Wallah bara bar hii ck zte ina laana hii ukipt kuanzia ucku saa cta lzm ukute Nazi na madude ya kipuuz yamevunjwa.....juz nard kzn uck saa saba kasoro nakuta hyo mambo mh Zanzibar jamn tmzd.....tmuogopen Allah jamn
Nilikuwaa nataman kila siku kuionaa sura ya mtangazaji huyu leo nmemuonaa masha allah kama na ww ulikuwaa sambamb na mawazo yang gonga like yko tujuwanee
Subhana LLAH. Allah atuepushe mbali na uchawi. Shukran sheikh wetu Salum kwa kutuelimisha.. Mungu akuenue darja yako. Na uzidi kututoa gizani.. Allahumma amin yarabi 🇰🇪
Ktv tz online mupo vizuri sana kwa kazi zenu mzr hongereni nyote na hongera sana sheikhe salum maridhia kwa ilimu yako kipaji ulichopewa na Allah mungu akuzidishie ilmu hiyo na kipaji
Subhanallah!! Hiyo sehemu kila ukipita unakutana na ushirikina huo hapo kila siku hilo jambo linafanyika we ngojea ipo siku ntamkamata MTU nimtie mikwajuu fresh shubaamit hao
@@ysherahmad652 hahahhaha wallah wankera hawa majitu mie naenda mazowezi siku nyingine nkipita nakuwa nawaona hapo wananja mayai, manazi, mavyungu na hayo mafruti
Jamani uchawi siyo jambo zuri Allah Atahukumu kwa kila jambo baya la mtu Ewe Mola wetu mtukufu tusamehe na Zambi zetu sisi waja wako na utuongoze njia njema Amii
Subhanallah hii kwangu mpya sijawahi ona wala sikia duh ya Allah mtihani huo...Allahumma inni audhubika an-ushrikabika wa ana -aalam,wa astaghfiruka limaa laa a3alam. Amin
M/Mungu atulide na mabaya yote ya walimwengu mungu atujaalie tusiwe miongoni mwa wabaya atuongoze njia ilio njooka hapa duniani na kesho Akhera kwa rehmma zake Allah
Hii yote kutofikiria zaidi hapa dunian tumeletwa kwa ajil ya kitu gan mbele ya Allah wallah tunakufuru maskin mola atusaidie. Sheikh asante kw Maneno mazur Allah atatulinda pekee mlinzi wetu
Tatu kunanamna Allah.Sw. anaombwa tofauti tofauti. Ikiwa unatumia uganga(rukia) wengine wanamipito zaidi. Uchawi haufai lkn ujue nini uchawi nini ushirikina na nini dua na tasriifat. Na Kama kuopoa ndoa kwa tasrifa ya mayai hata imamu hojat l-islami Muhammad ibn Muhammad lghazali kafundisha. Jee utamhukumu na yeye mshirikina.
Hatari yaani kijamaa hata aibu hama anakwanga mbele za wapita njia, ila pengine alidhania haonekani namtu vile alivyokua akifanya wanga wake, chezea Camera wewe, Ahsante sana KTV
Iyo mada "kiumbe wa kichawi aonekana" nilidhani kiumbe wa maajabu. Anyway haya na hawa wanashirki waliokithiri bila hofu ya Mungu hawalali kuchawia wenzao tuu. Innallillah waina illah rajiuun.
bae geedat usiogope Zanzibar ni nchi amani hao wanarogana ni wana familia kw familia mana kesi za cku hz wahusika wakuu ni wana familia... be a peace na wala uckatishe safar yakooo
KTV leo mumenikumbusha mbali mm nilikuta keki ktk njia nne sikusubiri iharibike nilitafuta juice nikakata hamu ya keki mpaka leo nipo sijaumwa hata na tumbo.
