Jomireso voices Tz - Sogea (Official Video) 4k
Вставка
- Опубліковано 29 гру 2022
- Artist: JOMIRESO VOICES TZ ( +255 765 766 438)
Song : SOGEA
COMPOSER: Majogoro
Audio : Pro EPHRAIM (+255 745 772 120)
Video : Dr. RJ (+255769 672 995)
HILO TATIZO SIO KUBWA
Usuluhishaji wa migogoro katika mwili wa Kristo ni muhimu kwa sababu kadhaa.
¶Kuepuka migogoro, bila jitihada za kutatua, kunaficha uhalisia na majibu sahihi na kueneza tatizo kulifanya kuwa kubwa zaidi.
¶Ikiwa Kuna makwazo yametokea Kati yetu tunapaswa kutoa nafasi kuzungumza mezani pamoja. Hii itatoa fursa ya kulimaliza tatizo*
¶Lengo la ufumbuzi wa migogoro ni *umoja*, na umoja katika kanisa huwa tishio kwa shetani.
¶Ukikaa na makwazo moyoni bila kukaribisha mazungumzo na ndugu yako, unaweza kudhani na kuliona tatizo hilo kuwa kubwa. Wakati kinyume chake tatizo hilo ni dogo sana likiwa mezani
¶Pia tunaambiwa tusiruhusu "mizizi ya uchungu" kuongezeka kati yetu, na kusababisha matatizo na uchafu (Waebrania 12:15).
¶ #SOGEA
kaa na ndugu yako meza moja, imba, farijiana nae #tatizosiokubwa
Zaburi 133:1-3
Use your time to get close to someone you think you had problems with in 2022, talk to him, maybe the problem is not that big and it may end before the starts of another coming year.🔥❤️❤️
#Sogea 🔥🔥🔥🔥
❤️❤️❤️🔥
Ameeeeen,👏👏
😮😮😮😮
pll lol
Jmn MUNGU awabaliki sana mkae Kwa upendo mkiiba Kwa furaha ❤❤❤❤
💪💪💪💪💪
🔥🔥🔥
❤️❤️
❤️❤️
Amen amen❤❤❤❤
Hallelujah
Sogeaaaaaaa sogeaaa huenda likakoma likaisha yenyewe karibu am so Blessed Twin W'ingan
Amen be blessed much
Mbarikiwe kwa nyimbo amani tele inatawala sogea❤❤❤
Nawapenda bure.karibuni Kenya#VoP Africa Sing To Save Season 3
Amina
Sogea karibu nami,soooogea huyo jamaa wa mbele ameutendea kazi kweli kweli.
AMINA SANA 🙏
Nyie watu si mbarikiwe tu, kazi zenu ni nzuri mnoooooo🤲🙏🙌
Amina... Jina la Bwana lihimidiwe
Hongereni sanaa wimbo mzuriii
Amina
Aiiiii wakuu huiki kitu ni kizito mnoo Barikiwa kuliko..
Hiyo lead Ooh hallelujah
Amen
nice song family b blcd
Amen
Aisee nyie watu mnabariki sanaaa. Mungu azidi kuwainua
Amen!! Barikiwa zaidi
Amen SOGEA
Mbarikwe sana VIJANA kwa ustadi ndani ya BWANA
Amen
🔥🔥🔥❤️nawapenda buuuure❤️❤️❤️❤️
❤️🔥
Wimbo mpya mzuri sana.
Exellence my youth
Amen
🔥🔥🔥
🙏🙏
Nimefurahi 🔥🔥🔥😂😂😂
Amen
Mbaraka kweli
Amina
Endeleen kubarikiwa sanaaa
Amina Sana
Nice song tukisogea mengi yanaisha 🤗🤗
Hakika 🔥🙏🙏🙏
Aminaaa🌺
Haleluya
Hongereni Sana wapendwa
Haleluya kwa Bwana 🙏 🙏
Amina , songea karibu tukae Pamoja nimebalikiwa
Amina Sana Mr.
Mungu awabariki . Kazi nzuri
Amen
JOMIRESO Mungu awabariki. Mnajua aisee.
Haleluya kwa Bwana 🙏 🙏 🙏
Ooh my , haki huyu soloist is on another level big up sana.
