Ng'wana Kang'wa - Shigukulu Official song

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 35

  • @jumamarco-mh1hg
    @jumamarco-mh1hg 5 днів тому +2

    hiyo ni changamoto kubwa sana kwa sisi wazee wa familia ni kweri kabsaa ntemi

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 6 днів тому +4

    Ntemi omabala mi NAOMBA like yako tu nami nakupa maua yako 🎉🎉🎉 maana unajua sana kamanda.

  • @PetroChristian-l6d
    @PetroChristian-l6d 6 днів тому +2

    Nyimbo zako kali sana kaka unachonifurahisha zaidi ni unapochanganya na lugha ya Taifa

  • @selestinepius3562
    @selestinepius3562 6 днів тому +2

    Shabiki wako namba 1 katoro GEITA

  • @lameckshija5676
    @lameckshija5676 6 днів тому +3

    Unajuwa sana mwamba

  • @mussaanthony
    @mussaanthony 6 днів тому +2

    Daah ubarikiwe kwa wimbo mzuri umenigusa binafsi hongera sanaaaa❤❤❤❤

  • @julianamwituza
    @julianamwituza 6 днів тому +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉 nakupenda

  • @differentmusic3948
    @differentmusic3948 6 днів тому +3

    Kazi nzuri brother

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  6 днів тому +1

      Tuufunge Mwaka namna hii wakuu🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  6 днів тому

      Shukran kaka🙏🙏

  • @petroswale7843
    @petroswale7843 6 днів тому +3

    hiyonikweli aspo shona na kula ujuwe maelewano hakuna 🎉🎉🎉🎉🎉 by Peter macompyutel msek msambazaji wanyimbo za asili msek nzima number one

  • @HamisiMasesa-sb9vi
    @HamisiMasesa-sb9vi 6 днів тому +2

    Naomba mauwa yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Ngwanasamaka
    @Ngwanasamaka 6 днів тому +2

    Safi kazi Ipo sawa

  • @luchagulamalimi
    @luchagulamalimi 5 днів тому +1

    Kabisa kabsa ujumbe uko moto sana wana ndoa kula chuma icho

  • @KahogoasiliT
    @KahogoasiliT 6 днів тому +3

    Ngoma kali sana ng'wana kangwa

  • @MachiyaMbasa
    @MachiyaMbasa 6 днів тому +3

    Big up broo

  • @LucasPangarasi
    @LucasPangarasi 6 днів тому +2

    Iringa imetufikia ong'wise ❤❤

  • @ISACKAKALIHADYA
    @ISACKAKALIHADYA 6 днів тому +2

    Shabiki wako namba monja toka kigoma kasulu

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 6 днів тому +2

    Nice

  • @HilimaMagwanji-c5p
    @HilimaMagwanji-c5p 6 днів тому +2

    Kazi nzuri sanaaa , ni ujumbe wa ukweli

  • @NTEMI-OBURUDANI
    @NTEMI-OBURUDANI 6 днів тому +2

    Ngoma kali sana kàka❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 3 дні тому +1

    Kazi nzur hongera bro

  • @sanja_graphix
    @sanja_graphix 6 днів тому +2

    Safi

  • @frmacopanga
    @frmacopanga 6 днів тому +3

    Hii imeenda kaka

  • @dicksonmaganga2170
    @dicksonmaganga2170 6 днів тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abelmedsen
    @abelmedsen 6 днів тому +2

    Umetisha sanaa Mkuu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mmcdeboy4090
    @mmcdeboy4090 6 днів тому +2

    Yaani vocal imetulia, producer ameweza kiufupi umefanya kazi nzuri sana kaka hata mixing ni kali sana na ujumbe nao umekaa poa sana, your like please Mr Chief🔥🔥

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic 6 днів тому +2

    Good jobu

  • @amosmacompyuta1015
    @amosmacompyuta1015 6 днів тому +2

    🎉🎉

  • @Dottohubert-gx3eu
    @Dottohubert-gx3eu 6 днів тому +2

    🙏🙏🙏🙏🙏 makin sanaa nyimbo Nzuri najua bado video yake nahisi na video utakuwa co pwa Kila hatua duaa

  • @EmanuelDaud-q9i
    @EmanuelDaud-q9i 4 дні тому +1

    👍👍👍✔️

  • @MipandaKali-ij1yp
    @MipandaKali-ij1yp 3 дні тому +1

    Gong'hana