MCHUNGAJI HANANJA AWAJIBU WANAOMTUKANA MITANDAONI ANAPOWASAIDIA MATEJA NA MASHOGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @peterjaso6101
    @peterjaso6101 Рік тому +1

    Mungu akutie nguvu katika yote,ninakukubali sana upo vizur songa mbele ,wanaosema unapata wa wajarbu tuu,kidogo

  • @sophiamvungi1425
    @sophiamvungi1425 Рік тому

    Mungu akutie nguvu usikate Tamaa thawabu yako utaikuta mbinguni

  • @SajiMziho-mo4ih
    @SajiMziho-mo4ih Рік тому +1

    Ukovizuri,baba

  • @FadhiliGoodluck-st8gl
    @FadhiliGoodluck-st8gl Рік тому

    Father hananja sijawai kuona mtu mwenye hekima ya kidunia na ya mungu kidogo Kama wewe duniani kote tangu nizaliwe naomba nikutane nawewe hata leo au naomba naomba yako ya simu

  • @davidhntiga
    @davidhntiga Рік тому +1

    Piga kazi Baba mi nakukubari katika wachungaji ambao nikakutana nao kwa nchi hii baba unaongoza maana wachungaji wengine nikutaka hela tu naukweli hamna ukitoa sadaka kidogo hata kwako haji

  • @AnomieKashindi-to9ep
    @AnomieKashindi-to9ep Рік тому

    Amen

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому +1

    MCHUNGAJI HANANJA NAKUSHAURI ANZISHA NA SAJILI HUDUMA (KANISA). NITAKUWA WA KWANZA KUJIUNGA. YOU ARE MOTE BIBLICAL AND LOGICAL.
    UKO VIZURI.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому +1

    Kuna mmoja yupo mbeya, yeye kila siku anashambulia wenzake tu, hata waumini wake inasemekana anawapiga makofi