Allah akuhifaz Maa shaa Allah huy asa kiongoz anajuwa kuw uongoz ni jukumu kwa Allah na kesho anaenda kuulizwaa ALLAH akuhifadh kwa kila baya na akupe umri mrefu nasikha yarab
@@sultansalehsultan4965 lamda kije kiyama nyuwe wakati wakupigakura suwe watu wa ugja+Pemba tuwasio mnachukuwa watanganyika waje wakukeni uwongozi mnatupiga mpaka madunduki sasa mnachaka irudi zaziba yakale wao watu wakale hawliwapiga ndugu zao ngasikumoja mchavuna mchokipanda koondeni mwenu
mkuu wa mkoa nimekupenda bure maana haujahukumu kusema wabara wote makahaba Bali unawakamata wahusika inshaAllah Allah akufanyie wepesi ...na kamatwe maana wanatutukanisha Sana wabara ..wakati me nimeishi zenji na ukifanya kazi pesa unapata hivi nyie mnaoenda kujiuza huku kwenu hakuna wanaume . .huko zenji ndo ukimwi now unaongoza kisa nyie ....na nyie mijanaume ya zenji mkome kuwanunua ...tulieni na wake zenu. .....kama umenielewa like 😭😭😭😭😭😭😭😭
izo kauli zak zakibaguzi alaf unajiita muislam unahakika gan wabara wte ndo mtindo wao au unahc akuna anaetoka hko kwenu akaja kujiuza hku acha maneno ako we ungekemea hlotend sio kuhukum kua watu wa sehem flan kua n hekma
Ally Ismaily pumu babuuu me mwenyewe m bara pure .tena mzaramo kutoka msanga upo apo ......nasijasema wabara malaya bari nimempa pongezi ayubu ..maaana hakutamka kuwa wabara malaya bari amedili na alio wakamata ....
Hao wahusika wa biasgmhara huyo wafungulieni biashara kama ndiyo ukali wa maisha na kama tatizo ni mahari wajengeeni nyumba muwatoze kodi rahisi nawaozesheni mungu atawalipa viongozi inshaallah
Vizuri sana mkuu fanya kazi yako safisha nchi sababu znz asilimia kubwa ni waislam kwakweli wanatutia aybu mtu katoka kwao anakuja kufanya umalaya visiswani kwetu.
@@belgieboys9867 kwao hawaendi hao wapo wengi hapo kwetu znz wanatoka makwao wakija hapo wakitufanyia utovu wa nidhamu na adabu madanguro wote wanatokea huko huko wanakotoka hao bora watiwe ndani wote atae kamatwa aekwe jela maisha yake asitolewe tena
Subhanallah Ahsante serikali ya mapinduzi ya zanzibar kwa kupambana na hawa wachafuzi wa dini yetu na visiwa vyetu hivi ndivyo uoslamu unavyotaka MKUU WA MKOA UISHI MIAKA MIA NANE USIZEEKE lakini na wale mashekhe zetu fanyeni watoke ndani jamani nyie ni waislamu tunaipenda serikali yetu hatuichukii
Mm nikiona hayo hufikiria watoto wetu tu wasiotaka kusoma dini. Ukuwaji wao utakuaje yaa Allah! hawaishi kuigaa. Yaa Hafidh, vihifadhi vizazi vyetu na uviongoze ktk mambo ya kheir, Amiin.
Ama kweli shetwan ametimiza ahadi yake kwa mungu na motoni wanawake tulivyo wengi na hakuna msaada wetu ispokua ni salaa na kutubu kwaiyo nawashauli wanawake wenzangu tuludi kwa mola wetu maana dunia inatupa mkono wa kutuaga na akhela inatupa mkono wa kutukalibisha kwaiyo inabidi tutubu kabla ile siku haijafika maana ni kilio2 yaraabh tujaalie mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
M/Mungu akusaidie muheshmiwa RC kwa nia yako ya dhati ulionayo kurekebisha maadili na kuondoa kero zinazowakera wananchi wako, huu ni mfano wa kuigwa pamoja na mheshmiwa RAJAB kule kaskazini nae Allah amlinde pia kwakweli mnastahili pongezi
Serikali inapaswa kuwatengenezea raia wake miundombinu bora itakayowahamasisha kujitegemea, mtu kibiashara kidogo kodi kushinda biashara yenyewe. Pia somo la Ujasiriamali liingizwe katika mtaala wa elimu kutokea shule za msingi. Haya yanaweza kupunguza matukia kama haya na mengine mabaya zaidi ya haya. Lakini tukibakia kusema "tokomeza umalaya, yokomeza umalaya" na halafu huo umalaya ndio tumeujengea miundo mbinu na kujitegemea tumekuwekea vikwazo Wallahi hatutafika pahali. Tutabakia kupiga kelele, na kuwashika walio ndio na wasio husika.
