Bhudagala_Dunia Pesa_Official Audio

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 40

  • @teacherkaligodottonjige
    @teacherkaligodottonjige 10 днів тому +6

    Kazi nzuri sana..... Msanii wa kwanza wa kisukuma kwa ubora wa nyimbo za kisukuma ukifatiwa na Kisima na bahati ugalama ......... Na guide gude .......... Chapa kazi ila usiweke matusi msanii mkongwe wa 2007 Hadi Leo....... Naomba uimbe nyimbo ya mavazi mafupi hayafai kwa watoto wadogo na kina mama wanaona ni fashion

  • @SuluhuFaki
    @SuluhuFaki 8 днів тому +2

    Kipaji 100%. Ujumbe 100% matusi 0% Elimu 100%. Ubunifu na maarifa 100% majivuno 0% kuinua kipaji wasanii mfn kisima 100%. Tabia nzuri 100% juhudi katika kazi 100% uchoyo 0%. Bhudagala❤❤❤

  • @AmosiSayi
    @AmosiSayi 10 днів тому +6

    ❤❤ bba wa asily pamoja san

  • @SilasJohn-q7x
    @SilasJohn-q7x 7 днів тому +1

    Aloooooooo we jamaaa aiseee bonge la Ngoma 💪👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @MagangaMalale-p2d
    @MagangaMalale-p2d 10 днів тому +3

    Mtaani utaitwa shemeji
    We ni legend kwel kwel🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HamisiMasesa-sb9vi
    @HamisiMasesa-sb9vi 10 днів тому +6

    Tupe vitu Kaka ujawah kutuagush🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AmosMayila-yx9dg
    @AmosMayila-yx9dg 8 днів тому +1

    nice job bro big💪💪 sana 🎉🎉🎉❤❤

  • @Kahogoasili2024
    @Kahogoasili2024 10 днів тому +3

    Kazi zuri sana

  • @alexsonmakejanic7549
    @alexsonmakejanic7549 10 днів тому +3

    Kweli baba niko dar nakufatilia sana kaka

  • @williamjames5267
    @williamjames5267 10 днів тому +1

    Kanzi nzuri kweli barikiwa uzidi kushikilia hiyi gemu maana paspo wewe vijana wata haribu mziki

  • @GemeloMabula
    @GemeloMabula 9 днів тому +1

    Lini nyandolwa tumekumisi sana maua yako moto niule ule wataiga mno❤❤❤❤❤❤

  • @massanja212
    @massanja212 10 днів тому +3

    Tatizo pesa😢😢goma mpya mjini tunavuka nayo

  • @Yonabangilidaniel
    @Yonabangilidaniel 10 днів тому +2

    hakika budagala umetumwa na mungu imenipata vema nikiwa comoro brother ngoma imetulia kinoma namtaka budagala wa aina hii sasa na usukani usiachie watoto jamii itapotezwa kaka maana sifa si sifa madawa na kutangaza waganga wao nawakati wewe mkongwe wao hatujawahi sikia hata mganga wako ukimtaja pamoja sana mw.malonja

    • @SubaruBoy-v3r
      @SubaruBoy-v3r 5 днів тому +1

      Nimekubali mw.lonja❤❤❤❤

    • @SubaruBoy-v3r
      @SubaruBoy-v3r 5 днів тому +1

      Walimbeba kwer wajanjaa😢😢😢😢😢😢😢

  • @safarikhamis4005
    @safarikhamis4005 10 днів тому +1

    Bms .unatuwakilixha vyema xana sisi wasukuma kazi nzur

  • @PaschalNtalimbo
    @PaschalNtalimbo 10 днів тому

    Kazi nzuri❤❤❤

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 9 днів тому +1

    Diamond wetu mfalme wa wasukuma .

  • @LucasPangarasi
    @LucasPangarasi 10 днів тому +1

    Iringa imetufikia ong'wise ❤❤

  • @NyandaMsema-y2v
    @NyandaMsema-y2v 10 днів тому +2

    sawa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ClementMaholelo-j1x
    @ClementMaholelo-j1x 9 днів тому +1

    Bhudagala nimeipata mkuuu nikiwa singida

  • @SimonRobert-lw9nv
    @SimonRobert-lw9nv 5 днів тому

    Kaz Kaz kaka angu pamoja sana 🙏🙏🙏

  • @PauloNyanda
    @PauloNyanda 9 днів тому

    Congratulations on the educational song

  • @MaduhuSabato-qr9nu
    @MaduhuSabato-qr9nu 10 днів тому +1

    Nakukubali kaka mkubwa

  • @GraceMtatilo
    @GraceMtatilo 6 днів тому

    Kaz Zur jamaa ang

  • @YohanaMarando-kk5zl
    @YohanaMarando-kk5zl 9 днів тому

    Bhudagala wew ndio kiooo Cha jamii😂😂 wengine ni viooo vya nyumba kaka, mpe hai na kaka yako shitungulu. By yohana malando,,, nipo usagara mwanza

  • @BoniphaceNoni
    @BoniphaceNoni 8 днів тому

    We bhudagala ninomaaa mimi siru makonge

  • @JustineAloyce-lu8ux
    @JustineAloyce-lu8ux 10 днів тому +3

    Tukutane kwa like zenu wasukuma

    • @SubaruBoy-v3r
      @SubaruBoy-v3r 5 днів тому +1

      Nihatali hizinizawachache wewee ogopaa.

  • @issamatelephone8066
    @issamatelephone8066 10 днів тому

    Nimeshabeba

  • @gapindega208
    @gapindega208 10 днів тому +3

    Kazi nzuriiiiii sana,Lakn kaka naitaji ule wimbo wa "welelo iliyene" naupataje maan UA-cam nimesota siupati

  • @LutubijaMakashi-n2b
    @LutubijaMakashi-n2b 9 днів тому +1

    nani kama hili jamaa keenye asili ya sukuma

  • @LucasKinasa
    @LucasKinasa 10 днів тому +1

    Ndio

  • @mwarobaini3571
    @mwarobaini3571 9 днів тому

    The living legend

  • @kachelengwa
    @kachelengwa 9 днів тому

    Wela Hange

  • @DmanSupersabera-h1j
    @DmanSupersabera-h1j 10 днів тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SosipeterGeorge
    @SosipeterGeorge 9 днів тому

    Krb segese

  • @thentuzumusic
    @thentuzumusic 10 днів тому +3

    Kazi kubwa