Uvumilivu ni kitu mhm na kuangalia nini kimekupeleka na uaminifu kitu mhm pia kujipa moyo kila unaona unaelekea kukasirika nina mwaka wa 17 kaz ndani nimelea wanangu wamesoma mpk wana kazi zao tna nzr alhamdulillah ,,hv august natud forever nyumbani sasa ,,ukiipata chance nenda kapambane utafanikiwa,,nina mafanikio makubwa
@@aledesiomushi875Unatakiwa kutafuta connection sehemu nyingine ,kwa uzoefu wako unafaa kufanya kazi za nje njoo Dubai Dada,hela ya oman hata wakikupa 120 still ni ndogo kwa uzoefu wako
Hongera sana rafiki yangu Aledesio hakika unaupiga mwingi humkatishi mtu tamaa.kitu pekee cha kujivunia ni Maombi hakika Mungu anajibu.ila tiktok ndo maisha yetu team strong😂😂😂😂
Yaani kiushauri nibora ekeenda kupitia carer yake ya hotel management kidogo enge enjoy,na kuingiza pesa kidogo hususan kiupande wa tip,mana waarabu wanatowa tip nzuri kidogo..na pesa Riyal ya Oman ipo juu kwa pesa ya Tanzania riyal 1=6000 ya Tanzania
waongo tu nyie haiwezekani watu wote wawe wabaya tu kila sehem kuna watu wema na waovu kwa tz hamna ukatili kuna ukatili wa kutisha sana mtu anauwa mtoto wake wa kumza
Ila nikweli nimrembo..vipi ameolewa🤣🤣🤣any way nikweli kazi zamajumba kwa nchi za kiarabu kidogo zinakuwa na changamoto za kuekewa vikwazo,ila nasema tena inategemea na muajiri mwenyewe na roho zao
Mgeni mmoja ni kama wageni watano😂😂, Hapo unapika michapoo kama yote, maandaz, upike wali kuku ukaange samaki matunda kama yote, unakulaa weeh unavimbiwa ukinyanyuka mivyomboo teleeeee😭😭🏋️🏋️🏋️😂😂, sema uzuri mivyombo unaweza uiache maana nyuma ni kama restaurant mivyombo haiishi
Nampongeza sana huyo Binti kwa kupambania kazi yake. Nadhani ni kwa sababu alikuwa na uzoefu wa House keeping. That was an extra Mile! Witness unaweza kumtafuta Joyce Kiria? Labda anaweza kuwa na uwezo wa kusimamia hiyo idea ya kuwa Agent wa House Maids. I am just thinking loudly.
J.kiria yeye ana deal na wadada wa Tz_Tz, nshawahi ona insta mtu anamuulizia kuhusu Oman na nchi nyingne za nje akasema HAPANA yye anataftia wa Tz-Tz, labda nisijue kwa sasa.
Uvumilivu ni kitu mhm na kuangalia nini kimekupeleka na uaminifu kitu mhm pia kujipa moyo kila unaona unaelekea kukasirika nina mwaka wa 17 kaz ndani nimelea wanangu wamesoma mpk wana kazi zao tna nzr alhamdulillah ,,hv august natud forever nyumbani sasa ,,ukiipata chance nenda kapambane utafanikiwa,,nina mafanikio makubwa
Hongera sana mama na asante kwa kushare hili nasi. Uvumilivu bado unalipa sana
mpendwa naitaji na mm naomb unisaidie na mm naitaj san san mpendwa nisaidie kwa ilo
Safi kabisa tunajifunza vitu vingi sana 🎉🎉🎉🎉
Nafurahi sana kusikia hivo
Tulikua nawakati mzuri Leo asante Sana
Asante sana mrembo
❤
Ni mrembo sana huyu dada!! Pia I’m happy she’s from K-Town. I was also born in Kasulu, Kigoma 🇹🇿
Sana yani
Asante sana
@@aledesiomushi875Unatakiwa kutafuta connection sehemu nyingine ,kwa uzoefu wako unafaa kufanya kazi za nje njoo Dubai Dada,hela ya oman hata wakikupa 120 still ni ndogo kwa uzoefu wako
Saaana yaani
@@Witnessvlog😅😅😅mwaka alio kuja OMAni nimwaka mmoja tume pishana miezi tu mashallah 😅
Asante sana..mi pia nipo Dubai asee ni changamoto kwelii....
