TGNP YAWAPIGA MSASA VIONGOZI WA VIJIJI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA KISARAWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024
  • Viongozi wa vijiji kutoka Halmashauri ya Kisarawe waelezea hisia zao baada ya kujengewa uwezo na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwenye masuala ya jinsia, uongozi na uandaaji wa bajeti zenye mrengo wa kijinsia katika maeneo yao.

КОМЕНТАРІ •