Ni kweli wengi washakula vile vyakula vitam tam vinavyotiwa kwenye sahani vikaekwa sehem kwa shirk, Lkn wengi ninaowajua mm wanamatatizo ya madudu na wengine yanawaendesha vibaya sana haswa ktk uzinzi na ulevi. Sasa cjui km tatizo ni kula vile vyakula au vp? Allah atuhifadhi sote na vizazi vyetu, Amiin
@@fatmazenafzena917 uroho tena wakati ni chakula watu wanajaaliwa rizki wanazifanyia ufiasadi tena niliikuta imehifadhiwa vizuri tu kwani hujaamckia shekh alivyosema inafaa kula.
Hodi zenjebar Allah atustili na ushilikina Allah atujalie tuwe wenye kukinai na kila hali aliyo tujalia wachawi acheni kuwanga Allah anawaumbua nabado.
Jamani.watu.sasa.ivi.wanapotea.kabisa.yahni.mutu.akipata.tatizo.kidogo.kuliko.wamuombo.mwezi.mung Wana enda.kwashetani.ogopeni.mungu.tieni.imani.yenu.sehemu.moja.alafu.mumuombe atawapa mungu yupo natazidi.kuwa akunakinacho.mushinda.na.anatupenda
Mm juzi hapo nlikuwa naendesha gari basi kulitokea watu wawili na mm sikuwa mbio sana basi kulitokea paka mbio naye ikitaka kupita kabla watu hao wawili basi nlimgonga na akafa.

SindellA
Sindellela
tusidanganyane
@@aminasalum1042 kwa tlvyokuwa na iman Zanzibar yatendekayo ss n kuzidi kwet htwez kujishndanisha n waganda
dah pole
Nilikuwaa nataman kila siku kuionaa sura ya mtangazaji huyu leo nmemuonaa masha allah kama na ww ulikuwaa sambamb na mawazo yang gonga like yko tujuwanee
Aisee ofisinzima wamenishauri nigonge like, sikuwa nimeiona comentyako. ahsante kwa ushirikiano. ni masoud ktv.
@@magangatv2903 mungu akuwek sana
Masha Allah nmelearn mingi Allah akupe jazaa yako sheikh
Shukran Shekh kwa Mawaidha, Allah atuongoze katika njia ya khery 🙏
SubhanaAllah. Allah atusitiri na kutuepusha na sihir. Ameen yaa Rabbil allamiin
Subhana LLAH. Allah atuepushe mbali na uchawi. Shukran sheikh wetu Salum kwa kutuelimisha.. Mungu akuenue darja yako. Na uzidi kututoa gizani.. Allahumma amin yarabi 🇰🇪
HASBUNALLAHU WANIIMAL WAKIIL. ALLAH ATUHIFADHI SOTE, AMIIN.
Ktv tz online mupo vizuri sana kwa kazi zenu mzr hongereni nyote na hongera sana sheikhe salum maridhia kwa ilimu yako kipaji ulichopewa na Allah mungu akuzidishie ilmu hiyo na kipaji
Welewao mahasidi mungu awaongoze njia ilio nyooka na awajaalie wawe waja wema watubu toba ya kweli
Asante sana
Mashallah mashallah tabarakallah sheikh umetufunza mengi. Na pia mumefanya kazi nzuri Allah awaruzuku watangazaji
innalilah wainnalejoun
Subhana Allah nimtihan sisi twala wengine wanarogea
Shukran shekh Kwa mawaidha
Shukran ust.salum
Sheikh Shukran
Ubarikiwe sheikh
Asante sana leo nimejifunzaaaa kitu
Ila Allah atuepushe ftina ya Uchawi ila mitihan nikubwa,ila mola ataleta kheri
Mungu atusamehe
Yarabii ya Allah tuepushie mambo kama haya Aameen
uhakikaa
Huyu mtangazaji ana sauti nzuri sana Mashallah
Nikwel
Subhanallah!! Hiyo sehemu kila ukipita unakutana na ushirikina huo hapo kila siku hilo jambo linafanyika we ngojea ipo siku ntamkamata MTU nimtie mikwajuu fresh shubaamit hao
hio itakua safi sana! Allah atulinde