Moh'd Khamis Songoro kiukwel muhuni ni muhin tu hata umpe nin ataendelea na tabia yake ya kijinga japo kuna wengine ni shida ndo znawafanya hivo wakipewa njia sahih wanaweza kuachana na hiyo tabia
@@sadcommpalestina516 shida siyo uhuni ni mazoea ni sawa na mtu aliyezoea kubet hata umpe ela ya sadaka ataenda betia, taratbu wakipewa utaratbu mzuri wataacha na kufanya kazi, tutanue fursa za uchumi kama taifa
@songoro unataka hao wadada poa wametoka kwa bara huko huku smz wawatengezee.vibannda vya biashara ya zinaa? au unamaanisha nini smz iwarejrshe kwao bara huko wakaongezeane ukimwi wasitumalize kwa ukimwi nasikia wanaonjesha waznz na pia mkopo balaa
Laaaaaana ya mungu iwashukie hao napongez wrote walofanya msako toooh wanaharibu Zanzibar yetu jaman maadiliyetu msiwafichesura waoneshen mafedhuli haoo
.safi sana maana ndio wanaoifnya Zanzibar ionekane inawahuni na wenyenyumba wanapangisha watu wengi Sasa nahao mabwana wameridhia Wake zao wajiuze yaani wapewe adhabu nahao wanaume watajatultea maradhi ndani mungu atunusuru
Lakini anasema maisha yanamsababisha asioe wakati kwa Siku 8000 alipie short time mbali ya kula yake na akioa 8000 itamsaidia kula na halipii short wala long time. Jamaniiii Allah atawapa moyo wa kutubia kiukweli
+Saada Rashid hapana hujamuelewa vizur,hiyo elfu8 sio kwamba kila siku ndo ananunuwa uchi,bali siku anojisikia Hali yake si nzur na anahitaji kupunguza ndo anakwenda kununuwa uchi Kwa wauzao,na bora iwe ivo kuliko kwenda kubaka na yakaweza kumkuta mengine,na pia hiyo elfu 8 ndo kapatana nae na kukubaliana hiyo😂😂
Saafffiy mkuu was mkoa wetu kwa kazi nzuri endelea hivo hivo hao ndio wanaotutilia nakama nchi yetu wakikamatwa tuuu na wapelekwe kwa Tanganyika tushachoka nao hawabebeki wanateleza
Mmefurahisha sana viongozi na laiti nnchi yetu kila kona tukazuilia hili allah atatulea mvua ya pesa kila kona dar wakafanya hivyo dodoma hii kazi mbaya ikaachia mvua ya pesa itakuja maradhi ya korona hatuta yaona hata kidogo
Kazi nzuri muheshimiwa, nendeni kwenye ma Beach huko kumeoza Malaya na MA Beach Boys imekuwa kero kwa wananchi na watalii, watalii wanatusema Wazanzibari ni MALAYA MBWA kumbe sio Wazanzibari maskini, wengine wa Atoka hadi Kenya Kuja Zanzibar kujiuza.
Huyo mzee analaana ilikua mumvue kofia kwanza. Na inawezekana anakimada chake humo humo ndani 😐😥 mkuu wa mkoa Allah akulipe kila la kheri kwa juhudi zako. Ila pia nawashauri msiwazibe sura ili tuwajue na sisi maana mchana wanavutandio na vibaibui hao....
Mamy Ally sasa mtu wenyewe leo n ya pili kuja kula raha na bei n elfu 8 kw iyo unmaanisha kuwa izo elfu 16 ilkuwa aowe c ndio? na kudumbukiza pesa kimackini ili uje uowe wafkiri izo nyege zakungoja mpaka uowe nd zije? subutu kheri kula ao malaya km fedheha na adhabu ya kubaka... jamaa yupo correct kabisa....
Kwa maisha ya Zanzibar anotaka kula family inakutana na kumsaidia kukamilisha harusi. Labda atake makuu. Jamani kuoa ni haki vijana na muoe musiziniii ukifa katika zinaa motoni Allah atunusuru na kizazi chetu amiin.
Abdul Mohd asojua maana haambiwi maana usifikirie huko kijana jua kama zinaa ni haramu na ata uwe mnyonge kiasi gani bas ukioa tu milango ya ruski inafunguka acha upumbavu wa kuendekeza matamanio wewe unamuona yupo sahihi lkn jua kwamba anaharibu kitabu chake kwa zinaa Allah amuongoze
Uyo mzee wa watu mnamuonea tu coz nyumba yke nd riski yke eti yy, ankodisha apate hela asa biashara gan inayochaguwa mteja? yy anamkodisha mtu mwenye hela tu ili apate kula yke na wanawe hawezi kuangalia rangi,dini,kabila,cfa wala tabia za mtu na ndio biashara, apo mkuu umebowa....
Abdul Mohd jina kubwa ushauri wa kikafiri maneno gani hayo unaongea ww kma muislam ati biashara inamaana ww waeza jenga nyumba ukakodisha MTU afanye bar ama ww ni maskani yako hio hautoki mteja nawe nn?
Daah jmn wanawake aibu jmn ona sasa mnavozaririshwa, ingekuwa kazi nzuri wala wasingewakamata ndoo mjuwe iyo ni haram polen sana kwa kujiuza miili yenu.
Cha kusema hapa ni kumuomba Allah atunusuru na vizazi vyetu , sio kufurahishwa kwa kukamatwa wabongo , huyo mmiliki wa Nyumba inaonesha wazi kua ni mtu wa ZANZIBAR
Wanzanzibar na watu wote mnapoona mtu anafanya vizuri ungeni mkono sana harafu muwe mstari wa mbele kumwomba Mungu Baba ambaye yupo juu ya nchi kaja na yeye hapendi uchafu ukahaba kujiuza au kuwa na mke zaidi ya mmoja wewe unayeshauri uke wenza humjui Mungu Baba alivyo na hujawahi kumjua bali dini imekufundisha tofauti kabisa Mungu Baba anatambua mke mmoja tu hizo zingine ni tama za kuoa zaidi ya mmoja na ukifa moto unakusubiria NA MUNGU BABA haongeki kwa dini yy anatafuta uzao unaompenda na kumwabudu yy kwa usafi wa moyo pasipo unafiki na uongo. Hajawahi ruhusu wake zaidi ya mmoja kuoa. Hao waume makahaba na wanawake makahaba ni uvivu wa kutokufanya kazi wengi wa watz na watu wa sasa hivi ni kupenda mteremko kuto jituma kufanya kazi, unaacha mwili kuwaka tamaa tu kupenda chapuchapu kuliko kutoka jasho ukala kwa haki. Znz muanza vizuri huduma hiyo mumusapoti mkuu wenu wa mkoa saana msikashifu anavyopiga kazi jitoeni kwa nguvu zote kuikomboa nchi yenu tena ni ndogo sana fichueni maovu msifiche, mtakula mema ya nchi miaka ya nyuma hakukuwa na ukimwi wala ukahaba sasa mumelegeza uzi jitumeni kufanya kazi kwenu kuna viwekezo vingi vya uzalishaji.