Poleni sana
She's beautiful jamani nimependa nywele zake 😊
Asante sana
Mm nimenunuliwa Hadi simu na sijakatw mshahara waarabu sio wote wenye roho mbaya
Nice experience ❤
It is👏🏾
Mungu akubariki sana Da Witnes umefanya kitu kizuri
Shukrani sana Agness
Arabuni mabos ni waroho
Hongera sana rafiki yangu Aledesio hakika unaupiga mwingi humkatishi mtu tamaa.kitu pekee cha kujivunia ni Maombi hakika Mungu anajibu.ila tiktok ndo maisha yetu team strong😂😂😂😂
Team strong asante sana❤
Ilibidi nitembelee tiktok! it's funny. Mmeweza sana
@@Witnessvlog umeona timu strong life sasa😅 mtafute mkenya 1ambaye yuko Saudi Arabia Fanya nae Interview
Maisha ya huku bla cm ,cm ndio kla kitu uarabuni
Kabisa
Hongera sana kwa uvumilivu wako
Asante sana
Uarabun ni kutumia akil ,nguvu tuachie mashine sasa fanya kwa sifa uumie
Nimependa hii. Muhimu sana kujua
Yaani kiushauri nibora ekeenda kupitia carer yake ya hotel management kidogo enge enjoy,na kuingiza pesa kidogo hususan kiupande wa tip,mana waarabu wanatowa tip nzuri kidogo..na pesa Riyal ya Oman ipo juu kwa pesa ya Tanzania riyal 1=6000 ya Tanzania
Asante kwa ushauri. I hope ataufanyia kazi
6700 saiz
Wewe kwakuwa hutoki Ila kanisa wengi wanaenda ruwi
Wakenya niwajeuri sana
@@khadigajessica991 🙌🏾🙌🏾
Helu juu kwa Marehemu Babu Mzaa Mama
Nice interview ❤
Thank you mrembo 🥰
Jamani na mm Niko Oman mabosi zangu ni wazuri Ila wakija wageni ndio wanakuwa wenye nyumba wanakela changamoto zipo Kila sehemu
Hongera sana dear
Dada ana sura nzuri kweli
Mnoo yani
Asante sana
Nimepita hapa, Naendelea kujifunza. AHSANTE
Asante kaka yangu
@@Witnessvlog Pamoja Sister
Omani🎉🎉🎉🎉 lakin whitness kipenzi tuunganishe kazi za UK
Sina kwakweli connection
Uarabuni jamani napaogopa
Usiogope. Kl mtu na bahati yake. Na sio kl mtu mbaya. Wengine ni wema pia.km una nia jaribu kipenzi.
Saa hivi niko nakula Ndizi mbichi! Yaaani zile za kupika nimeambiwa ni dawa ya BP! Nimesemea hao wanaokula Mchicha mbichi!
Sijaelewa vizuri
Kazi za salon huko zinapatikana?
Yeah Muscat unababuka uso kabisa.
Ila sahv ni baridi
Aisee asante kwa kutujuza
Nipo na Dada yangu arabuni dubai akini Hana mawasiano Kama Wewe anaitwa kwa majina kulwa makuka
Hi Ms Witness
Lakin mbn naona Africa kuna ukatili Zaid na ulaya bunduki mkononi binafsi Mungu kwanza
Haswaaa!
Sijapenda mm kutoa mfano mwanza 😅😅😅
😅pole
😂😂
waongo tu nyie haiwezekani watu wote wawe wabaya tu kila sehem kuna watu wema na waovu kwa tz hamna ukatili kuna ukatili wa kutisha sana mtu anauwa mtoto wake wa kumza
Asante
Ni kweli kabisa. Kl nchi ina watu wema na wabaya pia.
