Ee Baba mwenyezi MUNGU twakuomba ukisimamie chama chetu kiendelee kuwa imara na hatari Zaidi, kawapatie ushikamano na upendo, na utulivu Katika uchaguzi wao, ww wajuwae mapungufu yetu, twakuomba ukawashike mkono wajumbe wetu watulete kiongozi mahiri na mwenye mapenzi yakweri, mwenye kutenda haki na ukweri..,.
Mbowe ameikataa heshima mwenyewe, angekubali mapema haya yote wa ngeyabeba vijana na wangerushiana vijana yeye angetulia na kuwarekebisha mambo yaende mbele
Mwandishi tunaomba uweke picha ya mbowe na list tufanye uchaguzi wa waz wa wananchi ndani ya masaa kadhaa tuone nan mshindi wa wanachi. Kesho tuwaachie wao.
Mbowe team rushwa

We need changes
Iisu oyeee
Mabadiriko hoyeee
Mbowe ameikataa heshima mwenyewe, angekubali mapema haya yote wa ngeyabeba vijana na wangerushiana vijana yeye angetulia na kuwarekebisha mambo yaende mbele
Mugabe hahitaji tena kubembelezwa sasahivi mwendo wa mawe tu
Msemaji ngoja tu nikuweke sawa,chadema siyo chama cha upizani nichama cha kisiasa tu chadema kinapinga nini sasa?
Tunataka lisuawe mwenyekit
Mwandishi tunaomba uweke picha ya mbowe na list tufanye uchaguzi wa waz wa wananchi ndani ya masaa kadhaa tuone nan mshindi wa wanachi. Kesho tuwaachie wao.
Ni kweli hio ndio siasa chadema ni chama kilicho pevuka naomba mtoke mkiwa pamoja
Kweri kabisa siyo ccm wanaojifungia na kutoka na mtu mmoja
Nivitugani ivo?
wachaga😅😅😅😅
Mbowe tumbocrats
Ili mbowe aondoe dhana ya ukabila apishe wengine
Tunataka mabadiliko