Wakamatwe tuu na wanaosema sio wan Zanzibar! Hiv kwani Zanzibar wanawake wote wameolewa??! Hapo kuna mchanganyiko wa sehemu zote tusidanganyane hapa na wangekuwa wenzangu mm wa bara lazima tungegundua mavazi yao tu ila hakuna ubara wala uzanzibar kote kuna machangudoa!
Yeye ndo sababu nasisi tunakodisha nyumba lakini vipi utaepukana na mambo nayo usimkodishe asiye na mume au mke na kama utawakodisha basi uwape masharti ya heshima ya nyumba
@@saadarashid1952 lazima mashari ya nyumba yawepo napia lazima sheha awe anajuwa kuwa nani anaishi katika hiyo nyumba na anatokea wapi sio kujiwekea tu watu bila ya mpango
Sasa wanataka Watu waende KUBAKA? Mbona biashara ya kujiuza ilikuwapo hata kabla ya CRISTU kuzaliwa? Huyo Dada Mwili ni wake, huyo Jamaa pesa ni yake! Sasa tatizo ni nini? ... naomba tafadhari Serikali isitumie dharula hii. ...ninacho washahuri ni kwamba hafadhari wawape leseni ili waweze kulipia Ushuru TAX, hii ingekuwa Bora zaidi,Serikali ingeingiza pesa na Raia wake kubaki bila ya matatizo. ... Naomba tuangalie mifano ya Nchi nyingi nyenginezo zilizo na maendeleo. Huko ni unyanyasaji Wanajamhuri wa Tanzania ni watu HURU!
@@fatmasaid3683 dini inapoachika katika maisha ya watu mwanadamu anapoteza sifa njema anakuwa mbaya zaidi ya mnyama,Allah atusamehe kwa huruma na rahma zake atuwafikishe tufanye juhudi na muhanga kwa ajili ya dini na iymaan ili tupate salama fil'duniya wal'akhiyra..
Inna lillah wainna ilayhyi raajighuna.... Mimi ni mtu wa bara ila naumia tunavyoiharibu Zanzibar! Wazanzibar pambanieni maadili ya watoto zenu tunawaharibia nchi
Safi sana
Haswa mondi maana hvyo ni vitu nyeti inabidi mtu unafanya na mwenzi wako na kwa mazingila yanayoluhusiwa, mfano gest, nyumbani kwako
Haswaa
Subhanallah
diamond platnumz
diamond platnumz rubi
Big up mkuu piga kaziii... gonga like kama unapenda Zanzibar iwe salama.
Safi sana MWAMBA Hakika unajua
Mkimaliza Msafishe na NDANI YA JESHI LETU pia maana kuna baazi sio waaminifu🙏🙏🙏
Yaani huyu kiongozi hana jazba, msataarabu, hekima nk,
Allah bless you in your life
😅
Cfd
Allah akuhifaz Maa shaa Allah huy asa kiongoz anajuwa kuw uongoz ni jukumu kwa Allah na kesho anaenda kuulizwaa ALLAH akuhifadh kwa kila baya na akupe umri mrefu nasikha yarab
Kama umesikia niseme nisisemeee 😂😂😂😂😂 gonga like hapa
Asante Sana Mkuu wa mkoa tumechoka na hao watu wanatudhalilisha
Allah akulinde muheshmiwa ,ayubu,mwenye ubaya nawewe umrudi mwenyewe sisi tumekuchagua ,chapa kazi ,mkuuu wewe ndorais ,mtarajiwa
Sheha Abbas
chawa
Mkidili na wenye nyumba mtafanikiwa! Kazi nzuri kamanda! Wengi wao wanatoka huku bara so mkidili na nyumba mtawabaini na hawatakaa huko!
