Kama basi na iwe basi, Muungano huu hatujafaradhishiwa, nchi wanaikamua hii-OMO afunguka Chumbuni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Makamo Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar Mhe Othman Masoud Othman akizungumza na wananchi wa Chumbuni katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Karakana katika mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

КОМЕНТАРІ • 38

  • @salyali7807
    @salyali7807 Рік тому +4

    Wasomeshe hao machogo ... OMO you are my favourite

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +7

    AFRIKA HAIKO HURU MPAKA ZANZIBAR IWE HURU

  • @salyali7807
    @salyali7807 Рік тому +3

    Kidume hicho hakibabaiki juu ya jukwaa sio akina fulani kusema uongo na kupangusa mikono tu

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Рік тому

    OMO❤

  • @omaribrahim1087
    @omaribrahim1087 Рік тому +1

    Muungano umefardhishwa na wakatoliki wa ulaya laanatullahi alayhim

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 Рік тому +3

    Iwapo wenye nguvu wakibadilisha matokeo au wakitumia nguvu kupinga matokeo mtachukuwa hatua gani hadi muikamate Dola na kuunda Serikali?

    • @aishaaisharagp9381
      @aishaaisharagp9381 Рік тому +1

      Mwenye nguvu ni Allah nasio mwengine

    • @shaabanmohammed2611
      @shaabanmohammed2611 Рік тому

      @@aishaaisharagp9381 Kwahiyo mara zote imekuwa ni nguvu ya Allah!!!!. Watu wauliwe, wanyanyaswe, wadhalilishwe...wapokonywe ushindi dhahir shahir...ACT mtafanya nini pindi historia hii itajirudia?

    • @shaabanmohammed2611
      @shaabanmohammed2611 Рік тому

      @@aishaaisharagp9381 Hata wewe unayo nguvu. Mimi nguvu yangu ndio hii ya kuchukia na kuulizia. Na hao wengine pia wanayo nguvu na ndio hiyo wanaitumia kila wanapoihitaji

    • @professamuddy5407
      @professamuddy5407 Рік тому +1

      Hakuna maendeleo wala kupata Haki kwa mtu kuwa bize na mambo yake ni lazima tupeane ushirikiano! Mabadiliko tunayoyahitaji si ya viongozi tu pekea yao na wananchi pia! Na nguvu kubwa ya mabadiliko ipo kwa wananchi! Na kupata maendeleo si kazi ya mwezi 1au miezi 6. Ni jambo la muda mrefu na linahitaji Subraa. ALLAH Atuongoze.

  • @drnow1528
    @drnow1528 Рік тому +1

    Jina la ZANZIBAR lajulikana ulimwengu mzima

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому

      @drnow1528.Umedaganyika na unadanganya. Jina la ZANZIBAR halijulikani ulimwengu mzima. Hata
      Tanganyika halijulikani ila linajulikana:
      TANZANIA VISIWANI kwa sababu neno ZANZIBAR ni la Kiarabu kuashiria Uislam na ni sababu Mji Mkuu kuhamia Dodoma.
      Kukhusu ulimwengu mzima, ZANZIBAR haijulikani bali inajulikana kuwa ni:
      1) TANZANIA au
      2) SEHEMU (KOLONI) YA TANZANIA au
      3) ZANZIBAR NI TANZANIA.
      TANZANIA ni SEHEMU YA ZANZIBAR?

    • @TumboJecha
      @TumboJecha 5 місяців тому

      Zanzibar inajulikana ulimwengu mzima maana hata mauwaji 1964 watanganyika waliongozwa na taifa kubwa duniani uengereza taifa la Elizabeth kuja kuiondoa Zanzibar dunia na kubaki kuwa eneo la jamhuri ya muungano wa Tanzania

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Рік тому

    Huyo Mama Wazalendo ndie nani???

  • @abdukhan4718
    @abdukhan4718 Рік тому

    *Wazanzibar Nakuombeini Amkeni*
    Hao viongozi wote wapo kwa maslahi yao.. Wanamaisha yao mazuri.... UKIJARIBU KUWAFATA WAKUSAIDIE PESA YAKULA TU HUWAONI WALA HUWAPTAI

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Рік тому

      @@Majer-wf6np Mtu ambaye anafanya jitihada kuwaondoa kwenye dhulma ya kukandamizwa utaacha kushirikiana naye kweli ,huwezi kuacha kushirikiana naye kwa mtu mwenye akili hata siku moja.bali utaacha kushirikiana na mtu mwenye kutumika wewe ukanadamizwe na uporwe mali yako na .ccm wanatumika kupora mali ya Zanzibar sasa sisi tuna vitambulisho vya Mkaazi Zanzibar ,hivi ni vichekesho sana.

    • @TumboJecha
      @TumboJecha 5 місяців тому

      Ushahidi please tunaomba kwa maneno yako labda tufahamishane hata ukipewa milioni Mia ikiwa vyakula viko bei ya juu hio milioni Mia haina maana tunachokitaka ss ni Uhuru

  • @marthahosea4162
    @marthahosea4162 Рік тому +1

    77777777777777777777777777777777777777777778777777777777777777777777777777777777777777⁷7777777777777777877777777777777⁷777777777777777⁷777777777778⁷777777777⁷7777777777777777777777777⁷77777777777777777⁷77777777777777⁷77777777777777⁷7777777777777777777⁷7777777777777777⁷777777778777⁷77777777777777⁷77777777777777⁷77777777777777777777777777777777777777777777777777777⁷77777777777777777777777777777777777777⁷777777777777777⁷77777777777777⁷7777777777777777777⁷7777777777777⁷7777777777777⁷7777777777777777777777777777778⁷7777777777777777777777⁷77777777777777⁷7777777777777777⁷777777777777⁷778787777777⁷777777777⁷7777777777⁷777777777777777⁷7777777777777⁷ us

