Ndugu yangu mtangazi wewe mkubalie tu ili ujaze tu hayo mahojiano tu. Lakini ujuwe Sambaa akipenda anajuwa kusifia na kupamba maana hao hata akimtongoza atamsifia mwili wake wote anaweza kumwambia mimi naipenda pua yako kama kalimati nayapenda macho yako kama gololi naupenda mdomo wako kama glasi basi atamsifiya mpaka asubuhi ndiyo zao hao kwa kusifiya hasa akipenda
Upo vizuri kaka katika uchambuzi wako
👏👏👏👏👏👏👏 simba bingwa 🏆👑🦁💪💪💪💪🙏🙏
Taarabu zake ni kwa wengine sio kwa simba ataumia
Yanga team yetu mbovu wazee wengi
Ujawahi kosea mzeeya
We jamaa Seif nakukubali sana hakika unajua mpira
Ndugu yangu mtangazi wewe mkubalie tu ili ujaze tu hayo mahojiano tu. Lakini ujuwe Sambaa akipenda anajuwa kusifia na kupamba maana hao hata akimtongoza atamsifia mwili wake wote anaweza kumwambia mimi naipenda pua yako kama kalimati nayapenda macho yako kama gololi naupenda mdomo wako kama glasi basi atamsifiya mpaka asubuhi ndiyo zao hao kwa kusifiya hasa akipenda
Naona voucher ya jamaa imeisha
Ubaya ubwela kidadadeki
Wengine au wewe ndiyo ulikuwa unataka iwe hivyo
Yanga mbovu tuu wanajua tu kununua waamzi
Kwani Budo ni mgonjwa
Mbona unaleta marudio ayo ayotu acha ujinga
Sio marudio kaka kipindi tumefanya Leo ila Kwa njia ya simu Bado nipo tanga
Warudi lini weye kutoka Tanga? mahojiano live yananoga sheikh
Niko mbioni