaagiiiza mwingine apo afu tunaogopa sana tunatooka makwetu tunapokuja atujui watu tunao kutan nao

  • @pejesalum615
    @pejesalum615 6 годин тому

    Safi sana gobo tv pambaneninkwaajili yeti na Mungu awabariki

  • @AsiaShaban-zz4yr
    @AsiaShaban-zz4yr 6 годин тому

    Mungu tuhigadhi turund salama mungu akulaze pema na akupunguzie azabu y kaburi Ameen

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 3 години тому

    Wapambanaji wenzangu Omani poleni sana mimi ni mwenzenu nipo Misri nimepokea taarifa hii nyingine tena kwa masikitiko sana na nimeumia mno Omani matukio yamezidi yakuumiza

  • @HidayaK-c2m
    @HidayaK-c2m 6 годин тому

    Inna Lilah waina Lilah rajiuna Allah amsamehe madhambi yake

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 7 годин тому

    Polen sana familia yote kwa ujumla kwa kipindi huki kigumu mfnyakazi mwenzetu mpmbnaji mwenzetu sjui nn kilikkta Mungu ndie ajuwae yote

  • @NaeemaNaeemaa-r1d
    @NaeemaNaeemaa-r1d 9 годин тому

    Nalia tu jamn mwan mwan Allah atupe mwisho mwema nenda dad mwendo umeumaliza😊

  • @aishaaisha7097
    @aishaaisha7097 9 годин тому +1

    Mungu amsamehe makosa yake 😭😭😭😭

  • @aishaa2930
    @aishaa2930 9 годин тому +1

    😢😢😢😢jamani mwenyezi mungu ampunguzie azabu ya kabur daah ina uma

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 10 годин тому +2

    Tukiwambia waarabu baadhi Yao wabaya mnasema wafanyakazi ndio wabaya zamani wamesema kanguka kwenye shimo asaivi ugonjwa wa moyo whate😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @TausiHamisi-e9l
    @TausiHamisi-e9l 9 годин тому

    Mungu apumzishe kwa aman sis sote njia yetu ni moja

  • @Fatima-i7h3w
    @Fatima-i7h3w 9 годин тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Allah amuifadhi , na sisi tuliopo huku oman Allah atufanyie wepesi tuludi salama kwa family zetu, amen.

  • @salmaabdallah9598
    @salmaabdallah9598 8 годин тому

    Innalilahi wainnailai rajiun pumzika kwa amani mpambanaji mwenzetu dada yetu mwanavua mungu akusamehe Zambi zako Ameen 👏 hii lipot ya Leo inaumiza san mungu aitie nguvu familia ...asantee dada zali na tim Yako yote tunajifunza mengi kupitia kipindi chenu pazeni saut kwaajili yetu malipo yenu mtayakuta kesho kwa Allah kwani sisi atuna uwezo wa kuwalipa kwa mnavo tusaidia kupaza saut zetu .mungu awalinde👏

  • @hailatomantatusefu3433
    @hailatomantatusefu3433 8 годин тому +1

    Innalilah wainnalilahi rajoin hakika sote ni wa Allah na kwake tutarejea ila ndo maana alikuwa fasta bosi kutaka kuzika yy ila mungu ndo hakimu wa haki atalipiza hapa hapa dunian.
    Ndo maana utasikia Mtanzania kafa mara oooh tunazikwa uku kumbe kuna tunayofanyiwa mungu atuojaalie tuliobaki turudi salaama na mwisho mwema

  • @mauarajabu5181
    @mauarajabu5181 9 годин тому

    Mungu amsamee mwenzetu dda Mwanamvua jirani yetu da…!!! Poleni sana Familia Mr Wazir 😭😭yote tumuachie Mungu ila da..!

  • @AlliyKhamiss-s6v
    @AlliyKhamiss-s6v 10 годин тому

    Mwenyezi Mungu Ailaze Pema Roho Marehemu Peponi Amiin.

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f 7 годин тому

    Allh atupe mwisho mwem watu wengi wakifia oman wanasema ni mstuko wa moyo inamana wote wanastuka moyo😢

  • @Mamkubwa
    @Mamkubwa 9 годин тому +1

    Inna lillahi waina illah rajiun. Poleni sana wafiwa. Wengi hatumjui lkn tunahuzunika saana. MWENYEZI MUNGU ANAONA KILA KONA, HILI ANALIONA. TUMUOMBE NA KUMSHUKURU. ALHAMDULILLAH

  • @FatmamsagatiFatmamsagati
    @FatmamsagatiFatmamsagati 6 годин тому

    Innalillah wainnahi rajiun, Poleni sn wa Tanga na Tanzania kwa ujumla, na pia pole sn wafiwa😢mungu amipe subra ktk wakati huu mgumu, ukumbuke tu kila nafc itaonja umauti haijalishi utafia wapi, kikubwa tumuombe mungu atupe mwisho mwema

  • @MwasitiKasita
    @MwasitiKasita 10 годин тому +1

    Mwenyezimungu ampunzishe pema peponi mpambanaji mwenzetu

  • @maryamu2968
    @maryamu2968 5 годин тому

    Poleni wazazi kwa mtihani mkubwa

  • @LeodigerBeda-o2p
    @LeodigerBeda-o2p 9 годин тому +1

    Mimi nilishawakataa waarabu ata siku moja hawana utu sijuh wanamuabudu mungu yupi

  • @JulianaNyamhanga
    @JulianaNyamhanga 3 години тому

    Ni Mwakizaro..sio Mwakizero Tuliopo Tanga Tutaenda shiriki..Mliopo uko tunawaombea Mungu awalinde

  • @maryammo-gd3me
    @maryammo-gd3me 9 годин тому +1

    Inalilah waina irahy raajiun Allah amsameh pale alipoteleza

  • @RizikiAliAmeir
    @RizikiAliAmeir 8 годин тому +1

    Inalilah wainailayhm rajoon mungu ampumzishe kwa amani mpambanaji kipenz chetu mwanamvua kifo kipo na kimeumbwa 😢😢😢 km kafa kwa rehma zake Allah mungu kafanya kazi yake inshaallah na km kazulumiwa nafsi yake basi ajuwe tu zulma haitakaa milele na inshaallah mungu atampa pigo la maisha na kwa kupitia dhulma hii alioifanya amiiin 😢😢😢😢 limeniuma saaana poleni familia na wana ndugu

  • @estherobed8693
    @estherobed8693 9 годин тому +1

    Sina la kusema ee Mungu nakuomba nilinde nimalize salama nirud🙌

  • @kaznakazn3495
    @kaznakazn3495 4 години тому

    Inalilahi wainailaahi rajighunna poleni Sana familia ya mpambanaji mwenzetu Allah amupe kauli thabiti kwa kweli tumeumia sana naombeni tu maajenti muwe munatusikiliza wengi tunapitia magumu sana tunakosa msaada wa haraka😭😭😭

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 7 годин тому

    Yani tarifa za awali katumbkia kwenye chemba saiz tena ugonjwa wa moyo jmn daaah Mungu tusaidie sana