Pole Sana wapenzi wa Paselepa mwenge jazz maana kitu kitamu kama hicho ni nadra saaaana na hqkitatokea Tena. Nami ni moja wa Wana Pasee. Naumia Sana nikiapo hivyo.
North Mara Muziki zetu zaki Tanzania hazisauliki-Power Nguzo wapi muziki za Tanzania zilizo chezwana Polisi Jazz Band kama Nawakumbuka wazazi wangu.Leo natuma salaam zangu nyinyi mlio mbali na mimi
Kwa kweli kila mtu na wakati wake. Sisi twafurahia sababu zinatukumbusha mbali. Nao pia wakati wao ukifika watakumbuka mbali kufatana na matukio. Tuwaelewe jamani.
Jamani hii nyimbo imenisisimua sana nakumbuka nikiwa mdogo napenda sana muziki na sasa ni mwanamuziki ..naomba hizi nyimbo za zamani waingie studio za kisasa waimbe na kucheza vyombo kama hivyo hivyo tu .0713190098 kwa ushauri zaidi napatikana kwa namba hii.
Pole Sana wapenzi wa Paselepa mwenge jazz maana kitu kitamu kama hicho ni nadra saaaana na hqkitatokea Tena. Nami ni moja wa Wana Pasee. Naumia Sana nikiapo hivyo.
Heshima kwa watu wazima fahari kwa vijana
King Makusa...alikuwa ni moto faya. Natafuta nyimbo yake ya "posa nitaleta" au "mshenga"
My band of those late 70!
Pole rukia hukusikiliza wazazi huu music unaishi na ndio sifa ya fasihi
Salama Missouri kutoka Africa Kusini kama bad upo
North Mara
Muziki zetu zaki Tanzania hazisauliki-Power Nguzo wapi muziki za Tanzania zilizo chezwana Polisi Jazz Band kama Nawakumbuka wazazi wangu.Leo natuma salaam zangu nyinyi mlio mbali na mimi
Solo.michael Vincent.. Ridhim Muhamed bakari chuchll waimbaji.Juma Feruzi Mrisho au (Ngulimba wasa Ngulimba..cosmas Thobius chidumule..kinanda. Melkior siote....Wana chakachua walitisha
Mashairi ya kweli kqbisa katika wimbo
Asantee muziki unaoishi daima mzurrrrrrriiii
Lete vitu Juma mrisho tatizo la rukia ni m bishi
Nyimbo za zamani hata miaka 100 bado zinavutia
Naona uchungu kwa miziki hii sijui kama itarudi tena
ÀSANTE JUMA MRISHO UNGA WA PULENDA MBOGA DAGA
vijana wa leo chagueni maneno yanayofaa kwenye tungo zenu sio vichekesho
Shangazi yangu Rukia, Mhh ngulimba ww noma alikuchengua shangazi yangu mpaka umemuimba
Eeee bwana eeee midomo ya bata na tumba si masihara enzi hazirudi
Ngulimba wa Ngulimba!! Gone r the days
Tosha Meza r.i.p Juma Mrisho ngulimba wa ngulimba
Ridhim nadhani ni Daudi Mazanda
@@linusleon7018 Second Solo Churchill
Juma mulisho fundi
Ngulemba wa ngulemba
EXELENTE
Hakuna studio yeyote inatuchezea hii miziki..urafiki jazz tamu
Michael Vincent. Guitar wizard. RIP.
Michael Vincent ni habari nyingine kwenye solo...
Temeke mundo bar kila siku ya jumapili angalia China usimukwae mtu ulikwae chuwa,
Huu ndio ulikuwa mziki sio mziki was sasa wanaimba huku wameshikilia suruali
Kweli huu Ndio Musiki
Hatari sana mziki mzito
Kwa kweli kila mtu na wakati wake. Sisi twafurahia sababu zinatukumbusha mbali. Nao pia wakati wao ukifika watakumbuka mbali kufatana na matukio. Tuwaelewe jamani.
Kwa kweli miziki kama hii inanikumbusha mbali sana enzi hizo Urafiki kweli Mungu atubsliki
Hahahaha wameshikilia suruali zao sio! 😂😂😂😂
The sound is real tz Original.
Nakumbuka Handeni miaka ya 80
Ina maana asiefunzwa na wazazi wake ufunzwa na ulimwengu,yaani majuto ni mjukuu to late!
This is music.
Hizi ndizo nyimbo.Siku hizi hakuna utunzi wa nyimbo.Makelele tupu.
Michael vicent ..solo
URAFIKI KATIKA UBORA WAKE KATIKA MIAKA ILE YA 70
Aah wap haiwezi kurudi tena
Hii miziki ikikuwa ya ukweli
Uracil I katakana ubora wake Miaka Ile ya 70
Hizi TUMBA za Urafiki nani amepiga naomba kujuzwa maana c mchezo
Jamani hii nyimbo imenisisimua sana nakumbuka nikiwa mdogo napenda sana muziki na sasa ni mwanamuziki ..naomba hizi nyimbo za zamani waingie studio za kisasa waimbe na kucheza vyombo kama hivyo hivyo tu .0713190098 kwa ushauri zaidi napatikana kwa namba hii.
Sasa hivi chips kwa wingi
Sikiliza vitu yyyuere
Hizo ni enzi zetu die,
mziki huu utarudi au imebaki historia?
Rythm mtu mzima Churchill hapo solo Ngulimba wa Ngulimba
Solo Michael Vincent (RIP)
Ngulimba ni vocalist si mpiga solo
Solo la Michael Vincent