Duuuu hiii leo imenitokea mama kanipigia simu kutoka tz madam alivyoona naongea nasimu kazima wifi kaniuliza umemaliza kazi wakati nimemaliza
😂pole that's life ujifiche ukiwa unaongea na sm
🤣🤣pole sana
Pole bdo uko uko
Alhamisi na ijumaa ndio jumamosi na jumapili
Yes
Wakenya wanateseka sana saudi arabia,ila watanzania wengi tupo oman,dubai,qatar
Asante sana kwa hili
Kwa hio Oman kuko sawa
Kwa hio Omani kuko sawa
@@Mamas-06k😅😅😅njo utapakuta
@@Mamas-06kmi pia nipo Oman huku kuna amani alaf hela ipo juu sana rial 100 ni laki 650 ipo juu zaid ya dollar mara 2
Dada huyo wa Iraq nampa pole mm nipo Kurdistan nyumba nyingi hawalipi mshahara mkononi wanasema mfanyakazi hakai nahela 😢😢😢
Oh asante kwa kutujuza
Nchi za kiarabu hata nipewe ahadi gani siendi. Hata mwarabu akiwa nchi kwetu bado anakutesa itakuwa nchini kwao? NO.
I respect your decision. Wengi kwakweli ni kipengele
@@Witnessvlogdada naweza pata no yako
Ukiwa nchini kwenu, mwarabu anakutesa kivipi? Cjakuelewa pls.
@umfahad2609 Swali zuri
Chamsingi kazi na mshaara poa nawapata hapa US
Asante sana kaka
dada witines ata mm natoka kigoma nilikua na mm nataka kuja uko plz naomba nitafutie agent mzuli plz
Endelea kuangalia video nyingine kipenzi. Nimetaja agents
Sasa mtu anafikaje na kujua kupika vyakula vyao nakwa syle zao?
Unajifunza tu. Mbona kujifunza vyakula si kazi sana
Unajifunza Mimi nilikua napewa link za you tube naangalia ndo napika ADI saivi nisipoelewa ananielewesha kwa kingereza
Za leo,ukiona ni vema naomba mawasiliano yako dada Mushi
Unaweza nipata Instagram na Facebook jina ni Aledesio mushi
Hao maagent wakishapewa ww utajua mwenyewe chezea tz ano ww
Very sad
Yes wanajali maslai yao tu
Ila nikweli nimrembo..vipi ameolewa🤣🤣🤣any way nikweli kazi zamajumba kwa nchi za kiarabu kidogo zinakuwa na changamoto za kuekewa vikwazo,ila nasema tena inategemea na muajiri mwenyewe na roho zao
🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾
Namjua huyu dada hajaolewa kaka ni classmate wangu 😂😂
@@ChimpayeLukobha😂unachomoa betry bana
@@ChimpayeLukobha seriously?
@@alijumamohamed Kuna dalili ya pilau hapa😊.
Kazi za wanaume ni zipi huko
Swali zuri. Kazi za ndani hazina jinsia kila mtu anafanya. Huu ubaba wenu utawakosesha vingi
Mgeni mmoja ni kama wageni watano😂😂,
Hapo unapika michapoo kama yote, maandaz, upike wali kuku ukaange samaki matunda kama yote, unakulaa weeh unavimbiwa ukinyanyuka mivyomboo teleeeee😭😭🏋️🏋️🏋️😂😂, sema uzuri mivyombo unaweza uiache maana nyuma ni kama restaurant mivyombo haiishi
Ah wanajua kujichana aisee🙌🏾🤣. Yes vyombo hapo
Weekend naichukia Sana 😅 na Ramadhani iko mlangoni my dear unatumika ADI unaomba pooo sema ikifika mwisho wa mwezi unatabasamu😊
Tz unaweza Fanya hizo kazi hizo na usilipwe hyo hela
Wakenya wanaita kupiga Passport .
Yaan unalipua usafi🤣🤣🤣
🤣🤣aloo cha kufia nini
😂😂😂😂
😁😁😁
Nampongeza sana huyo Binti kwa kupambania kazi yake. Nadhani ni kwa sababu alikuwa na uzoefu wa House keeping. That was an extra Mile!
Witness unaweza kumtafuta Joyce Kiria? Labda anaweza kuwa na uwezo wa kusimamia hiyo idea ya kuwa Agent wa House Maids. I am just thinking loudly.
Yes hii imekaa poa
Good idea. Sijui kama ntampafa
J.kiria yeye ana deal na wadada wa Tz_Tz, nshawahi ona insta mtu anamuulizia kuhusu Oman na nchi nyingne za nje akasema HAPANA yye anataftia wa Tz-Tz, labda nisijue kwa sasa.
@@Witnessvlog Jaribu aliwahi kuja huku Frola nitete kama sijakosea BT sijui aliishia wapi miaka ya nyuma kidogo