Anjella - Blessing (Official Lyric Audio)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Stream/Download
Subscribe for More Official Content from Anjella:
/ anjella
Follow Anjella on:
Twitter : / anjella_tz
Facebook : / anjella_tz
Instagram : / anjella_tz
Listen to Anjella
UA-cam: / anjella
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music : / anjella
Spotify : open.spotify.c...
Boomplay: www.boomplay.c...
The Official UA-cam Channel of Anjella. Subscribe for the latest music videos, Performances, and More.
For more information
Email: bookanjella@gmail.com
Contact: +255 769322222
#Anjella #Blessing #theblackqueen
ANJELLA hii umeua saaaana🥰🥰 Tumpe maua yakeee
Kabisa 🇰🇪
Kabisa👏👏.....
Kabisa
Safi
Hata 254 tumempa
Usipoupenda huu wimbo wewe ni mchawi. Team gulf wenye tumekuja ku show love for our beautiful queen anjella piteni na likes❤🇰🇪🇶🇦
Good job my sister kajalla
❤❤❤❤❤🇦🇪
Anjela never give up ❤
@@monjemghalu1734 she's going far
Team Qatar tumekubali
Wimbo mtamu na wenye huruma. Nakupenda sana Anjella from here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama wewe unamkubar angella ❤❤❤ kama yoote
Nice ❣️😘 sijui kwanini nimechelewa
Namsikia kontawa kabisa humu,🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Daah!! Nilikua namtafuta mtu ambae masikio yake kama yangu aisee ulichokiona ww namm nimekiona tawa Katia mkono humu
Tawa mtu mbad sana🙌🏻
Utunz mzuri dada ila sikupenda ulivoiimba umeimba kawaida sana ungeeiiimba kwa hisia zaidi ungenoga sana huu wimbo ila hongera Mungu akujaalie
Mm naisi studio so yeye ii studio niyakawaida maprduza wakubwa wanakusaidia kufanya kitu nakukupa ushauli ila ii chupa ingepikwa kwa raizi kwakonde geng kichupa kingewaliza wengi ameimba Kama msanii mchanga
Kweli ila aidha kali sana kuimba kawaida angeeeimba kwa hisia tungelia
Waliosikiliza zaidi ya mara 2 tujuane oya huyu dada anajua❤
😢😢😢😢❤❤❤❤❤
Mungu akufungue zaid❤
Ngoma kali sana god bless you 🙏
Mdogo wangu Anjera mimi Dada ako nakuombea sana Mungu yupo pamoja nawe
Kazi Nzuri sana,
Sema uandishi kama wa konde boy ,ongera sana dada kwa mziki mzuri ❤❤❤
Malkia wa Nguvu Amerudi Tena, Daah huu wimbo umenifunza mengi sana kwenye maisha, na Mungu pekee ndiyo Mwenye kupanga linalowezekana hivyo mshukuru Mungu Kwa Kila Jambo, Naomba Likes za kutosha tumpe Nguvu Anjella 😢😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Kabisa yani. Mi nampenda sanaaa
😭😭😭😭😭😭
❤
This world used to be a place to learn to suffer, but that has to change. Make this world heaven!
Usipo penda huhu wimbo yaani wewe una roho mbaya nakukubali sana Ângela niko pamoja na wewe dada yangu
Anjella umerudi na kitu kimoja nikupongeze unakipaj kwakwel na MUNGU azidi kukufanyia wepes kayltika kipaj chako💯💯💯
Waooow❤❤❤wa kwanza jmn km tunamkubali❤❤❤❤❤gonga like
Acha niseme leo..... @Anjellah nitakupenda leo kesho mpaka kiama, mimi ni shabiki yako namba moja..... pole mama ila nimekuelewa sana, Hongera Ajellah......❤ nalia wallah... mwenye anafell #Blessing kama mimi naomba like zenu please sijawahi kufikisha hata like 50 tangu nimeanza kutumia S9..
... please nisaidiyeni kumwambia anjellah nampenda😢
Hii gomaa kaziiii sanaaa kamaa wew ubeikubali wema link zak hap kam 100
bila shaka lazima kontawa kaandika hii kazi🔥
Uitwe Anjella tawa maana imekaa kikontawa fulani hiviii🎉 umeuwa💯
*Nikumuona Anjella Naona Mwimbaji Wa Gospel mkali sana* 🔥🔥💪💪❤️
Love from kenya
Anjella woww!huu wimbo ni special kwa wapambanaji wote duniani sijaskia wimbo kama huu unakutia tamaa na matumaini pia unatoa machozi tukikumbuka pale tulipotoka mpaka sasa kipaji uko nacho Angella.hii moto sana
Anjella Yani unatupa wimbo kaaaaaali saaaana siwezi kueleza kisasi inavyo pendwa saanaa melody sauti wowo team konde konga nikuone basi angella mupeni likes zake hapa🔥🔥🔥🔥🙏
Kwambali Melody za Dunga mawe ila sio mbaya ngoma kali
Daaah❤❤ wimbo mzuri me ni mmoja wa shabiki yako
Wimbo mtamu Dada anjella ,mungu yupo na we ,he will keep the fire burning in your talent.