Nimetowa mijicho nimebaki mdomo wazi duh kweli zanzibar itarudi kma enzi za karume Alhmdulillh mola akuzdishieni kwakazi zenu nzuri
Sahau Zanzibar kurudi kama old days. Maana ndio kwanza tunatengeneza barabara nzuri na cm kubwaaaa
@@ShuraymSuleimanSaid 😂😂😂😂😂😋nikweli lkni yataondoka hayo maasi mama na ikibdi hata mabaa na magest vunjavunja tupa kuleee
kwakweli nivizuri sana serekalikuchukua hatuahi kwasababu zanzniba haikuanadosarihi vizuri ikaondoka nakuchukuliwahatua watuwote wanahusikanavitendohivi kwnzanziba ninchi yawaislamu haruhusukabisa
@@sultansalehsultan4965 lamda kije kiyama nyuwe wakati wakupigakura suwe watu wa ugja+Pemba tuwasio mnachukuwa watanganyika waje wakukeni uwongozi mnatupiga mpaka madunduki sasa mnachaka irudi zaziba yakale wao watu wakale hawliwapiga ndugu zao ngasikumoja mchavuna mchokipanda koondeni mwenu
at a uku bara mheshimiwa makonda afanya ivo kukomesha uvunjwaji wa maadili
wamekaa utamm mmmh, mungu awalinde na kuwaongoza kwenye shughuri za kheri. shida nyingi duniani. sithani hata mmoja wao ana penda kujiuza
Kama wanafanya kwa dhiki allah awafungulie rzki za halali na awape waume na iwe kher kwawo amiin
Mungu hajasema tutafute rizki ya haramu
Siyo serikal tu hata Kwa Mungu Wako usipochukua hatua hakika kama ww nikiongoz basi utajibu Maswal...subhanallah
Huu mtihani mweusi M/Mungu atusamehe kwa rehmma zake atujaalie tuwe waja wema sote jamii islam
Mtihani mzito unguja inaogopesha.
Sio jamii Islam tu ni Kwa kila mtu
Amiin
Subhanallah aallah atustiri atupe mwisho mwema ayarab awahidi ameen
Wewe ndio uwe raisi wa zanzibar really love you ayoub
safi
Asante sana muweshimiwa
mkuu wa mkoa nimekupenda bure maana haujahukumu kusema wabara wote makahaba Bali unawakamata wahusika inshaAllah Allah akufanyie wepesi ...na kamatwe maana wanatutukanisha Sana wabara ..wakati me nimeishi zenji na ukifanya kazi pesa unapata hivi nyie mnaoenda kujiuza huku kwenu hakuna wanaume . .huko zenji ndo ukimwi now unaongoza kisa nyie ....na nyie mijanaume ya zenji mkome kuwanunua ...tulieni na wake zenu. .....kama umenielewa like 😭😭😭😭😭😭😭😭
izo kauli zak zakibaguzi alaf unajiita muislam unahakika gan wabara wte ndo mtindo wao au unahc akuna anaetoka hko kwenu akaja kujiuza hku acha maneno ako we ungekemea hlotend sio kuhukum kua watu wa sehem flan kua n hekma
Haswaa hawajakosea
huu unatusingizi🤣🤣🤣😂😂
Ally Ismaily pumu babuuu me mwenyewe m bara pure .tena mzaramo kutoka msanga upo apo ......nasijasema wabara malaya bari nimempa pongezi ayubu ..maaana hakutamka kuwa wabara malaya bari amedili na alio wakamata ....
Stella Stanley hajakosea nani sasa kipenz
Hao wahusika wa biasgmhara huyo wafungulieni biashara kama ndiyo ukali wa maisha na kama tatizo ni mahari wajengeeni nyumba muwatoze kodi rahisi nawaozesheni mungu atawalipa viongozi inshaallah
Ktv tz online hongereni koo mzima ya ktv tz online hakika hii ni fahari yetu
Vizuri sana mkuu fanya kazi yako safisha nchi sababu znz asilimia kubwa ni waislam kwakweli wanatutia aybu mtu katoka kwao anakuja kufanya umalaya visiswani kwetu.
Bora wakamatwe wote wakome na hivo vitendo viovu Mungu awajaalie watubu toba ya kweli wafate maadili mema ya kiislamu
warejeshwe makwao sio wakamatwe kesho waachiwe
@@belgieboys9867 kwao hawaendi hao wapo wengi hapo kwetu znz wanatoka makwao wakija hapo wakitufanyia utovu wa nidhamu na adabu madanguro wote wanatokea huko huko wanakotoka hao bora watiwe ndani wote atae kamatwa aekwe jela maisha yake asitolewe tena
Et maadil Bora ya kiislam kwan kunna dini inayoruhusu hayo tuwe Na usawa
Teddy Meela unaruhusiwa ata wewe kutaja dini yako brother
Na huyo babu ndiye kahaba
Safi sana maana watu tunashindwa kujishughulisha katika miradi mbalimbali ya kutafuta pesa,wanauza miili yao.
Subhanallah Ahsante serikali ya mapinduzi ya zanzibar kwa kupambana na hawa wachafuzi wa dini yetu na visiwa vyetu hivi ndivyo uoslamu unavyotaka MKUU WA MKOA UISHI MIAKA MIA NANE USIZEEKE lakini na wale mashekhe zetu fanyeni watoke ndani jamani nyie ni waislamu tunaipenda serikali yetu hatuichukii
Wale hawatoki wachafuzi wa zenji yetu walikua wanasababisha machafuko toka wakamatwe mbona imekua kimya zenji tunawapenda lkn zenji hawaruhusiwi halafu adrenalin sio wajinga hawatoki mpaka kiama
Mwenyezi Mungu wajalie akili ya kujielewa na kujitambua.
Devil is a liar
Hayo ni mapepo inabidi waombewe na nina Imani watakuwa safi.
Mm nikiona hayo hufikiria watoto wetu tu wasiotaka kusoma dini. Ukuwaji wao utakuaje yaa Allah! hawaishi kuigaa. Yaa Hafidh, vihifadhi vizazi vyetu na uviongoze ktk mambo ya kheir, Amiin.
Kazi nzuri sannnnaa mheshimiwa.
