Mimi mwenyewe sijapata hata nikiingia huduma ya *152*00# naishia kuliwa sh 100 bure bila kujibiwa , msaada wenu idara husika maana Niko rural area kabisa
Mimi kila siku naenda kushinda ukonga Mombasa hakuna ata kinachoendelea natembea na fom ya mahakamani kama naenda kutafuta kazi duuh wajitahid tunachoka jamani
Kwani ma ofisa si walikua wana hakikisha kama vyote vina fanana na kama imejazwa vizuri ndio atie sahihi? Nahii ilikua ikianzia ktoka kwa mwenyekiti wa kitongoji. Kisha uende kwa mtendaji ahakikishe ndio uruhusiwe kwenda kwa afisa uhamiaji na picha
Nasubiria mwezi wa 12 mnifungie laini sababu mmekuwa too much yaan nikiibiwa kila kitu ,kitambulisho cha kura ,kuzaliwa ,nikaenda polisi nikapewa RB ukienda nida wanataka copy ya kitambulisho ,nikaibe wapi Mimi?
Mmmmm hawa watu wanapenda maji ya kunywaa sana eti wanakiuu wana penda hongoo sana ndio maana watu hawapati kitambulisho
Wanapenda rushwa sana ukitaka kitambulisho 28000
Hata nimekata tamaa Mimi yani mpaka nimefukuzwa kazi kwakufwatilia kitambulisho tu
Nyie matapeli mbona vitambulisho havijaja toka mwaka 2017 mpaka leo 2019.huku mpwapwa Dodoma.
Mimi mwenyewe sijapata hata nikiingia huduma ya *152*00# naishia kuliwa sh 100 bure bila kujibiwa , msaada wenu idara husika maana Niko rural area kabisa
Nida mna matatizo sana na waongo sana...au hata hili swala la vitambulisho pia mpaka raisi alivalie njuga???
Mimi kila siku naenda kushinda ukonga Mombasa hakuna ata kinachoendelea natembea na fom ya mahakamani kama naenda kutafuta kazi duuh wajitahid tunachoka jamani
Kwani ma ofisa si walikua wana hakikisha kama vyote vina fanana na kama imejazwa vizuri ndio atie sahihi? Nahii ilikua ikianzia ktoka kwa mwenyekiti wa kitongoji. Kisha uende kwa mtendaji ahakikishe ndio uruhusiwe kwenda kwa afisa uhamiaji na picha
Basi mtihani mimi mwaka sijapata kumbe maji ya kunywa hayahaisha me najua sikuhizi hakuna
mkoa wa lindi baadhi ya vijiji mpaka leo hawajapatiwa vitambulisho japokuwa wamefanya tatatibu zote huu nao ni upigaji mungine
Mnaboa sana mnaseama alafu havitoki haraka
Yaan hawa watu hawakujipanga vzur haiwezekani toka mwaka Jana mpaka Leo watu hawajapata vitambulisho
Mbona wengne waja gongewa muhuri na wanavyo vitambulisho
Nasubiria mwezi wa 12 mnifungie laini sababu mmekuwa too much yaan nikiibiwa kila kitu ,kitambulisho cha kura ,kuzaliwa ,nikaenda polisi nikapewa RB ukienda nida wanataka copy ya kitambulisho ,nikaibe wapi Mimi?
Nikweli mimi changu toka mwaka jana sijapata
Kwa hiyo mkowa mzima wa Rukwa wengi hawana sifa? yaani so watanzania? Tangu Mwaka Jana!!!
Wape maji ya kunywaa utapata kitambulisho chako lakini ukiwa unamkono wa birika hupati
Amna kitu hapo uku moshi akuna vitambulisho
Nilijiandikisha 2013 nilipata 2018 wanasumbua sana
Muwshimiwa Rais awatumbue wote nyie mliopo ktk icho kitengo mana kero Inchi nzima asilimia 90 hawajapata vitamburisho