Anjela Asante ngoma ni kali kuliko zote ulizowahi kuimba ❤️💕Jamani hii ngoma isiposhika namba moja on trending MNIITE………Nimekaa pale, lets support her❤.
Definition of real talent. Ngoma kali sana. Twendeni na likes za kutosha
M natatizo la miguu, wao wakaniunga mkono🥲🥲🥲
This song is so emotional❤️
From Kenya nakufil sana umeweza mudada
She needs support,wimbo mzuri sana hadi nimesikia kulia big up Angel 🇹🇿🇺🇸❤️
Haya tulio rudia zaidi ya mara moja tujuane hapa 🥰🥰🥰
Unakipaji kizuri sana Anjela, mwenyezi Mungu azidi kukuongoza ufikie malengo yako ❤❤❤
Utatumiza ndoto usijali kesho yako iko 💓💓💓💯💯
Angela unajituma Sana mungu mwema utafika mbali
Huu wimbo umenivuta hisia Sanaa, dadangu siku moja tutapiga kollabo❤
😅
Hizo vocals ni 🔥
Melodies ❤
Beats oh my god 😢😮
Team gulf hebu let's support a very talented queen 👑
Q❤❤
Tupo hapa udugu
Amazing ❤❤❤
Big talent anjella keep it up trust me
Let's make it number one song guys! Please we need to support this young girl
Ofcourse, she can
Exactly ❤❤❤❤❤
Mungu wa mbiguni atakujalia, nashukuru kwa wimbo wako umenifariji. asante.
Jeshi amefanya job mob We as kenyans we loves it. Jeshi is exploiting all corners of talents especially music,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔜
Kuna Hisia nyingi kali katika tunzi hizi
Najarbu kuskiza mara nyingi sana ili kuelewa hisia zake .
Go BIG Anjella
Music 🙌
Sound🙌
Melody 🙌
Content 🙌
This is a REVOLUTION... GOOD MUSIC, GOOD VOCALS , GOOD TOUCH & GOOD EVERYTHING. CONGRATULATIONS. NYIMBO NZURI.....
Dada unajua sanaa wasioupenda huuu Wimbo ni wanafkii
Wow nyimbo Kali sana nimerudi ka mara kumi hivi... nyimbo yenye yagusa moyo never give up.. My will blessing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kupitia huu wimbo ndio nimeamini chanzo Cha wewe kuondolewa konge gang ni mapenzi Kati ya boss wako wa zamani na kajala! Kuna mistari humu umezungumzia hili ingawa haipo wazi Sana! Kazi nzuri Sana! Karibu Tena Anjela! Sijawahi kuwa na shaka na kipaji chako!
Nashkuru umenifumbua mackio nimeckza zaidi na zaidi ila ww umenpa ufumbuzi nyimbo imentoa chozi hii
Nikwel alipowekwa macho juu na kufumbwa mdomo, wanawake kwenye mziki wanapitia mengi
This is wat we call pure talent..if you ain't like here and love the song it means that you're selfish and Jah will never bless you..Let's learn how to appreciate the little...Jah bless Ajella 😭😭😭 and KondeNgang🙏🙏
This lady is so much talented, Yes she is the next Jide.
🎉🎉🎉🎉chukua maua yako Dada Angela ngoma kali sana"
Hongera Sana Harmonize bila wewe nisinge mjuwa Angel umepambana saaaana konde big up saaaana
This song is so good and also emotional ❤
Yup 😢anaongea maisha aliyepitia .