Ama kweli shetwan ametimiza ahadi yake kwa mungu na motoni wanawake tulivyo wengi na hakuna msaada wetu ispokua ni salaa na kutubu kwaiyo nawashauli wanawake wenzangu tuludi kwa mola wetu maana dunia inatupa mkono wa kutuaga na akhela inatupa mkono wa kutukalibisha kwaiyo inabidi tutubu kabla ile siku haijafika maana ni kilio2 yaraabh tujaalie mwisho mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Uyo kijana aachiliwe for speaking the truth
Safi sana shenzi hao! Mana bora hata wangelipia ushuru
Good work watu wajifunze kufanya kazi washenzi hao mkimaliza karibu Kenya tena
hahaha😁😁😁😁uko uko 👉kenya
@@yangoshatv5327 Kenya msako huo huwezi fanyika msako wa kwingia kwa nyumba zao huwezi Kenya ni nchi tofauti
iyo piya kazi wan
Inasikitisha kwakweli wanawake hawataki kazi wanajizalilisha mh!mnaitia aibu nchiyetu wallahi hongera sana mkuu wa mkoa kazi nzuri.
Mtihani mzito huu, Allah atusti waja wke pamoja na vizazi vyetu
Amiin Amiin Amiin
Allah akubarik...na hii iendelee kuwakamata...visiwa vyetu viwe na aman
yaaan Allah awaongoze, maana mtihan.nyinyi wadada si mfanye hata kazi za ndan jaman, mnapenda kujidhalilisha.
M/Mungu akusaidie muheshmiwa RC kwa nia yako ya dhati ulionayo kurekebisha maadili na kuondoa kero zinazowakera wananchi wako, huu ni mfano wa kuigwa pamoja na mheshmiwa RAJAB kule kaskazini nae Allah amlinde pia kwakweli mnastahili pongezi
Pongezi sana kuzuia wadogo wanao kuwa waogope
Alhamdulillah
Wow proud of you Tanzania...good leader..good moral...whilst in Holland this is legal employment, you choose higher moral ground
That zanzibarian government those prostitute from tanganyika makufuli government ok
Serikali inapaswa kuwatengenezea raia wake miundombinu bora itakayowahamasisha kujitegemea, mtu kibiashara kidogo kodi kushinda biashara yenyewe. Pia somo la Ujasiriamali liingizwe katika mtaala wa elimu kutokea shule za msingi. Haya yanaweza kupunguza matukia kama haya na mengine mabaya zaidi ya haya. Lakini tukibakia kusema "tokomeza umalaya, yokomeza umalaya" na halafu huo umalaya ndio tumeujengea miundo mbinu na kujitegemea tumekuwekea vikwazo Wallahi hatutafika pahali. Tutabakia kupiga kelele, na kuwashika walio ndio na wasio husika.
Swadakta, labda wawafunge maisha ili wale ugali wa bure jela watawasaidia
Moh'd Khamis Songoro kiukwel muhuni ni muhin tu hata umpe nin ataendelea na tabia yake ya kijinga japo kuna wengine ni shida ndo znawafanya hivo wakipewa njia sahih wanaweza kuachana na hiyo tabia
@@sadcommpalestina516 shida siyo uhuni ni mazoea ni sawa na mtu aliyezoea kubet hata umpe ela ya sadaka ataenda betia, taratbu wakipewa utaratbu mzuri wataacha na kufanya kazi, tutanue fursa za uchumi kama taifa
Unaugua
@songoro unataka hao wadada poa wametoka kwa bara huko huku smz wawatengezee.vibannda vya biashara ya zinaa?
au unamaanisha nini
smz iwarejrshe kwao bara huko wakaongezeane ukimwi wasitumalize kwa ukimwi nasikia wanaonjesha waznz na pia mkopo balaa
Laaaaaana ya mungu iwashukie hao napongez wrote walofanya msako toooh wanaharibu Zanzibar yetu jaman maadiliyetu msiwafichesura waoneshen mafedhuli haoo
Huyu mkuu wa mkoa ni jembe haswaa kazi anaitenda👏👏👏
Hawase mage ukweli majinayaonyauongo yakweli huacha majumbani
Nampongeza mkuu w mkoa alafu mbn awo c wazanzibari wanatuchafulia acli yt t Wajinga Awooooooo wajnga
.safi sana maana ndio wanaoifnya Zanzibar ionekane inawahuni na wenyenyumba wanapangisha watu wengi Sasa nahao mabwana wameridhia Wake zao wajiuze yaani wapewe adhabu nahao wanaume watajatultea maradhi ndani mungu atunusuru
jamaa wa Amani fresh nimependa alivoeleza ukweli😂😂,bora kheri kuliko shari kamiliii
Kweliiiu....kabisa kaak
Lakini anasema maisha yanamsababisha asioe wakati kwa Siku 8000 alipie short time mbali ya kula yake na akioa 8000 itamsaidia kula na halipii short wala long time. Jamaniiii Allah atawapa moyo wa kutubia kiukweli
+Saada Rashid hapana hujamuelewa vizur,hiyo elfu8 sio kwamba kila siku ndo ananunuwa uchi,bali siku anojisikia Hali yake si nzur na anahitaji kupunguza ndo anakwenda kununuwa uchi Kwa wauzao,na bora iwe ivo kuliko kwenda kubaka na yakaweza kumkuta mengine,na pia hiyo elfu 8 ndo kapatana nae na kukubaliana hiyo😂😂
Kajisemea ukweli jamani,apunguziwe adhabu
Shida hiyo
Wandishiii mkoo mkinii safiiii Sana'a hao ndio wanasababishaaa umasikinii
Kamateni na wanaowanunua, halafu wanaume wa unguja mnapenda sana wanawake wenye makario makubwa.(Inye)
Usitukashifu , ukimchukia was unguja , Basi huwenda jamaa yako yupo huku
Saafffiy mkuu was mkoa wetu kwa kazi nzuri endelea hivo hivo hao ndio wanaotutilia nakama nchi yetu wakikamatwa tuuu na wapelekwe kwa Tanganyika tushachoka nao hawabebeki wanateleza
Big up RC Ayoub god bless
We kamanda Mungu akubariki sana unafanya kazi yakonkwa uwered sn na huna mbwembwe wala kupigapiga waharifu wakat wa ukamataji
2020 president inshaallah
imekuaje tena?