Nimebarikiwa sana na wimbo huu mbarikiwaeee sana
Amina Sana!!! Haleluya kwa Bwana
Yaani nimeurudia mpaka,,,hngrn sanaaaaah
Amen ❤️ ❤️
barikiweni sana kwakweli🙏🏽
Amen
Mbarikiwe sana.... Nabarikiwa sana
Amen Jina la Bwana lipewe sifa
Wat a song🥰
❤️❤️❤️🔥Woow!! Thanks be blessed
@@jomiresovoicestz amen sana mbarikiwe
Amen! Nimesogea
Haleluya
So gorgeous 🍓❤️
Hallelujah to Jesus
Mbarikiwe San watumish,nimebarikiwa
Amina barikiwa pia
Kwa yesu yawezekana yote
Hakika
"kamu kulozi"😊"egelaga shii🌝 nkoi 🤓
🙌
Hallelujah Bwanaaaa.
🔥🔥🔥🔥🔥
Mnanisogeza Sana Miguuni pa Yesu
Amina Sana
Jamani mda mwingine unajiuliza uu wimbo walitungia mbinguni kabisa maana unanipa raha unanipa matumaini yakusogea tena Mungu awabarki sanaa
Amen 🙏 BARIKIWA ZAIDI
Mwl Majogoro na timu yako nimebarikiwa sana na huu wimbo
Amina
Ameen❤
Hallelujah
Ameeen❤❤
Amaizing👬👭👩👩👦👦
🙏🙏
I can fly to TZ just to be blessed by you guys, much much love from Kenya.😇😇😇
😀 😀 Welcome
Wonderful song we love you from Rwanda(@kugana yesu choir)
Amen 🙏🙏🙏get blessed friends
♥️♥️♥️
❤️❤️🔥
Namuona Jamaangu Edu.
Mbarikiwe sana marafiki zangu.
Amen. Barikiwa pia
Kijana barikiwa sana 😂🔥
Huu wimbo jmnii😭😭umenifanya nifarijike mnoo,sitakata tamaa tena mzidi kubarikiwa mnoo nawapenda zaidi yani bila kuusikiliza huu wimbo silali kbsaa big up kwa mwalimu
Amen barikiwa sana ❤️🙏🙏🙏
Asante sana ,Jomireso kwa kazi kubwa , Realy wimbo juu ume tubariki sana ,hapo kongo Mungu azidishe vipaji vienu kusonga mbele zaidi .
Amina sana mbarikiwe zaidi na zaidi wapendwa
Blessed majogoro and Ephraim
Amen
Majogoro sogeaaaaaa
🔥🔥
Ninasogea 😇😇😇
Eeeh 🤲. never dissapoint lads. GOD is able👊
🔥🙏🙏🙏
sogeaaa so nicee
🔥🔥🔥
nawapenda wapendwa Mungu azidi kuwainua zaidi.napona napockiliza nyimbo zenu🙏
Haleluya kwa Bwana
Very wonderful song, we love you so much
Amen be blessed ❤️
Barikiweni sana Jomireso Tz,Dua zetu kwa Mwenyezi MUNGU Msonge mbele zaid na zaidi🙏
Amen
Wow, so sweet
Hallelujah
Kila nikiutafakari wimbo huu nazidi kujenga mahusiano mema na jamii, MUNGU
Na awabariki sana
Amina jina la Bwana lihimidiwe
When a legeng Mwl Maiga majogoro he is on a lead voice it is always⚡️⚡️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥, MY BIG5 to Sir Majogoro🙌🏽🙌🏽🙌🏽
🔥🔥
Mwani bariki Sana hamjuwitu
🙏🙏🙏Amen
Mungu awalinde nakuwapa nguvu zaidi kubariki nyoyo zaidinazaidi
Blessed more blessings
Hallelujah
You did it again 🥰. Im happy
Amen be blessed @maureenadhis2491
Jamani mnaimba sana sahivi nawafurahia sana, Mungu awasimamie muinuke kiuchumi kiroho muendelee kuwa pamoja kwa kazi ya Baba
Amina na ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
Aaaahi my Lord what a creative things,nikiwa mkubwa nitaimba namna ya kimtukuza Mungu jomy am impressed a lot na kasabato kamekua kazuri ❤️❤️❤️❤️💘
, ❤️❤️Amina barikiwa sana
NYIMBO 🇹🇿🌎🙏 BWANA AWAINUE MUWALETE WENGI KWA YESU
Amina Sana
Lutema Umesikia hiyo melody mzeee.....