@@ktvtzonline aaamin yaaraby ahsnte sana kwa taarifa zenu za uhakika hakika KTV ni fahari yetu
@@mohammedabdallah6390 hhhhhh Mohammed me hoi uku nacheka usisahau kuchukua video ili tuone na sisi
@@ysherahmad652 hahahhaha wallah wankera hawa majitu mie naenda mazowezi siku nyingine nkipita nakuwa nawaona hapo wananja mayai, manazi, mavyungu na hayo mafruti
@@mohammedabdallah6390 hhhhhh mbavu zngu miee
Jamani uchawi siyo jambo zuri Allah Atahukumu kwa kila jambo baya la mtu Ewe Mola wetu mtukufu tusamehe na Zambi zetu sisi waja wako na utuongoze njia njema Amii
Mashaallah sheik tumejifunza mengi kutoka kwako
Said juma mashallaah ktk mombasa
jazzakal Allah heir sheikh mungu tuepushe na balaa hili la shirki na akujalie afya njema Ameen yaarab
Subhanallah hii kwangu mpya sijawahi ona wala sikia duh ya Allah mtihani huo...Allahumma inni audhubika an-ushrikabika wa ana -aalam,wa astaghfiruka limaa laa a3alam. Amin
Dah hongera mpga .pcha
Allah akuzidishie ilmu sheikh marihdiyyah
Aamin
Daaah dunia ina mengi Allah atuepushie ya rabi Amiin
Chuna Fetty ukhty sitaki utembee usiku peke yako uniite mimi kwanza
dunia mauwa tuwapitaji
Mambo
M mungu atulinde kwa uwezo Allah ndiyo njia yangu SubhunaAllah
Alienda kurogwa mungu amwepushe binadamu Dah.... Jinsi shekhe amelishika alijamdhuru hta aliefanyiwa aepuke nalo.
Yule katia nia HV. Yarabbi Kama unavolivuruga hilitikiti basi wavuruge wachawi.
Subhanallah mwenyez mungu atusamehe
Asante sana shekhe wallah nimejifunza kwakweli maana nina mitihan wallah
daaaa mtihani sana
Shukran sheikh Salum Allah akuzidishie ilimu.
Amiin! Allah akuzidishie imani nawewe ppia Zayyati
@@ktvtzonline Allahumma amin kwa sote
Nimependa maneno yako sheikh hata kama mm sio muislam ila naelewa mno
Heee mtihani
@@ktvtzonline namba kukuuliza jee mtu akikutakini mnapatina wapi
Kubwa tumuombe Mungu atuepushe na shiriki
Ameen
Amiin
Abema Mpya amiyn yarab
Innalillah wainnailaih rajiun hasbiyallah hasbiyallah hasbiyallah hasbiyallah
Allah atunusur na shirki zao inshaallah
No. 0768780925 naomba uwe rafk wang
Shukrani shekhe
shukran ndugu mtangazaji na ktv online
Subuhanallah.Ewe mola wetu tunusuru ss na vizazi vyetu yarabi.
M/Mungu atulide na mabaya yote ya walimwengu mungu atujaalie tusiwe miongoni mwa wabaya atuongoze njia ilio njooka hapa duniani na kesho Akhera kwa rehmma zake Allah
Allah atulinde na Hii FItna
Mtihani walla
Subhannallah wanakufuru aallah atuepushe mamboayo arab
Hii yote kutofikiria zaidi hapa dunian tumeletwa kwa ajil ya kitu gan mbele ya Allah wallah tunakufuru maskin mola atusaidie. Sheikh asante kw Maneno mazur Allah atatulinda pekee mlinzi wetu
Asante sheikh
Kaswida
Allah atupe salama na Amaani. Ameen yaa Rabbil allamiin
Tatu kunanamna Allah.Sw. anaombwa tofauti tofauti. Ikiwa unatumia uganga(rukia) wengine wanamipito zaidi. Uchawi haufai lkn ujue nini uchawi nini ushirikina na nini dua na tasriifat. Na Kama kuopoa ndoa kwa tasrifa ya mayai hata imamu hojat l-islami Muhammad ibn Muhammad lghazali kafundisha. Jee utamhukumu na yeye mshirikina.