Hongera sana mkuu wa mkoa asie funzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu hao jela yao iwe ni yakilimo maana wamekimbia kulima makwao
vizuri sanaaaa
Mmefurahisha sana viongozi na laiti nnchi yetu kila kona tukazuilia hili allah atatulea mvua ya pesa kila kona dar wakafanya hivyo dodoma hii kazi mbaya ikaachia mvua ya pesa itakuja maradhi ya korona hatuta yaona hata kidogo
Kila mwenye kwao arudishwe Zanzibar sio sehemu yakufanya umalaya na uchangudoa
Kabisaaa
Hii mijitu ndo inaleta ukimwi znz wakome warudishwe wakauze uko tanganyika
Hongera mkuu tunakuunga mkono . Mwenyezi mungu akulinde na pia utapata fungu lako
Zanzibar tunahitaji viongozi wa aina hii, hongereni mh. Ayoub pamoja na Mh. Rajab wa operation safisha kiwengwa
Kazi nzuri muheshimiwa, nendeni kwenye ma Beach huko kumeoza Malaya na MA Beach Boys imekuwa kero kwa wananchi na watalii, watalii wanatusema Wazanzibari ni MALAYA MBWA kumbe sio Wazanzibari maskini, wengine wa Atoka hadi Kenya Kuja Zanzibar kujiuza.
Huyo mzee analaana ilikua mumvue kofia kwanza. Na inawezekana anakimada chake humo humo ndani 😐😥 mkuu wa mkoa Allah akulipe kila la kheri kwa juhudi zako. Ila pia nawashauri msiwazibe sura ili tuwajue na sisi maana mchana wanavutandio na vibaibui hao....
Mzee yupo sahihi kabisaa,
Shuraym Suleiman. Said kweli
Safi cn mkuu wa mkoa
waonyeshe sura kuku aziwatosh
Safi sana wanailetea sana kashfa Zanzibar yetu kazi nzuri sana mungu akuongoze kiongozi ukimaliza hao mahanisi kamata
Uyo anosema maisha ndo yamfanya asioe ovyoo izo pesa angekuwa anaweka je keshazoweya tu mhhh Allah atuongoze na atusameh
Mamy Ally sasa mtu wenyewe leo n ya pili kuja kula raha na bei n elfu 8 kw iyo unmaanisha kuwa izo elfu 16 ilkuwa aowe c ndio? na kudumbukiza pesa kimackini ili uje uowe wafkiri izo nyege zakungoja mpaka uowe nd zije? subutu kheri kula ao malaya km fedheha na adhabu ya kubaka... jamaa yupo correct kabisa....
Umeongea mwenzangu haya mile naona na kama angekuwa mkewe hamgaii haya 2000 lakini nje anatoa hata zaidi ya 8000
Kwa maisha ya Zanzibar anotaka kula family inakutana na kumsaidia kukamilisha harusi. Labda atake makuu. Jamani kuoa ni haki vijana na muoe musiziniii ukifa katika zinaa motoni Allah atunusuru na kizazi chetu amiin.
Abdul Mohd asojua maana haambiwi maana usifikirie huko kijana jua kama zinaa ni haramu na ata uwe mnyonge kiasi gani bas ukioa tu milango ya ruski inafunguka acha upumbavu wa kuendekeza matamanio wewe unamuona yupo sahihi lkn jua kwamba anaharibu kitabu chake kwa zinaa Allah amuongoze
Saada Rashid ndo ivo ndoa ndio stara kubwa ya kipekeee mtu unaepukana na majanga ya kidunia mtu yupo tayari kula moto seriously 😒
Nampongeza Sana Mkuu wa mkoa kwa kupiga Vita umalaya.
Hongera ayoub
Asante sana mkuu wa mkoa
Tatzo so umalaya... Tatzo Bei zao bna!! Tofaut kbsa na bara
🤗
HOLLY MORE haahaa
hahahaha ha!!!!
Hongera sana Mheshimiwa kwa kuwajibika ipasavo. Allah akuongoze katika kupambana na hili na mengine pia.
Ahahahaha huyo mkaka kanchekesha eti msema za ukweli mpenz wa Mungu🤣🤣🤣🤣👌
Sadanta shukrani saana.bora wakamatwe wakome kufanya vitendo viovu warudi kw mola watubie.
Sahihi wanaharibu tamaduni zakizanzibar husussan uislam ndio dini yetu imetulea zanzibar
Zenji ushoga ndio umekidhiri, halafu wanaojifanya kukamata ndio wateja wao.
Ndg yangu hujui kuwa huko ndo ushoga umeanzia ?!
Jambo la kujiuza ni kujitukanisha mwenyewe,na kuharibu heshma ya ubinadamu,mungu awaongoze wenye kughafilika,na sisi atuepushe yarab ameen.