@@corretatz6335 Dada Nimesikia Na Mimi ni Nani?? Nisiseme Halleluya kwa Watumishi wa BWANA WA MAJESHI
Mmenifariji sanaaa, kwenye huu wakat huu mgumuuu, Asante Sana aaaaa
Amina barikiwa
happy new year 2023 jomireso may the all migthy God continue inspire you your songs make me feel good stay blessed from central Africa
Amen 🙏🙏🔥🔥be blessed
Jamaniii my family, mibaraka tele wimbo mtamu haukerii masikioni, Mungu awainue mfike mbali zaidi nawapenda mnoo
Amina Sana @kijanchimani2464
Singing for God pays. I love you Lord...thank you Jesus for giving us such sweet melodies and great composition. Glory to God!
Amen!! Hallelujah to Jesus
Looking for you
My friends good job
Amen
mbarikiwe sana Jomireso voice, kaz yenu n nzuri,imenibariki
Amina Sana barikiwa zaidi
Makogolo 🙌🙌🙌🙌 Be blessed brother
Amen,, though it's Majogoro not makogolo😀😀😀😀
Sorry,,, typing error 🙌😅😅😅 I meant majogolo 🙌🙌
Ewaaah🤓🤗💞 be blessed guys....MUNGU awabarikiii muendelee kumtumikiaaa
Hallelujah
Aaaah nyie nyie nyie😭🥰, from the amaizing writer,to the arranged and melodious voice..... God bless you Jomy
Amen ❤️ be blessed
Amazing work
Thanks a lot 😊
Song composer niwalevel nyingineee 💪💪💪
Hallelujah kwa Bwana
NAFURAH SANA KUWASIKILIZA JOMIRESO NANAMUONA RAFIKIYANGU WA PRIMARY HAPPINESS JOSIAH MPENI SSALAMU NAMPENDA SANA
Amina Sana
I miss you fam🥺🥺. Mungu awatunze till I meet you again soon hopefully 💗💗. I love you so so much Jomy
❤️
Amen 🙏 ❤️
The lead guy sound likes that guy was Nyegezi.. one of the best and smoth lead i have heard so far so good.
Mungu awabariki saana nabarikiwa saana na nyimbo zenu nzur Mungu azid kuwaongeza nguvu..... Nawapenda❤
Amen
Huwa nabarikiwa Mno na huduma yenu
Amina Jina la Bwana lipewe sifa sana
Now Jomireso u sing good music 🔥🔥🔥
Amen
Amen kazi nzuri
Amina
Mungu azidi kuwainua mpaka juu kwake 🔥🔥🔥
Amina Sana
Wow...thank you for this educative piece...Twashukuru kwa wimbo huu mtamu..nawafuata sana kutoka Kenya
Amina Sana barikiwa sana mtu wa Mungu
To GOD be the Glory for your ministry👏👏☺️
Amen
Uimbaji ni ibada, nanyi mnaitendea haki ibada ya nyimbo nasi tunabarikiwa.
#Nawaombea mzidi kuwa imara na bora Zaidi 👏
Amina sana na ubarikiwe pia
Wonderful Song... Naguswa sana na Nyimbo zenu. Mbarikiwe na mwende mbali hadi kuingia uzima wa milele 🙏
Amen ubarikiwe zaidi mtu wa Mungu
🙌🙌 Ameennnn
Haleluya
God bless u Guys 🙏🙏
Amen
Sasa hii ni Kali zaidi👏👏👏👍👍👍👍
😀 Amen
Nimeshausikiliza huu wimbo zaidi ya mara zaidi ya 300 sasa ila sikomi tu..
Bwana apewe sifa kupitia Jomireso Voices Tz
Amina Sana barikiwa 🔥🔥🔥
God bless you Jomireso ❤🙏🏻
Amina
Nabarikiwa sna na hii wmbo mbarikiwe by matuku
Stay blessed always
🥰 BE BLESSED JOMY
Amen be blessed too
Wimbo mtamuu😍😍😍😍 mbarikiwe sana
Amina Sana
its very nice
Amen
Be blessed brethren
Amen ❤️
Be blessed all
Amen