Subhanallah Allah awaongoze hao walokosa imani
Aallah atuongoze njia iliyonyooka
Nakupenda kwa ajili ya allah shekh marizia
Allah.uzidi.kutulinda.nakutuhepusha.namambo.yaushirikina.amina
Subuhaanallah, Allah atulinde na atunusuru pamoja na vizazi vijavyo
Tatiz Zenj wachaw weng sana
Mungu tunusur
Inalilah waina ilayhi rajuun 😭😭 Allah wasamehe washirikina hawajui watendalo wajaalie waifate njia iliyoyahaki
Hukumu ya mchawi ni kuuwawa ndugu yangu na si msamaha
Allah atuhifadhi na kila baya
Masha Allah 🤲 tabalaq Allah
Hatari yaani kijamaa hata aibu hama anakwanga mbele za wapita njia, ila pengine alidhania haonekani namtu vile alivyokua akifanya wanga wake, chezea Camera wewe, Ahsante sana KTV
Subhanallah!
Dah mzee unamsumbua shekh unamwita usiku
Mungu atunusuru🤲🏻
Hasbiyallah waniimalwakil
Mtihani mkubwa sijui tunaenda wapi
Wachawi wanatabu sana mungu awalaaan waishi maisha ya tabu sana
Shekhe nimekuelewa mashallah
SHUKRAN KTV TZ ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU
hakika hii ni fahari yetu
Ukhty zayyaat assalaamualykum.nmekumiss maashaallah
mmmmh mtihani
atare sana
Nazi zilipanda bei watu wanavunja tikiti maji 😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁
@@merryn4891 mtu mwili umemkauka kwa ukosefu wa maji badala ya kula tikiti maji alivunja ni akili pia hizo
😂😂😂😂
@@nadhlfasalmazena7444 upo
@@alidingongo443 nipo
Kwa kweli watu tunamsahau mungu wakati sisi tunatafuta tule tupate damu wao wanayafanyia husda kisha yakitoweka waseme maisha magumu
Iyo mada "kiumbe wa kichawi aonekana" nilidhani kiumbe wa maajabu. Anyway haya na hawa wanashirki waliokithiri bila hofu ya Mungu hawalali kuchawia wenzao tuu. Innallillah waina illah rajiuun.
Dah jamani . mtihani mungua atunusulu wallahi. Jamani m nashida na uyoo sheee. Nitampataj nipo Zanzibar
Yupo znz ..ulizia tu shkh salum mardhia utaelekezwa
Nategemea kwenda Zanzibar, nikae within a month lkn nnavyotizama hizi video za KTV jmn zinanipa mashaka🤔
bae geedat usiogope Zanzibar ni nchi amani hao wanarogana ni wana familia kw familia mana kesi za cku hz wahusika wakuu ni wana familia... be a peace na wala uckatishe safar yakooo
@@saidsuleiman6483 mmmh! haya, yanatisha lkn
bae geedat huna safari 2
😀😀😀😀 Khadija kopa alisema tutapasua ma Apple sasa mchawi kapasua Tikiti huko Zanzibar
hahahahahahahaaa
Huyu Ustadhi mungu amjaalie,ameongea vyema sana,nuru na Giza havifungamani
🤔TUNAKUSIKILIZA SHEIKH KUHUSU HICHO KIUMBE KINACHO TISHA. WACHA NIENDELEE KU COMMENT
KTV leo mumenikumbusha mbali mm nilikuta keki ktk njia nne sikusubiri iharibike nilitafuta juice nikakata hamu ya keki mpaka leo nipo sijaumwa hata na tumbo.
