Mungu akubariki sana NAAMINI ukizidi kusoma neno na kuomba,hakika Mungu anakupeleka kwenye level za kimataifa. Your song is full of divine power and is downloaded from heaven. Be blessed 😊
Nice song, nice message, nice and cool music, utunzi excellence! I repeat listening and watching all the time, Hizi ndiyo nyimbo watu tunahitaji kuskia kwasasa. Mungu akuinue mtumish wimbo mzuri sana ufike mbali
Ooooo, Wow
Ubarikiwe Rafk angu Neema, Mungu ndiye ayajuae Maisha yetu...
Grow More up na Mungu akusaidie ❤❤
Gud song una kipaji kikubwa sana na sauti nzr sana Kua mbunifu wa vionjo tofauti tofauti utafka mbali sana kipenzi
AMEEN SANA UTUKUFU HADI UTUKUFU 🙏🙏🙏🙏🙇🙇🙌
Mungu anazidi kukuinua baby sis .. This is blessing and amazing song...
Amena vidio zr
Kaz nzur MUNGU azidi kukuweka viwango vya juu zaidi,,barkiwa saana. Mkubwa MUNGU♥️♥️🙏🙏
Mungu 🙏 Wa Mbingunii 🙏 Azidi Kukuinua Zaidii Na Zaidii Mtu Wa MUNGU
Wooow woooow Mtumishi wa Mungu ...Wimbo Wenye upako sana Listening from Germany 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪
EMEEN ubarikiwe sana mtu wa Mungu kalibu Tz🇹🇿🇹🇿
Ubarikiwe Sana n munguuu azidi kukup mafunuo Zaidi na usonge mbele uinuliwe katk huduma yko ni njema sna
Nzuri mno Mamie yaan kweli Maisha ni Fumbo. Hongera mno dear MUNGU Akuinue Kwa Viwango Vikubwa Zaidi ❤❤
EMEEN kipenzi chamimi ❤️❤️ nashukuru sana
Hongela sana wimbo mkubwa sana
Ubarikiwe sana Mungu zaidi kukutumia katika hekima yake na unyenyekevu zaidi mpendwa
KAZI Nzuli sana Mtumishi wa MUNGU, UZIDISHWE Daima
Ujumbe mzuri ..Mungu atusaidie kuishi na watu vizuri
Big up Kaz nzuri sana Ubarikiwe Sana Mungu Akuinue vyema
Hongela my dear kazi yako ni njema sana mungu akutie nguvu usikate tamaa uzidi songa mbele nimeipenda kazi yako mom
Ameni kwa ujumbe mzuri
Mungu akubariki sana kwa huu wimbo aendelee kukutunza ukawe chombo chake chema.
EMEEN ubarikiwe sana 🙏🙏
Hongeraaa!! Wimbo mzuriiii!
Keep it up, Mungu aendeleee kuboresha kipaji chako!