Hongera mheshimiwa... wapewe adhabu kali ili kutokomeza vitendo ivyo
Haki za binadamu zihesimiwe
Mkuu Wa mkoa mtu mwenye hekima nimempenda sana .Chapa kazi baba
Hogera muheshimiwa Allah akuhifhi na shari boro mrejeshe tena kuja zanzibar kwa passport
Aibu duuh
Mungu akubariki baba tanzania aibu
Subhanallah
Wewe auna kazi za kufanya, japo unapoteza muda wako brother, hawo watu wanamuitaji MUNGU katika maisha yao
Dah hongera sanna MKUU wetu tunakupenda sana Allah akujalie na imani na akupe uwezo wa kufanya kazi ipasavyo na akuzidishie kila la kheri
Na huku Nungwi Serekali njooni Umalaya umekisiri wazi wazi
He Nungwi pia jamani niliishi Nungwi zamani kulikuwa hakuna mambo hayo, msalimie kaka yangu anaitwa Idi Kombo, mwambie namtafuta
Nakupenda inchi yangu Tanzania mwenyezi Mungu akupiganie viongozi wa Tanzania kurejesha mahadili mema katika jamii 🇰🇪🇹🇿👏
Uyo mzee wa watu mnamuonea tu coz nyumba yke nd riski yke eti yy, ankodisha apate hela asa biashara gan inayochaguwa mteja? yy anamkodisha mtu mwenye hela tu ili apate kula yke na wanawe hawezi kuangalia rangi,dini,kabila,cfa wala tabia za mtu na ndio biashara, apo mkuu umebowa....
Mbele ya Allah utasema hivyo pia. Alilazimika kuiweka nyumba yake katika usalama na jeshima
we mshenzi mbwa we kakuboa ww ssi katufurahisha na Allah atamlipa kheri na atampa nguvu kwa jambo hilo jema alolifanya
Abdul Mohd jina kubwa ushauri wa kikafiri maneno gani hayo unaongea ww kma muislam ati biashara inamaana ww waeza jenga nyumba ukakodisha MTU afanye bar ama ww ni maskani yako hio hautoki mteja nawe nn?
Uyo Mzee hakuna sheria ya kukamatia . Watamwachia mwisho wa siku utampeleka mahakamani.
Shirazy Ameir wewe unatukana mtu mbwa afu unamtaja Allah 😁🤦♂️
Daah jmn wanawake aibu jmn ona sasa mnavozaririshwa, ingekuwa kazi nzuri wala wasingewakamata ndoo mjuwe iyo ni haram polen sana kwa kujiuza miili yenu.
Duh sio wazanzibar hao aisee mungu tunusuru na vizazi vetu
Shika adabu zako , usiwatusi wabongo , inaonekana kua Leo wamekamatwa wabongo lakin aliewaleta ni mzanzibar , Sasa utajitakasa vp hapa
Cha kusema hapa ni kumuomba Allah atunusuru na vizazi vyetu , sio kufurahishwa kwa kukamatwa wabongo , huyo mmiliki wa Nyumba inaonesha wazi kua ni mtu wa ZANZIBAR
Jee hapo tuwashumu wazanzibar kwa kupenda Pesa hata kwa njia ya ngono
Kua na adabu wakati wa kutoa maoni
Kijana komaaaaa nyama wewee. Usitutusii
Vizur sana nakupongeza kwa hilo mungu akubariki sana
Mara pap unamuona mpenzi wako😀
Priyanka Suleiman Hahaha
Priyanka Suleiman ni shiddah
😂😂😂
Priyanka Suleiman sio mpenzi..... Mara pap unamuona mkeo au mwanao. Mungu atunusuru na balaa hili
utaliaje?haaaaaaaaa
Safi sana jsmani na dar tunaomba wapite mtaa kwa mtaa wana tuzalilisha sana wanawake
Kazi nzuri saaana
That not human right people doing there business munawakamata you can give them work to do they can stop it
Kubeba matofali kazi zipo ,nani ,akupe ,kazi ,kwani umalaya ,ulipewa mpk utafutiwe kazi
MashaAllah Allah wafanyie wepesi mfanikishe kwa uwezo wa Allah
Duuuh Zanzibar yetu inaharibiwa na watu wachache
Wanzanzibari hamna akili. Asilimia kubwa hamna malinda
Tunajuwa watatolwa tu makahaba hao
@@danielsanga5198 inatosha babako akiwa nayo nyau wee mxiuuu acha kutukana watu
@@danielsanga5198 uko kwenu mbn wamejaa tele siku hizi kila mkoa wapo tele hawana marinda usitutukane mbwa mkubwa ww.
Wanzanzibar na watu wote mnapoona mtu anafanya vizuri ungeni mkono sana harafu muwe mstari wa mbele kumwomba Mungu Baba ambaye yupo juu ya nchi kaja na yeye hapendi uchafu ukahaba kujiuza au kuwa na mke zaidi ya mmoja wewe unayeshauri uke wenza humjui Mungu Baba alivyo na hujawahi kumjua bali dini imekufundisha tofauti kabisa Mungu Baba anatambua mke mmoja tu hizo zingine ni tama za kuoa zaidi ya mmoja na ukifa moto unakusubiria NA MUNGU BABA haongeki kwa dini yy anatafuta uzao unaompenda na kumwabudu yy kwa usafi wa moyo pasipo unafiki na uongo. Hajawahi ruhusu wake zaidi ya mmoja kuoa. Hao waume makahaba na wanawake makahaba ni uvivu wa kutokufanya kazi wengi wa watz na watu wa sasa hivi ni kupenda mteremko kuto jituma kufanya kazi, unaacha mwili kuwaka tamaa tu kupenda chapuchapu kuliko kutoka jasho ukala kwa haki. Znz muanza vizuri huduma hiyo mumusapoti mkuu wenu wa mkoa saana msikashifu anavyopiga kazi jitoeni kwa nguvu zote kuikomboa nchi yenu tena ni ndogo sana fichueni maovu msifiche, mtakula mema ya nchi miaka ya nyuma hakukuwa na ukimwi wala ukahaba sasa mumelegeza uzi jitumeni kufanya kazi kwenu kuna viwekezo vingi vya uzalishaji.