hahahahahah maashallah
Ni kweli wengi washakula vile vyakula vitam tam vinavyotiwa kwenye sahani vikaekwa sehem kwa shirk, Lkn wengi ninaowajua mm wanamatatizo ya madudu na wengine yanawaendesha vibaya sana haswa ktk uzinzi na ulevi. Sasa cjui km tatizo ni kula vile vyakula au vp? Allah atuhifadhi sote na vizazi vyetu, Amiin
Hahahaha we tena basi unamoyo kweli
Hahahaaaa ww ckuwezi kwa uroho huo duuuu
@@fatmazenafzena917 uroho tena wakati ni chakula watu wanajaaliwa rizki wanazifanyia ufiasadi tena niliikuta imehifadhiwa vizuri tu kwani hujaamckia shekh alivyosema inafaa kula.
Allah aqbar!!
Hodi zenjebar Allah atustili na ushilikina Allah atujalie tuwe wenye kukinai na kila hali aliyo tujalia wachawi acheni kuwanga Allah anawaumbua nabado.
zayyati yusufu Ameen Allahumma Ameen
@@ukhtyrahma.3922 Thumma amin
Zayyati ww ingia tu znz bila wasi zimwi likujuwalo halikuli likakwisha
Wachawi punguzeni hasadi haya maisha ni changamoto tosha
@@samsungjsevenprime5717 hahahahaha in shaa Allah naja shukran
mungu Tunusur na Hiyo laana
Amiiin.
Uongo huo
Hahahaaaa,namkubali sana huyu Sheikh.
Uchawi sio Siri na okovu kuwa Yesuu ni njia moja tu ya kweli.
SubkhanAllah
Allah atuepushie watu wabaya washirikina
Daaah zanzibar imeharibika sanaa
Jamani.watu.sasa.ivi.wanapotea.kabisa.yahni.mutu.akipata.tatizo.kidogo.kuliko.wamuombo.mwezi.mung Wana enda.kwashetani.ogopeni.mungu.tieni.imani.yenu.sehemu.moja.alafu.mumuombe atawapa mungu yupo natazidi.kuwa akunakinacho.mushinda.na.anatupenda
Mie napita kila siku asubuhi nakuta tikiti mara nazi mara mayai
Hakika ushirikina umezidi zama hizi ni hatari sana kwetu sisi tunaoishi turudini kwa Allah tumtegemee Allah kwa kila kitu
Shekh mm natokea mobsa na nimetapeliwa na sheikh kutoka Zanzibar akidai atanizingua
ndo ashakuzingua uyo
Mbona hatari sana mm nipo mkoani Ruvuma wilaya ya songea duh binadamu wanamambo mengi
Msiandike kichwa cha habari chauongo mnapata thambi ongea kweli Angalia makafara ya kishirikina SAA 6 usiku zanzibari.
Mtangazaji nampenda sana yani sana kwasababu anasauti nzuri sana
Subhanallah mtihani kweli
Allah Atunusuru
SUBHANALLAH
subhanaAllah
huyu ni mnafiki sana na haya mambo ameyapanga yeye na waandishi wa habari ili apate wtu kuwaptosha
mwenyezi mungu atunusuru
Mm juzi hapo nlikuwa naendesha gari basi kulitokea watu wawili na mm sikuwa mbio sana basi kulitokea paka mbio naye ikitaka kupita kabla watu hao wawili basi nlimgonga na akafa.
mimi. natamani. sana. nimone. huyu. shekhe. naomba. ujee mombasa.
Allah atukinge na shirki
Amiin, hakika Shirk ni kitu kibaya sana
@@ktvtzonline yesu tuokowe
Ameen
Allah atulinde na shirki
Allahumah Aamin
ishalah