  • @ramadhanmussa673
    @ramadhanmussa673 Рік тому +2

    Na hamadi oyeeeee

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j Рік тому

      Ndugu zangu sie uyoo anatumiwa tu Hamadi masudi mjanja sana pesa kaiweka mbele zaidi

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Рік тому +1

    Siasa mbaya sana

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Рік тому

      Siasa ya kuwadhulumu wenzako kwa kuwaua wewe upate madaraka ,kweli hiyo ni siasa mbaya sana kama wafanyavyo ccm.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Рік тому +1

      Siasa sio mbaya ila baadhi ya wanasiasa ndio WAOVU

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +2

    UKOLONI HUU MWISHO CHUMBE
    Rais Karume alimwambia Nyerere:
    "UJAMAA MWISHO CHUMBE"
    Na Wazanzibari wanasema:
    UKOLONI HUU MWISHO CHUMBE.

    • @drnow1528
      @drnow1528 Рік тому

      ZANZIBAR pearl of Africa

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому

      @@drnow1528 SWADAKTA!🙏 Kadhalika, Dola ya Zanzibar ilikuwa na Sarafu zake kabla ya Wapotugizi kuja Zanzibar kuwauwa Waislam na kuanza Mapinduzi Matukufu (Catholic Crusade) Zanzibar na Oman. Sarafu hizo zilipatikana Pemba, Kajengwa (Makunduchi) na Unguja Ukuu tuliziona Kumbusho la Zanzibar kama Manyan'gau hawajazipeleka kwao Tanganyika kwa jina laTanzania. ZANZIBAR MPYA lazima iwe na Sarafu zake kama alivyotangaza Rais Abeid Karume miezi michache kabla ya kuondosha kwa jina la Mauwaji.
      Mbali na hayo, Meli ya Mwanzo ya Afrika kwenda Marekani ilitoka Zanzibar wakati wa Sultan Said bin Sultan. Alinunua meli hiyo SULTANA kutoka Bombay, India na Makamo wa Raisi wa Marekani alikwenda New York kuangalia. Dola ya Zanzibar ikawa nchi ya pili Duniani kuitambua Marekani na kubadilishana Mabalozi. Baada ya Muungano, Maraisi wa Zanzibar hawana hata Mamlaka ya kuchagua na badilishana Mabalozi wa nchi zao. ZANZIBAR MPYA lazima ichaguguwe Mabalozi wao kuwakilisha ZANZIBAR MPYA Duniani.
      Baada ya Misri, Dola ya Zanzibar ni ya pili Afrika kuwa na Mashine ya Kuchapisha kwa khati za Kiarabu wakati wa Sultan Barghash bin Said aliyenunua Syria na kuleta Mataalamu wa mashine hiyo iliyowekwa Makadara. Ilichapisha Kamusi ya Sharia za Kiislam na magazeti ya Kiislam yaliyosomwa Zanzibar, Algeria, Oman, Misri, Libya na Syria. Baada ya kifo chake Dola ya Zanzibar ikawa ni Maao Makuu ya Pan-Islamism na Islamic Modernism (1890-1923), dhidi ya Ukoloni wa Ujarumani na Uingereza kwa Afrika Mashariki.
      Kwa Uzalendo wa Rais Abeid Karume, Zanzibar akawa na Televisheni ya Rangi (TVZ) ya Mwanzo kwa Afrika.🙏 Zilizambazwa mpaka mashamba kwa kutumia umeme wa betri.

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 Рік тому +2

    Genge la maghanithi sauti imelegea

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 Рік тому +1

      Jifunze kiswahili kwanza

    • @user-bh9rf2nf3m
      @user-bh9rf2nf3m Рік тому

      Ndugu yangu samahani naomba nikuulize je na ww kwenye hilo genge umo

    • @henryndosi2002
      @henryndosi2002 Рік тому

      @@user-bh9rf2nf3m yupo. Zitto kabwe. Jussa ,nabii Tito na wengine

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j Рік тому

      Matusi hayasaidii kama unayo hoja wee sema tu. Kama karegea hebu mpe matako yako uone.

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j Рік тому

      OMO ndie mrithi wa Maalim. Wazanzibari amkeni. Cuf na ccm ni shangazi kwa mjomba haooo.

  • @abdukhan4718
    @abdukhan4718 Рік тому

    *Wazanzibar Nakuombeini Amkeni*
    Hao viongozi wote wapo kwa maslahi yao.. Wanamaisha yao mazuri.... UKIJARIBU KUWAFATA WAKUSAIDIE PESA YAKULA TU HUWAONI WALA HUWAPTAI

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Рік тому

      Abdul,ingekuwa ni hivo huyu OMO asinge pinga ile hoja ya rasimu ya warioba bungeni,jambo ambalo lilisababisha kufukuzwa kazi serikalini.Kwani hao wa chama tawala si wanachumia matumbo yao na familia zao?

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j Рік тому

      Mnafiki mmoja wewe ni Cuf tushakujua. Malaya wa Hamadi masudi.

    • @user-ki4sg8yz9j
      @user-ki4sg8yz9j Рік тому

      OMO ndie mkombozi wetu.

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 Рік тому

      Alhamdulillah....... Kubwa ni kuwaambia ukweli watu mimi sipo kwenye siasa hata chama kimoja ila naumia kuona waislamu Tunauwana kisa siaasa.
      Watu wanaachwa wajane.. Jamani tuendeeleeni na Kuishikilia dini na Tuachane na Siasa