Wakamatwe tuu na wanaosema sio wan Zanzibar! Hiv kwani Zanzibar wanawake wote wameolewa??! Hapo kuna mchanganyiko wa sehemu zote tusidanganyane hapa na wangekuwa wenzangu mm wa bara lazima tungegundua mavazi yao tu ila hakuna ubara wala uzanzibar kote kuna machangudoa!
Na nungwi njoon kunatele malaya
Asilimia kubwa sio wazanzibar
@@hassanmsellem5302 sante wazanzibar wananyota za ndowa hao ni watanganyika
Hongera mkuu wa mkoa kwa kazi nzuri. Shukran KTV TZ ONLINE hakika hii ni fahari yetu.
subuhanallah ewe mwez mung tufanye mioyo yetu iwe yenye kuogopa maasi
Nakuomba usilikate jina LA mtukufu wa mbingu na ardhi. Mwenyezi Mungu
+Saada Rashid nimekataje au akili yako imeoza
+Saada Rashid au kusoma hujui
Washenz saana kazi yao kwaharibia ndoa zawatu na kuingiza mardh allah awaongoe
Safi Sana ulivyoanza nae huyo mwenye nyumba
Yeye ndo sababu nasisi tunakodisha nyumba lakini vipi utaepukana na mambo nayo usimkodishe asiye na mume au mke na kama utawakodisha basi uwape masharti ya heshima ya nyumba
@@saadarashid1952 lazima mashari ya nyumba yawepo napia lazima sheha awe anajuwa kuwa nani anaishi katika hiyo nyumba na anatokea wapi sio kujiwekea tu watu bila ya mpango
Mchizi anapoona kwa elfu 8 tuuu hahahahs
Dah mtihani huu kwa kweli Allah atunusuru juu ya hili
Nashukuru Mungu hakuna mzazibar mwenzetu hata 1 aliekamatwa akijiuza hili balaa wametuletea wabongo ndo maana liziki zmekua ngumu mvua hazinyeshi.
Kwani hao wanaume ni wa wapi?....Kama sio zanzibar
wanunuzi akina nani?
Muungano daima dawama.. Zanzibar ni njema atakae na aje.
ninyi amjiuzi bali mnafirwa kwa siri si ndio
subbuhana Allah innalilah wainnailah rajiuun halafu at maisha mgumu nyny ndio munauleta uwo ugumu na kututia sifa mbaya
Duh mtihn wallah Allah atunusuru na vizazi vyote
Ameen
Naam ummu khulthum... Tabia za kwetu bara zimeletwa huko mpk Zanzibar haivutii tena
Inshallah ndio kazi nzuri makonda alifanya iyo. Sisi wanaume tuwasitiri wanawake
Jazakallah kheir on this issue......
Jamani wanetuuuuu tuwaeke wapi Zanzibar niliozaliwa ndani yake haikua hiviii Ya Allah
Sasa wanataka Watu waende KUBAKA? Mbona biashara ya kujiuza ilikuwapo hata kabla ya CRISTU kuzaliwa? Huyo Dada Mwili ni wake, huyo Jamaa pesa ni yake! Sasa tatizo ni nini? ... naomba tafadhari Serikali isitumie dharula hii. ...ninacho washahuri ni kwamba hafadhari wawape leseni ili waweze kulipia Ushuru TAX, hii ingekuwa Bora zaidi,Serikali ingeingiza pesa na Raia wake kubaki bila ya matatizo. ... Naomba tuangalie mifano ya Nchi nyingi nyenginezo zilizo na maendeleo. Huko ni unyanyasaji Wanajamhuri wa Tanzania ni watu HURU!
@@kennycathles na kwa nini wabake kama unauwezo wa kununua ngono usiwe na kumlisha mke kweli. Kuoa ni neema na Allah ndie mtoa riziki
@@fatmasaid3683 dini inapoachika katika maisha ya watu mwanadamu anapoteza sifa njema anakuwa mbaya zaidi ya mnyama,Allah atusamehe kwa huruma na rahma zake atuwafikishe tufanye juhudi na muhanga kwa ajili ya dini na iymaan ili tupate salama fil'duniya wal'akhiyra..
Wanawake jameni wacheni umaraya
@@stacyiwe3606 na wanaume waaache kuchangia
Saaafiiii sana nimeipenda sana maana hiyo ni dhima yetu mbele ya Allah.
HUYO JAMAA AMEJIBU VIZURI SANA
Inna lillah wainna ilayhyi raajighuna.... Mimi ni mtu wa bara ila naumia tunavyoiharibu Zanzibar! Wazanzibar pambanieni maadili ya watoto zenu tunawaharibia nchi
😂😂Sasa mzee naye kakosea nini yeye hajui mburadi kakodisha apate riziki yake.masikini wee
Nimemuonea huruma uyo mzee
Nimeipenda hii kazi naiyomba muheshimiwa iyendelee safisha Zanzibar kwanza
Ndani ya simu zao contact wote wakamatwe