Hotuba nzito ya Raisi wa TEC kwa Umoja wa Watanzania waishio Italia/wengi wao ni Mapadre/Akemea haya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 Рік тому +1

    Mungu akutunze

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Рік тому +1

    Ubarikiwe baba Askofu Nyaisonga kwa wosia nzuri

  • @noelinasaru1496
    @noelinasaru1496 Рік тому

    Asante sana Baba.hongera Sana Mungu akubariki na kukutia nguvu.umesema ukweli kabisa.mkitutuma turudi jamani .

  • @josephmasenga3517
    @josephmasenga3517 Рік тому +1

    Nashukuru sana Baba Askofu Mkuu, Nyaisonga kwa wasaa mzuri.

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Рік тому +1

    Asante mhashamu Baba Askofu

  • @suzannakipapy5951
    @suzannakipapy5951 Рік тому

    Well said.
    Message send, delivered and saved.
    Thanks 🙏

  • @deogratiasrwechungura3451
    @deogratiasrwechungura3451 Рік тому +1

    Hongera sana Baba kwa Neno/hotuba yako nzuri kwa ndugu zetu Watanzania

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 Рік тому +1

    Bila unafiki Asante san kiongozi❤

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 Рік тому +1

    Asante Baba Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza. Umeongea ukweli mtupu. Asante sana. Tunawaombea wenzetu walioko huko nje Mungu aendelee kuwaongoza.

  • @SamwelMahela-je8nm
    @SamwelMahela-je8nm Рік тому +1

    Mungu mwenyewe azidi kuwabariki viongoz wangu wa kiroho ...

  • @paulprosper4139
    @paulprosper4139 Рік тому

    Excellent !

  • @urumtewele9693
    @urumtewele9693 Рік тому +2

    Umewapa ukweli na lamsingi mwenye kuelewa ameelewa Mungu azidi kuwatumia roho wake

    • @FlaviusRwelamira-ok2op
      @FlaviusRwelamira-ok2op Рік тому +2

      Nipo Kolping Tanzania Iringa
      Asante Askofu Mkuu na Rais wa Baraza la maaskofu Katoliki Tanzania Mhashamu Nyaisonga kwa hotuba nzuri 🙏

  • @TheGiftedSingers2023
    @TheGiftedSingers2023 Рік тому +1

    🥰🥰

  • @visensiakadege6608
    @visensiakadege6608 Рік тому +1

    ASANTE BABA KWA UJUMBE MUHIMU.

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 Рік тому

    Huyo mnaemwabudu je mnauhakika kama ni nabii yule anayewapeleka watu ile sehemu ya mateso lakini au

    • @eunicemligo5290
      @eunicemligo5290 Рік тому

      Acha comments za chiki! Haya kuhusu na hujaalikwa, endelea na shughuli zako, Acha chuki

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Рік тому +1

    Somesheni na wanawake pia,labda tutapata nafuu