Nice songs. Love u kipenzi.mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi uvarikiwe❤
Unafanya vyemaa kpnz Mungu akuinue zaid na zaidii🙏🙏🙏
Mungu akutie nguvu uifanye kazi yake kwa moyo
kazi nzuri mwenyezi mungu akupiganie na kukuinua zaidi
Wow my love Mungu azidi kukuinua zaidi hakika tunabarikiwa sana
Barikiwa sana MUNGU akutunze kwa ajili ya utumishi wake
Touching and blessings 🙌
Hii kazi nimoto mtumishi ubalikiwe Kwa ujumbe mzuri
Hongera sana Neema Kwa wimbo mzuli
Wow go one
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, wimbo mzuri sana
mziki wako uepangwa vizuri kama wa waimbaji wakongwe yaani nabrikiwa sana
Congratulations to you much love from kenya
Una kipaji binti Mungu azidi kukuinua❤
Wimbo mzuri sana barikiwa kipenzi❤
Hongera nyimbo nzuri sana
Barikiwa Sana mpendwa
Kazi nzuri sanaaa mtumishi barikiwa sanaa
Wimbo saf sana barikiwa na Mungu
Kweli maisha ni fumbo😢😢
AmeniiiAmen 🙏🔥🔥🔥👏👏🙏
Mungu akubariki sana NAAMINI ukizidi kusoma neno na kuomba,hakika Mungu anakupeleka kwenye level za kimataifa. Your song is full of divine power and is downloaded from heaven. Be blessed 😊
EMEEN ubarikiwe sana mtu wa Mungu Kwa kunipa moyo🙌🙌
waoh nice👏 God bless🙏
Hongera kwa Kazi nzuri
Wow dear,, Neyy mamiii,,, kawimbo kazuri sna
Kazi hii ni njema ili karibu kwenye huduma ya safina Arushu kila mwisho wa mwezi kunakongamano la uimbaji itakusakuisogeza huduma yako
EMEEN tuombe uzima
Call 0786096699
Amen 🙏🙏
Barikiwa sana kwa wimbo wako pendwq
Mungu akubariki sana ndugu yangu kwa ujumbe
Mungu akubariki na kukuonekania kwenye huduma yako amina
EMEEN asantee sana kipenzi Changu barikiwa sana❤️❤️👏👏👏
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri
Mdogo wangu nakupend endelea na kaz ya Mungu umenibarik Sana.
EMEEN sis 🙏😍
Ameen Ubarikiwe sana dadaangu Mungu akuinue
Barikiwa sana kazi nzuri
❤❤ good song
Amen
Mungu akuinue zaidi ni injili ya tupasa tuishi ktk ya kumtegemea Mungu ❤❤🎉
Hongera sana dada yangu kwa kaz ñzur
Barikiwa sana mtumishi🙏
Nice song, ubarikiw sana
ubalikiwe kwawimbo mzuli
Hongera sana mwanangu
Mungu aku bariki sana mpendwa ❤️💪🙏🏼🇨🇩🇨🇩 karibu kwetu Congo tuna kusubiri
Ameen Asante sana tuombe tu Uzima one day
Yes
🙌🙌 Mungu akubariki sana 🥰
wimbo wako mtamu sana.. ila nakuomba anayekufanyia makeup atilie mkazo vitu vya msingi sana.. unapendeza dada NEEMA.
@@abednegomutua3529 sawa shukuran sana hiyo ni edt ya derecto wa awali ndo alizingua Ila mak up alifanya vizurii tu
Balikiwa mnoo
Good song
Go girl go❤
Ubarikiwe sna mdg wangu
❤❤kazi nzur sana
Kazi ya baraka sana
Neema izidi kwako dada
Hakika ni fumbo
Ubarikiwe sana
Let's praise God ❤
Wimbo mtamu kweli
Hongera Sana
Ndio kabisa maisha ni fumbo
Hogera
Hongera Sana mwana wa Mungu
John Salim Niko kwenye kundi la maombi tz nabarikiwa sana na nyimbo hiyo
EMEEN
Nashukuru sana Kwakweli 🎉🎉
Ubarikiwe san ney wang
Balikw sana NEEMA
Wimba mzuri sana 🤝
Nice 🎉
Mungu akuunue zaidi mamaaa wimbo mzuri sana unabarik
Neema upo unaendeleaje
@@SaraPeter-z2u namshukuru Mungu naendelea vizurii kabisa karibu
Be blessed my sister
Hongera ❤❤❤
Hongera saana mdogo wangu 💥👏👏
EMEEN kaka ake Asante sana 🙏
Hongera mtumishi
Barikiwa Sana
Wimbo mzur
Ubarikiwe sana mdogo wangu
EMEEN asantee sana
Nice song, nice message, nice and cool music, utunzi excellence! I repeat listening and watching all the time, Hizi ndiyo nyimbo watu tunahitaji kuskia kwasasa. Mungu akuinue mtumish wimbo mzuri sana ufike mbali
EMEEN ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ❤❤
hongera sana
NC sanaaa
Amina dada neema
Hongera sana dear
Kwa kweli🙏
❤🎉🎉🎉
❤❤❤
Ubarikiwe
Hongera