Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Niombee na mimi nivuke na familia yangu na watu wote mimi martha pia mama yangu lucy mwombee sana mtumishi ha mwamini mungu anaamini miungu ya shetani
Amina baba MUNGU WETU naukubariki Sana Mimi niko South Africa
Mungu atusaidie na awalinde Zaid watumishi wake awa kila eneo wanaloingia,
Mbarikiwe sana mtumishi ,tunaendelea kutubu na kuombea ndugu dunniani.HIYO PICHA YA BRAYAN ISIWEKWE TENA JAMANI NI SANAMU.Bwana tusamehe.
Amina Roho Mtakatifu karibu moyoni mwangu
Amen mtumish napokea
Amina mtumishi wa Mungu.Mungu akuinue kwa viwango vya juu sana.
Amina barikiwa
Amen amen mtumishi tufunguke jamani
Amina am receiving
Kweli masikio ya kiroho yamezibwa hatusikii Mungu anasema nini na fahamu kufungwa na macho kufungwa na mwili kuonelewa MUNGU atusamehe pastor
Amen 🙏 🙏 🙏
Barikiwa mno
Amina,nami naomba uniunge kwenye group ili niweze kupata taarifa za maombi na maelekezo.
Kwa Damu ya Yesu Kristo Amen Amen Amen naanze na Mimi Andrea tena na wote wenye wito huu
Barikiwe mtumishi
Amina mtumishi wa mungu💓💓💓💓🙏🙏🙏🙏📙
Amina
Naomba uniunge kwenye group niweze kupata nami TAARIFA za maombi.Niko TABORA.
Hellow esta
Upo kwenye group la Tabora?
In god I trust .amin
Hakika MUNGU anawatumia sana kazi yenu sio bure
Amen
Ameeeeen
Kumbe ndiyo Maana usiku nikiwa nimelala nisipishane mbu ananingata, nilipo amka nikatafuta huyo mbu simuoni ili fanyika hivyo Kama siku tano hivi mpaka nilipo tambua kuwa Roho ananiamsha Niombe kumbe ni maombi Yenu. Mungu awabariki sana
Ubarikiwe. Mtumishi. Wa. Mungu
Mimi. nafatilia sana
Nabarikiwa sana mahubiri yenu
Napokea
Bwana atusaidie kulisikia neno
Mafundisho yako ni amina na kweli .huyo ni MUNGU anasema kabisa .naamini .
Aminaa
Mimi naomba mniombee jamani naomba nguvu za roho mtakatifu namuhitaji mungu ndani ya moyo