Anjella is such a whole vibe
Much love from Kampala 🇺🇬🇺🇬
Tunakupenda sana kabisa
Definition of real talent, killed it Queen🔥🔥🔥
Achana na majeshi Wa ovyio hao, God ndo jeshi kamili mrembo, this is a hit song 2023, God bless you mamah you are super talented, never give up.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
More blessings Anjella
Nimependa ushairi dada kiukweli hii ndio sanaa sauti unayo tangu zamani lakini utunzi huu ndio tulichokuwa tunakitaka hii ni sanaa halisi mumy umeupiga mwingi sema enewei jeshi hata liwe la mujibu wa sheria jau 😘😍
Great tune,tulikuwa tumekungonja sana keep the 🔥🔥 burning
Nimejikuta machozi yananitoka 😥😥😥😥😥 sauti nzuri sana wewe ni msanii Bora Africa God bless you Black Queen 👑
Kwenye listi yangu ya wasanii wa kike wenye voice nzuri basi wee upo namba 2
1.Ruby
2.Anjela
3.Nandy
4.Zuchu
5.Mauasama
6.Phina nawengine wengi
Mungu akusaidie kwa nguvu zake ufike pale utakapo ❤❤❤
Wewe mdada unajua sanaaaa hadi unaboaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Beautiful melody + beautiful message
Good job Angella. The Angels sing heavenly
the queen is back 🙌, acheni uchawi huyu sister anajua ase 🙌🙌🙏🙏
basi tu ila naamini huu wimbo hakna ambae haujamgusa✊✊
The Black Queen is back 🔥🔥🔥
Mungu akuponye kwa uwezo wake
Ongera dada yangu najuwa mwenyezi Mungu anakuona
Wow wow wow! This one got me. What she sang is bare truth, take heart and believe in God no matter how hard situation becomes, He is a faithful one.
I am à fun of Musique but this one is just my favorite ❤️
I used the sound on m’y Instagram videos . So beautiful ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Maashallah nice song keep on going anjela never give up🔥🔥🔥👍
Wow wimbo mzuri sana ❤️❤️❤️
Aisee kwa huu wimbo nainua mikono juu🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 umeweza tena Umeweza sana Da Anjella ✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽💪🏽💪🏽🔥🔥🔥
Queen is Back
LOVE FROM BURUNDI 🇧🇮
Good music 🎧good melody 🎸
This song is giving me goose bumps. Girl, you are blessed. I don't understand your language, but I love the song. Way to go, Anjella ❤❤❤❤, love from Cameroon 🇨🇲
Music is univesal language
❤❤❤❤
Anjella we love sana .....and you are truly blessed.....❤❤❤❤
Hii imeenda 🔥🔥🔥🔥nakukubal sna bi dada piga kazi maisha yasonge
Angella 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥✍️✍️✍️ Keep pushing you are a star 🌟
Love ur voice
Anjella Deus vai te abençoar sempre Esse a sua Música é Sentimental sempre toca Nus milhares das pessoas bom Trabalho Continue Deus vai te Ouvir Obrigado 🙏✔️
Everdade
Tumia Akili tu kama jeshi Utafika mbali Anjella 🇷🇼✌
I feel blesse queen anjella jah bless you ❤
Nyimbo ni nzur sana imebeba ujumbe mzito wenye ukweli ndan yake kikubwa dadaetu #anjella_tz usiishie hapo bado kipaji unacho let's go 🏃 listen new song blessing 🎉
You still got this Angela... Top notch vocals.
This is golden voice , kama kweli diamond platnumz ni mfanyabiashara mzuri ,this is a talent that can not be ignored
yani huyu mdada zaidi ya wote,,kipaji chake kimepitiliza,,all the best Queen Anjella
Angela pambana sana dada uta tobowa mama 💪💪💪💪💪💪🇨🇩🇨🇩🥰🥰🔥🔥🔥🔥
Je t'aime ❤️ tellement mon artistes. Team konde Gang depuis 🇨🇩
Kenyans let's come together,, the song on repeat again 😢
Thanks dear
We are blessed with Angella tones maashallah 🙏🙏🙏🙏🙏
Nice song dada kza buti
Hongera sana mdogo wangu
mm naona hataka ukikaa king music mbona safiiiii unawezaaaaaaaaaaaaaa
This song is one part of my life
❤❤❤Nicely song God blessed you my sister
One day I will pack my clothes and travel to Tanzania just to meet this black angel 😇 🖤 ♥ ✨ Love u since u are in KondeGang and I will always support you. LOVE FROM BURUNDI 🇧🇮 ❤
Going there dec arrange we go Godwiling
Tungo za CONTAWA hizi kabisaaaa
Anjela....naiman nawewe ...najua uwezo wako....unajua...unajua sana mama....hiii nyimbo nikali sana.....nivile tu Sina uwezo....ila hii ndo sapot yang kwako...❤❤❤Asante🙏🎶🎵🎼 kwa nyimbo tam
I Really Like This Song❤ Anjella Still Blessed Forever🤝
Definition of Good music 🔥🎶❤️
my black queen is back with good sound...indeed youre talated
Sema uyu dada anakipaji sana na Harmonize alifanikiwa kukiona kipaj chake.Ila sijui shetan gan amepita kat yao mbaka amewagombanisha.
Mungu atakufanya kuwa mkubwa zaidi wewe pambanatu