ALLY KAMWE AWACHANA AZAM TV NA NYIE MNAIHUJUMU YANGA?/WAMEPOKEA RUSHWA WENGINE/MUWAPE PRESHA WATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • #hersisaid #mayele #yangaleo #alikamwe #azizki #live_ #yangasc #yanga #yangatv #msuva

КОМЕНТАРІ • 25

  • @MwanaidiMwekubi
    @MwanaidiMwekubi 7 годин тому +6

    kila mwananch anafahamu ubola watimu yake

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 7 годин тому +2

    Mashabiki maandaxi wakati wa Nabi ilikua magoli mangapi kila mechi? Waache upumbavu pamoja na nyie wote naomba mtuache

  • @KatumbiMozee
    @KatumbiMozee 6 годин тому +1

    Sasa anataka watu waseme anavyotaka yeye kama anajua kunapisho kumbe tumegundua wao ndio ilikuwa tabia yao

  • @MwanaidiMwekubi
    @MwanaidiMwekubi 7 годин тому +1

    hatuna lawama kwenye timu yetu sis kama wananch hatuna was was kikubwa Dua tupo pamoja

  • @MussaKitaluta
    @MussaKitaluta 7 годин тому +1

    Ally hakuna posho, ila yanga wenyewe walituzoweshwa kupata ushindi mkubwa. Usipende kulaumu. Naongea kama shabiki wa yanga

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 6 годин тому +1

      Kwa Nabi alikuwa anashinda goli 5,cha muhimu ni kuiombea timu isidondoshe alama na wachezaji waendelee kuwa na morali ya kuipambania nembo ya club,hii timu itachukua ubingwa na itafika mbali sana club bingwa.

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 26 хвилин тому

    Azam ni branch ya panya road huoni hata wakiwa wanacheza nao wanavyocheza,lkn wakicheza na Yanga wanajifanya kukamia,wasubiri tu dawa yao ipo jikoni acha wajifariji wajione wamewin

  • @IshaKhamis-v3p
    @IshaKhamis-v3p 33 хвилини тому

    Mm shabiki wa yanga lkn kwa sasa mpira tunao cheza kwanza wachezaji wana cheza kistaa sana na sio mpira wa kasi kama tulivyo zoea ni maoni tu Wana yanga

  • @ckevents3593
    @ckevents3593 54 хвилини тому

    Sijui ninkwa nn yanga inaandamwa hivi .lakini ss wenyewe Tunashukuru kwa kupata point tatu

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 29 хвилин тому

    Msemaji wetu achana nao ipo siku watakubali uwezo wa wachezaji wetu

  • @YohanaWanda-v7d
    @YohanaWanda-v7d 3 години тому

    Ni kweli kabisa azamu tv wanatuhujumu sana vile wanavyoonyesha makosa ya yanga hata mimi nahirisha kutumia biashara za azam

  • @ckevents3593
    @ckevents3593 53 хвилини тому

    Hatu a shaka kwa tumu yetu. hayo ni madongo tu hayana madhara kwa yanga

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 3 години тому +3

    Lakini mimi naona Gamondi timu nnamshinda kwa mbinu hana mbinu yoyote ya kubadilisha game kwa hizi timu zinazo kaa nyuma

    • @deograsiassteven9262
      @deograsiassteven9262 3 години тому +1

      Kafundishe wewe

    • @HusseinAbdallah-n7x
      @HusseinAbdallah-n7x 2 години тому

      Upewe wew team

    • @JohnErenest-f9h
      @JohnErenest-f9h 33 хвилини тому

      Wee unajua nini hata kadi ya wanachama huna lipia ipi ukamchukue gadiola

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 31 хвилина тому

      Msimpinge...

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 30 хвилин тому

      Mi naina haikuwa bahati tu... maana magoli yamekosekana.....

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 7 годин тому +2

    Unalaumu ushindi wa magoli machache, je hao wanaofungwa na kukosa hata point moja wasemeje?.

  • @LukasMakunda
    @LukasMakunda 4 години тому +2

    Na mutalia sana msimu huu hama uko time ujazaliwa mayo Rudi Simba Kwa baba ako

    • @Abbasbaro
      @Abbasbaro 2 години тому

      Ata kuandika hujui

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 2 години тому

    Dogo ukweli usemwe yanga Haina kocha

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 2 години тому

      Wewe kolokwinyo acha udunduka huo. Tumewakanda mechi 3 tukiwa na kocha huyo huyo na bado tutaendelea kuwatesa tu

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 2 години тому

      Hivyo kweli una akili wewe eti UKWELI USEMWE. Nyinyi mnajaribu kujifariji na timu lenu bovu na siku zenu zinahesabika. UKWELI anawaambia Mchome na nyinyi mnamuita mnafiki kwa sababu mmeshikiwa akili na viongozi wenu mazezeta